logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Makala

  • Pata Makala Zote Hapa
Afya
  • Na Jembe Digital
  • May 4, 2026

Yafahamu matatizo ya Afya yanayosababishwa na Maji kupita kiasi Mwilini

Maji ni muhimu sana kwa afya ya binadamu lakini kama mwili ukiwa na maji mengi kuliko inavyohitajika basi hali hii inaweza kusababisha matatizo makubwa kiafya.Na hii leo tutazungumzia hasara kuu zinazoweza kutokea kutoka . . .

Afya
  • Na Jembe Digital
  • May 2, 2026

Vyakula 12 Vinavyokuongezea Kalori Kimya Kimya

Katika maisha ya kisasa watu wengi hujaribu kula kwa afya lakini mara nyingi kuna vyakula na vinywaji tunavyotumia kila siku ambavyo vinaongeza kalorini kimya kimya bila sisi kugundua ambapo hali hii inaweza kuchangia ku . . .

mahusiano
  • Na Jembe Digital
  • April 30, 2026

Ijue hatari ya kumchunga na kumfuatilia sana mpenzi wako

Takribani mamilioni ya watu wengi kote uimwenguni wanaelewa kwamba uhusiano ni kuhisi wanasalitiwa na wapenzi wao waliotokea kuwaamini sana wapo ambao si tu kwamba wanahisi bali wanawafumania kila kukicha wapenzi wao lic . . .

Afya
  • Na Jembe Digital
  • April 30, 2026

Tambua matunda 9 Yanayosaidia Kupunguza Mafuta ya Tumbo

Baadhi ya matunda kama zabibu (grapefruit), nanasi, parachichi na kiwi yanaweza kusaidia kupunguza mafuta ya tumbo kutokana na kuwa na nyuzi za lishe (fiber) vimeng’enya (enzymes) na virutubisho vingine muhim . . .

Afya
  • Na Jembe Digital
  • April 29, 2026

Zipate sababu 7 Kwanini Wagonjwa wa Pressure Wanatumia Kitunguu Saumu

High blood pressure (hypertension) ni sababu kubwa ya magonjwa ya moyo, kiharusi na uharibifu wa figo. Kwa muda mrefu, tiba asili zimekuwa zikisisitiza umuhimu wa lishe na mimea tiba katika kuzuia na kudhibiti shinikizo . . .

Makala
  • Na Asha Business
  • April 28, 2026

Kesi ya Kutimuliwa kwa Rigathi Gachagua

Katika vita yake ya kisheria inayoendelea dhidi ya kuondolewa kwake madarakani, aliyekuwa naibu rais Rigathi Gachagua ameondoa ombi lake la kurejeshwa ofisini.Timu ya kisheria ya Gachagua ilifika mbele ya jopo la majaji . . .

Afya
  • Na Jembe Digital
  • April 24, 2026

Fahamu Faida 7 Muhimu za Kunywa Juisi ya Karoti Kila Wiki

Juisi ya karoti ni kinywaji chenye virutubisho vingi muhimu kama vitamini, antioxidants na nyuzinyuzi, ambavyo huchangia kuboresha afya kwa ujumla. Kwa mujibu wa Healthline, juisi ya karoti ina kalori chache na wanga mdo . . .

mahusiano
  • Na Jembe Digital
  • April 23, 2026

Mambo Matano Yanayoumiza Wengi Katika Uhusiano

KUNA mambo mengi ambayo husababisha watu wenye uhusiano kuumia roho zao na hivi Leo tutakwenda kuyafafanua kwa undani zaidi mambo hayo kama ifuatavyo:KUFICHA MAMBOKuna jambo hata ukijaribu kulificha, ukweli wake uta . . .

Afya
  • Na Jembe Digital
  • April 20, 2026

Fahamu mambo 5 unayotakiwa kujua kuhusiana na Hedhi

NI vema kujua haya tutakayoyaainisha hapa leo. Inakadiriwa kuwa, mwanamke hupata hedhi wastani wa mara 400 katika maisha yake. Pia, neno linalotumika sana kuwakilisha hedhi ni ‘period’, lilianza kutumika kw . . .

Elimu
  • Na Jembe Digital
  • April 14, 2026

Fahamu Bajeti na Maandalizi ya Safari ya Kihistoria ya Artemis II

Safari ya kurudi Mwezini kwa binadamu kupitia mpango wa NASA inaendelea kuvutia hisia za dunia hasa kupitia misheni ya Artemis II ambayo ni hatua muhimu kabla ya kutua tena Mwezini. Hata hivyo pamoja na mafanikio ya kisa . . .

Afya
  • Na Jembe Digital
  • April 14, 2026

Fahamu Madhara ya Kiafya ya Uvutaji wa Shisha

Katika jamii ya leo, uvutaji wa shisha umeonekana kuwa ni sehemu ya burudani, hasa miongoni mwa vijana wengi wao huamini kuwa shisha ni salama zaidi kuliko sigara, lakini ukweli ni kwamba matumizi yake yanaweza kusababis . . .

TOP STORY
  • Na Asha Business
  • April 9, 2026

FAHAMU KUHUSU NGANO NA MATUMIZI YAKE

Ngano ni mmea wa jamii ya nyasi ambao hutoa punje zinazotumika kama moja ya vyakula vikuu dunianiMaeneo yanayolimwa. Nchini Tanzania, ngano hulimwa zaidi katika mikoa ya kaskazini kama Kilimanjaro, Arusha, na Manyar . . .

mahusiano
  • Na Jembe Digital
  • April 2, 2026

Suluhisho Kwa Wapenzi Wanaogombana Kila Mara, Soma Hapa

SIKU hizi ugomvi kwenye mahusiano imekuwa kama ni jambo la kawaida watu wanagombana kwelikweli utakuta mtu haipiti mwezi mmoja bila kugombana na mpenzi wake anampenda, hayupo tayari kumpoteza lakini maisha yao kila . . .

Afya
  • Na Asha Business
  • March 31, 2026

Utafiti "Kushiriki mapenzi mara kwa mara huimarisha ubora wa mbegu za kiume"

KUSHIRIKI tendo la ndoa mara kwa mara husaidia kuimarisha ubora wa mbegu za kiume, Utafiti mpya umebaini.Utafiti huo umezima kabisa dhana kuwa kukaa kwa muda mrefu bila kushiriki mapenzi na kuwa na mbegu kadhaa za kiume, . . .

Afya
  • Na Jembe Digital
  • March 30, 2026

Tambua vyakula 8 vya Baharini Vinavyoweza Kukuletea Madhara Makubwa Bila Kujua

Ingawa vyakula vya baharini vinajulikana kuwa na faida kubwa kiafya, si kila samaki au sahani ya seafood ni salama au bora kula. Wataalamu wa mapishi na lishe wanaonya kuwa baadhi ya vyakula hivi vinaweza kuwa hatari kwa . . .

Jamii
  • Na Jembe Digital
  • March 26, 2026

Fahamu historia ya Mti wa Araucaria ssp Uliopandwa na Nyerere mwaka 1989.

Mti wa Araucaria ssp ni miongoni mwa miti ya jamii ya misonobari (conifers), inayojulikana kwa umbo lake la kuvutia lenye matawi yanayopangwa kwa mpangilio wa duara kuanzia chini hadi juu. Miti hii hukua kwa urefu mkubw . . .

Afya
  • Na Asha Business
  • March 25, 2026

Umuhimu wa kubadilisha kifaa cha kuoshea vyombo nyumbani

Je, mara ya mwisho kubadilisha kifaa unachotumia kuoshea vyombo ilikuwa lini?Ni kifaa kinachopatikana jikoni katika kila makazi lakini mdahalo kuhusu kinapaswa kubadilishwa baada ya muda upi, unatofautiana pakubwa kuanzi . . .

Afya
  • Na Asha Business
  • March 24, 2026

Kinachosababisha magamba kichwani mwa watoto wachanga

MWAKA jana, Linet Njeri, aliona kichwa cha mtoto wake kikiwa na ngozi laini iliyokuwa na magamba.Mwanzoni, alidhani ni kwa sababu hakuwa anamuosha mwanawe vyema.“Nilihisi nikune sehemu hiyo ya kichwa chake ili magamba . . .

Afya
  • Na Asha Business
  • March 16, 2026

Utafiti "Mbegu za kiume zinatungisha mimba msimu wa joto kuliko wa baridi"

WATAFITI wamebaini kuwa msimu wa joto ndio wanawake hushika mimba kwa urahisi kutokana na ubora na urahisi wa mbegu za kiume kutoka sehemu moja hadi nyingine kukutana na zile za kike.Utafiti huo ulifanywa na wanasayansi . . .

Siasa
  • Na Jembe Digital
  • March 6, 2026

Fahamu Madhara Yatokanayo na Kufungwa kwa Strait of Hormuz Duniani

Strait of Hormuz ni njia nyembamba ya bahari yenye umuhimu mkubwa duniani. Ina upana wa takribani maili 30 katika sehemu yake nyembamba zaidi, ikiwa kati ya Rasi ya Musandam (Oman) na pwani ya Iran. Njia hii inaunganisha . . .

Siasa
  • Na Jembe Digital
  • March 6, 2026

Nani Anaamua Nchi Iwe na Silaha za Nyuklia? Ukweli wa Siasa za Dunia

Swali la nani anaamua nchi iwe na silaha za nyuklia na nani asiwe nazo limekuwa mjadala mkubwa katika siasa za kimataifa kwa miongo kadhaa. Ingawa hakuna chombo kimoja duniani kinachotoa ruhusa ya moja kwa moja kwa nchi . . .

Teknolojia
  • Na Jembe Digital
  • March 2, 2026

Tambua jinsi ya Kujua Kama Betri ya Simu Yako Ni Original Unaponunua Simu Mpya

Unaponunua simu mpya, moja ya sehemu muhimu zaidi ni betri. Betri halisi ni uhakika wa maisha marefu ya simu, utendaji thabiti, na usalama wa kifaa chako. Hapa kuna mwongozo wa namna ya kuthibitisha kama battery ni& . . .

Afya
  • Na Jembe Digital
  • February 27, 2026

Fahamu Kwa Nini Wataalamu wa Lishe Wanashauri Kula Korosho Mara kwa Mara

Watu wanaotumia korosho angalau mara nne kwa wiki, walionesha kuondokewa na hatari ya kupatwa na ugonjwa wa moyo kwa asilimia 37. Inashauriwa kutafuta korosho kiganja kimoja au kijiko kimoja cha chakula kilicho jaa ‘nu . . .

Afya
  • Na Asha Business
  • February 23, 2026

HIZI NDIZO FAIDA YA KULA VITUNGUU

1 Kuongeza kinga ya mwili Vitunguu vina antioxidants na virutubisho vinavyosaidia kupambana na magonjwa na kuimarisha mfumo wa kinga.2 Kupunguza hatari ya moyo Vitunguu vinaweza kusaidia kupunguza shinikizo la . . .

Afya
  • Na Jembe Digital
  • February 19, 2026

Fahamu Faida 7 za Ajabu za Kula Mlenda Mwilini

Mlenda ni mboga inayopatikana kwa urahisi sokoni na majumbani, lakini watu wengi hawajui kuwa ni dawa asilia yenye virutubisho vingi sana. Licha ya ute wake, mlenda una faida kubwa kiafya na unashauriwa kuingizwa ma . . .

Kurasa 2 ya 8

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho
  • Follow Us

  • Follow Us

  • Follow Us

  • Subscribe

Matawi Yetu
  • Jembe Group
  • Jembe Development
  • Jembe Beach
  • Jembe Digital
  • Jembe DJ
  • Jembe Stage And Sound
  • Jembe Events
  • Jembe Ni Jembe Team

Habari Zaidi

  • Trump Aitaka Ukraine Kupata Rais Mpya, Watofautiana Kuhusu Urusi

    • 19 masaa yaliopita
  • Billboard Yaitangaza Despacito Kuwa Wimbo Bora wa Wakati Wote

    • 19 masaa yaliopita
  • Daktari bingwa wa magonjwa ya moyo wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Smita Bhalia akimuonesha moja ya mfumo unaotumiwa na Taasisi hiyo kutafsiri lugha mbalimbali Kansela wa Uchumi na Biashara kutoka ubalozi wa Jamhuri ya Watu wa China nchini Tanzania Chu Kun alipotembelea tawi la JKCI Oyster bay kwaajili ya kujione huduma za kibingwa za magonjwa ya moyo zinazotolewa na taasisi hiyo.

    • 19 masaa yaliopita

Habari Category

  • Habari Zote
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
  • Habari Ndani Na Nje
  • Video
  • Uchumi Na Biashara
  • Magazeti
  • Makala

Wasiliana Nasi

JEMBE NI JEMBE GROUP ,
P. O. Box 1334,
PLOT NO.111/BLOCK "A"
HOUSE No:43 MAKONGORO STREET,
ILEMELA MWANZA - TANZANIA

info@jembenijembe.com

+ 255-786-385-475 ,
+ 255-716-385-475.

  • PRIVACY POLICY
  • TERMS AND CONDITIONS
  • STAFF LOGIN

POWERED BY

© Jembe Ni Jembe Companies.

Created And Maintained By XFoundationCode