Hilda Maeda (82), mkazi wa Mabogini Wilaya ya Moshi, amemuomba Rais Samia Suluhu na mashirika ya kutetea haki za binadamu kuingilia kati, . . .
Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro amemshauri Paul Makonda kwenda kituo cha polisi kuripoti tuhuma alizozi . . .
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Nauye amezikumbusha taasisi za TANROAD na TARURA kuweka majina ya barab . . .
WAKAZI wa Jimbo la Mpendae Visiwani Zanzibar wamepata faraja Kwa familia ya Marehem Salim turkey Kwa kuendeleza yale mazuri kwa wananchi . . .
STAA wa muziki na CEO wa Konde Gang, Harmonize usiku wa kuamkia leo Aprili 13, 2022 amevunja rekodi ya Youtube kupitia video yak . . .
HIVI karibuni limetokea shambulio katika stesheni moja ya treni jijini NewYork nchini marekani ambapo idadi ya watu Zaidi ya 17 wamejeru . . .
Zaidi shilingi milioni 600 zatumika vibaya Wilayani handeni Mkoani Tanga, Fedha hizo zilizotengwa kwa ajali ya kukamilisha mradi wa bwawa . . .
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imekutana na waandishi wa habari kujadili athari za mabadiliko ya tabia nchi katika mifumo ya hal . . .
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akisindikizwa na Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango katika Uwanja wa Ndege wa . . .
BRUSSELS Umoja wa Ulaya unalenga kukabiliana na kupanda kwa bei ya ngano na mbolea kwa kujihusisha na kile ulichokitaja kuwa diplomasia ya . . .
DurbanWatu takribani 60 wamepoteza maisha kutokana na mafuriko na maporomoko ya udongo yaliyosababishwa na mvua kubwa katika mji wa Durban . . .
Umoja wa MataifaRipoti ya Umoja wa Mataifa imesema kuwa ugonjwa wa Covid-19 ulisababisha zaidi ya watu milioni 77 kutumbukia katika umas . . .
Mashirika 16 ya kiraia Jumanne yamelisihi shirika la kimataifa la fedha( IMF) kutoa dola trilioni 2.5 katika akiba yake ya dharura ili . . .
Serikali ya Sudan Kusini Jumanne imetangaza kuundwa kwa uongozi wa jeshi lililoungana, ikitekeleza kipengele muhimu cha makubaliano ya . . .
Na katika michezoBayern Munich wametupwa nje ya michuano ya Ligi ya Mabingwa barani Ulaya Champions League baada ya kutoka sare ya bao 1-1 . . .
Kyiv Shirika la ujasusi la Ukraine SBU limemkamata mwanasiasa wa upinzani nchini humo Viktor Medvedchuk, ambaye anaunga mkono Urusi na a . . .
The HagueShirika la kuzuia kuenea kwa silaha za kemikali duniani OPCW limesema kuwa lina wasiwasi na ripoti za matumizi ya silaha za kemik . . .
WashingtonRais wa Marekani Joe Biden amevitaja vita vya Urusi nchini Ukraine kuwa mauaji ya halaiki, yanayolenga kuiangamiza Ukraine. Ak . . .
Baraza la usalama la Umoja wa Mataifa wiki ijayo limepanga kukutana katika kikao kingine kujadili hali ya kibinadamu nchini Ukraine,ikiwa . . .
Dada watatu pacha wanaofanana kama shilingi kwa ya pili wamefichua kuwa sasa wanachumbiana na mwanaume mmoja baada ya kumpenda katika nyakat . . .
Kamanda wa Jeshi la Polisi kanda maalumu ya Dar es Salaam, Muliro Jumanne Muliro amesema jeshi hilo linamshikilia Latifa Bakari (33) mk . . .
Shirika la kimataifa la kutetea usawa wa kijinsia na haki za wanawake limetangaza kumteuwa dkt Maliha Khan, kuwa rais wa shirika hilo. . . .
Mamlaka nchini Uturuki zimewakamata na kuwashikilia watu 46 wakiwemo maafisa wa zamani wa chama cha kisiasa kinachounga mkono harakati za . . .
Marekani imetoa agizo kwa raia wake wasiokuwa wafanyakazi wa dharura katika ubalozi wake mdogo mjini Shanghai, waondoke. Mji huo wa China . . .
Mamiliaoni ya watu nchini Somalia wako hatarini kutumbukia kwenye baa la njaa ambapo watoto ndio hasa wanaokabiliwa na hatari hiyo inayoto . . .
Kwa muda mrefu wasanii wa muziki nchini Tanzania, Marioo na Mimi Mars wamedaiwa kuwa na uhusiano wa kimapenzi, lakini wakawa wanakanusha. . . .
Zaidi ya watu 30 waliuawa katika mashambulizi yaliyotekelezwa Jumapili na Jumatatu na washambuliaji wanaoshukiwa kuwa wanajihadi katik . . .
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Nauye amezikumbusha taasisi za TANROAD na TARURA kuweka majina ya barab . . .
Kenya imekataa ombi la Ukraine la kuhutubia bunge la Kenya, serikali ikihofia kuingizwa katika mzozo wa Ukraine na Urusi na kusambaratisha u . . .
Uongozi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki umewaelekeza mabalozi kufanya kazi kwa bidii na weledi pamoja na kuwe . . .
Mamlaka nchini Ukraine zimesema huenda maelfu ya watu wameuawa kufuatia mashambulizi ya Urusi katika mji wa bandari wa M . . .
Mbunge wa Kongwa, Job Ndugai amesema chanjo ya ugonjwa wa homa ya sotoka ni mkombozi kwa wafugaji wa Kongwa ambao wametaabika kwa muda m . . .
Korogwe. Watu sita wamefariki dunia na wengine 19 wamejeruhiwa baada ya basi dogo aina ya Coaster kupinduka katika eneo la kwa Mdulu Wilay . . .
BAADA ya jana, aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kuandika ujumbe kwenye ukurasa wake wa Instagram na kuwajata anaoda . . .
Shabiki wa klabu wa Asante Kotoko, Martin Kyei (32) akishangilia ushindi wa Asante Kotoko huku akiwa uchi SHABIKI mmoja wa klabu wa A . . .
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amewasiliana na Umoja wa Afrika (AU) ili kuunga mkono uvamizi wa Urusi na kuomba kulihutubia shirika . . .
Kumekuwa na hisia kali baada ya taarifa za kifo cha mwimbaji wa nyimbo za Injili kutoka Nigeria Osinachi Nwachukwu.Ripoti za awali zilisema . . .
Video maarufu ya dansi ya mazishi ya wabeba jeneza wa Ghana ‘Coffin Dance’ imeripotiwa kupigwa mnada na kuuzwa kama mali ya kidigit . . .
Kiungo Mshambuliaji wa Maafande wa Jeshi la Magereza ‘Tanzania Prisons’ Lambart Sabiyanka amesema anaamini kikosi cha klabu hiyo kit . . .
Bondia Hassan Mwakinyo ametoa tamko baada ya kuvuliwa taji la ubingwa wa African Boxing Union ‘ABU’ kufuatia kushindwa kulitetea kwa m . . .