logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Pata Habari Zote Hapa

  • Habari na Matukio Yote Ndani ya Nchi Na Duniani Kote
SOKA
  • Na Jembe Digital
  • October 4, 2025

Timu ya Taifa Stars kuikabili Zambia

TIMU ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars ina kibarua cha kusaka ushindi kwenye mchezo dhidi ya timu ya taifa ya Zambia.Mchezo huo ni maalumu k . . .

Burudani
  • Na Jembe Digital
  • October 4, 2025

Sean ‘Diddy ahukumiwa jela miezi 50

Staa wa muziki wa Hip Hop nchini Marekani, Sean ‘Diddy’ Combs amehukumiwa kwenda jela miezi 50 (sawa na miaka 4 na miezi 2) baada ya kuk . . .

Matukio
  • Na Jembe Digital
  • October 4, 2025

Kevin Williams Mbogo, amefariki dunia kwa ajali

Aliyekuwa mmiliki wa Home Grand Hotels, TCCIA Region Treasurer, na mfadhili wa CCM Wazazi, Kevin Williams Mbogo, amefariki dunia kwa ajali y . . .

SOKA
  • Na Jembe Digital
  • October 4, 2025

Simba Sc yatambulisha kocha Dimitri Pantev kuwa meneja wa timu

Klabu ya Simba Sc imemtambulisha kocha Dimitri Pantev kama meneja wa timu hiyo huku vyanzo vikieleza kocha mkuu wa Wekundu hao wa Msimbazi a . . .

Siasa
  • Na Jembe Digital
  • October 4, 2025

John Heche, na wenzake wanane wamefunguliwa mashtaka ya kukiuka maelekezo ya Mahakama

 Katika hatua isiyotarajiwa, aliyewahi kuwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Zanzibar, Said Issa Mohammed, pamoja na wenzake Ahmed Rashid K . . .

Habari
  • Na Jembe Digital
  • October 4, 2025

Majaliwa Awasili Malawi Kumwakilisha Rais Samia

 Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa, amewasili leo Oktoba 4 mwaka huu nchini Malawi kumwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ka . . .

SOKA
  • Na Jembe Digital
  • October 4, 2025

Dodoma Jiji FC yapigwa faini ya milioni 15 kwa kukosa kocha mwenye sifa

Klabu ya Dodoma Jiji FC imepigwa faini ya jumla ya Shilingi milioni 15 za Kitanzania na Bodi ya Ligi Kuu baada ya kushiriki michezo mit . . .

SOKA ULAYA
  • Na Jembe Digital
  • October 4, 2025

Kocha wa Manchester United atafutwa kazi endapo watakosa ushindi dhidi ya EPL

Kocha wa Manchester United, Rúben Amorim, yuko katika hatihati ya kufutwa kazi yuko katika hatihati ya kufutwa kazi endapo kikosi chak . . .

Habari
  • Na Jembe Digital
  • October 3, 2025

MAADHIMISHO YA SIKU YA MWALIMU DUNIANI – USHIROMBO, GEITA

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa, amesema kuwa walimu ndio chachu ya ugunduzi, ubunifu na maend . . .

AFYA
  • Na Jembe Digital
  • October 3, 2025

MKUTANO MKUU WA WAFANYAKAZI WA MOI WAFANYIKA

Mkutano Mkuu wa mwaka wa wafanyakazi wote wa Taasisi ya MOI umefanyika leo  Oktoba 03 mwaka huu katika ukumbi wa CPL Muhimbili jijini D . . .

Elimu
  • Na Jembe Digital
  • October 3, 2025

Mwalimu ndio nguzo kuu ya maendeleo

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema kuwa walimu ni nguzo kuu ya maendeleo ya taifa lolote hapa duniani kwani ndio wanaotoa rasilimaliwatu y . . .

Siasa
  • Na Jembe Digital
  • October 3, 2025

Doyo aahidi soko la uhakika kwa wakulima wa mbaazi akipewa urais

Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha NLD, Doyo Hassani Doyo, ameahidi kuwatafutia wakulima wa mbaazi soko la u . . .

Dini
  • Na Jembe Digital
  • October 3, 2025

Sarah Mullally ateuliwa kuwa Askofu Mkuu kanisa la Anglikana Duniani

Mhashamu Askofu Sarah Mullally ameteuliwa kuwa Askofu Mkuu wa Canterbury Muadhama Mkuu Sarah Mullally anakuwa ni mwanamke wa kwanza kuwa Ask . . .

Siasa
  • Na Jembe Digital
  • October 3, 2025

Samia leo kuhitimisha kampeni Karatu na kuelekea Manyara

Wananchi wa Karatu, mkoani Arusha, katika shamrashamra za kumsubiria mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan, ambaye . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • October 3, 2025

"Happy boyfriend day "sema neno moja kwa umpendae

Dunia leo inaadhimisha Boyfriend Day, siku maalumu inayotambuliwa kila mwaka tarehe 3 Oktoba kwa ajili ya kuwakumbuka na kuwasherehekea wana . . .

Mahakamani
  • Na Jembe Digital
  • October 3, 2025

Sean ‘Diddy aomba huruma ya Jaji kabla ya hukumu

Sean ‘Diddy’ Combs amemuandikia barua ya kuomba huruma Jaji Arun Subramanian aliyesimamia kesi yake, siku moja kabla ya kuhukumiwa, baad . . .

matukio
  • Na Jembe Digital
  • October 3, 2025

Watoto Watatu Wafariki Dunia kwa ajali ya moto Kibaha

Watoto watatu wamefariki dunia baada ya nyumba ya ghorofa moja kuteketea kwa moto katika Mtaa wa Kitende, Kwa Mfipa, Wilaya ya Kibaha, Mkoa . . .

Mastaa
  • Na Jembe Digital
  • October 3, 2025

Sherehe ya 40 Ya Mtoto wa Jux na Priscilla Yazua Gumzo Mitandaoni

Msanii na nyota wa mziki Juma Jux na mke wake mrembo Priscilla wameweka kumbukumbu nyingine ya kipekee baada ya kufanya sherehe ya 40 ya mto . . .

Habari
  • Na Jembe Digital
  • October 3, 2025

Prof, Nombo ashiriki maadhimisho ya siku ya mwalimu dunia wilaya ya Bukombe

 Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Carolyne Nombo, anashiriki Maadhimisho ya Siku ya Mwalimu Duniani katika . . .

Habari
  • Na Jembe Digital
  • October 3, 2025

Kilele cha maadhimisho ya siku ya Mwalimu duniani

" . . .

Siasa
  • Na Jembe Digital
  • October 3, 2025

Hofu yatawala ndani ya vyama vya upinzani Kenya

KADRI siasa za kuelekea uchaguzi mkuu wa 2027 zinavyochacha, ndivyo upinzani nchini unavyokumbwa na misukosuko ya ndani, inayochochewa na ku . . .

afya
  • Na Jembe Digital
  • October 3, 2025

Mripuko wa Ebola wasababisha vifo 42 DRC

 SHIRIKA la Afya Duniani (WHO) limesema mripuko wa Ebola ulioanza mwanzoni mwa Septemba nchini DRC umesababisha vifo vya watu 42, huku . . .

mahusiano
  • Na Jembe Digital
  • October 3, 2025

Unapaswa Kuzingatia Kabla Hujaamua Kumtoa ‘out’ Umpendaye

Shukrani za kipekee zimuendee Mungu kwa kutuwezesha kuiona salama ya leo, ni matumaini yangu kwamba msomaji wangu uko vizuri na unaendelea k . . .

Mastaa
  • Na Jembe Digital
  • October 3, 2025

Surraiya Rimoy amewataka mashabiki wakea kutodanganyika na Maisha Yake ya Mitandaoni

 Msanii  maarufu wa mitindo, Surraiya Rimoy almaarufu kama Sanchi, ameweka wazi kuwa maisha anayoyaonesha kwenye mitandao ya kijam . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • October 3, 2025

Ramaphosa, ameitaka Israel kuwaachia wanaharakati wa Afrika Kusini waliokamatwa

Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa, ameitaka Israel kuwaachia mara moja wanaharakati wa Afrika Kusini waliokamatwa na jeshi la majini la . . .

Mastaa
  • Na Jembe Digital
  • October 2, 2025

Poshy Queen amefunguka kuolewa na mwanaume anayefanya kazi ya udalali.

Mrembo maarufu wa mitandao ya kijamii, Poshy Queen, ambaye amejipatia umaarufu mkubwa kutokana na urembo na muonekano wake (shape), hatimaye . . .

Habari
  • Na Jembe Digital
  • October 2, 2025

Serikali ya Tanzania yapinga ripoti ya human rights watch kuja na upotoshaji

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeeleza kusikitishwa na ripoti iliyotolewa na Shirika la Kimataifa la Human Rights Watch (HRW) . . .

Siasa
  • Na Jembe Digital
  • October 2, 2025

kufikia mwaka 2030 Tanzania yote itanga'ara kwa umeme

 Mgombea urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi( CCM) Dk Samia Suluhu Hassan amewaahidi wananchi mkoani Arusha kuwa kufiki . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • October 2, 2025

Tanzania ,Ufaransa kushirikiana kilimo ikolojia

 SERIKALI ya Ufaransa itaendelea kushirikiana na Tanzania katika kilimo ikolojia kinachohifadhi ardhi na mazingira kwa lengo la ku . . .

Siasa
  • Na Jembe Digital
  • October 2, 2025

SAU yaingiza wanachama wapya tisa wa CCM mkoani Shinyanga

Chama cha Sauti ya Umma (SAU), kimevuna wanachama tisa kutoka CCM, katika mkutano wake wa hadhara ulipfanyika mjini Shinyanga leo asubuhi.Wa . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • October 2, 2025

P Diddy kusomwa hukumu yake kesho Brooklyn

hukumu ya P Diddy kusomewa hukumu yake kesho mjini Brooklyn, Marekani, baada ya kukutwa na hatia ya makosa ya kusafirisha watu kwa ajili ya . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • October 2, 2025

Jane Goodall afariki dunia akiwa na miaka 91

Mwanasayansi mashuhuri duniani katika tafiti za tabia za wanyama, Jane Goodall, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 91 nchini Marekani wa . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • October 2, 2025

Maandamano ya Gen Z nchini Morocco yaingia siku ya tano

Vijana waliokuwa wamefunika nyuso zao wamekabiliana na polisi na kusababisha uharibifu wa mali katika miji kadhaa nchini Morocco wakati maan . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • October 2, 2025

Maandamano Italia baada ya Israel kuzuia meli ya misaada

Maandamano makubwa yamezuka nchini Italia kufuatia hatua ya Israel kuzuia msafara wa meli uliokuwa umebeba misaada kuelekea ukanda wa Gaza.M . . .

Mtandaoni
  • Na Asha Business
  • October 2, 2025

Wanawake wanazidi kunyanyaswa kwenye mitandao

Kadri matumizi ya mitandao yanavyoongezeka barani Afrika, wanawake na wasichana wanazidi kuripoti ukatili kutokana na matumizi hayo ya mitan . . .

AFYA
  • Na Asha Business
  • October 2, 2025

WHO yatangaza vifo 42 kufuatia mlipuko wa hivi punde wa Ebola nchini DRC

Mlipuko mpya wa Ebola umekuwa ukiendelea tangu mapema mwezi Septemba nchiniJamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, katika Mkoa wa Kasai. Kulingana . . .

Elimu
  • Na Jembe Digital
  • October 1, 2025

Vyuo vikuu vyatakiwa kuunganisha nguvu mabadiliko ya tabianchi

KATIBU Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Carolyne Nombo amevitaka vyuo vikuu nchini kuunganisha nguvu katika kufanya tafi . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • October 1, 2025

Serikali ya Zanzibar kuendeleza miradi ya kimkakati katika sekta ya nishati

 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, amesema Serikali itaendeleza miradi ya kimkakati katika . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • October 1, 2025

Majaji, mahakimu na waendesha mashtaka wa Tanzania wapewa Elimu ya ushirikiano makosa ya jinai

Chuo cha Uongozi wa Mahakama Lushoto (IJA) kwa kushirikiana na Chuo Kikuu cha Italia ( Sant’Anna School of Advanced Studies -Scuola) kupi . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • October 1, 2025

Bibi adaiwa kuua mjukuu wake kisa kutomsalimia

JESHI la Polisi mkoani Shinyanga linamsaka Christina Kishiwa (42), mkazi wa Mtaa wa Nyakato, Kata ya Nyasubi, Manispaa ya Kahama, kwa tuhuma . . .

Kurasa 18 ya 212

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho
  • Follow Us

  • Follow Us

  • Follow Us

  • Subscribe

Habari Category