logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Pata Habari Zote Hapa

  • Habari na Matukio Yote Ndani ya Nchi Na Duniani Kote
Uchumi biashara
  • Na JZ The Brand
  • February 15, 2022

Benki ya NMB kuwakomboa Wamachinga, waweka makubaliano ya miaka mitano

Kwa mara nyingine tena, Benki ya NMB imeonyesha ni benki inayojali watu wa hali zote kiuchumi na kijamii, na leo imeungana na Shirikisho l . . .

Masumbwi
  • Na JZ The Brand
  • February 15, 2022

Top 10 ya Mabondia Bora Tanzania

UKIACHANA na mchezo wa soka ambao umekuwa na wafuatiliaji wengi zaidi duniani, mchezo ambao pia unafuatiliwa na mashabiki ni ule wa ngum . . .

Mastaa
  • Na JZ The Brand
  • February 15, 2022

Jux Afunguka Tatizo la Kupata Mtoto

KWA mara ya kwanza, supastaa wa Bongo Felva, Juma Mussa Mkambala almaarufu Jux amefunguka juu ya madai kwamba ana tatizo la kupata mtoto . . .

Viwanda
  • Na JZ The Brand
  • February 15, 2022

Pinda awahimiza wamiliki wa Viwanda Katavi kukata bima za biashara

Wafanyabiashara mkoani Katavi wametakiwa kukata bima kwa ajili ya kulinda biashara zao wakati wanapokabiliwa na majanga mbalimbali yanay . . .

Kimataifa
  • Na JZ The Brand
  • February 15, 2022

Bennett kukutana na mfalme, mrithi wa ufalme wa Bahrain

Wakati hatima ya mazungumzo ya Mkataba wa Nyuklia wa Iran na mataifa makubwa duniani ikiwa haijuilikani, Waziri Mkuu wa Israel Naftali B . . .

SOKA ULAYA
  • Na JZ The Brand
  • February 15, 2022

Michezo Mtoto wa Kolo Toure, Yassine asajiliwa Leicester

Klabu ya Leicester City imemsajili mtoto wa mlinzi wa zamani wa Arsenal na Liverpool Kolo Toure, Yassine kwa mkataba wa miaka miwili. Yas . . .

matukio
  • Na JZ The Brand
  • February 15, 2022

Ukweli wa mateso anayopitia Bambucha, asimulia kukatwa mguu, uigizaji

Wengi tunamfahamu kama Bambuc . . .

Michezo
  • Na JZ The Brand
  • February 15, 2022

VAR kugungwa kwenye viwanja vitano

Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mohamed Mchengerwa leo Februari 14, . . .

Teknolojia
  • Na JZ The Brand
  • February 15, 2022

Chombo kinachotarajiwa kugongana na mwezi chatambuliwa mmiliki wake

Wanaastronomia wanasema kwamba sehemu ya roketi iliotarajiwa kugongana na mwezi , mnamo mwezi Machi haikutoka kwa kampuni ya uchunguzi wa a . . .

Afrika
  • Na JZ The Brand
  • February 15, 2022

Kijana aliyepigwa picha akipika jangwani apata msaada

Mwandishi wa habari wa Ethiopia aliyepiga picha ya mvulana akipika jangwani peke yake ilyosambaa kwenye mitandao ya kijamii amezungumzia k . . .

Afrika Mashariki
  • Na JZ The Brand
  • February 15, 2022

Kesi ya wakili wa Kenya kuanza katika mahakama ya ICC

Kesi ya wakili wa Kenya anayetuhumiwa kuwahonga mashahidi wa upande wa mashtaka wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu wa Jinai (ICC) inaanza . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • February 15, 2022

TFF na Semina ya siku tatu kwa Waamuzi

Shirikisho la soka nchini Tanzania TFF, Jumanne ya Leo February 15, 2022 limeanza rasmi kuendesha semina ya siku tatu kwa waamuzi wote w . . .

siasa
  • Na Asha Business
  • February 15, 2022

Baraza la madiwani kumfukuza mfanyakazi mtoro

Baraza la madiwani la halmashauri ya wilaya ya Mbinga limeazimia kumfukuza kazi mfanyakazi mmoja wa halmashauri hiyo kwa kosa la utoro k . . .

Elimu
  • Na Asha Business
  • February 15, 2022

Mgomo wa walimu waingia wiki ya pili

Mgomo wa walimu ambao umeathiri taasisi za elimu nchini Zimbabwe umeingia wiki yake ya pili jana Jumatatu.Serikali imewasimamisha kwa muda w . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • February 15, 2022

Joao Cancelo asimulia namna wezi walivyovamia nyumbani kwake

Beki wa klabu ya Manchester City, Joao Cancelo amezungumzia tukio la “kutisha” la kuvamiwa na wezi alilolielezea “lilitishia familia . . .

AFYA
  • Na Asha Business
  • February 15, 2022

Waziri Mutahi Kagwe Katika Hatari ya Kufungwa Jela.

Waziri wa Afya, Mutahi Kagwe anakumbana na hatari ya kufungwa jela miezi sita kwa kudharau amri ya korti iliyomzuia kuruhusu jeshi kusimamia . . .

Siasa
  • Na Asha Business
  • February 15, 2022

Nitatumia Avocado Kulipa Deni la China Nikichaguliwa Rais, DP Ruto Aahidi .

Naibu Rais William Ruto, ameahidi kuwa serikali yake itatumia parachichi kumaliza deni kubwa ambalo Kenya lilikopa China.Akizungumza Nyeri s . . .

Mastaa
  • Na Asha Business
  • February 15, 2022

Ringtone Apiga Magoti na Kuwaomba Wakenya Msamaha.

Msanii wa nyimbo za Injili Ringtone Apoko sasa amejitokeza na kuomba msamaha kwa kizaazaa kilichoshuhudiwa Jumapili, Februari 13, wakati wa . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • February 15, 2022

Waandamanaji wawili wauawa na polisi wa Sudan wakati wa maandamano

Maafisa wa usalama wa Sudan wamewaua kwa risasi waandamanaji wawili walipokuwa wanajaribu kuwatawanya maelfu ya waadamanaji, kwa kutum . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • February 15, 2022

Bernard Morrison arudishwa kundini Simba SC

Hatimaye Uongozi wa Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Simba SC umekubali kumsamehe Kiungo Mshambuliaji kutoka nchini Ghana Bernard Morrison n . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • February 15, 2022

Ahmed Ally aidharau Ruvu Shooting

Furaha ya ushindi dhidi ya ASEC Mimosas ya Ivory Coast bado imeendelea kushamiri kwa Meneja wa Habari na Mawasilino wa Simba SC Ahmed Al . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • February 15, 2022

Vilio zaidi kwa polisi, wawili wakidaiwa kufariki kwa kipigo Moro, Tabora

Madai ya watuhumiwa kufariki dunia wakiwa mikononi mwa polisi au baada ya kipigo cha askari hao yameendelea kujitokeza safari hii yakiib . . .

Top Story
  • Na JZ The Brand
  • February 14, 2022

WASAMBAA MTANI HUGAWA MALI ZA MAREHEMU (II)

Katika sehemu ya kwanza matini haya msomaji wangu utakumbuka kuwa nilikueleza mengi juu ya asili ya Wasambaa kuwa walitokea Kenya, pia nil . . .

AFYA
  • Na JZ The Brand
  • February 14, 2022

WAGONJWA 26 WAPANDIKIZWA FIGO HOSPITALI YA BENJAMIN MKAPA

Hospitali ya Benjamin Mkapa imefanikiwa kupandikiza figo wagonjwa 26 kuanzia machi 22, 2018 kutoka mikoa mbalimbali nchini na wote wana . . .

AFYA
  • Na JZ The Brand
  • February 14, 2022

Wanasayansi kutengeneza mtoto kwenye maabara

Wanasayansi wanaendelea kutafiti kisayansi kuhusu njia mpya ya uzazi itakayotumika kutengeneza mtoto maabara bila kufuata njia za kawai . . .

Mahaba
  • Na JZ The Brand
  • February 14, 2022

Siku ya wapendanao zawadi na ujumbe kwa umpendae

Siku ya wapendanao huadhimishwa kila inapofika Februari 14 duniani kote.Watu hutuma ujumbe na zawadi mbalimbali kwa wawapendao ili kufanya . . .

Hali ya hewa
  • Na JZ The Brand
  • February 14, 2022

Umoja wa Mataifa kukamilisha ripoti kuhusu athari za ongezeko la joto

Wanasayansi na maafisa wa serikali wanakutana leo kukamilisha ripoti muhimu ya Umoja wa Mataifa kuhusu jinsi ongezeko la joto duniani li . . .

Kimataifa
  • Na JZ The Brand
  • February 14, 2022

Mwalimu akamatwa kwa madai ya kumpiga mtoto viboko hadi kufa

Mwalimu wa shule amekamatwa nchini Nigeria kwa madai ya kumpiga mwanafunzi wa miezi 19 hadi kufa, polisi wanasema.Mwalimu huyo katika shu . . .

matukio
  • Na JZ The Brand
  • February 14, 2022

Wanajeshi wa Mali wauawa na wapiganaji wa jihadi

Wanajeshi wawili wa Mali wameuawa katika shambulizi linalodaiwa kufanywa na wapiganaji wa jihadi.Shambulio hilo limetokea kwenye kituo cha . . .

Kimataifa
  • Na JZ The Brand
  • February 14, 2022

Hoteli ya kwanza ya wapenzi wa jinsia moja yafunguliwa Cuba

Waandishi wa habari walipowasili kwa ziara iliyoandaliwa na serikali katika hoteli ya kifahari katika eneo la mapumziko la Cuba la Cayo Gu . . .

Michezo
  • Na JZ The Brand
  • February 14, 2022

Uwanja wapewa jina la nyota wa Liverpool Senegal

Uwanja umepewa jina la Sadio Mane katika mji wa kusini-magharibi wa Sedhiou baada ya kuisaidia Senegal kupata mafanikio yao ya kwanza.Msham . . .

Mauaji
  • Na JZ The Brand
  • February 14, 2022

Ajiua Chumbani kwa Mpenzi Wake Baada ya Kufukua Kaburi la Mama Yake

Mkazi wa Mpanda Hotel Manispaa ya Mpanda Mkoa wa Katavi Wille Mwakapimba amekutwa akiwa amejinyonga chumbani kwa mpenzi wake Hawa Ayubu . . .

Matukio
  • Na JZ The Brand
  • February 14, 2022

Auawa Kisa Kuchoma Qur-an

Mtu mmoja ameuawa na kundi la watu kwa madai ya kuchoma kurasa za Koran katikati mwa Pakistan, Khanewal, polisi wanasema, katika tukio la hi . . .

Kitaifa
  • Na JZ The Brand
  • February 14, 2022

TRA kudhibiti ubora wa bidhaa kidigitali

Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imepata mwarobaini wa kukabiliana na changamoto ya utambuzi wa bidhaa bandia baada ya kutangaza rasmi . . .

Uchumi | Biashara
  • Na JZ The Brand
  • February 14, 2022

Tozo za simu zimeingizia Tamisemi Sh320 bilioni kwa ajili ya Tarura

Fedha za tozo zimeingiza Sh320 bilioni katika Mfuko wa Barabara Mjini na Vijijini(Tarura). Fedha hizo zimepatikana na hivyo zinapelekwa . . .

Bungeni
  • Na JZ The Brand
  • February 14, 2022

Sakata la wabunge 19 wa Chadema laibuka tena

Spika wa Bunge, Dk Tulia Ackson amesema wabunge 19 wa Viti Maalum wa Chadema waliopo bungeni wapo kihalali.Hata hivyo amesema anasubiri m . . .

Uchumi | Biashara
  • Na JZ The Brand
  • February 14, 2022

Mamlaka Ya Serikali Mtandao Yatekeleza Agizo La Rais Samia

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Jenista Mhagama ameipongeza Mamlaka ya Serikali Matan . . .

Utalii
  • Na JZ The Brand
  • February 14, 2022

Watalii Bara Na Visiwani Waongezeka Kufikia 922,692

Bodi ya Utalii Tanzania Bara (TTB) na Kamisheni ya Utalii Zanzibar (ZCT) zimeendelea kufanyakazi kwa   pamoja katika eneo la U . . .

Kitaifa
  • Na JZ The Brand
  • February 14, 2022

WAZIRI WA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA WA UAE ATEMBELEA BANDA LA TANZANIA

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa wa Nchi ya Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) Mhe.Sheikh Abdullah bin Za . . .

Uwekezaji
  • Na JZ The Brand
  • February 14, 2022

RC PWANI AZINDUA ONE STOP CENTER

MKUU wa Mkoa wa Pwani Alhaji Abubakar Kunenge amezindua Kituo Cha uwezeshaji wa huduma za wawekezaji   kituo cha pamoja (One Stop . . .

Kurasa 192 ya 212

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho
  • Follow Us

  • Follow Us

  • Follow Us

  • Subscribe

Habari Category