Kiongozi wa utawala wa kijeshi nchini Burkina Faso ameahidi kurejesha usalama, utulivu na umoja katika nchi hiyo iliyomo katika mgogoro. . . .
Waziri wa Mambo ya kigeni wa Urusi Sergei Lavrov amesema leo kuwa Moscow haitaki vita na Ukraine, huku akionyesha matumaini kuhusu map . . .
Takriban wahamiaji sita wamekufa maji na wengine 30 hawajulikani walipo baada ya mashua waliyokuwa wamepanda kupinduka katika pwani ya T . . .
Kampuni ya Unicom ya China imekuwa kampuni kubwa ya hivi punde zaidi ya mawasiliano ya simu nchini China kupigwa marufuku kutoka Marekan . . .
Masanii Ambaye Anataaluma Ya Udaktari Kutoka Nchini Tanzania Amabye Pia Amewahi Kuingia Katika Vichwa Vya Habari Vingi Kuwa Katika Mahusiano . . .
Ubalozi wa Ufaransa nchini Kenya umeonya kuhusu tishio la shambulizi la kigaidi dhidi ya raia wa Magharibi wanaoishi nchini Kenya. Katik . . .
B Gway Ambaye Mwaka Jana Alifanya Vizuri Na Wimbo Wa Mwaka Huu Wimbo Ambao Pia Ulimvutia Msanii Wa Muziki Diamond Platnumz Kutokana Na Ubuni . . .
Mpaka baina ya Rwanda na Uganda ulifungwa mwaka 2019 kufuatia mzozo huo, na kukwamisha shuguli za kijamii na kibiashara baina ya mataifa hay . . .
Waziri wa habari,mwasiliano na teknolojia ya habari Nape Nnauye amemuagiza katibu mkuu wa wizara hiyo Dkt Jimmy Anazi kuhakikisha mameneja w . . .
Waziri wa habari,mwasiliano na teknolojia ya habari Nape Nnauye amemuagiza katibu mkuu wa wizara hiyo Dkt Jimmy Anazi kuhakikisha mameneja w . . .
Waziri wa Maendeleo . . .
Naibu Waziri wa Ardhi Ridhiwani Kikwete amefanya ziara Mkoani Arusha ambapo amempongeza Rais Samia katika siku yake ya kuzaliwa nakuzungum . . .
Application ya Nala iliyotengenezwa na Kijana Mtanzania Benjamin Fernandes imeweza kupata uwekezaji wa Bilioni 23.1 ($10 Million) kwa aj . . .
Kitendo cha Shule ya Wasichana ya St. Francis Mbeya kuendelea kuvunja rekodi ya kufaulisha na kushika namba 2 Tanzania nzima kwa matokeo ya . . .
Roketi iliyorushwa na kampuni ya uvumbuzi wa anga za juu ya bilionea Elon Musk inakaribia kugonga ndani ya mwezi na kulipuka. Chombo kina . . .
Mkazi wa Njedengwa mkoani Dodoma, Edward Lusito anayekadiriwa kuwa na zaidi ya umri kati ya miaka 80 hadi 90 amekutwa amejinyonga kwa ku . . .
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akikata keki kama ishara ya kusherehekea kumbukumbu ya siku yake ya kuzaliw . . .
Serikali ya Tanzania imezindua mradi wa maabara ya akili bandia (artificial intelligence) utakaosaidia kurahisisha shughuli za mae . . .
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka watanzania kushirikiana na kushikamana ili kuyapa thamani madini ya Tanzanite na kuifanya dunia nz . . .
Rais Uhuru Kenyatta anatarajiwa wiki hii kutia saini muswaada wa Marekebisho ya Vyama vya Kisiasa kuwa sheria baada ya bunge la Seneti . . .
Licha ya mlipuko wa virusi vya corona, watu matajiri barani Afrika wameongeza utajiri wao zaidi ya walivyokuwa miaka minane iliopita.Mab . . .
Wafuasi wa jeshi nchini Burkina Faso wameandamana katika mji mkuu jana Jumanne, siku moja baada ya maafisa jeshi kumkamata rais Roch Kabor . . .
Serikali imesema watu 3,147 walilazwa hospitalini kutokana na Uviko-19 kati ya Septemba 2021 mpaka Januari 23, 2022 a . . .
Mstaafu wa Jeshi la Polisi nchini, Omary Charema Msangi amejiua kwa kujinyonga bafuni kwake kwa kutumia waya wa pasi.Tukio la kujiny . . .
Polisi wameanzisha uchunguzi katika kisa ambacho mwanaume mmoja mwenye umri wa miaka 55, amefariki katika chumba cha hoteli nchini Kenya, ba . . .
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mary Masanja (Mb) amesema Hifadhi ya Taifa Mikumi ni miongoni mwa hifadhi iliyotengewa fedha za . . .
Frida Ismail mwanamke wa miaka 35 kutoka Dar es salaam Tanzania japo anatabasamu la kupendeza , nyuma ya tabasamu hilo amebeba majuto na mac . . .
Rais wa Marekani Joe Biden anasema ataangalia uwezekano wa vikwazo binafsi dhidi ya Vladimir Putin iwapo Urusi itaivamia Ukraine. Bw . . .
BBC inamtafuta nyota anayechipukia katika uandishi wa habari barani Afrika kwa ajili ya Tuzo ya BBC World News Komla Dumor, ambayo sasa . . .
Afisa wa Jeshi la Polisi Mkoani Mtwara, Mrakibu Msaidizi wa Polisi, Greyson Mahembe ambaye ni miongoni mwa maafisa saba wa jeshi hilo wa . . .
Lishe ya kufunga kwa kipindi fulani imewavutia watu mashuhuri na wakurugenzi wakuu kwa kusaidia kupoteza uzito na faida za kiafya.Ingawa . . .
Zaidi ya watu 1,000 wamekusanyika katika uwanja mkuu katika mji mkuu wa Burkina Faso, Ouagadougou, kusherehekea mapinduzi ya Jumatatu, h . . .
Abiria waliokuwa wakiabiri meli ya abiria walishangazwa baada ya meli hiyo kubadili mkondo wake kwa ghafla wikendi hiina kutia nanga kati . . .
Rais wa Uganda Yoweri Museveni amesema hataegemea upande wowote katika uchaguzi wa urais wa Kenya utakaofanyika Agosti 9, zinasema ripot . . .
Ni January 25, 2022 ambapo Mahakama imetoa uamuzi wa kesi iliyomkabili rapper Cardi B dhidi ya Mwanadada Tasha K. Mahakama hiyo imemkuta ha . . .
MSEMAJI na Mkuu wa Kitengo cha Habari, Uhusiano na Elimu kwa Umma wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Kamishna Msaidizi Mwandamizi (SACF) P . . .
Ni Mrembo mwenye umri wa miaka 19 Zara Rutherford ambae time hii ameweka rekodi baada kuzunguka na ndege duniani akiwa peke yake ndani ya mi . . .
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam linawashikilia Watu wawili wanaodaiwa kula njama na baadaye kumuua Mwanamke mmoja aliyejul . . .
“Dar es salaam mmeeonesha mfano wakati wa kupangana, nafahamu kuna Watu walikuwa wanasubiri vurugu zitokee Nchi iharibike lakini mmekuwa . . .