WAKALA wa Usajili wa Biahara na Leseni (BRELA) umesema katika kipindi cha siku tano za mwanzo ambazo wamekuwa wakitoa elimu kuhusu umuhi . . .
Mnamo tarehe 31/01/2022 majira ya saa 04:30 alfajiri huko Mtaa wa Hasanga uliopo Kata ya Uyole Tarafa ya Iyunga Jijini Mbeya, mtu mmoja . . .
Na Benny Mwaipaja, WFM, DodomaCITI BANK imeahidi kuisaidia Tanzania kupata mikopo yenye masharti nafuu kutoka katika Benki hiyo pamoja n . . .
Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji amekutana na balozi wa Misri nchini Tanzania Mhe. balozi Mohamed Gaber . . .
Soko la matunda na mbogamboga Mbuyuni lililopo wilayani Moshi mkoani Kilimanjaro limeteketea kwa moto usiku wa kuamkia leo feb mosi 2022 na . . .
Dr. Tulia Ackson amejiuzulu n . . .
Aliyewahi kushika taji la Miss USA Cheslie Kryst amefariki siku ya Jumapili akiwa na umri wa miaka 30 baada ya kuruka kutoka katika jen . . .
Kuna harakati kidogo kwenye mpaka wa Gatuna wa Rwanda na Uganda, ambao umefunguliwa tena baada ya karibu miaka mitatu ya kufungwa. Mpaka . . .
Gari la uchukuzi wa umma limekumbwa na shambulizi la bomu kaskazini mwa Kenya, karibu na mpaka wa Somalia.Waandishi wa habari wa eneo hilo . . .
Baraza la Sanaa la Taifa @basata.tanzania limetoa siku tatu kwa wadau wa muziki nchini kutoa maoni yao juu ya vipengelee (Categories) v . . .
Kupitia ukurasa wake wa Twitter Alikiba ameandika kuwa: “20 years in the game, jana nimepata mrabaha wa kwanza, imechukua muda lakini . . .
Mkewe kiongozi wa chama cha ODM Raila Odinga, Ida Odinga, ameomba radhi kwa matamshi aliyotoa kuhusu kudhibitiwa kwa makanisa nchini. Re . . .
Mwanadada mkali wa muziki wa dancehall kutoka nchini Jamaica ambaye amefanikiwa kwa asilimia kubwa kuliteka soko la muziki nchini marekani s . . .
Nasma Ambaye Ni Mrembo Aliyefanikiwa Kupendezesha Video Mpya Ya Wimbo Wa Utu Wake Alikiba Kutoka Katika Album Yake Wimbo Ambao Umekuwa Na Ma . . .
. . .
Naibu Waziri wa Madini, Dkt. Steven Kiruswa ameiagiza Tume ya Madini kutafuta Masoko ya wanunuzi wakubwa wa madini ya Vito ndani na  . . .
WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, amelitaka Shirikika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi (UNHCR) nchini . . .
WAKATI ratiba ya mgao wa umeme katika baadhi ya maeneo nchini wa siku kumi ikiwa haijatoka, wananchi, wakiwamo wafanyabiashara wadogo na . . .
KAMATI ya Wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) leo inakutana jijini Dodoma kuridhia, Dk Tulia Ackson agombee uspika wa Bunge la Tanzania . . .
Takriban magaidi 60 wameuwawa nchini Burkina Faso na vikosi vya ndani vikisaidiwa na vile vya Ufaransa vilivyo pelekwa nchini humo kwa m . . .
Waziri Nape ameyasema hayo leo januari 31 alipotembelea ofisi za kampuni ya Multichoice Tanzania DStv ikiwa ni sehemu ya ziara zake kwa . . .
Mahakama ya kijeshi nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imewahukumu adhabu ya kifo watuhumiwa 51 waliokabiliwa na kesi ya mauaji ya . . .
BABY mama wa staa wa Bongo Fleva, Raymond Mwakyusa almaarufu Rayvanny ambaye ni Fahyma, anasema kuwa, kama wameachana rapa wa Marekani, Ka . . .
Bodi ya utalii Tanzania (TTB) imeapokea maandamano ya Wanachama wa Umoja wa Vijana –UVCCM Tanzania Kata ya Saranga iliyopo katik . . .
Waziri Ummy ametoa kauli hiyo jijini Tanga mara baada ya kutembelea kituo cha afya cha Makorora na kujionea hali ya utoaji huduma.“Naomb . . .
LEO Januari 29 Yanga itakuwa kwenye kazi ya kusaka ushindi mbele ya Mbao FC ambayo nayo pia inaska ushindi kwenye mchezo wa Kombe la S . . .
Jengo la Shirika la Umeme nchini (TANESCO)**SHIRIKA la Umeme nchini (Tanesco) limetangaza rasmi kuanza mgao wa umeme wa siku 12 nchi nzima k . . .
SHEHENA: Shehena ya mbolea ikiwa katika moja ya maghala yaliyopo mkoani Mbeya tayari kwa matumizi wakati wa msimu wa kilimo.Mkaguzi wa mbole . . .
Waziri wa Madini, Dkt. Doto Biteko amefanya mazungumzo na ujumbe wa viongozi kutoka mgodi wa Nyanzaga (Nyanzaga Mining Company Limited . . .
Msanii Skales kutoka Nigeria ambaye tangu aingie kwenye tasnia Huu ni mwaka wake wa 12 , Skales ameongeza thamani kutoka kuwa Msanii Mdogo . . .
Rais Yoweri Museveni wa Uganda amepinga uamuzi wa Askofu wa kanisa la Uganda la kuwazuia wasichana wajawazito kurudi shuleni baada ya shul . . .
Paka huyu anaitwa Fergus aliyetoweka nyumbani zaidi ya miaka 11 iliyopita kaskazini-mashariki mwa Scotland, ameunganishwa tena na wamil . . .
Xiomara Castro Alhamisi ameapishwa kama rais wa kwanza mwanamke wa Honduras, kwenye hafla iliyohudhuriwa na maelfu ya watu waliokuwa w . . .
Denmark imesema Alhamisi kwamba itaanza kuondoa vikosi vyake nchini Mali baada ya utawala wa kijeshi uliofanya mapinduzi nchini humo map . . .
Wakuu wa mikoa nchini wamepewa siku 14 kupeleka taarifa za halmashauri zao ambazo zimeshindwa kufikia malengo katika makusanyo ya . . .
Katibu Mkuu wa Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara Prof. Godius Kahyarara amesema Tanzania itaendelea kushirikiana na Sekretarieti . . .
Katavi. Mwanafunzi mmoja amefariki dunia na wengine 16 wamejeruhiwa baada ya kupigwa radi katika shule ya msingi ya Sokoine iliyopo kata . . .
Watu wawili wamefariki dunia papohapo na wengine nane kujeruhiwa katika ajali iliyosababishwa na lori lililowafuata abiria katika . . .
Idadi ya watu waliokufa kutokana na dhoruba kali iliyopiga kwenye nchi tatu za kusini mwa Afrika imeongezeka. Hadi kufikia leo jumla ya . . .
Kiongozi wa utawala wa kijeshi nchini Burkina Faso ameahidi kurejesha usalama, utulivu na umoja katika nchi hiyo iliyomo katika mgogoro. . . .