logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Pata Habari Zote Hapa

  • Habari na Matukio Yote Ndani ya Nchi Na Duniani Kote
Top Story
  • Na Suzuki
  • December 13, 2021

MOTO WA JPM HAUTAZIMIKA.

"Leo tunashiriki kama wabia kwenye uchimbaji wa rasilimali zetu muhimu na adhimu (mkadini) kwa ajili ya kuliletea maendeleo Taifa letu. Tuna . . .

Top Story
  • Na Suzuki
  • December 13, 2021

Msigwa asema kilichotokea nyumbani kwa Polepole hakikubaliki.

Anaandika Peter Msigwa baada ya Humphrey Polepole kuvamiwa na wasiojulikana nyumbani kwake Dodoma, "Kilichotokea nyumbani kwa polepole . . .

Afrika
  • Na Suzuki
  • December 13, 2021

RAIS RAMAPHOSA AKUTWA NA MAAMBUKIZI YA UVIKO19

Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa amepimwa na kukutwa na maambukizi ya COVID-19, anaendelea na matibabu huku majukumu akiyaacha kwa Nai . . .

Top Story
  • Na Suzuki
  • December 13, 2021

hafla ya Utiaji saini Mikataba baina ya Serikali na Kampuni za uchimbaji Madini.

Kwaya ya Chuo cha Utumishi wa Umma, ikitumbuiza katika hafla ya Utiaji saini Mikataba baina ya Serikali na Kampuni za uchimbaji Madini.Mgeni . . .

Top Story
  • Na Suzuki
  • December 12, 2021

Samia ashangazwa na askari aliyesifia gongo

Rais Samia Suluhu Hassan ameshangazwa na kitendo cha askari polisi aliyevalia sare ya jeshi hilo akiisifu gongo.Akizungumza leo wakati wa uf . . .

SOKA
  • Na Suzuki
  • December 11, 2021

ETO'O RAIS MPYA WA SOKA CAMEROON

Mshambuliaji wa zamani wa Barcelona, Inter Milan na Real Madrid, Samuel Eto'o amechaguliwa kuwa Rais wa Shirikisho la Soka la Cameroon (FECA . . .

NBC Tanzania Premier League 2021/2022
  • Na Suzuki
  • December 11, 2021

TFF YASIKITISHWA NA VURUGU ZA BAADHI YA VIONGOZI WA SIMBA KABLA YA MCHEZO.

Shirikisho la Soka nchini TFF  limesikitishwa vitendo vya vurugu vilivyofanywa na baadhi ya viongozi wa Klabu ya Simba kabla ya mchezo . . .

NBC Tanzania Premier League 2021/2022
  • Na Suzuki
  • December 11, 2021

SIMBA NA YANGA MZANI SAWA.

Klabu za Simba na Yanga zimeshindwa kutambiana baada ya kutoka sare ya 0-0 katika mchezo wa Ligi ya NBCYanga inaendelea kukaa kileleni mwa L . . .

Top Story
  • Na Jacobmlaytz
  • December 11, 2021

WATANI NGOMA NZITO KWA MKAPA

Dakika 45 za kipindi Cha kwanza za mchezo wa watani wa Jadi Simba dhidi ya Yanga zimemalizika Uwanja wa Mkapa kwa timu hizo kutokufungana (0 . . .

Afrika
  • Na Gsengo
  • December 11, 2021

Magaidi washambulia Msikiti na kuua Waislamu 16 waliokuwa wakisali nchini Nigeria

Watu wenye silaha wamevamia kijiji kimoja cha kaskazini mwa Nigeria na kuua Waislamu 16 waliokuwa wanasali ndani ya Msikiti na kuteka nyara . . .

Top Story
  • Na Jembefmtz
  • December 11, 2021

TEUZI LEO 11.12.2021

Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Balozi Ali Idd Siwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF).Kwa . . .

Top Story
  • Na Jembefmtz
  • December 11, 2021

Wanajeshi wa Burkina Faso na Niger waua wapiganaji 100

Serikali za Burkina Faso na Niger zimetoa taarifa ya pamoja inayosema kwamba majeshi yake yameua wapiganaji wa kiislamu 100 katika opareshen . . .

Michezo
  • Na Jembefmtz
  • December 11, 2021

Tetesi za Soka Ulaya Jumamosi 11.12.2021

Real Madrid wanafuatilia hali ya Cristiano Ronaldo katika klabu ya Manchester United. Klabu hiyo ya La Liga inaamini kuwa mkataba wa mshambu . . .

Top Story
  • Na Jembefmtz
  • December 11, 2021

Koffi Olomide, Tiwa Savage watikisa na 'Chief'

Mtunzi na mwimbaji nyota wa miondoko ya Soukous, Koffi Olomide ameachia kibao anachokiita jina la "Chief", akimshirikisha malkia wa Afrobeat . . .

NBC Tanzania Premier League 2021/2022
  • Na Jembefmtz
  • December 11, 2021

Mugalu Yanga freshi, Lwanga bado

KATIKA mechi ya dabi leo mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara Simba, watamkosa kiungo wao mkabaji, Taddeo Lwanga kutokana na majeraha ya goti . . .

Michezo
  • Na Jembefmtz
  • December 11, 2021

Barbara azungumzia hali ya Morrison, Mkude

OFISA mtendaji mkuu wa Simba, Barbara Gonzalez amewaita mashabiki wa timu hiyo katika Uwanja wa Benjamin Mkapa na wanatakiwa kujitokeza kwa . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • December 10, 2021

PAKISTAN IMEWAACHIA HURU WAFUNGWA 100 WA TALIBAN

Mamlaka Nchini Pakistan Imewaachia Huru Takriban Wafungwa 100 Wa Kundi La Taliban Nchini Humo Linalojulikana Kama Tehreek-e-taliban Paksitan . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • December 10, 2021

TANZANIA NA KENYA IMEONDOA VIKWAZO VYA KIBIASHARA

Tanzania Na Kenya Imeondoa Vikwazo Vya Kibiashara 46 Kati Ya 64,Hayo Yameelezwa Na Rais Wa Jamuhuri Ya Muungano Wa Tanzania Samia Suluhu Has . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • December 10, 2021

JAMII IMETAKIWA KUKEMEA UKATILI WA KIJINSIA

Jamii Imetakiwa Kuendelea Kukemea Ukatili Wa Kijinsia Unaojitokeza Ili Kukuza Kizazi Chenye Usawa Wadau Wa Kupinga Ukatili  Wameel . . .

Top Story
  • Na Suzuki
  • December 10, 2021

Jeshi la Polisi Tanzania lateketeza silaha haramu 5, 230

Jeshi la Polisi Tanzania limeteketeza silaha 5,230 haramu zilizokamatwa katika kipindi cha miaka miaka minne kuanzia mwaka 2018 hadi Oktoba . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • December 10, 2021

MAWAKILI WAZINGATIE MAADILI

Jaji Mkuu Wa Tanzania, Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma Amewakumbusha Mawakili Kuzingatia Maadili Na Viwango Katika Nyakati Hizi Za Utandawazi . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • December 10, 2021

VYEMA KUTAMBUA MSINGI WA TAIFA HILI

Mkuu Wa Mkoa Wa Simiyu David Kafulila Amewataka Wananchi Kutambua Msingi Mkubwa Wa Taifa Hili  Ni Katika Kuzingatia Utu Na Usawa Ameele . . .

Top Story
  • Na Suzuki
  • December 10, 2021

FARU WA TANZANIA SASA RUKSA KUOA KENYA.

Wakati Tanzania ikiipatia Kenya ndege aina ya Korongo 20 kama zawadi ya Kristimas, Kenya imekubali Faru wa Tanzania waoe Kenya.Ndege 20 wali . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • December 10, 2021

JAMII IMEASWA KUWALINDA WATOTO DHIDI YA UKATILI

Jamii Imeaswa Kuwa Mstari Wa Mbele Katika Kupiga Vita Ikiwemo Kuwalinda Watoto Wenye Mahitaji Maalum Dhidi Ya Vitendo Vya Ukatili Ili Waweze . . .

Top Story
  • Na Suzuki
  • December 10, 2021

Mhe. Samia Suluhu Hassan, na mgeni wake Mhe. Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya Ikulu Jijini Dar es Salaam leo .

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, na mgeni wake Mhe. Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya wakiwa katika picha yenye . . .

NBC Tanzania Premier League 2021/2022
  • Na Suzuki
  • December 10, 2021

SIMBA WAGOMEA KIKAO NA WAANDISHI WA HABARI.

UONGOZI wa klabu ya Simba kupitia kwa kitengo cha habari kinachoongozwa na Ally Shantri ‘Chico’ wamegoma kufanya kikao cha kocha na waan . . .

Afrika
  • Na Jembefmtz
  • December 10, 2021

Wavuvi, wakulima na wafugaji wazozana - Cameroon

Mapambano kati ya wakulima, wafungaji na wavuvi kutokana na uhaba wa maji kwenye mpaka wa kaskazini mwa Cameroon karibu na Chad yanasemekana . . .

NBC Tanzania Premier League 2021/2022
  • Na Jacobmlaytz
  • December 10, 2021

TAKWIMU ZA SIMBA YANGA HIZI HAPA

Kesho Jumamosi nchi itasimama kwa muda kupisha mechi ya watani wa Jadi Simba wakiwakaribisha Yanga Uwanja wa Taifa Kwa Mkapa jioni majira ya . . .

Michezo
  • Na Jacobmlaytz
  • December 10, 2021

NI SIMBA AU YANGA KESHO??

Ebhanaaa eeeeeee hawa hapa tena December to remember!!!Jumamosi hii 11/12/2021 mechi ya mwisho ya watani wa jadi Simba vs Yanga kwa mwaka hu . . .

Jembe Maktaba
  • Na Jembefmtz
  • December 10, 2021

Kabla ya Tanzania, kabla ya Tanganyika

Katika kitabu chake mashuhuri cha Sapiens, mwanahistoria Yuval Noah Harari, anaeleza kuhusu kwanini binadamu amepiga hatua kubwa kimaend . . .

Top Story
  • Na Jembefmtz
  • December 9, 2021

Tigo Yataka Washiriki Kili Marathon Wajisajili Kwa Wingi

Kampuni ya Tigo ambayo inadhamini mbio za km 21 za Kilimanjaro Marathon imetoa wito kwa washiriki wa mbio hizo waendelee kujisajili kwa wing . . .

Top Story
  • Na Suzuki
  • December 9, 2021

Pato kwa Mtu kwa Mwaka 1961 lilikuwa Tsh .776

"Wastani wa Pato kwa Mtu kwa Mwaka 1961 lilikuwa Tsh .776 na kwa mwaka jana 2020 ni Tsh milioni 2.6 jambo hili linaongeza hadhi yetu machoni . . .

SOKA ULAYA
  • Na Suzuki
  • December 9, 2021

BARCELONA YATUPWA NJE UEFA.

Barcelona wanamaliza nafasi ya tatu kwenye Kundi lake na watakwenda kucheza Europa league.Mara ya mwisho Barcelona kushindwa kucheza hatua y . . .

SOKA ULAYA
  • Na Suzuki
  • December 9, 2021

TIMU ZILIZOFANIKIWA KUFUZU KWENDA HATUA YA 16 BORA MASHINDANO YA UEFA CHAMPIONS LEAGUE.

Nafasi moja itaamuliwa na mchezo kati ya Atalanta na Villareal ulioahirishwa kutokana na hali ya hewa.Timuzilizopo upande wa kushoto ndio VI . . .

Kitaifa
  • Na Suzuki
  • December 8, 2021

HAKUNA PESA YA NYONGEZA UJENZI WA JNHPP.

Waziri wa Nishati, Januari Makamba amesema mradi wa ujenzi wa bwawa la kufua umeme wa Julius Nyerere ( JNHPP ) utakamilika bila ongezeko la . . .

NBC Tanzania Premier League 2021/2022
  • Na Suzuki
  • December 8, 2021

Ni mwendo wa tambo na vijembe kuelekea Derby ya Kariakoo.

Ikiwa ni Siku tatu za tambo na vijembe kuelekea kwenye mchezo wa Kariakoo Derby, Simba na Yanga Disemba 11, 2021 kwenye dimba la Benjamin Mk . . .

Top Story
  • Na Suzuki
  • December 8, 2021

JOKATE AWAMWAGIA SIFA WAWEKEZAJI.

Mkuu wa Wilaya ya Temeke (DC), Jokate Mwegelo amesema anafurahishwa na namna ambavyo wawekezaji wanaonyesha imani na Serikali na kuzidi kuta . . .

Top Story
  • Na Suzuki
  • December 8, 2021

RAIS KENYATTA KUWA MGENI RASMI SHEREHE ZA UHURU.

Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta anatarajiwa kuanza ziara rasmi ya siku mbili nchini Tanzania kuanzia kesho, Desemba 9 ambapo atakuwa mgeni ras . . .

Kitaifa
  • Na Suzuki
  • December 8, 2021

SAMIA KUHUTUBIA TAIFA LEO.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe, Samia Suluhu Hassan, leo Jumatano  Desemba 8, 2021 saa 3:00 usiku, atalihutubia taifa . . .

Jamii
  • Na Suzuki
  • December 8, 2021

AJIUA BAADA YA MCHEPUKO WAKE KUULIWA NA MUMEWE WAKATI WA FUMANIZI.

Watu wawili wamefariki akiwemo kijana aliyeuawa kwa kukatwa na panga baada ya kufumaniwa na mke wa mtu kilimanjaro. Kamanda wa Polisi Mkoa w . . .

Kurasa 204 ya 212

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho
  • Follow Us

  • Follow Us

  • Follow Us

  • Subscribe

Habari Category