UEFA imesema droo hiyo itachezeshwa upya baada ya matatizo ya kiufundi kutokea katika droo iliyochezeshwa awaliMatatizo hayo yalipelekea Man . . .
"Leo tunashiriki kama wabia kwenye uchimbaji wa rasilimali zetu muhimu na adhimu (mkadini) kwa ajili ya kuliletea maendeleo Taifa letu. Tuna . . .
Anaandika Peter Msigwa baada ya Humphrey Polepole kuvamiwa na wasiojulikana nyumbani kwake Dodoma, "Kilichotokea nyumbani kwa polepole . . .
Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa amepimwa na kukutwa na maambukizi ya COVID-19, anaendelea na matibabu huku majukumu akiyaacha kwa Nai . . .
Kwaya ya Chuo cha Utumishi wa Umma, ikitumbuiza katika hafla ya Utiaji saini Mikataba baina ya Serikali na Kampuni za uchimbaji Madini.Mgeni . . .
Rais Samia Suluhu Hassan ameshangazwa na kitendo cha askari polisi aliyevalia sare ya jeshi hilo akiisifu gongo.Akizungumza leo wakati wa uf . . .
Mshambuliaji wa zamani wa Barcelona, Inter Milan na Real Madrid, Samuel Eto'o amechaguliwa kuwa Rais wa Shirikisho la Soka la Cameroon (FECA . . .
Shirikisho la Soka nchini TFF limesikitishwa vitendo vya vurugu vilivyofanywa na baadhi ya viongozi wa Klabu ya Simba kabla ya mchezo . . .
Klabu za Simba na Yanga zimeshindwa kutambiana baada ya kutoka sare ya 0-0 katika mchezo wa Ligi ya NBCYanga inaendelea kukaa kileleni mwa L . . .
Dakika 45 za kipindi Cha kwanza za mchezo wa watani wa Jadi Simba dhidi ya Yanga zimemalizika Uwanja wa Mkapa kwa timu hizo kutokufungana (0 . . .
Watu wenye silaha wamevamia kijiji kimoja cha kaskazini mwa Nigeria na kuua Waislamu 16 waliokuwa wanasali ndani ya Msikiti na kuteka nyara . . .
Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Balozi Ali Idd Siwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF).Kwa . . .
Serikali za Burkina Faso na Niger zimetoa taarifa ya pamoja inayosema kwamba majeshi yake yameua wapiganaji wa kiislamu 100 katika opareshen . . .
Real Madrid wanafuatilia hali ya Cristiano Ronaldo katika klabu ya Manchester United. Klabu hiyo ya La Liga inaamini kuwa mkataba wa mshambu . . .
Mtunzi na mwimbaji nyota wa miondoko ya Soukous, Koffi Olomide ameachia kibao anachokiita jina la "Chief", akimshirikisha malkia wa Afrobeat . . .
KATIKA mechi ya dabi leo mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara Simba, watamkosa kiungo wao mkabaji, Taddeo Lwanga kutokana na majeraha ya goti . . .
OFISA mtendaji mkuu wa Simba, Barbara Gonzalez amewaita mashabiki wa timu hiyo katika Uwanja wa Benjamin Mkapa na wanatakiwa kujitokeza kwa . . .
Mamlaka Nchini Pakistan Imewaachia Huru Takriban Wafungwa 100 Wa Kundi La Taliban Nchini Humo Linalojulikana Kama Tehreek-e-taliban Paksitan . . .
Tanzania Na Kenya Imeondoa Vikwazo Vya Kibiashara 46 Kati Ya 64,Hayo Yameelezwa Na Rais Wa Jamuhuri Ya Muungano Wa Tanzania Samia Suluhu Has . . .
Jamii Imetakiwa Kuendelea Kukemea Ukatili Wa Kijinsia Unaojitokeza Ili Kukuza Kizazi Chenye Usawa Wadau Wa Kupinga Ukatili Wameel . . .
Jeshi la Polisi Tanzania limeteketeza silaha 5,230 haramu zilizokamatwa katika kipindi cha miaka miaka minne kuanzia mwaka 2018 hadi Oktoba . . .
Jaji Mkuu Wa Tanzania, Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma Amewakumbusha Mawakili Kuzingatia Maadili Na Viwango Katika Nyakati Hizi Za Utandawazi . . .
Mkuu Wa Mkoa Wa Simiyu David Kafulila Amewataka Wananchi Kutambua Msingi Mkubwa Wa Taifa Hili Ni Katika Kuzingatia Utu Na Usawa Ameele . . .
Wakati Tanzania ikiipatia Kenya ndege aina ya Korongo 20 kama zawadi ya Kristimas, Kenya imekubali Faru wa Tanzania waoe Kenya.Ndege 20 wali . . .
Jamii Imeaswa Kuwa Mstari Wa Mbele Katika Kupiga Vita Ikiwemo Kuwalinda Watoto Wenye Mahitaji Maalum Dhidi Ya Vitendo Vya Ukatili Ili Waweze . . .
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, na mgeni wake Mhe. Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya wakiwa katika picha yenye . . .
UONGOZI wa klabu ya Simba kupitia kwa kitengo cha habari kinachoongozwa na Ally Shantri ‘Chico’ wamegoma kufanya kikao cha kocha na waan . . .
Mapambano kati ya wakulima, wafungaji na wavuvi kutokana na uhaba wa maji kwenye mpaka wa kaskazini mwa Cameroon karibu na Chad yanasemekana . . .
Kesho Jumamosi nchi itasimama kwa muda kupisha mechi ya watani wa Jadi Simba wakiwakaribisha Yanga Uwanja wa Taifa Kwa Mkapa jioni majira ya . . .
Ebhanaaa eeeeeee hawa hapa tena December to remember!!!Jumamosi hii 11/12/2021 mechi ya mwisho ya watani wa jadi Simba vs Yanga kwa mwaka hu . . .
Katika kitabu chake mashuhuri cha Sapiens, mwanahistoria Yuval Noah Harari, anaeleza kuhusu kwanini binadamu amepiga hatua kubwa kimaend . . .
Kampuni ya Tigo ambayo inadhamini mbio za km 21 za Kilimanjaro Marathon imetoa wito kwa washiriki wa mbio hizo waendelee kujisajili kwa wing . . .
"Wastani wa Pato kwa Mtu kwa Mwaka 1961 lilikuwa Tsh .776 na kwa mwaka jana 2020 ni Tsh milioni 2.6 jambo hili linaongeza hadhi yetu machoni . . .
Barcelona wanamaliza nafasi ya tatu kwenye Kundi lake na watakwenda kucheza Europa league.Mara ya mwisho Barcelona kushindwa kucheza hatua y . . .
Nafasi moja itaamuliwa na mchezo kati ya Atalanta na Villareal ulioahirishwa kutokana na hali ya hewa.Timuzilizopo upande wa kushoto ndio VI . . .
Waziri wa Nishati, Januari Makamba amesema mradi wa ujenzi wa bwawa la kufua umeme wa Julius Nyerere ( JNHPP ) utakamilika bila ongezeko la . . .
Ikiwa ni Siku tatu za tambo na vijembe kuelekea kwenye mchezo wa Kariakoo Derby, Simba na Yanga Disemba 11, 2021 kwenye dimba la Benjamin Mk . . .
Mkuu wa Wilaya ya Temeke (DC), Jokate Mwegelo amesema anafurahishwa na namna ambavyo wawekezaji wanaonyesha imani na Serikali na kuzidi kuta . . .
Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta anatarajiwa kuanza ziara rasmi ya siku mbili nchini Tanzania kuanzia kesho, Desemba 9 ambapo atakuwa mgeni ras . . .
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe, Samia Suluhu Hassan, leo Jumatano Desemba 8, 2021 saa 3:00 usiku, atalihutubia taifa . . .