Tanzania na Japan zimesaini Hati ya Makubaliano ya ushirikiano (MoU) katika uendelezaji wa rasilimali watu katika sekta ya ujenzi. Wazi . . .
SERIKALI ya Pakistan imeamuru kufungwa kwa biashara, shule na ofisi za umma mjini Karachi baada ya mvua kubwa kusababisha vifo vya watu 10.T . . .
Moto umezuka na kuteketeza nyumba yenye vyumba tisa ambayo anaishi mmoja kati ya wachungaji wa iliyotokea usiku wa Agosti 20 mwaka huu hakun . . .
Watu 79 wakiwemo watoto 19, wamefariki dunia baada kutokea ajali ya basi katika Jimbo la Herat kaskazini magharibi mwa Afghanistan iki . . .
JESHI la Polisi Mkoa wa Mbeya linawashikilia watu tisa kwa tuhuma za utapeli na kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu kupitia mitandao ya . . .
Watoto watatu wa familia tatu, wawili wakiwa wa kitongoji kimoja wamefariki kwa kukosa hewa baada ya kujifungia kwenye hema ambalo ndani y . . .
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Nyasa, Joseph Mbilinyi (Sugu), ametaka Mwenyekiti wa Chama hicho Taifa Tu . . .
UBWABWA kwa wote, kilimo kwanza na nishati safi ndiyo baadhi ya ahadi zinazobeba ilani ya Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) kuelekea Ucha . . .
Mkuu wa Wilaya ya Songwe Mh. Fadhili Nkurlu na Mwenyekiti wa Baraza la Biashara,Viwanda na kilimo Tanzania Wilaya ya Songwe ameongoza Mkutan . . .
Kikosi cha wachezaji pamoja na viongozi wa timu ya Taifa ya soka ya Morocco, inayofahamika kama 'Simba wa Milima ya Atlas', kimewasili Dar e . . .
SERIKALI chini ya Wakala wa Nishati Vijijini (REA) imepeleka Mkoani Lindi Mradi wa Umeme Jua wenye thamani ya Sh milioni 801.74 katika visiw . . .
Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limetangaza kuwa mchezo wa Ngao ya Jamii kufungua msimu mpya wa Ligi Kuu Bara 2025/26 utapigwa Septemba 16 . . .
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi ameondoka Zanzibar na kuwas . . .
Mganga Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Dkt. Charles Mkombachepa amesema zaidi ya wananchi 10,000 watapatiwa bure miwani za macho wakati wa Tamasha l . . .
Kuelekea mkutano baina yao ndani ya siku chache zijazo kufuatia mazungumzo baina ya viongozi hao na rais wa Marekani, Donald Trump na wale k . . .
Kiongozi wa Upinzani wa chama cha NUP nchini Uganda, Robert Kyagulanyi Ssentamu, almaarufu Bobi Wine, amethibitisha nia yake ya kuwania urai . . .
Agosti 18 mwaka huu Mamlaka ya Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Amana ilimshikilia anayedaiwa kuwa 'daktari feki', akifahamika kwa jina la Mussa, . . .
Bodi ya Usajili wa Wataalam wa Mipango Miji (TPRB) imewataka wataalam wa mipangomiji na kampuni za upangaji miji nchini wenye sifa lakini ha . . .
Mahakama ya Wilaya ya Pangani mkoani Tanga imemhukumu kifungo cha miaka 20 jela, Idd Shelugwaza (26) ambaye ni mkulima na mkazi wa Kij . . .
Kundi D kweye mashindano ya CHAN ambalo linajumuisha nchi za Kongo Brazaville, Sudan kasikazini, Nigeria pamoja na Senegal limekuwa kundi gu . . .
Mashindano ya The Angeline Cup yamezinduliwa rasmi kwa msimu huu katika Jimbo la Ilemela, mkoani Mwanza, yakibeba kauli mbiu isemayo “Shir . . .
Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) imetangaza ratiba ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu kumchagua Rais wa Zanzibar, Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi . . .
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika amesema Chama hicho hakijaridhishwa na maamuzi yaliyotolewa na Mahak . . .
Mkuu wa Wilaya ya Ilemela, Amir Mkalipa, amewaasa waumini wa dini ya Kiislamu pamoja na jamii kwa ujumla kuhakikisha wanawapeleka watoto shu . . .
MAMLAKA ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA),imesema kuwa kupitia mifumo ya ukaguzi na ufuatiliaji wa bidhaa katika soko iliyowekwa imebaini u . . .
MKAZI wa Kijiji cha Magugu, John Claude (24), maarufu 'mdogoo" amefikishwa Mahakama ya Wilaya ya Babati, mkoani Manyara, akikabiliwa na mash . . .
JE, wewe hufua taulo yako baada ya kuitumia mara ngapi?Iwapo wewe huoga mara moja kwa siku, basi siku ifuatayo unapaswa kufua taulo yako.N . . .
Watu walikimbia ovyo huku wakipiga mayowe na wengine wakipoteza fahamu baada ya harusi iliyokuwa imepangwa kwa miezi kadhaa kuvurugika ghafl . . .
WAPENZI wa Kiswahili nchini na kanda nzima ya Afrika Mashariki wanaomboleza kifo cha msomi na mwandishi Profesa John Hamu Habwe ambaye alifa . . .
WAPENZI wa Kiswahili nchini na kanda nzima ya Afrika Mashariki wanaomboleza kifo cha msomi na mwandishi Profesa John Hamu Habwe ambaye alifa . . .
IDADI ya vifo imefikia karibu watu 300 kufuatia mafuriko makubwa yaliyosababisha kuporomoka kwa majengo katika Wilaya ya Buner, K . . .
RAIS wa Syria, Ahmed al-Sharaa, amesema juhudi za kuunganisha taifa hilo baada ya vita vya wenyewe kwa wenyewe hazipaswi kufanyik . . .
Jeshi la Polisi Mkoa wa Geita linawashikilia askari wanne wa Hifadhi ya Kigosi iliyoko Wilaya ya Bukombe kwa tuhuma za mauaji ya kijana Hezr . . .
Idara ya huduma za uokoaji zinajaribu kutafuta zaidi ya watu 40 ambao hawajulikani waliko baada ya ajali ya boti kaskazini magharibi mwa Nig . . .
Wagombea wa nafasi za Rais, Wabunge na Madiwani katika Uchaguzi Mkuu wa 2025 wametakiwa kuzingatia masharti ya Sheria ya Uchaguzi, ikiwemo k . . .
Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu inatarajiwa kusikilizwa leo katika Мahakama уа Hakimu Mkazi Kisutu, huku i . . .
Msajili wa Vyama vya Siasa nchini Jaji Francis Mutungi, amewataka viongozi wa kitaifa wa vyama vya siasa kutumia nafasi ya mafunzo ya Sheria . . .
Chama cha Mapinduzi (CCM) leo kinatarajia kushuhudia tukio kubwa la kisiasa baada ya msemaji maarufu wa michezo na kada wa chama hicho, @haj . . .
TANZANIA imepongezwa kwa utendaji mzuri wa kushughulikia changamoto za kiusalama katika Kanda ya Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusi . . .
Urusi ilirusha makombora na ndege 85 zisizo na rubani nchini Ukraine usiku wa kuamkia leo kulingana na taarifa ya Kyiv.Taarifa ya Kyiv . . .