logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Pata Habari Zote Hapa

  • Habari na Matukio Yote Ndani ya Nchi Na Duniani Kote
Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • August 27, 2025

Urusi imeahidi kujenga kituo cha umeme wa nyuklia

SERIKALI ya Urusi imeahidi kujenga kituo cha umeme wa nyuklia nchini Niger, taifa linaloongoza kwa urani barani Afrika lakini likitegemea um . . .

Uwekezaji
  • Na Jembe Digital
  • August 27, 2025

Watendaji Tume Madini wahimizwa kuimarisha usalama migodini

KATIBU Mkuu wa Wizara ya Madini, Mhandisi Yahya Samamba amewataka watendaji wa Tume ya Madini kuimarisha usalama kwenye migodi ya madin . . .

AFYA
  • Na Jembe Digital
  • August 27, 2025

Mapafu ya nguruwe yatumika kupandikizwa binadamu

MADAKTARI Bingwa nchini China wamefanikiwa kupandikiza mapafu kutoka kwa nguruwe kwenda kwa binadamu. Kwa mujibu wa Taasisi ya Utafiti wa Ma . . .

siasa
  • Na Jembe Digital
  • August 27, 2025

Namna Wagombea wanavyopishana fomu za ubunge

WAGOMBEA ubunge katika majimbo mbalimbali wamechukua fomu za kuomba uteuzi kugombea nafasi hiyo.Mgombea ubunge wa Jimbo la Bukombe, Dk Doto . . .

Siasa
  • Na Jembe Digital
  • August 27, 2025

Kura yako ni nyenzo muhimu katika kulijenga taifa bora

KUELEKEA     KATIKA KIPINDI CHA UCHAGUZI KURA ni nyenzo muhimu zaidi ya mwananchi katika kuimarisha na kuwezesha demokrasia imara. . . .

Siasa
  • Na Jembe Digital
  • August 27, 2025

Ijue dhamana ya vyombo vya habari wakati wa uchaguzi

KATIKA uchaguzi wowote duniani, vyombo vya habari vina dhima na mchango mkubwa wa kuhakikisha wananchi wanapata taarifa sahihi zinazohusu uc . . .

Siasa
  • Na Jembe Digital
  • August 27, 2025

Mpina aenguliwa kugombea urais

OFISI ya Msajili mkuu  wa Vyama vya Siasa imetengua uteuzi wa Luhaga Mpina kugombea urais kupitia Chama cha ACT Wazalendo katika Uchagu . . .

Siasa
  • Na Jembe Digital
  • August 27, 2025

Wagombea wahimizwa kuzingatia ratiba za kampeni

 JESHI la Polisi nchini limetoa wito kwa wagombea wa nafasi mbalimbali katika uchaguzi mkuu kuzingatia muda na ratiba ya kampeni waliyo . . .

Siasa
  • Na Jembe Digital
  • August 27, 2025

INEC yawateuwa Samia, Nchimbi kugombea nafasi ya urais kupitia chama cha CCM

Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imewateua Rais Samia Suluhu Hassan na mgombea mwenza wake, Dk Emmanuel Nchimbi, kugombea nafasi ya ura . . .

Siasa
  • Na Jembe Digital
  • August 27, 2025

INEC yatoa ratiba ya kampeni za vyama vya siasa

Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) Ndugu Kailima R.K, amefunga kikao cha siku mbili cha Tume na Vyama vya Siasa . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • August 26, 2025

WANANCHI WA NYAKATO MWANZA WAISHUKURU SERIKALI KWA UJENZI WA JENGO LA MAMA NA MTOTO

Wananchi wa kata ya Nyakato mtaa wa NHC, uliopo wilaya ya Ilemela mkoani Mwanza, wameishukuru Serikali kwa kuwajengea jengo jipya la mama na . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • August 26, 2025

MWENGE WA UHURU KUKIMBIZWA WILAYA YA ILEMELA KWA UMBALI WA KILOMETA 48.8 NA KUZINDUA MIRADI 9 YENYE THAMANI YA ZAIDI YA SHILINGI BILIONI 27.6

Mwenge wa Uhuru utakimbizwa katika Wilaya ya Ilemela kwa umbali wa zaidi ya  kilometa 48.8, ambapo utazindua na kuweka mawe ya msingi k . . .

matukio
  • Na Jembe Digital
  • August 26, 2025

Katibu wa CCM wilaya ya Mafia afariki dunia

Katibu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Mafia mkoani Pwani Salehe Kikweo amefariki dunia wakati akiendelea kupatiwa matibabu Hospitali . . .

Habari
  • Na Jembe Digital
  • August 26, 2025

Makalla aapishwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Samia Suluhu Hassan leo August 26 mwaka huu Ikulu Jijini Dodoma amemuapisha CPA Amos Gabriel Mak . . .

Matukio
  • Na Jembe Digital
  • August 26, 2025

Kuanzi mwezi Januari abiria wanene watalazimika kulipia siti mbili

Shirika la Ndege la Southwest Airlines Nchini Marekani, limetangaza sera mpya ambayo itawaathiri moja kwa moja Wasafiri wenye miili mikubwa . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • August 26, 2025

Wanaodhalilisha bendera ya Marekani kupewa adhabu kali

Rais wa Marekani, Donald Trump ametia saini amri ya kiutendaji (Executive Order), inayopiga marufuku kitendo cha kuchoma bendera ya nchi hiy . . .

Habari
  • Na Jembe Digital
  • August 26, 2025

Tanzania, Qatar kuimarisha ushirikiano sekta ya tehama

Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Jerry William Silaa, amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Qatar nchini Tanzania, . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • August 26, 2025

Waziri Mkuu wa Israel aomba radhi kwa shambulio hospitali ya Gaza

Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu ameomba radhi kufuatia shambulizi lililofanywa na vikosi vya ulinzi vya nchi yake katika Hospitali . . .

Siasa
  • Na Jembe Digital
  • August 26, 2025

Mwabukusi atoa Tamko kuelekea Uchaguzi mkuu

Rais wa Tanganyika Law Society (TLS), Boniface Mwabukusi, ametoa mtazamo kuhusu uhusiano kati ya haki, amani, na mchakato wa uchaguzi nchini . . .

Mastaa
  • Na Jembe Digital
  • August 25, 2025

Wasanii wa bongo fleva Harmonize na Abigail Chams waungana tena

MSANII wa Bongo Fleva, Rajab Abdul 'Harmonize', ameungana tena kimuziki na mrembo mwenye kipaji Abigail Chamungwana 'Abigail Chams' kwenye k . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • August 25, 2025

Tanzania, Japan wapongezwa kwa ushirikiano sekta ya Kilimo, afya na Maji

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo, Mhe. Waziri Kombo amepongeza ushirikiano wa Tanzania . . .

Habari
  • Na Jembe Digital
  • August 25, 2025

GGML imetoa ufadhili wa programu ya mafunzo ya usalama barabarani

KAMPUNI ya Mgodi wa Dhahabu wa Geita (GGML) imetoa ufadhili wa programu ya mafunzo ya usalama barabarani kwa maofisa usafirishaji 932 kiteng . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • August 25, 2025

Kabila akabiliwa na hukumu ya kifo

WAENDESHA Mashtaka wa Kijeshi nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) wameiomba Mahakama ya Kijeshi kutoa hukumu ya kifo kwa Rais wa z . . .

Siasa
  • Na Jembe Digital
  • August 25, 2025

Kiswaga aanza safari ya pili kuingia bungeni

Mbio za kisiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2025 zimeanza kuchukua njia yake katika Jimbo la Kalenga, baada ya aliyekuwa Mbunge wa jimbo hilo, . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • August 25, 2025

Tamasha la ‘Dream Car’ kuibu fursa za kiuchumi wilaya ya Kilolo

Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Kheri James, amepongeza tamasha la ‘Dream Car’ lililofanya wilayani Kilolo hivi karibuni akilielezea kama mkakat . . .

Teknolojia
  • Na Jembe Digital
  • August 25, 2025

TTCL yafika vijijini kutatua changamoto ya mawasiliano

SHIRIKA la Mawasiliano Tanzania(TTCL) limejikita zaidi katika kupeleka huduma za mawasiliano nchi nzima haswa maeneo ya vijijini ambayo . . .

matukio
  • Na Jembe Digital
  • August 22, 2025

Polisi waanza uchanguzi kutekwa kwa mwimbaji wa nyimbo za Injili geita

Kufuatia madai ya kutekwa na watu wasiojulikana kwa mwimbaji wa nyimbo za injili Elisha Juma mkazi wa Mtaa wa Kadisi, Kata ya Katente wilaya . . .

Habari
  • Na Jembe Digital
  • August 22, 2025

Maonesho ya TCCIA kuwakutanisha washiriki wa biashara 600 Mwanza

Zaidi ya washiriki 500 na wengine 100 kutoka nchi za nje wanatarajiwa kushiriki maonesho ya 20 ya Biashara kwa lengo la kufungua fursa kwa w . . .

Matukio
  • Na Jembe Digital
  • August 22, 2025

Aliyemng'ata mdomo mwenzake asakwa na polisi

Moria maarufu kama Mama Yusta anasakwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Ruvuma kwa madai ya kumng’ata mdomoni Kanisia Hinju (30) mkazi wa Kihul . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • August 22, 2025

Madereva IT mbaroni kwa kusafirisha abiria kinyume na Sheria

Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro limewakamata madereva wa tano wa magari yanayosafirishwa njeya Nchi (IT) kwa makosa ya kusafirisha abiria b . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • August 22, 2025

Geita wananchi wakubali kulipwa fidia kupisha uchimbaji madini

Serikali imetangaza rasmi kuanza kwa mchakato wa ulipaji fidia kwa wananchi wa Mitaa ya Nyakabale na Nyamalembo katika Halmashauri ya Manisp . . .

Siasa
  • Na Jembe Digital
  • August 22, 2025

Marais watatu waungana kupinga matendo ya serikali iliyopo madarakani

Marais watatu wastaafu nchini Somalia Sharif Sheikh Ahmed, Abdiqasim Salad Hassan na Mohamed Abdullahi Farmaajo wameungana kutoa tamko dhidi . . .

AFYA
  • Na Jembe Digital
  • August 22, 2025

WHO kuripoti tukio la joto kazini tishio kwa afya ulimwenguni

SHIRIKA la Afya Duniani (WHO) na Shirika la Hali ya Hewa Duniani (WMO) wamesema mamilioni ya wafanyakazi  dunia wamekuwa wanakumbana na . . .

SOKA
  • Na Jembe Digital
  • August 22, 2025

Uwanja wa Nsekela kujenga mshikamano Kerywa

Mkuu wa Mkoa wa Kagera Hajjat Fatma Mwassa amezindua rasmi uwanja wa kisasa wa mpira wa miguu ujulikanao kama Nsekela Stadium uliojengwa na . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • August 22, 2025

Machafuko Colombia yaua 18 na majeruhi 40

NCHINI  Colombia , watu 18 wamefariki  dunia na wengine zaidi ya 40 wamejeruhiwa baada ya kushambuliwa na kundi la waasi.Akizungum . . .

Habari
  • Na Jembe Digital
  • August 22, 2025

Dirisha la mikopo kwa wanafunzi kufungwa Agosti 31

Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imewakumbusha waombaji wa mikopo na ufadhili wa Samia Scholarship kuwa dirisha la maombi . . .

Mastaa
  • Na Jembe Digital
  • August 22, 2025

RHYME ASSASSIN AMEREJEA NA BE MIGHTY

‎Rapa na Emcee kutoka Uingereza mwenye asili ya Zimbabwe Rhyme Assassin ameachia wimbo mpya unaokwenda kwa jina la Be Might ‎‎Kup . . .

Muziki
  • Na Jembe Digital
  • August 22, 2025

MENEJA JAYZOW AIBUKA MSHINDI TUZO ZA KIMATAIFA ZA GMA 2025

‎Mtanzania Juma Hamad maarufu kama Jayzow ameshinda tuzo ya Kimataifa katika tuzo za GMA ( Ghana Merit Awards 2025 ) zilizofanyika Nchini . . .

Habari
  • Na Jembe Digital
  • August 21, 2025

ATCL yazindua rasmi safari za Dar na Pemba

Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL) @airtanzania_atcl imezindua rasmi safari za moja kwa moja kutoka Dar es salaam hadi Pemba kupitia Unguja, s . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • August 21, 2025

Uchakataji maombi mapya ya Visa nchini Zimbabwe yasitishwa

Marekani imesitisha uchakataji wa Maombi ya Visa nchini Zimbabwe mpaka hapo taarifa kwa kina itakapo tolewa ambapo Ubalozi wa Marekani mjini . . .

Kurasa 28 ya 212

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho
  • Follow Us

  • Follow Us

  • Follow Us

  • Subscribe

Habari Category