Mhadhiri wa Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA), Adam Semlambo ameingia matatani, akihusishwa na rushwa ya ngono ambapo uongozi wa chuo hicho, umemsimamisha kazi kuanzia jana, machi 2, 2022 kupisha uchu . . .
Mwanaume wa DR Congo aliyetambulika kwa jina Luwizo ndiye ameingia kwenye rekodi ya mfalme Solomoni hivi punde.Luwizo, mwanamume mwenye wake wengi kutoka Kalehe, Kivu Kusini, DR Congo, hivi majuzi ali . . .
Fatma Abou ni mwanafunzi anayesomea udakitari nchini Ukraine. Huu ulikuwa mwaka wake wa sita na wa mwisho kabla kumaliza masomo na kuhitimu kama dakitari. Lakini mashambulizi nchini humo yali . . .
Halmashauri ya mji wa Geita imeiomba Jumuiya ya Serikali za Mitaa nchini (ALAT) kupeleka kilio chao kwa Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) ili warudishiwe gari lao la ki . . .
Wizara ya Nishati na kampuni ya DP World ya Dubai zimesaini hati ya makubaliano ya ushirikiano katika kuendeleza miundombinu ya kupokea na kuhifadhia mafuta na gesi itakayojengwa nchini Tanzania . . .
Wazazi na walezi wa Wilaya ya Simanjiro mkoani Manyara wametakiwa kuzingatia lishe bora kwa watoto wao ili kuboresha ustawi wao pamoja na kuongeza ufaulu shuleni kupitia upatikanaji wa chakula kat . . .
Wanafunzi Waafrika wanaosoma nchini Ukraine wamedai kuwa wanabaguliwa na vikosi vya usalama wanapokuwa katika harakati za kuikimbia nchi hiyo kuelekea nchini Poland.Mmoja wa wanafunzi hao wa Afrik . . .
Aliyekuwa kiranja mkuu wa Orient Academy Group of School, Boji-Boji, Stephanie Ebere Odili amefunga pingu za maisha na mwalimu wake wa zamani wa shule ya upili, Sammy Anslem Chuks.Mapenzi Kipofu: Mwal . . .
Familia ya Joseph Ochieng almaarufu Obude ambaye alitekwa nyara na kisha mwili wake ukapatikana katika makafani moja mjini Nyeri, inalalamikia kujivuta kwa upelelezi wa mauaji ya mtoto wao.Ochieng, mw . . .
Siku ya tano baada ya majeshi ya Urusi kuingia Ukraine, wajumbe kutoka nchi hizo mbili wameanza mazungumzo yenye lengo la kumaliza vita. Ofisi ya rais wa Ukraine inasema inataka kusitishwa ma . . .
Makadirio ya ukomo wa umri wa kuishi kwa Watanzania yameongezeka kutoka miaka 67 na miezi mitatu mwaka huu hadi kufikia ukomo wa miaka 74 ifikapo 2035, ikiwa ni ongezeko la miaka saba na miezi miw . . .
Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Korogwe limemuagiza Mkurugenzi na menejimenti ya Halmashauri hiyo kupeleka taarifa ya mapato na matumizi ya Julai hadi Desemba 2021 baada ya kutor . . .
Balozi wa Tanzania nchini Italia Mhe. Mahmoud Thabit Kombo amekutana na kufanya mkutano na wadau wa NGO’s takribani sitini na nne zinazofanya shughuli zake nchini Tanzania mwishoni mwa wiki Ji . . .
WAZIRI Mkuu wa India Narendra Modi amejitolea kuisaidia Ukraine katika juhudi za kuleta amani, Modi ameyasema haya wakati wa mazungumzo kwa njia ya simu na Rais wa Ukraije Volodymyr Zelens . . .
Watu saba wamefariki dunia baada ya kupigwa na radi katika maoneo tofauti katika wilaya zaNkasi na Sumbawanga mkoani Rukwa.Akizungumza na Jembe FM leo 27, Ofisa Mtendaji wa Kata ya Nkandasi, Given . . .
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Dkt. Selemani Jafo ametoa siku 14 kwa Uongozi kwa Wilaya ya Kinondoni kuhakikisha wanatatua tatizo la mfumo wa majitaka katika Mtaa wa . . .
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza linamshikilia Diana Edward Bundala maarufu Mfalme Zumaridi kwa kosa la usafirishaji haramu wa Binadamu na Unyonyaji. Akizungumza na waandishi wa habari Mkoani . . .
Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia wakimbizi, UNHCR, limesema takriban watu laki moja na nusu wamekimbia kutoka Ukraine kuingia katika mataifa jirani kutafuta usalama wakati Urusi ikish . . .
Mamlaka ya Nigeria inasema kuwa imekamata tani 120 za ngozi za wanyama zilizoagizwa kutoka nje katika jiji la Lagos.Zilinaswa kwa tuhuma kwamba tayari zilikuwa zimechakatwa na kemikali kwa ajili ya . . .
Mtengeneza filamu wa Kikorea Yonghi Yang alikulia Japani miaka ya 1960, kama sehemu ya jamii kubwa ya wahamiaji kutoka nchi yake ya kuzaliwa ambayo ilikuwa na makazi katika jiji la Osaka.Wakiwa . . .
Ikulu ya rais wa Ufaransa ya Élysée imetangaza kuwa, baada ya kuzungumza na Rais Vladimir Putin wa Russia, rais wa nchi hiyo Emmanuel Macron amezungumza kwa njia ya simu pia na mwenzake wa Ukr . . .
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kwa pamoja zinashirikiana kutekeleza mfumo wa anwani za makazi nchini kwenye mikoa yote 31 ya Tanzania Bara na Za . . .
Malkia Elizabeth wa Uingereza amekutwa na maambukizi ya virusi vya corona hii leo. Kasri la Buckingham limesema, Malkia ana dalili za kawaida kama za mafua. Kasri hilo limesema kwamba kion . . .
Spika wa Bunge la Kitaifa Justin Muturi kwa mara ya kwanza, ametambulisha familia yake kwa Wakenya akielekea kutawazwa mgombeaji wa urais wa chama cha Democratic Party katika Ukumbi wa Bomas of KenyaM . . .
Mbunge wa Gatundu Kusini, Moses Kuria amejitenga na madai ya mwanasiasa Stanley Livondo kwamba kulikuwa na njama ya kuangamiza maisha ya Rais Uhuru KenyattaAkizungumza katika sherehe ya Kuria kutoa sh . . .
Naibu Rais William Ruto anasema kuwa ataendelea kujipigia debe kwa ufanisi wa miradi mbalimbali ya serikali ya Jubilee katika miaka kumi ya uongozi wao.Akijibu tuhuma za wapinzani wake wa kisiasa kuwa . . .
Sehemu ya Wakenya wenye hamaki wametumia mitandao ya kijamii kupinga bei ghali ya bidhaa muhimu.Katika siku za hivi majuzi, Wakenya wamelazimika kujifinya zaidi kumudu bei ya vyakula.Kupitia alama ya . . .
Rais Joe Biden wa Marekani na mwenzake wa Urusi Vladimir Putin wamekubaliana umuhimu wa kufanyika kutano wa kilele kuhusu Ukraine, ambao unaweza kufanyika tu endapo Urusi haitaivamia Ukraine.Kwa m . . .
Bwawa lenye utata la Ethiopia kwenye mto wa Nile lilianza kuzalisha umeme kwa mara ya kwanza Jumapili, kulingana na runinga ya serikali. Bwawa hilo lenye thamani ya $4.2bn (£3.8bn), lililoko m . . .
Polisi katika jimbo la Bhubaneshwar nchini India wamemkamata mwanaume anayedaiwa kuwalaghai wanawake 17 kwa kujifanya daktari na wakati mwingine hata afisa mkuu wa afya. Ramesh Chandra Swai . . .