Urusi imesema inaendelea kuviondoa vifaru na magari mengine ya kivita kutoka kwenye maeneo ya karibu na mipaka ya Ukraine, baada ya kumaliza luteka za kijeshi zilizoibua wasiwasi mkubwa kwa mata . . .
Waasi wanaoiunga mkono na Urusi nchini Ukraine wamevituhumu vikosi vya serikali kwamba vimeshambulia kwa makombora kijiji kimoja hii leo. Tuhuma hizo zimetolewa wakati vyombo vya habari vya Urusi . . .
Ni theluji tu. Wakati baridi likiwapiga idadi kubwa ya watu wa Afghanistan wenye njaa, theluji yenye muonekano wa binadamu inaonekana inaleta furaha kwenye kona moja ndogo ya mji wa Kabul.Kundi . . .
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Simon Sirro amesema haikuwa kazi rahisi kuchunguza, kuwakamata na kufikishwa kortini maofisa saba wa jeshi hilo mkoani Mtwara kwa tuhuma za kumuua mfanyabias . . .
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Othman Masoud Othman, jana ameongoza Viongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, waumini wa Kiislam na wananchi mbali mbali katika Hauli ya kumkumbuka na kum . . .
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi ametengua uteuzi wa Kamishna Mkuu wa Bodi ya Mapato Zanzibar (ZRB) Salum Yussuf Ali, ili kupisha uchunguzi wa kina w . . .
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali imepokea kauli ya wakazi wa Ngorongoro kwamba wako tayari kupokea maelekezo ya Serikali na kushirikiana pamoja katika kuulinda utalii na uhifadhi wa . . .
Serikali kupitia Wizara ya Afya imepokea vifaa vya Tehama na machapisho vyenye thamani zaidi ya Mil. 105 kwa ajili ya kusambazwa kwenye vituo vya Afya ili kuboresha huduma za ufuatiliaji na udhi . . .
MAMLAKA ya hali ya hewa Tanzania (TMA) imetoa utabiri kuwa kutakuwa na mvua za kutosha kwa msimu wa Mvua za Masika wa Machi hadi Mei, 2022 kwa mikoa inayopata mvua mara mbili kwa mwaka.Mku . . .
Katika ripoti yake ya hivi punde iliyowasilishwa mbele ya Baraza la Usalama, Antonio Guterres amevinyooshea kidole cha lawama vikosi vya usalama na jeshi nchini Jamhuri ya Af . . .
Mamlaka ya Rwanda imetangaza hitimisho la kwanza la uchunguzi wake kuhusu kutoweka kwa mshairi Innocent Bahati, ambaye familia yake haijasikia habari zake kwa mwaka mmoja. Ka . . .
Mzozo wa kibinadamu bado unaendelea kutatanisha nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Umoja Mataifa, mashirika yasiyo ya kiserikali ya kimataifa na mamlaka wanatangaza kwa . . .
Shirika la mpango wa chakula Duniani la Umoja wa Mataifa linasema eneo la sahel barani Afrika linakabiliwa na ukosefu wa usalama wa chakula ambao haujawahi kushuhudiwa unaosababishwa na kupanda . . .
Mwanamke wa kwanza Duniani amefanikiwa kuponywa na ugonjwa wa Ukimwi kwa kupandikizwa seli shina katika mwili wake ambaye alikuwa anaugua saratani ya damu. Mwanamke huyo alipandikizwa seli . . .
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Amos Makalla amemaliza hali ya taharuki juu ya uvumi wa taarifa zilizodaiwa kuwa eneo la Shule ya Sekondari Kurasini linauzwa kwa Mwekezaji ambapo amethibitisha kuwa . . .
Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI), imetekeleza agizo la Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan la uandikishaji wa wanafunzi wa darasa la awali na . . .
Viongozi wa Umoja wa Afrika na wa Umoja wa Ulaya wanakutana mjini Brussels kwa mazungumzo ya siku mbili kuanzia leo, wakiazimia kuimarisha ushirikiano, huku Ulaya ikiahidi uwekezaji mkubwa barani . . .
Mwanaharakati wa kuwatetea wafanyakazi Francis Atwoli amemkashifu Seneta wa Kakamega Cleophas Malala kwa madai ya kutomheshimu licha ya kuchukua jukumu muhimu katika taaluma yake ya kisiasa. Katibu Mk . . .
aarifa ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC) kuhusu Shughuli za Kamati kwa Mwaka 2021 imeeleza kuwa taarifa za kifedha za shirika la umeme Tanzania (TANESCO) za Mwaka 2 . . .
Naibu rais wa Kenya amejitetea baada ya kuibua hasira katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kutokana na matamshi yake ya awali yaliyoashiria kuwa hakuna ngombe nchini humo.William Ruto alise . . .
KIONGOZI wa Kijeshi wa Burkina Faso, Luteni Kanali Paul-Henri Damiba, ameapishwa kuwa rais wa mpito wa taifa hilo. Akiwa amevaa sare za kijeshi, Damiba ameapa kuheshimu katiba katika hafla ndogo il . . .
Mwanafunzi wa kidato cha tatu katika Shule ya Sekondari Tumaini wilayani Iramba mkoani Singida, amesimamishwa masomo baada ya kubainika kuwa na ujauzito anaodai kupewa na baba yake wa kambo, Abd . . .
Ni kilio cha ubadirifu wa fedha za mikopo inayotolewa na halmashauri kwa vikundi vya wanawake, vijana na watu wenye ulemavu katika maeneo mengi ya nchi.Wakati wabunge wakipigia kelele ubad . . .
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mary Masanja (Mb) amesema hakuna mgogoro wa ardhi kati ya wananchi wa Kata za Inyala, Itewe, Ilungu na Hifadhi ya Kitulo iliyoko mkoani Njombe. Ameyasema . . .
Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz na viongozi wa majimbo 16 wametangaza mipango ya kuondoa vizuizi vya kukabiliana na Covid-19 kufikia mwishoni mwa mwezi Machi. Mipango hiyo itashuhudia vizuizi vin . . .
Vyombo vya habari vya serikali ya Syria vimeripoti kuwa Israel imeushambulia kwa makombora mji wa kusini mwa Damascus jana jioni, na kusababisha uharibifu wa mali. Hilo ni shambulio la pili la ang . . .
Marekani imetupilia mbali ripoti za Urusi kuondoa wanajeshi wake mpakani mwa Ukraine na badala yake ikaituhumu Moscow kwa kupeleka wanajeshi zaidi. Afisa mmoja mwandamizi katika Ikulu ya White Hou . . .
Padri mmoja nchini Marekani amejiuzulu utumishi wake wa upadri aliotumikia kwa miaka mingi baada ya kufahamika kuwa amekuwa akiwabatiza watoto kwa kauli tata ambayo imebatilishwa na viongozi wa ka . . .
Richard Nana Sam, mwanamume mmoja kutoka Ghana ambaye alihuzunishwa na matukio ya hivi majuzi yaliyotokea nyumbani kwake aliamua kuyasimula kwenye mitandaoni kwa matumaini ya kupata suluhu.Akisimulia . . .
Mvulana mwenye umri wa miaka 10-ameokolewa saa nane baada ya kukwama katika lori la takataka katika mji mkuu wa Sudan Khartoum.Mvulana huyo aliyetambuliwa na polisi kama Majed Mubarak Ibrahim . . .