logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Kitaifa Na Kimataifa

  • Pata Habari Zilizojili Pande Zote Duniani
Kitaifa
  • Na Asha Business
  • May 12, 2025

Tume ya Uchaguzi Yatangaza Majimbo Mapya 8 na Kubadili Majina ya Majimbo 12

Tume Huru ya Uchaguzi imetangaza mabadiliko makubwa ya kiutawala katika mipaka ya majimbo ya uchaguzi nchini, ikiwemo mabadiliko ya majina ya majimbo 12 na kuanzishwa kwa majimbo mapya 8.Kwa mujibu wa . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • May 11, 2025

Rais Samia Aongoza Taifa Kuaga Mwili wa Mzee Cleopa Msuya

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Jumapili Mei 11, 2025 amewaongoza Watanzania, kuaga kitaifa mwili wa Makamu wa Rais wa Kwanza na Waziri Mkuu Mstaafu, Mzee Cleopa . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • May 11, 2025

Charles Hillary, Msemaji Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Afariki Dunia

Mkurugenzi wa Idara ya Mawasiliano Ikulu ya Zanzibar na Msemaji Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Charles Hillary amefariki dunia alfajiri ya leo, Mei 11, 2025.Taarifa za kifo chake zimetolew . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • May 9, 2025

Mhe. Samia Suluhu Hassan, ametuma salamu za pongezi kwa Mhe. Vladimir Putin

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, ametuma salamu za pongezi kwa Rais wa Shirikisho la Urusi, Mhe. Vladimir Putin, kwa kuadhimisha Siku ya Ushindi (Victory Day) tarehe . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • May 9, 2025

Tanzania Yajibu Azimio la Bunge la Ulaya Kuhusu Kesi za Kisheria, Yasisitiza Uhuru wa Mahakama

Serikali ya Tanzania imetoa tamko kuhusu azimio lililopitishwa na Bunge la Ulaya tarehe 8 Mei 2025 kuhusu kesi za kisheria zinazoendelea nchini, ikieleza kutoridhishwa na hatua hiyo kwa kuwa Bunge hil . . .

bungeni
  • Na Asha Business
  • May 7, 2025

Musukuma Ataka Uwajibikaji wa Wizara ya Michezo Katika Suala la Mechi ya Yanga na Simba

Mbunge wa Geita Vijijini, Joseph Musukuma, amepongeza uongozi wa Rais mstaafu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Leodgar Tenga, akisema kuwa ametoa mchango mkubwa katika kuendeleza michez . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • May 7, 2025

Rais Samia Atanga kifo cha Mzee Cleopa David Msuya

Rais Samia Suluhu Hassan amelitangazia taifa kifo cha Mzee Cleopa David Msuya, aliyewahi kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Tanzania na Waziri Mkuu, kilichotokea leo Mei 7, 2025 majira ya saa tatu asubu . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • May 6, 2025

Wakili Ndunguru" sheria si kinga ya kutowajibika kisheria"

Mwenyekiti wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Mkoa wa Ruvuma, Wakili Eliseus Ndunguru, amesema kuwa kutokujua sheria hakuwezi kuwa kinga ya kutokuwajibika kisheria, akibainisha kuwa sheria hutun . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • May 6, 2025

Marekani yathibitisha kupokea rasimu ya makubaliano ya amani kati ya DRC na Rwanda

Marekani imethibitisha kupokea rasimu ya makubaliano ya amani kati ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) na Rwanda. Tangazo hilo limetolewa Jumatatu, Mei 5, na Massad Boulos, Mshauri Mkuu wa masua . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • May 5, 2025

Uamuzi wa ICJ kutoa uamuzi wake kuhusu malalamiko ya Khartoum dhidi ya UAE

Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ) iko tayari kutoa uamuzi wake kuhusu malalamiko ya Sudani dhidi ya Falme za Kiarabu Mei 5, 2025. Khartoum imeishtaki UAE mbele ya Mahakama ya Kimataifa ya Haki ya Ha . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • May 5, 2025

Rais Dkt. Mpango "Serikali Haitavumilia Vitendo vya Kihalifu Dhidi ya Viongozi wa Dini"

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango amesema Serikali inalaani vikali na kukemea tukio la kushambuliwa na kuumizwa Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC) Padr . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • May 4, 2025

Majaliwa" Wana-Ruangwa Hatuna Deni Na Rais Dkt. Samia"

MJUMBE wa Kamati Kuu ya Chama Chama cha Mapinduzi, Waziri Mkuu na Mbunge wa Jimbo la Ruangwa, Kassim Majaliwa amesema kuwa Wilaya hiyo haina deni na Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kutokana n . . .

Afrika Mashariki
  • Na Asha Business
  • May 2, 2025

Muhoozi Kainerugaba"Ninamtesa mlinzi wa Bobi Wine baada ya kumteka"

Mkuu wa jeshi la Uganda amedai kwamba ni yeye alimteka mlinzi wa kiongozi wa upinzani Bobi Bobi Wine na kwamba anamtesa kwenye eneo lake na kuegesha magari.Matamshi ya Muhoozi Kainerugaba yamejiri baa . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • May 1, 2025

Rais Samia aongeza Mishahara ya Wafanyakazi kwa asilimia 35.1

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ametangaza kuwa Serikali itaongeza kima cha chini cha mshahara kwa watumishi wa umma kwa asilimia 35.1.Rais Dkt. Samia amesema kuw . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • May 1, 2025

Rais Dkt. Samia Akabidhi Vikombe Kwa Washindi Wa Michezo Katika Sherehe Za Mei Mosi Singida

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amekabidhi Zawadi ya Vikombe kwa Washindi wa michezo Mbalimbali wakati wa Maadhimisho ya Sherehe za Mei Mosi Kitaifa yaliyofanyika Viwa . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • May 1, 2025

Waziri Bashungwa Atolea Ufafanuzi Kwanini Kesi ya Tundu Lissu Kuendeshwa Mtandaoni "Chadema, Walitaka Kulianzisha"

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Innocent Bashungwa ametoa wito kwa Watanzania kuelewa kuwa matumizi ya 'Mahakama Mtandao' wakati mwingine yanafanyika kama sehemu ya mkakati wa vyombo vya ulinzi na us . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • April 29, 2025

Wanahabari tumieni akili mnemba kama nyenzo

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ametoa wito kwa Waandishi wa Habari nchini kutumia Akili Mnemba (Artificial Inteligence) kama nyenzo ya kuwawezesha kutekeleza majukumu yao ipasavyo na sio kikwazo cha uhu . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • April 29, 2025

Putin "Nitamlinda Ibrahim Traoré dhidi ya Marekani na Ufaransa"

Rais wa Urusi, Vladimir Putin, ametoa kauli kali ya kuunga mkono uongozi wa Rais Ibrahim Traoré wa Burkina Faso, akipinga vikali hatua yoyote ya nje ya nchi za Magharibi dhidi yake.“Hakuna kitu kit . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • April 29, 2025

Rais Samia Aongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri Chamwino

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 29 Aprili, 2025. . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • April 28, 2025

Korea Kaskazini yakiri kupeleka wanajeshi kusaidia Urusi vitani Ukraine

Kwa mara ya kwanza katika kipindi cha zaidi ya miezi saba, Korea Kaskazini imekiri rasmi leo Jumatatu, Aprili 28, kupitia shirika la habari la serikali KCNA, kwamba ilituma wanajeshi kusaidia vikosi v . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • April 28, 2025

Awamu ya kitaifa ya mashauriano kuhusu mustakabali wa vyama vya siasa yafunguliwa

Nchini Mali, awamu ya kitaifa ya mashauriano ya "vyama vya siasa" nchini humo kuhusu mapitio ya Mkataba wa Vyama vya Kisiasa vya Mali imefunguliwa siku ya Jumatatu, Aprili 28, 2025 katika Kituo cha Mi . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • April 28, 2025

Jk Ashiriki Kutoa Mafunzo Chuo Kikuu Cha Havard Huko Boston Kwa Mawaziri Wa Nchi Zinazoendelea

Mheshimiwa Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete yuko mjini Boston, Marekani, ambako anashiriki katika kutoa mafunzo kwa Mawaziri wa Fedha na Mawhttps://globalpublishers.co.tz/aziri wa Mipango kutok . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • April 28, 2025

Dkt. Biteko Amwakilisha Rais Samia Uwekwaji Wakfu Askofu Mteule Jimbo La Iringa

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko akisalimiana na Askofu wa Mafinga, Mhashamu Vincent Mwagala wakati alipowasili katika Ibada ya kumsimika na kumuweka wakfu Askofu wa Jimbo la I . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • April 25, 2025

Dkt. Biteko akemea migogoro, awataka Viongozi kuacha ubinafsi

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amewataka viongozi kote nchini kuweka maslahi ya wananchi mbele na kuacha migogoro inayotokana na ubinafsi wao. “Hawa Watanzania hawataki mig . . .

Dini
  • Na Asha Business
  • April 25, 2025

Washirika 57 Waliokolewa Kutoka Kanisa Lenye Utata Rongo Wakataa Kwenda Makwao

Mzozo mkali unaendelea huko Rongo baada ya waumini 57 wa kikundi cha kidini chenye utata kuokolewa kutoka kwa kanisa linaloshukiwa kuwa na madhehebu ya kidini kukataa kurejea majumbani mwao. Waum . . .

AFYA
  • Na Asha Business
  • April 25, 2025

Turuhusiwe ‘kuvuna’ figo zetu kisheria

HIVI mbona tusionyeshe heshima, angaa kidogo tu, hata ‘tunapovuna’ na kuuza figo za watu?‘Unapoivuna’ yangu bila kuniambia, halafu unaipandikizia mgonjwa asiyejua ni ya kuibwa, umeniachaje?Ang . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • April 25, 2025

Makamu Wa Rais Aondoka Nchini Kumwakilisha Rais Samia Kwenye Mazishi Ya Papa Francis

Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango ameondoka nchini kuelekea Vatican, kumwakilisha Rais Samia Suluhu Hassan kwenye maziko ya aliyekuwa Kiongozi Mkuu wa Kanisa Katoliki Duniani Baba Mtakatifu Francisko. . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • April 24, 2025

M23 na Kinshasa zakubaliana kuendeleza mazungumzo ya kusitisha vita

Kuna Maendeleo chanya katika mazungumzo kati ya AFC/M23 na wajumbe kutoka ofisi ya rais wa Kongo. Kwa mara ya kwanza pande hizo mbili zimewasiliana rasmi kuhusu mazungumzo hayo yaliyofanyika mjini Doh . . .

Afrika Mashariki
  • Na Asha Business
  • April 23, 2025

Mwanamke ang’ang’ania mali ya mwanajeshi

MWANAMKE mmoja anapigania udhibiti wa mali ya afisa mkuu wa kijeshi ambaye alikufa mwaka jana baada ya uchunguzi wa DNA kuthibitisha kuwa marehemu ni baba wa mtoto wake.Kanali Flavian Mwangi, ambaye a . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • April 23, 2025

Upinzani waripoti kushambuliwa tena na wanajeshi wa serikali

Upinzani nchini Sudan Kusini umewashtumu wanajeshi wa serikali kwa kushambulia ngome yake, karibu na jiji kuu Juba, siku ya Jumanne, hali inayoendelea kutikisa mkataba wa amani wa mwaka 2018.Haijabain . . .

Kurasa 31 ya 130

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho

Habari Zaidi

  • Polisi Pwani Wakanusha Taarifa zinazosambaa Mitandaoni

    • 9 masaa yaliopita
  • Serikali Yaendelea Kuimarisha Ustawi wa Wazee Nchini

    • 9 masaa yaliopita
  • Unywaji wa kahawa waweza kukuongezea miaka mitano ya ziada ya ujana

    • 12 masaa yaliopita

Habari Category

  • Habari Zote
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
  • Habari Ndani Na Nje
  • Video
  • Uchumi Na Biashara
  • Magazeti
  • Makala

Wasiliana Nasi

JEMBE NI JEMBE GROUP ,
P. O. Box 1334,
PLOT NO.111/BLOCK "A"
HOUSE No:43 MAKONGORO STREET,
ILEMELA MWANZA - TANZANIA

info@jembenijembe.com

+ 255-786-385-475 ,
+ 255-716-385-475.

  • PRIVACY POLICY
  • TERMS AND CONDITIONS
  • STAFF LOGIN

POWERED BY

© Jembe Ni Jembe Companies.

Created And Maintained By XFoundationCode