Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika hafla ya ufunguzi wa Daraja la JP Magufuli lililopo Kigongo-Busisi itakaofanyika June 19 mwaka huu.Waziri wa Ujenzi Abdallah Ulega ame . . .
Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) inatarajia kukutana jijini Dar es Salaam Jumatano Mei 21, 2025 kwaajili ya kufanya kikao maalumu.Kikao hicho kimeitishwa mara baada ya kipindi . . .
Wizara ya Afya imesema inaendelea kufanya ufuatiliaji wa karibu na kutoa taarifa za kila siku kuhusu magonjwa ya mlipuko pamoja na tetesi za uwepo wa magonjwa hayo nchini ambapo imesema tangu February . . .
Waalimu wa dini ya kislaam mkoa wa Mwanza wametakiwa kuwafundisha watoto na jamii maadili mema na kuipenda Nchii yao.Hayo yamesemwa na sheikh wa mkoa wa mwanza Hasan Kabeke katika semina iliyoandaliwa . . .
Serikali imebaini uwepo wa taarifa za upotoshaji kupitia mitandao ya kijamii hususani ukurasa wa X kwa kuchapisha maudhui yenye lengo la kuzua taharuki na kuwajaza hofu wananchi.Kupitia taarifa iliyot . . .
Jeshi la Polisi Mkoani Arusha kupitia operesheni iliyofanyika kuanzia mwezi Aprili mwaka huu hadi sasa limefanikiwa kuwakamata watuhumiwa 148 kwa makosa mbalimbali ikiwemo ubakaji, ulawiti, dawa za ku . . .
Wizara ya Afya nchini imetangaza ongezeko la watu wenye maambukizi ya ugonjwa wa Uvi-ko-19 nchini katika kipindi cha miezi mitatu iliyopita.Mganga Mkuu wa serikali Dk Grace Magembe amesema kumekuwepo . . .
Zilianza kama tetesi kisha zikasikika taarifa za kuhamia Chama Cha Mapinduzi (CCM) na baadaye kutumia majukwaa mbalimbali ikiwemo Bunge kupongeza kazi zinazofanywa na Serikali ya Rais Samia Suluhu Has . . .
Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC) Itikadi Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, CPA Amos Makalla amesema kujiandikisha katika daftari la wapiga kura kwa awamu ya pili ni fursa nzur . . .
Kamati maalumu ya bunge la seneti nchini DRC, imeomba kikao na rais wa zamani Joseph kabila, kuhusiana na mchakato unaoendelea wa kutaka kumuondolea kinga ya kufunguliwa mashtaka rais wa huyo wa zaman . . .
Wajumbe wa Sekretarieti ya CHADEMA iliyomaliza muda wake akiwemo aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA Bara Benson Kigaila, aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu CHADEMA Zanzibar, Salum Mwalimu, Catherine Ruge . . .
Rais Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania haitatoa nafasi kwa wanaharakati kutoka ukanda wa Afrika Mashariki kuja kuharibu mambo ya ndani ya nchi baada ya kuharibu katika nchi zao. Rais Samia amesema . . .
Mahakama ya Hakimu Kisutu imetoa maelekezo kwa askari wa Jeshi la Magereza kumuacha huru Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Tundu Lissu akiwa kizimbani badala ya kum . . .
Rais wa Marekani Donald Trump anatarajiwa kuzungumza kwa njia ya simu na Rais wa Urusi Vladimir Putin leo hii Jumatatu kuhusu mipango ya usitishaji wa vita kati ya Urusi na Ukraine.Rais wa Marekani Do . . .
Mbunge wa Viti Maalumu, Esther Bulaya ameishutumu Serikali kwa kushindwa kuchukua hatua madhubuti dhidi ya uharibifu unaosababishwa na wanyamapori hususan tembo katika Wilaya ya Bunda mkoani Mara.Ames . . .
Rais wa zamani wa Marekani, Joe Biden, amethibitishwa na ofisi yake kuwa amegundulika kuwa na aina kali ya saratani ya tezi dume ambayo imeenea hadi kwenye mifupa. Ugonjwa huo umetambuliwa kuwa na ala . . .
Mei 18, 2025 jijini Dar es Salaam kiongozi Mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo Zitto Kabwe, alisema amefunguliwa kesi mahakamani na Mfanyabiashara Harbinder Seth ambaye ni mmiliki wa Kampun . . .
Mshauri wa Rais wa Tanzania Masuala ya Afya na Tiba ambaye pia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili Profesa Mohamed Yakub Janabi ametangazwa rasmi kushinda uchaguzi na amechaguliwa k . . .
Rais wa zamani wa Marekani Joe Biden (82) amegundulika kuwa na ugonjwa wa saratani ya tezi dume ambayo imesambaa hadi kwenye mifupa yake.Saratani ni ugonjwa ambao hutokea pindi ambapo ukuaji wa seli m . . .
Imeripotiwa hivi karibuni nchini Kenya kukabiliwa na ugonjwa hatari wa KALAZAR, ambapo watu 33 tayari wamekwisha fariki huku visa zaidi ya 1000 vikiripotiwa katika muda mfupi Hali hii Imeibua mas . . .
Mgombea wa nafasi ya Ukurugenzi wa WHO Kanda ya Afrika kutoka Tanzania Prof. Mohammed Janabi, ametaja vipaumbele saba ambavyo amevinadi mbele ya Mawaziri wa Afya kutoka nchi mbalimbali na wanachama wa . . .
Bodi ya Utendaji ya Shirika la Afya Duniani (WHO) na Kamati ya Kanda ya Afrika, imemkumbuka Dk Faustine Ndugulile na kutuma salamu za rambirambi kwa familia na nchi ya Tanzania kwa kumpoteza kiongozi . . .
Watanzania wametakiwa kuwa wazelendo ili kuilinda nchii kuelekea kipindi cha uchaguzi unaotarajia kufanyika mwaka huuHayo yamesemwa na sheikh wa mkoa wa Mwanza Hasani Kabeke wakati a . . .
Moshi unapanda kutoka kwenye jengo huku Beyoncé, akiwa amevalia mavazi ya kivita, akipanda gari la kivita. Kapteni Ibrahim Traoré, kiongozi wa kijeshi wa Burkina Faso, yuko kwenye video ya muziki pi . . .
WATAALAMU huru wa Umoja wa Mataifa wametoa wito kwa mamlaka za Mali kufanya uchunguzi wa haraka na wa kina kuhusu madai ya mauaji ya halaiki na kutoweka kwa watu kwa kulazimishwa, wakionya kuwa huenda . . .
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, ameitaka Bodi ya Usajili wa Makandarasi (CRB), kuwachukulia hatua makandarasi wazembe wanaosababisha hasara na athari kwa Serikali na wananchi kwa kutokamilisha mirad . . .
Wizara ya Mambo ya Ndani ya DRC inabainisha kwamba mahakama imeombwa kufutwa kwa vyama kadhaa vya siasa, ikiwa ni pamoja na kile cha PPRD cha Joseph Kabila. Uamuzi ambao upinzani unakiona kama vurugu . . .
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amekutana na Waziri Mkuu wa Côte d’Ivoire, Robert Beugre Mambe na kujadiliana naye masuala ya kidiplomasia, kiuchumi, teknolojia, kilimo na michezo kwenye kikao kilichof . . .
Rais wa zamani wa Uruguay aliyeiongoza nchi hiyo kati ya mwaka 2010-2015 akijulikana kama ‘Rais maskini zaidi duniani’ kutokana na kuishi maisha yake ya kawaida kabisa, José Mujica, “Pepe”, a . . .
Papa Leo wa XIV na Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky wamezungumza kwa njia ya simu leo kufuatia wito wa Papa akitaka “kila juhudi kufanyika” ili kufanikisha amani ya kweli na ya kudumu, kwa mujib . . .