logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Kitaifa Na Kimataifa

  • Pata Habari Zilizojili Pande Zote Duniani
Afrika
  • Na Asha Business
  • April 8, 2025

Rais Tshisekedi akutana na waathiriwa wa mafuriko jijini Kinshasa

Wakaazi wa jiji la Kinshasa nchini DRC waliojawa na hasira, hapo jana walionesha gadhabu zao kwa Rais Felix Tshisekedi, ambaye alitembelea maeneo yaliyoathiriwa pakubwa na mafuriko ya mwishoni mwa wik . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • April 8, 2025

Iran na Marekani Kukutana Oman kwa Mazungumzo ya Kihistoria ya Nyuklia

Rais wa Marekani Donald Trump ametangaza kuwa Marekani na Iran zitafanya mazungumzo ya moja kwa moja ya ngazi ya juu kuhusu makubaliano ya nyuklia Jumamosi, Aprili 12, 2025, huko Oman. Taarifa hiyo im . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • April 7, 2025

Raia katika Mji wa El-Fasher Sudan wakabiliwa na hali mbaya ya kibinadamu

Raia walionaswa katika mapigano kwenye mji wa El-Fasher nchini Sudan, wanakabiliwa na hali mbaya ya kibinadamu, wameonya watetezi wa haki za binadamu ambao wamesema hali kwenye mji huo inazidi kuwa mb . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • April 7, 2025

Waziri Mkuu Awataka Mabalozi Kuishi Falsafa Za Rais Dkt. Samia

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amewataka mabalozi kuiishi falsafa ya Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ya kuimarisha mahusiano na kukuza diplomasia ya kiuchumi kati ya Tanzania na mataifa mbalimb . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • April 6, 2025

Mei Mosi itaboresha ustawi wa Wafanyakazi – Majaliwa

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema maadhimisho ya siku ya wafanyakazi duniani yana lengo la kuhamasisha utoaji wa haki za wafanyakazi, kuboresha masharti ya kazi na ustawi wa wafanyakazi kwa ujumla. . . .

AFYA
  • Na Asha Business
  • April 4, 2025

Gharama kubwa za matibabu chanzo matumizi ya Dawa bila vipimo

Gharama kubwa za matibabu ikiwa ni pamoja na kumuona daktari kwa ajili ya vipimo zimekuwa zikichangia watu kuamua kununua dawa bila kupima na kujua tatizo kabla ya kuanza ‘dozi’.Hayo yameelezwa na . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • March 28, 2025

Marekani Yafuta Visa za Wanafunzi Walioshiriki Maandamano ya Kiuunga Mkono Palestina

Serikali ya Marekani imefuta visa za takriban wanafunzi 300 wa kigeni kama sehemu ya juhudi za kukabiliana na maandamano ya wanaounga mkono Palestina katika vyuo vikuu, hatua inayotajwa kuwa sehemu ya . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • March 27, 2025

Jenerali Mabele" Tukitangaza Nafasi JKT Jitokezeni"

Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa Meja Jenerali Rajabu Mabele ametoa wito kwa watu wote wanaoghushi vyeti vya mafunzo ya JKT kuacha kufanya hivyo na badala yake wajitokeze kupata mafunzo nafasi zinapotan . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • March 27, 2025

Waasi wa M23 waripotiwa kuelekea kuunda mfumo wao wa fedha

Ni miezi miwili sasa tangu pale Jiji la Goma lianguke mikononi mwa kundi la waasi la AFC/M23. Tangu wakati huo, benki zote za biashara zimefungwa kwa maagizo ya mamlaka mjini Kinshasa. Kutokana na hal . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • March 26, 2025

Rais IbrahimTraoré wa Burkina Faso Akataa Kuongezewa Mshahara

Rais wa Burkina Faso, Kapteni #IbrahimTraoré, mwenye umri wa miaka 37, amekataa ongezeko lolote la mshahara, akisisitiza kujitolea kwake kwa wananchi wa nchi hiyo.Traoré, ambaye alichukua madaraka k . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • March 25, 2025

Burundi yatoa onyo dhidi ya shambulio lolote kutoka Rwanda

Rais wa Burundi Evariste Ndayishimiye, amesema kuwa wamepata taarifa za kuaminika kuwa taifa la Rwanda linapanga kuishambulia Burundi.Hata hivyo serikali ya Rwanda imekanusha vikali madai ya serikali . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • March 25, 2025

Wakala wa Vipimo kuanza uhakiki wa Mita

Wakala wa Vipimo (WMA) inatarajia kuanza uhakiki wa Taxi meter ambapo umenunua mitambo 12, miwili ya imesimikwa mmoja unaendelea kusimikwa katika kituo cha uhakiki wa Vipimo Misugusugu Mkoa wa Pwani n . . .

Elimu
  • Na Asha Business
  • March 25, 2025

Waalimu Wa Sayansi & Hisabati Watakiwa Kutumia Mbinu Za Kisasa Katika Ufundishaji

WALIMU wa Shule za Sekondari wanaofundisha masomo ya Sayansi na Hisabati,wametakiwa kutumia mbinu za kisasa zinazozingatia mabadiliko ya sayansi na teknolojia ili kuwasaidia wanafunzi kuyapenda masomo . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • March 24, 2025

Waislamu, Wakristo Burkina Faso Wala Futari Pamoja

Mamia ya Waislamu na Wakristo huko Ouagadougou, mji mkuu wa Burkina Faso, wameshiriki pamoja dhifa ya futari katika medani ya Place De La Nation, kuadhimisha mwaka wa tatu wa utamaduni huo wa kuhamasi . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • March 23, 2025

Daraja la J.P Magufuli kuanza kutumika mwezi April

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi Dkt. Charles Msonde amesema daraja la J.P Magufuli (Kigongo Busisi) lenye urefu wa KM 3 litaanza kutumika rasmi Aprili 30 mwaka huu.Hata hivyo, amesema ifikapo April . . .

Afrika Mashariki
  • Na Asha Business
  • March 19, 2025

Raila "Nilizuia Rais Ruto Kupinduliwa na Mapinduzi ya Kijeshi"

Kiongozi mkuu wa upinzan nchini Kenya, Raila Odinga amefichua kuwa aliamua kumwokoa Rais William Ruto wakati wa maandamano ya Gen Z ili kuzima mapinduzi ya kijeshi ambayo yalikuwa yamesukwa na yalikuw . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • March 18, 2025

EU YasemaTrump Ni Janga Baya Kuliko Corona

Naibu wa Gavana wa Benki Kuu ya Umoja wa Ulaya Luis de Guindos amesema kuwa, rais wa Marekani, Donald Trump amesababisha kukosekana utulivu katika ghughuli za kiuchumi na rais huyo ni janga baya zaidi . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • March 18, 2025

Israel " Tutaendelea Na Mapigano Hadi Hamas Iwaachie Mateka Wote"

Israel imeapa kuendelea na mapigano katika Ukanda wa Gaza hadi pale ambapo mateka wote wanaoshikiliwa na Hamas wataachia huru.Tangazo la Israel limekuja wakati huu ikitekeleza mojawapo ya mashambulio . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • March 17, 2025

Rwanda yatangaza kuvunja uhusiano wa kidiplomasia na Ubelgiji

Rwanda imetangaza Jumatatu, Machi 17, kuvunja uhusiano wa kidiplomasia na Ubelgiji, ikishutumu serikali ya zamani ya kikoloni kwa "kuunga mkono" Kinshasa "kabla na wakati wa mzozo unaoendelea katika J . . .

AFYA
  • Na Asha Business
  • March 14, 2025

Maweni RRH "Taarifa za uwepo wa Mpox hazina ukweli, tusipotoshe "

Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Maweni ya Mkoani Kigoma, imekanusha Picha mjongeo iliyonakilishwa na Mange Kimambi Machi 13, 2025 kwenye ukurasa wake wa mtandao wa Kijamii wa X, juu ya uwepo wa mgonjwa wa . . .

AFYA
  • Na Asha Business
  • March 13, 2025

Waziri" Tanzania Haina Tena Marburg Tumeidhiti"

Waziri wa Afya, Jenista Mhagama amesema Tanzania imefanikiwa kuudhibiti ugonjwa wa mlipuko wa Marburg na ameutangazia Umma wa Watanzania kuwa ugonjwa huo umeisha kutokana na kutokuwepo kwa Mgonjwa mwi . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • March 13, 2025

Waliofoji vyeti vya JKT ili kupata ajira wakalia kuti kavu

Jeshi la kujenga Taifa (JKT), limesema lipo tayari kutoa ushirikiano kwa Taasisi mbalimbali za ajira, ili kuwachukulia hatua kali Vijana wanaogushi vyeti vya jeshi hilo na kuvitumia kuajiriwa kwenye t . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • March 13, 2025

Iran yakataa mazungumzo na Marekani kuhusu mkataba wa nyuklia

Rais wa Iran, Masoud Pezeshkian amesema Iran haipo tayari kwa mazungumzo na Marekani wakati inapewa vitisho na kumtaka Rais Donald Trump ‘kufanya chochote anachoraka’.“Haikubaliki kwetu kwa wao . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • March 13, 2025

SADC yaamua wanajeshi kuondoka DRC

Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC) imetangaza kumalizika kwa majukumu yake ya kupeleka wanajeshi nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Mkutano wa kilele wa kambi hiyo ya kikanda umeam . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • March 11, 2025

Zelensky Atua Saudia Kukutana Na Mwakilishi Wa Trump

Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky amewasili jijini Jeddah, Saudi Arabia na kupokelewa kwa heshima zote na Mrithi wa Kiti cha Ufalme, Mwanamfalme Mohammed bin Salman, katika jumba la kifalme, jana, J . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • March 11, 2025

Rais wa Zamani Wa Ufilipino Akamatwa

Rais wa zamani wa Ufilipino, Rodrigo Duterte amekamatwa kwa hati maalum kutoka Mahakama ya Uhalifu wa Kivita (ICC) kufuatia tuhuma za ukatili dhidi ya binadamu zinazomkabili.Duterte amekamatwa leo Jum . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • March 10, 2025

Mwanafunzi aliyeongoza maandamano dhidi ya Israel akamatwa na maafisa wa usalama wa Marekani

Maafisa wa utawala wa Rais wa Marekani Donald Trump wamemkamata mwanafunzi raia wa Palestina aliyehitimu ambaye alihusika sana katika maandamano ya Wapalestina ya mwaka jana katika chuo kikuu cha Colu . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • March 7, 2025

Trump achelewesha ushuru wa Mexico baada ya kuzungumza na Rais Sheinbaum

Rais wa Marekani Donald Trump Alhamisi amechelewesha kwa wiki nne ushuru mpya wa asilimia 25 kwenye bidhaa nyingi kutoka Mexico na Canada kwa mauzo yake kuja  Marekani.Hatua hiyo ni sehemu ya mka . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • March 7, 2025

Asilimia 90 Ya Kipato Cha Mwanamke Hutumika kwa Ajili Ya Familia

Katika kusherehekea Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani, Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Binafsi (PPP), David Kafulila, kama ilivyo kawaida yake kupenda takwimu na t . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • March 6, 2025

Iran yakamilisha zoezi kubwa zaidi la kijeshi

Iran imekamilisha  miezi miwili ya mazoezi makali ya kijeshi katika miongo kadhaa huku ikijaribu kuzuia uwezekano wa mashambulizi kutoka kwa mahasimu wake Israel na Marekani.Watafiti hao wenye ma . . .

Kurasa 33 ya 130

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho

Habari Zaidi

  • Polisi Pwani Wakanusha Taarifa zinazosambaa Mitandaoni

    • 12 masaa yaliopita
  • Serikali Yaendelea Kuimarisha Ustawi wa Wazee Nchini

    • 13 masaa yaliopita
  • Unywaji wa kahawa waweza kukuongezea miaka mitano ya ziada ya ujana

    • 15 masaa yaliopita

Habari Category

  • Habari Zote
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
  • Habari Ndani Na Nje
  • Video
  • Uchumi Na Biashara
  • Magazeti
  • Makala

Wasiliana Nasi

JEMBE NI JEMBE GROUP ,
P. O. Box 1334,
PLOT NO.111/BLOCK "A"
HOUSE No:43 MAKONGORO STREET,
ILEMELA MWANZA - TANZANIA

info@jembenijembe.com

+ 255-786-385-475 ,
+ 255-716-385-475.

  • PRIVACY POLICY
  • TERMS AND CONDITIONS
  • STAFF LOGIN

POWERED BY

© Jembe Ni Jembe Companies.

Created And Maintained By XFoundationCode