logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Kitaifa Na Kimataifa

  • Pata Habari Zilizojili Pande Zote Duniani
Kitaifa
  • Na Asha Business
  • April 22, 2025

Waishauri Serikali matumizi Bajeti ya TAMISEMI

Ikiwa leo ni siku ya mwisho ya kujadiliwa kwa bajeti ya Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) baadhi ya Wananchi mkoani Dodoma wamejitokeza kutoa maoni yao kuhusu bajeti hiyo k . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • April 22, 2025

Papa Francis kuzikwa siku ya Jumamosi

Vatican imesema mazishi ya kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani Papa Francis yatafanyika siku ya Jumamosi.Baadhi ya viongozi ambao wamethibitisha kuhudhuria mazishi yake ni pamoja Rais wa Marekani . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • April 21, 2025

Jeshi la Sudan Kusini linasema linaudhibiti tena Mji wa Nasir

Msemaji wa jeshi la Sudan Kusini, amesema kuwa vikosi vya serikali vimeuteka tena mji wa Nasir ambao umekuwa kitovu cha mzozo wa kisiasa ambo umekuwa ukitokota nchini humo.Machafuko katika mji wa Nasi . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • April 21, 2025

Papa Francis Afariki dunia Akiwa na Umri wa Miaka 88

Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Francis, amefariki dunia leo Jumatatu akiwa na umri wa miaka 88, hatua inayofunga ukurasa wa uongozi wake uliojaa changamoto, migawanyiko na juhudi za kulifan . . .

Afrika Mashariki
  • Na Asha Business
  • April 21, 2025

Raila Aitisha Mkutano wa Dharura na Viongozi wa ODM Kufuatia Mvutano

Rais William Ruto amewaonya viongozi dhidi ya siasa za migawanyiko, akisema umoja ndio nguvu ya kweli ya Kenya. Akihutubia waumini wakati wa ibada ya kanisa huko Ntulele, Kaunti ya Narok, Jumapili, Ra . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • April 21, 2025

Marekani inapanga kufunga baadhi ya balozi zake barani Afrika

Marekani chini ya uongozi wa rais Donald Trump, inapanga kufunga baadhi ya Balozi zake katika mataifa ya Afrika, kwa mujibu wa ripoti iliyochapishwa na Gazeti la The New York Times.Ripoti hiyo inapend . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • April 20, 2025

Waziri Gwajima Akerwa na Udhalilishaji wa Mabinti Chuoni, Achukua Hatua

Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. Dorothy Gwajima ameeleza kusikitishwa juu ya kitendo cha mabinti kadhaa wa chuo kikuu wakishirikiana kumdhalilisha binti mwingine . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • April 20, 2025

Volodymyr Zelensky aishutumu Urusi kwa kufanya mashambulizi Jumapili ya Pasaka

Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky siku ya Jumamosi, Aprili 19, ameishtumu Urusi kwa kukiuka usitishaji vita ambao Rais wa Urusi Vladimir Putin alikuwa ametangaza tu kwa ajili ya Pasaka na kwamba Ukra . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • April 18, 2025

Ujumbe wa Rais Samia kwa Kapteni Ibrahim wa Burkina Faso

Mjumbe Maalum wa Rais Samia Suluhu Hassan, na Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Dk. Jakaya Mrisho Kikwete, amehitimisha ziara yake nchini Burkina Faso kwa kukutana na Rais wa nchi hiyo, Kapteni Ibrahim Tr . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • April 18, 2025

BASHE"Tutazuia mazao ya Afrika Kusini, Malawi"

Bashe alieleza kuwa notisi hiyo itaanza kutekelezwa kuanzia Jumatano wiki ijayo kama serikali isipopata mrejeshoSERIKALI imesema inawasiliana kwa mara ya mwisho na serikali za Afrika Kusini na Malawi . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • April 18, 2025

Msimamo wa Trump Kuhusu Canada Haujabadilika

Msemaji wa Ikulu ya White House ametangaza kuwa Rais wa Marekani Donald Trump bado ana nia ya kuiunganisha Canada na ardhi ya nchi hiyo na kuigeuza kuwa jimbo la 51 la Marekani.Katika wiki za karibuni . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • April 18, 2025

Ufaransa kuchunguza madai ya Haiti kuhusu kulipia uhuru wake

Tume ya pamoja ya wanahistoria wa Ufaransa na Haiti itachunguza suala lenye utata la kiasi cha pesa ambacho Paris ililazimisha koloni lake la zamani kulipia uhuru wake karne mbili zilizopita na kutoa . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • April 17, 2025

Vipaumbele 14 Vya Tamisemi Hivi Hapa

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa amesema Wizara yake imepanga kutekeleza vipaumbele 14 katika mpango wa bajeti wa mwaka 2025/26.Akiwasilisha makadirio ya mapato na matumizi k . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • April 17, 2025

Rais Mstaafu Jakaya Kikwete Afanya Mazungumzo na Rais wa Niger

Rais Mstaafu wa Tanzania na Mjumbe Maalum wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete amefanya mazungumzo na Rais wa Niger, Mhe. Jenerali Abdourahamane Tchiani katika Ikulu ya Niamey . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • April 17, 2025

Wasifu wa Aliyekuwa Mkurugenzi wa Tanesco

“Alikuwa zaidi ya kiongozi alikuwa dira ya maendeleo katika sekta ya nishati.”Katika taifa linalojenga msingi wa maendeleo kupitia nishati endelevu na miundombinu imara, jina la Mhandisi Gisima Ny . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • April 17, 2025

Mpatanishi wa mzozo wa DRC na Rwanda amekutana na rais Tshisekedi

Rais wa Togo Faure Gnassingbé, ambaye ni mpatanishi mpya katika mzozo kati Kinshasa na Kigali Rwanda, amekutana na mwenzake wa DRC Félix Tshisekedi katika ziara yake ya kwanza baada ya kuteuliwa kat . . .

AFYA
  • Na Asha Business
  • April 16, 2025

Daktari wa kuunda wanawake makalio aachiliwa kwa dhamana

DAKTARI wa masuala ya urembo aliyeshtakiwa kumuua mwanamke aliyeenda hospitali kwake kurembeshwa makalio ameachiliwa dhamana ya Sh1 milioni na mdhamini mmoja.Dkt Robert Maweu Mutula anayeshtakiwa pamo . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • April 16, 2025

Bloomberg "China yasitisha uwasilishaji wa ndege aina ya Boeing"

China imeamuru mashirika yake ya ndege kusitisha uwasilishaji wote wa ndege kutoka kwa kampuni ya kutengeneza ndege ya Marekani ya Boeing, huku kukiwa na vita vya kibiashara vinavyozidi kupamba moto n . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • April 16, 2025

WHO yafikia makubaliano ya kihistoria juu ya kujiandaa na kupambana na majanga ya siku zijazo

Baada ya mazungumzo ya zaidi ya miaka mitatu, nchi wanachama wa Shirika la Afya Duniani (WHO) zimeidhinisha makubaliano ya kihistoria siku Jumatano, Aprili 16, yenye lengo la kujiandaa vyema na kupamb . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • April 15, 2025

Carina Afariki Dunia Nchini India

Habari zilizotufilia hivi punde, zinaeleza kuwa mwanadada Carolina Hawa almaarufu Carina aliyekuwa akitibiwa nchini India, amefariki dunia.Taarifa za awali zinaeleza kuwa Carina alitarajiwa kurejea Ta . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • April 15, 2025

DKT , SAMIA SULUHU HASSANI AWASILISHA UJUMBE KWA WAZIRI WA CONGO

Rais wa Awamu ya Nne na Mjumbe Maalum wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete amewasilisha Ujumbe Maalum kwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Congo (Congo Brazzaville), Mhe.  COLLIN . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • April 15, 2025

DKT , SAMIA SULUHU HASSANI AWASILISHA UJUMBE KWA WAZIRI WA CONGO

Rais wa Awamu ya Nne na Mjumbe Maalum wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete amewasilisha Ujumbe Maalum kwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Congo (Congo Brazzaville), Mhe.  COLLIN . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • April 15, 2025

UNICEF" Watoto waathirika pakubwa na mzozo wa miaka miwili Sudan"

Idadi ya vitendo vya ukatili dhidi ya watoto nchini Sudan, kuanzia kwenye mauaji hadi utekaji, vimeongezeka kwa zaidi ya asilimia elfu 1 kufuatia vita ya wenywe kwa wenyewe iliyodumu kwa miaka miwili . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • April 14, 2025

Ratiba ya Mazishi ya aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Tanesco na Dereva Wake

. . .

siasa
  • Na Asha Business
  • April 14, 2025

Kiongozi wa Mapinduzi Gabon Jenerali Nguema Ashinda Uchaguzi

Brice Oligui Nguema, ambaye mwaka 2023 aliongoza mapinduzi yaliyomuondoa madarakani Rais Ali Bongo, ameshinda rasmi uchaguzi wa rais wa Jumamosi kwa zaidi ya asilimia 90 ya kura, kwa mujibu wa matokeo . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • April 11, 2025

China nayo yajibu Rais Trump kwa kuongeza ushuru

CHINA Ijumaa ilimjibu Rais Donald Trump kwa kuongeza ushuru kwa bidhaa inazoagiza kutoka Amerika kwa asilimia 125, huku ubabe wa kibiashara kati ya nchi hizo ukiendelea kutikisa ulimwengu kibiashara.R . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • April 11, 2025

Gabon: Wagombea wanane akiwemo kiongozi wa kijeshi wanawania uchaguzi wa urais

Wananchi wa Gabon wanajiandaa kupiga kura kesho kumchagua rais, katika uchaguzi wa kwanza katika nchi hiyo ya Afrika ya Kati, baada ya kutokea kwa mapinduzi ya kijeshi mwaka 2023.Siku ya Ijumaa ndio y . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • April 10, 2025

Shaka Ssali Kuagwa Leo Marekani

Shughuli ya kumuaga nguli wa tasnia ya habari Afrika na duniani, Shaka Ssali inatarajiwa kufanyika leo, April 10, 2025.Shaka, mzaliwa wa Kabale, Uganda alikuwa akifanya kazi kwa muda mrefu katika Shir . . .

bungeni
  • Na Asha Business
  • April 9, 2025

Milioni 98 kuanzisha ujenzi Kituo cha Mabasi Rorya

Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Dkt. Festo Dugange amesema Serikali imeweka mikakati dhabiti kwaajili ya kujenga kituo cha mabasi katika Halmashauri ya Wila . . .

AFYA
  • Na Asha Business
  • April 8, 2025

UN yaonya hatari ya ongezeko la vifo wakati wa kujifungua

Hatua zilizopigwa katika kupunguza vifo vya akina mama wakati wa kujifungua, huenda zikaathiriwa kutokana na kupungua kwa ufadhili wa sekta ya afya Duniani.Hayo yamebaijishwa na Umoja wa Mataifa – U . . .

Kurasa 32 ya 130

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho

Habari Zaidi

  • Polisi Pwani Wakanusha Taarifa zinazosambaa Mitandaoni

    • 11 masaa yaliopita
  • Serikali Yaendelea Kuimarisha Ustawi wa Wazee Nchini

    • 11 masaa yaliopita
  • Unywaji wa kahawa waweza kukuongezea miaka mitano ya ziada ya ujana

    • 14 masaa yaliopita

Habari Category

  • Habari Zote
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
  • Habari Ndani Na Nje
  • Video
  • Uchumi Na Biashara
  • Magazeti
  • Makala

Wasiliana Nasi

JEMBE NI JEMBE GROUP ,
P. O. Box 1334,
PLOT NO.111/BLOCK "A"
HOUSE No:43 MAKONGORO STREET,
ILEMELA MWANZA - TANZANIA

info@jembenijembe.com

+ 255-786-385-475 ,
+ 255-716-385-475.

  • PRIVACY POLICY
  • TERMS AND CONDITIONS
  • STAFF LOGIN

POWERED BY

© Jembe Ni Jembe Companies.

Created And Maintained By XFoundationCode