logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Kitaifa Na Kimataifa

  • Pata Habari Zilizojili Pande Zote Duniani
Kimataifa
  • Na Asha Business
  • February 18, 2025

Israeli yataka 'kuondolewa kabisa kwa wanajeshi' katika Ukanda wa Gaza

Israeli inadai "kuondolewa kabisa kwa wanajeshi katika Ukanda wa Gaza" baada ya vita, Waziri wa Mambo ya Nje wa Israel Gideon Saar amesema siku ya Jumanne.Israeli imedhamiria kufikia "kuachiliwa kwa m . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • February 18, 2025

Mamia ya wafanyakazi wa safari za ndege Marekani wapoteza ajira

Utalawa wa Trump umeanza kufuta kazi mamia ya wafanyakazi wa idara ya safari za anga na kusababisha hali ya sintofahamu kuelekea kwa wikiendi yenye shughuli nyingi za usafiri wa anga, wiki chache baad . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • February 17, 2025

Spika wa bunge la Uganda ameekewa vikwazo na Uingereza kutokana na wizi wa mabati

Serikali ya Uingereza imetangaza vikwazo kadhaa dhidi ya spika wa bunge la Uganda na maafisa wengine wa ngazi ya juu serikalini.Spika Anita Among na wabunge wawili wa chama tawala cha NRM, wamewekewa . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • February 17, 2025

Mpaka wa Bugarama na Kamanyola wafungwa kutokana na kusonga mbele kwa M23

M23 inayoungwa mkono na Rwanda yuko rasmi katika mji mkuu wa mkoa wa Kivu Kusini, Bukavu, tangu mapema Jumapili asubuhi. Msemaji wa jeshi la Kongo amethibitisha uwepo wa waasi hao katika mji wa Bukavu . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • February 17, 2025

Saudi Arabia kuwa mwenyeji wa mkutano wa maandalizi ya mkutano wa Trump na Putin kuhusu Ukraine

Saudi Arabia itakuwa mwenyeji wa mkutano wa maandalizi kati ya maafisa wakuu wa Urusi na Marekani siku ya Jumanne, Februari 18, kabla ya mkutano wa kilele kati ya marais wa Urusi na Marekani kuhusu Uk . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • February 17, 2025

Waziri Mkuu wa zamani wa Mauritius akabiliwa na kesi ya wizi wa fedha

Mahakama ya Mauritius imemuachilia kwa dhamana Waziri Mkuu wa zamani Pravid Jugnauth, baada ya kukamatwa Jumamosi kwa tuhuma za usafirishaji haramu wa fedha, baada ya masanduku yaliojaa fedha kupatika . . .

matukio
  • Na Asha Business
  • February 16, 2025

Vijana 132 Wakamatwa Pwani Kwa Kujihusisha Na Biashara Ya Kitapeli, RPC Pwani Afunguka Tukio Zima

Vijana takribani 132 wenye umri wa kati ya miaka 18 na 22 kutoka mikoa mbalimbali, hasa ya pembezoni mwa Tanzania, wamekutwa huko Mlandizi, Kibaha Vijijini, mkoani Pwani, wakijihusisha na biashara ya . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • February 14, 2025

Serikali yakanusha bandari ya Bagamoyo kuchukuliwa

Serikali imesema kwamba taarifa zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii kwamba kampuni moja kutoka Saudi Arabia imepata mkataba wa uwekezaji wa kujenga na kuendesha Bandari ya Bagamoyo sio za kweli.Ta . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • February 14, 2025

Asilimia 40 ya watumishi wa umma hawafanyi kazi

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora,  Mhe. George Simbachawene amesema zaidi ya asilimia 40 ya Watumishi wa Umma hawafanyi kazi licha ya kulipwa mshahar . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • February 14, 2025

Rais Samia Awasili Addis Ababa Kushiriki Mkutano Wa 38 Wa AU

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,  Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewasili leo, tarehe 14 Februari 2025, katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Bole, Addis Ababa, nchini Ethiopia, kwa ajili ya . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • February 14, 2025

Papa Francis amelazwa hospitali

Papa Francis mwenye umri wa miaka 88 amekuwa Papa tangu 2013 na amekuwa akisumbuliwa na matatizo ya kiafya mara kadhaa.Papa Francis amepelekwa hospitali leo Ijumaa saa za asubuhi za Italia kwa ajili y . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • February 13, 2025

DR Congo Yapiga Marufuku Ndege Za Rwanda

Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) imepiga marufuku ndege zote zilizosajiliwa nchini Rwanda kutumia anga yake kutokana na vita vya uchokozi vinavyoendelea, Shirika la Habari la Kongo (ACP) limetan . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • February 7, 2025

Urusi na Uingereza kwenye mzozo kidiplomasia

Mwanadiplomasia wa Urusi amefukuzwa nchini Uingereza katika mzozo wa hivi karibuni wa kurushiana maneno baada ya Moscow kumtimua afisa wa Uingereza mwaka jana.Waziri wa mambo ya nje wa Uingereza David . . .

Afrika Mashariki
  • Na Asha Business
  • February 7, 2025

Burundi kuwatuma wanajeshi wake katika Mji wa Bukavu nchini DRC

Nchi ya Burundi, imetuma wanajeshi wake katika eneo la Gatumba kwenye mpaka wa DRC, ambapo wanatarajiwa kutumwa katika Mji wa Bukavu, Mji Mkuu wa Kivu Kusini.Tangu mwaka wa 2023 mwezi Septemba, B . . .

AFYA
  • Na Asha Business
  • February 7, 2025

WHO yasema kuwa njia zaidi za uokozi kutoka Gaza zinahitajika

Afisa wa ngazi ya juu wa Shirika la Afya Duniani WHO, huko Gaza amesema Alhamisi  kuwa njia zaidi  za kutoka zinahitajika ili kufanya uokozi wa kimatibabu kwa maelfu ya Wapalestina wakiwemo . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • February 6, 2025

Afrika Kusini Yataka Marekani Iwekwe Vikwazo Last updated Feb 6, 2025

waziri wa Madini na Rasilimali za Petroli wa Afrika Kusini, Gwede Mantashe ametoa wito kwa nchi za Afrika kusimamisha mauzo ya madini kwenda Marekani.Mwito huo umetolewa baada ya Rais Donald Trump wa . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • February 5, 2025

Hamas yapinga mapendekezo ya Trump kudhibiti Gaza na kuwaondoa raia

Wapiganaji wa Hamas wamelaani vikali matamshi ya rais wa Marekani Donald Trump kuhusu mipango yake ya kuidhibiti Gaza na kuwahamishia wakaazi katika mataifa mengine iwapo wanataka kuondoka au la.Trump . . .

Afrika Mashariki
  • Na Asha Business
  • February 5, 2025

Mwanahabari Mkongwe Afariki Dunia Uingereza

Taarifa zilizotolewa na Shirika la Habari la Uingereza (BBC) zinasema mwandishi wa mkongwe nchini ambaye aliwahi kuwa mtangazaji wa BBC, Ahmed Rajab amefariki dunia jana jioni huko London, Uingereza.A . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • February 5, 2025

Zaidi ya watu 10 wauwawa kwenye mashambulizi ya bunduki shuleni, Sweden

Takriban watu 10 Jumanne wameuwawa kwenye ufyatulianaji wa risasi kwenye kituo kimoja cha elimu kati kati mwa Sweden akiwemo mshambuliaji, maafisa wa polisi wamesema.Shambulizi hilo limeorodheshwa kuw . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • January 31, 2025

Uganda kuimarisha vikosi vyake nchini DRC kulingana na jeshi la UPDF

Jeshi la Uganda, UPDF katika taarifa yake limesema litaimarisha ulinzi katika maeneo yake ya oparesheni hadi pale ambapo hali ya kawaida itakaporejea nchini DRC.Kwa mujibu wa UPDF, hatua hii imechukul . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • January 31, 2025

Kisanduku Cheusi Ajali Ya Ndege iliyosababisha Vifo 67 Chapatikana

Mamlaka nchini Marekani zimesema zimefanikiwa kukipata kisanduku cheusi cha ndege ya abiria iliyogongana na helikopta ya kijeshi ya Black Hawk na kusababisha maafa makubwa.Ajali hiyo imesababisha vifo . . .

matukio
  • Na Asha Business
  • January 31, 2025

Mama wa Marehemu Bwire wa Alliance Afariki Dunia Siku ya Mazishi ya Mwanae

Siku chache tangu aliyekuwa Mmiliki wa Shule za Alliance, James Bwire kufariki dunia, mama yake mzazi, Nchagwa Manga naye amefariki dunia leo, Januari 31, 2025 muda mfupi kabla ya kufanyika kwa shughu . . .

Dini
  • Na Asha Business
  • January 30, 2025

Sheikh Muhammad Idd afariki dunia

Sheikh maarufu nchini, Sheikh Muhammad Idd Muhammad, amefariki dunia leo tarehe 30, Januari, 2025Kwa mujibu wa taarifa ya Ofisi ya Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania, kifo chake kimetokea katika Hospita . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • January 30, 2025

Félix Tshisekedi ahutubia taifa na kutangaza kwamba jibu 'linaendelea'

Hii ni mara ya kwanza kwa rais wa Kongo kuzungumza tangu mashambulizi ya waasi katika siku za hivi karibuni mashariki mwa nchi hiyo, huko Goma. Wakati wa hotuba yake kwa taifa, rais wa Kongo ametangaz . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • January 30, 2025

Jumuia ya Afrika Mashariki yaiomba DRC kuzungumza na waasi wa M23

Jumuia ya Afrika Mashariki Jumatano imeitaka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kuzungumza na “wadau wote”, wakiwemo wapiganaji wanaoungwa mkono na Rwanda, ili kumaliza mapigano katika eneo la masha . . .

Afrika Mashariki
  • Na Asha Business
  • January 29, 2025

Unaota mchana, Kindiki asuta Gachagua kwa kusema Ruto hatashinda muhula wa pili

NAIBU Rais Profesa Kithure Kindiki amemwambia mtangulizi wake Rigathi Gachagua kuwa kauli yake kwamba Rais William Ruto atakuwa rais wa muhula moja ni ndoto na halitakuwa jambo rahisi kutimiza.Ubabe k . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • January 29, 2025

Shirika la ndege la Ubelgiji lasitisha safari zake kwenda na kutoka DRC

Shirika la ndege la Ubelgiji limetangaza kusitisha safari zake za leo Jumatano kwenda na kutoka jijini Kinshasa kutokana na machafuko yalioshuhudiwa kwenye eneo hilo.Uharibifu wa mali uliripotiwa Kins . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • January 29, 2025

Burkina Faso, Mali na Niger zaondoka rasmi kwenye ECOWAS

Maelfu ya watu katika nchi za Niger, Mali na Burkina Faso zinazoongozwa na serikali za kijeshi Jumanne waliandamana kuunga mkono uamuzi wa nchi hizo wa kujiondoa kwenye Jumuia ya kiuchumi ya nchi za A . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • January 29, 2025

Waasi wa M23 wauteka uwanja wa ndege wa Goma, Marekani yahimiza raia wake kuondoka DRC

Kundi la waasi wa M23 Jumanne lilichukua udhibiti wa uwanja wa ndege wa mji wa Goma, chanzo cha usalama kimesema, kufuatia mapigano ya siku tatu ambayo yameua zaidi ya watu 100.Karibu watu 1,000 walij . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • January 28, 2025

Maelfu ya Wapalestina warejea Gaza City

Maelfu ya Wapalestina walimiminika kuelekea Gaza city Jumatatu, huku Israel ikifungua vituo vya ukaguzi na kuwaruhusu watu kurejea katika maeneo ya kaskazini mwa eneo hilo ambalo lilikuwa limefungwa t . . .

Kurasa 35 ya 130

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho

Habari Zaidi

  • Polisi Pwani Wakanusha Taarifa zinazosambaa Mitandaoni

    • 12 masaa yaliopita
  • Serikali Yaendelea Kuimarisha Ustawi wa Wazee Nchini

    • 13 masaa yaliopita
  • Unywaji wa kahawa waweza kukuongezea miaka mitano ya ziada ya ujana

    • 15 masaa yaliopita

Habari Category

  • Habari Zote
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
  • Habari Ndani Na Nje
  • Video
  • Uchumi Na Biashara
  • Magazeti
  • Makala

Wasiliana Nasi

JEMBE NI JEMBE GROUP ,
P. O. Box 1334,
PLOT NO.111/BLOCK "A"
HOUSE No:43 MAKONGORO STREET,
ILEMELA MWANZA - TANZANIA

info@jembenijembe.com

+ 255-786-385-475 ,
+ 255-716-385-475.

  • PRIVACY POLICY
  • TERMS AND CONDITIONS
  • STAFF LOGIN

POWERED BY

© Jembe Ni Jembe Companies.

Created And Maintained By XFoundationCode