logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Kitaifa Na Kimataifa

  • Pata Habari Zilizojili Pande Zote Duniani
Afrika Mashariki
  • Na Asha Business
  • October 14, 2024

Wabunge wa Wiper waliounga hoja ya kumtimua Gachagua kuadhibiwa, Kalonzo atangaza

KIONGOZI wa chama cha Wiper, Kalonzo Musyoka, amekosa mchakato unaoendelea wa kumfurusha Naibu Rais Rigathi Gachagua akisema wale wa Wiper waliounga hoja hiyo wataadhibiwa.Bw Musyoka aliwakosoa wabung . . .

Afrika Mashariki
  • Na Asha Business
  • October 11, 2024

MAKABURI YAGEUZA KUWA JALALA LA TAKA TAKA

MAREHEMU wanatakiwa kupumzika kwa amani, angalau ndivyo watu wanavyosema wakitoa heshima za mwisho kwa marehemu.Lakini katika mji wa Homa Bay Nchini Kenya, makaburi ya umma yamegeuzwa kuwa jaa la taka . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • October 11, 2024

Maafisa tisa wa utawala uliopinduliwa 'wavuliwa' uraia wao kwa muda

Maafisa tisa wa utawala wa kiraia wa Niger uliopinduliwa mnamo Julai 2023 "wamevuliwa" uraia wao, baada ya kushukiwa haswa "ujasusi kwa mataifa ya kigeni" na "njama dhidi ya mamlaka ya serikali", seri . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • October 11, 2024

Dkt. Biteko ajiandikisha kwenye Daftari la Wapiga Kura

Picha: Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko akiwa kwenye foleni ya kujiandikisha katika Daftari la Wapiga Kura katika Kituo cha Kujiandikisha cha Shule ya Msingi Bulangwa kilichopo . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • October 10, 2024

ZAIDI YA MITUNGI YA GESI 1,500 YATOLEWA KWA BEI YA RUZUKU

ZAIDI YA MITUNGI YA GESI 1,500 YATOLEWA KWA BEI YA RUZUKU BUKOMBE . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • October 10, 2024

DC MURAGILI "HIZI NDIZO FURSA ZINAZOPATIKANA BUKOMBE"

HAYA NI MAANDALIZI YA KUKARIBISHA SIKU YA WALIMU DUZIANI . . .

matukio
  • Na Asha Business
  • October 10, 2024

Mtoto Joel Aliyepotea Mlimani Arusha Apatikana

Mwanafunzi wa Shule ya Sekondari Bagara, Joel Mariki, aliyedaiwa kupotea tangu Septemba 14, 2024 eneo la Mlima Kwaraa mjini Babati mkoani Manyara, ambapo alikwenda kufanya mafunzo kwa vitendo na kupot . . .

Afrika Mashariki
  • Na Asha Business
  • October 9, 2024

Bunge la Seneti kujadili hoja ya kumuondoa madarakani naibu wa rais Rigathi Gachagua

Bunge la Seneti limekutana katika kiako cha dharura kupokea hoja kutoka kwa Kiongozi wa walio wengi Aaron Cheruyot baada ya Baraza la Wawakilishi kupiga kura ya kumuondoa madarakani Gachagua siku ya J . . .

matukio
  • Na Asha Business
  • October 9, 2024

Wanne wa Kampuni ya Mikopo ya OYA Watuhumiwa Kuua Wakati Wakidai Marejesho

Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani linawashikilia watu wanne kwa tuhuma za mauaji ya Juma Said Mfaume, Miaka 40, Mfanyabiashara na mkazi wa Mbagala Mlandizi.Inadaiwa kuwa tarehe 7/10/2024 katika kitongoji . . .

Afrika Mashariki
  • Na Asha Business
  • October 8, 2024

Mahakama Yakataa Tena Kutoa Amri ya Kusimamisha Kesi ya Kumuondoa Gachagua

Mahakama Kuu nchini Kenya kwa mara ya pili imekataa kutoa amri ya kusimamisha kesi ya kumuondoa madarakani Naibu Rais, Rigathi Gachagua.Suala hilo lilitajwa jana mbele ya Jaji Bahati Mwamuye, aliyeele . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • October 6, 2024

Waziri Mkuu" Shirikisheni Sekta Binafsi katika Mipango ya Kimaendeleo"

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka watumishi wa halmashauri nchini kuendelea kuweka mikakati ya kushirikisha sekta binafsi katika mipango ya kimaendeleo.Amesema kuwa kwa kufanya hivyo kutasaidia ku . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • October 6, 2024

RC Sendiga atoa maagizo ujenzi Nyumba ya Mganga

Mkuu wa Mkoa wa Manyara Queen Cuthbert Sendiga leo Oktoba 6, 2024 ameanza ziara yake ya siku 4 Katika wilaya ya Kiteto Mkoani humo na kukagua mradi wa ujenzi wa tanki la maji Nchinila.Akiwa katika Kat . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • October 4, 2024

MSIWAGEUZE WATOTO WENU KITEGA UCHUMI

Wanafunzi 52 waliomaliza darasa la saba katika shule ya Msingi Maendeleo wakimsikiliza Mwenyekiti wa chama cha wachimbaji wadogo wa dhahabu  wilaya ya Igunga, Peter Mashili katika mahafali yaliyo . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • October 4, 2024

Wakati hali ya usalama ikiwa tete katika eneo la Mashariki ya kati, Kiongozi wa Korea Kaskazini, Kim Jong Un naye ametishia kutumia silaha za Nyuklia, ili kuisambaratisha Korea Kusini, iwapo nchi hiyo italeta uchokozi kwa Taifa lake. Taarifa iliyotolewa na Vyombo vya Habari nchini humo, imeeleza kuwa onyo hilo limekuja baada ya Kiongozi wa Korea Kusini kumuonya Kim kwamba ataangushwa iwapo atathubutu kutumia zana za nyuklia.

Wakati hali ya usalama ikiwa tete katika eneo la Mashariki ya kati, Kiongozi wa Korea Kaskazini, Kim Jong Un naye ametishia kutumia silaha za Nyuklia, ili kuisambaratisha Korea Kusini, iwapo nchi hiyo . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • October 2, 2024

Usalama wa wanahabari upo hatarini Marekani- CPJ yasema

Ripoti iliyotolewa Jumanne imesema kuwa wakati uchaguzi wa Rais wa Marekani ukikaribia, usalama wa wanahabari haujahakikishwa kwa mujibu wa marekebisho ya kwanza ya Katiba ya Marekani.Wanahabari wa Ma . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • October 2, 2024

Iran yarusha zaidi ya makombora 150 ndani ya Israel

Iran Jumanne imefanya shambulizi kubwa la makombora dhidi ya Israel, hatua ambayo inaashiria kusambaa kwa mzozo kati ya Israel na mataifa ya Kiislamu ya kieneo.Jeshi la Israel limesema kuwa kombora la . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • October 1, 2024

Ndege ya Kwanza Kutengenezwa Tanzania, Skyleader 600 Yaanza Rasmi Safari Zake

Kampuni ya Airplanes Africa Limited (AAL) yenye makao yake Morogoro, imetangaza kuwa ndege tatu za kwanza zilizotengenezwa Tanzania, zinazojulikana kama Skyleader 600, zimeanza rasmi safari zake ndani . . .

Afrika Mashariki
  • Na Asha Business
  • September 30, 2024

Wabunge Kuwasilisha Pendekezo la Kumwondoa Naibu Rais wa Kenya Bunge la Seneti

Wabunge wanatarajiwa kuwasilisha pendekezo la kumwondoa Naibu Rais, Rigathi Gachagua katika nafasi hiyo, Oktoba 1, 2024 ikielezwa kuwa mchakato wa kukusanya sahihi za kupitisha hoja hiyo unaendeleaMus . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • September 30, 2024

Le Pen afunguliwa mashtaka kwa matumizi mabaya ya fedha za bunge la EU

Mwanasiasa wa upinzani nchini Ufaransa Marine Le Pen, ambaye alikuwa kiongozi wa muda mrefu wa chama cha siasa za mrengo wa Kulia, National Rally, amefunguliwa mashtaka jijini Paris, kwa madai ya matu . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • September 30, 2024

Maandamano mapya Oktoba Mosi, Polisi watoa tamko

Sehemu ya raia wa Nigeria wametangaza nia yao ya kufanya maandamano siku ya Jumanne, Oktoba 1, wakati taifa hilo la Afrika Magharibi litakapokuwa likiadhimisha miaka 64 ya uhuru wake.Mratibu wa kitaif . . .

matukio
  • Na Asha Business
  • September 30, 2024

Kisa Shilingi 200: Rasta auwa Mtu Morogoro

Mkazi wa Kijiji cha Sinyaulime Tarafa ya Ngerengere Wilaya na Mkoa wa Morogoro, Kulwa Bosco (27),  anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za mauaji ya Hussein Steven (35), mkazi wa Ngerengere . . .

matukio
  • Na Asha Business
  • September 29, 2024

MIILI YA WATU WATATU YAKUTWA MSITUNI IKIWA IMECHOMWA MOTO KWENYE IST

Jeshi la Polisi mkoani Tanga limefanikiwa kuwatambua watu watatu ambao miili yao ilikutwa imechomwa moto ndani ya gari dogo aina ya IST katika Msitu wa Hifadhi, kijiji cha Sinden, wilayani Handeni.Taa . . .

Afrika Mashariki
  • Na Asha Business
  • September 27, 2024

Wandayi " JKIA haiwezi kuishiwa na mafuta"

WAZIRI wa Kawi na Mafuta Opiyo Wandayi amepuuzilia mbali ripoti kuwa  Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta (JKIA) ulikumbwa na uhaba wa mafuta ya ndege, hali iliyochelewesha safari za nd . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • September 27, 2024

Kamala Harris aahidi kuinga mkono Ukraine katika vita dhidi ya Russia

Makamu wa Rais wa Marekani Kamala Harris Alhamisi aliahidi msaada kwa Ukraine, akimuzungumzia mpinzani wake Donald Trump bila kumtaja jina, akisema wale ambao wanataka Ukraine ibadilishe ardhi yake kw . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • September 27, 2024

Algeria kuweka visa kwa raia wa Morocco kutokana na 'vitendo vinavyodhuru' utulivu wake

Algeria, ambayo haina tena uhusiano wa kidiplomasia na Morocco tangu 2021, imeamua mara moja tangu siku ya Alhamisi kuweka visa ya kuingia nchini humo kwa raia wa Morocco. Algiers inaishutumu Rabat kw . . .

matukio
  • Na Asha Business
  • September 26, 2024

Familia Busia Yazika Mgomba baada ya Kumtafuta Mwanao Aliyetoweka Miaka 2 Iliyopita Bila Mafanikio

Familia moja katika Kijiji cha Akipeneti, Kata Ndogo ya Buteba, Wilaya ya Busia, imefanya mazishi ya ishara kwa mgomba.Hatua hii ilichukuliwa baada ya kutomwona mwanao,Kennedy Were Wanga, kwa miaka mi . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • September 26, 2024

Tshisekedi ataka Rwanda iwekewe vikwazo kwa kuunga mkono M23

Rais Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Félix Antoine Tshisekedi Tshilombo ametoa wito kwa Jumuiya ya kimataifa kuchukuwa vikwazo dhidi ya Rwanda kutokana na kile alichokiita kuwaunga mkono waasi wa M2 . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • September 26, 2024

Benin yawakamata watu watatu wanaoshukiwa kupanga mapinduzi

Waendesha mashtaka wa Benin Jumatano walisema kwamba watu watatu mashuhuri akiwemo kamanda wa kikosi cha ulinzi wa rais walikamatwa kwa tuhuma za kupanga “mapinduzi” katika taifa hilo dogo la Afri . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • September 25, 2024

Afrika"Tunataka nafasi za kudumu kwenye Baraza la Usalama la UN"

Nigeria imejiunga kwenye orodha kubwa ya viongozi wa Afrika waliopo kwenye mkutano wa 79 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa unaoendelea mjini New York, kutaka mageuzi kwenye Baraza la Usalama.Kwa muda . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • September 25, 2024

Rais mpya wa Sri Lanka alivunja bunge na kumteua waziri mkuu mwanamke

Rais mpya wa Sri Lanka Anura Kumara Dissanayake alilivunja bunge Jumanne na kuitisha uchaguzi wa bunge ndani ya chini ya wiki tatu katika juhudi za kuimarisha mamlaka yake baada ya ushindi wake kwenye . . .

Kurasa 42 ya 130

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho

Habari Zaidi

  • Miaka kumi ya Jembefm

    • 5 masaa yaliopita
  • Madhara ya kichokonoo kwenye meno

    • 6 masaa yaliopita
  • Chaguzi za UDA kupima nguvu zake Mlima Kenya

    • 6 masaa yaliopita

Habari Category

  • Habari Zote
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
  • Habari Ndani Na Nje
  • Video
  • Uchumi Na Biashara
  • Magazeti
  • Makala

Wasiliana Nasi

JEMBE NI JEMBE GROUP ,
P. O. Box 1334,
PLOT NO.111/BLOCK "A"
HOUSE No:43 MAKONGORO STREET,
ILEMELA MWANZA - TANZANIA

info@jembenijembe.com

+ 255-786-385-475 ,
+ 255-716-385-475.

  • PRIVACY POLICY
  • TERMS AND CONDITIONS
  • STAFF LOGIN

POWERED BY

© Jembe Ni Jembe Companies.

Created And Maintained By XFoundationCode