MWANAUME mmoja alihukumiwa kifungo cha miezi mitatu jela na mahakama moja mjini Kakamega kwa kuiba mahindi ya thamani ya Sh70.Bw Meshack Opandiandiati alitenda kosa hilo katika shamba moja katika kiji . . .
Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) Kanda ya Kaskazini kwa kushirikiana na Asasi ya Youth and Community Rehabilitation (YCR) tarehe 22.08.2024 imeongoza kampeni maalum ya uokot . . .
Almasi kubwa ya kipekee, ambayo ni ya pili kwa ukubwa duniani kwa karati 2,492, na ambayo haitoshi kwa urahisi kwenye kiganja cha mkono, imepatikana kwenye mgodi mmoja nchini Botswana, kampuni ya uchi . . .
Rais wa zamani wa Marekani, Barack Obama amewaambia wanachama wenzake wa Democratic mjini Chicago kuwa kijiti kimekabidhiwa kwa Kamala Harris, na anatosha kuiongoza nchi hiyo.Akihutubia wakati wa kump . . .
Vikosi vya Ukraine, vimeharibu madaraja yote matatu ya Mto Seym magharibi mwa Russia, kwa mujibu wa vyanzo vya Russia, wakati uvamizi wa Kyiv ukiingia wiki yake ya tatu Jumanne.Kuvamia kwa Kyiv katika . . .
MWANAMKE aliyepatikana na hatia ya mauaji ya mume wake mnamo Jumanne alipewa hukumu ndogo baada ya kuomba msamaha kwa baba mkwe kutokana na kosa hilo.Inadaiwa Abigael Yego mwenye umri wa miaka 32 alim . . .
Serikali ya Malawi imepokea malipo ya bima ya dola milioni 11.2 kwa ukame unaohusishwa na El Nino ambao ulisababisha taifa hilo la kusini mwa Afrika kutangaza hali ya maafa mapema mwaka huu.Malipo hay . . .
Ama kweli tumetoka mbali sana, lakini tu niseme teknolojia na ugunduzi wa mambo mbalimbali umekuwa kwa kasi, kwani tulipotoka na tulipo ukilinganisha unaweza pata cheko la masikitiko.Nisikuchoshe sana . . .
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) inatarajia kupokea dozi za kwanza za chanjo dhidi ya mlipuko wa Homa ya Mpox wiki ijayo katika nchi hii ambapo ugonjwa huo tayari umeua takriban watu 570, Waziri . . .
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dk. Dorothy Gwajima amewataka wananchi kuwa wavumilivu wakati sakata la binti anayedaiwa kudhalilishwa kwa kubakwa na kulawitiwa . . .
Umoja wa Mataifa unashutumu ghasia "zisizokubalika" ambazo zimekuwa zikifanyika dhidi ya wahudumu wa masuala ya kibinadamu, ambapo 280 kati yao wameuawa duniani kote mwaka 2023, rekodi iliyochochochew . . .
Upinzani nchini Venezuela umeahidi kuendelea na maandamano wakati wa maandamano huko Caracas, Jumamosi Agosti 17, kwenda "hadi mwisho" kupinga kuchaguliwa tena kwa ais Nicolás Maduro mwishoni mwa mwe . . .
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi amesema Tamasha la Kizimkazi ni fursa muhimu kwa Mkoa wa Kusini kuongeza vivutio vya utalii na kuwavutia wawekezaji kuwek . . .
Bunge la Thailand limemchagua Paetongtarn Shinawatra, binti wa bilionea na kiongozi wa zamani Thaksin, kuwa waziri mkuu.Akiwa na umri wa miaka 37, atakuwa Waziri Mkuu mdogo zaidi nchini na mwanamke wa . . .
MKUU wa Mkoa wa Arusha, Paul Christian Makonda leo Agosti 16, 2024 amefanya ukaguzi wa Jengo la abiria katika Kiwanja cha Ndege cha Arusha ambapo zaidi ya Shilingi bilioni 2.7 zimetumik . . .
Shirika la Afya Duniani (WHO) limetangaza mlipuko wa ugonjwa wa mpox katika baadhi ya maeneo ya Afrika kuwa dharura ya kiafya ya umma.Ugonjwa unaoambukiza sana – ambao zamani ulijulikana kama monkey . . .
White House Alhamisi imesema kwamba mazungumzo ya kusitisha mapigano huko Gaza ambayo yameanza tena huko Doha, nchini Qatar pamoja na maafisa wakuu wa Marekani, “yameanza kwa matumaini” lakini hak . . .
MBUNGE wa Jimbo la Mtama, Nape Nnauye ameutahadharisha Umma wa watanzania kwamba hana akauti yoyote ya mtandao wa kijamii inayofanya kazi kwa sasa (iliyo-active).Nape amelazimika kutoa ufafanuzi huu k . . .
Iran imeukataa wito wa mataifa ya Magharibi wa kuacha vitisho vyake vya kulipiza kisasi dhidi ya Israel kwa mauaji ya kiongozi wa kisiasa wa kundi la Hamas, Ismail Haniyeh.Msemaji wa Wizara ya Mambo y . . .
Mpaka wa Kasumbalesa kati DRC na Zambia unafunguluwa tena Jumanne asubui Agosti 12, 2024, baada ya kufungwa kwa muda wa siku tatu. Kituo hiki cha mpakani ni cha pili kwa umuhimu nchini DRC . . .
Nchini DRC, chama cha rais, Union for Democracy and Social Progress (UDPS), kinazama zaidi katika mgogoro unaokikabili kwa sasa. siku ya Jumapili hii, Augustin Kabuya, kiongozi wa chama hicho cha rais . . .
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za mitaa, Mohamed Mchengerwa amepiga marufuku vitendo vya udhalilishaji dhini ya walimu napiga marufuku na kusisitiza kuwa kuanzia sasa natak . . .
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt,Samia Suluhu Hassan leo Agosti 11,2024 amewasili Nchini Rwanda kwaajili ya kushiriki Sherehe za uapisho wa Rais mteule wa Nchi hiyo, Paul Kagame. . . .
POLISI wa Kenya wanaendeleza ukatili dhidi ya wanahabari wakifuatilia maandamano, licha ya mashirika ya humu nchini na ya kimataifa kuwataka kuheshimu uhuru wa kukusanya na kusambaza habari.Mnamo Alha . . .
Mshindi wa Tuzo ya Amani ya Nobel, Muhammad Yunus, ameapishwa kuwa kiongozi wa serikali ya mpito nchini Bangladesh.Yunus ameapa kuirejesha nchi hiyo ya kusini mwa Asia kwenye utawala wa kidemokrasia, . . .
Rais Nicolas Maduro wa Venezuela amesaini azimio la kuufungia mtandao wa kijamii wa X kwa siku 10 wakiutuhumu kuchochea machafuko baada ya uchaguzi wa mwishioni mwa mwezi uliopita.Tangu kumalizika kwa . . .
Wakati Nicolas Maduro, anayeshukiwa kwa udanganyifu katika uchaguzi wa urais, alikata rufaa katika Mahakama ya Juu zaidi ili uchaguzi wa Julai 28 uchunguwze, mahakimu wake walitoa hati ya kumwitisha m . . .
Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha linawashikilia watuhumiwa wawili kwa tuhuma za kusambaza taarifa za uongo katika mitandao ya kijamii kuhusiana na video ya binti mmoja aliyefanyiwa ukatili hivi karibuni . . .
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa wenyeviti wa bodi mbalimbali. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusi . . .
Rais wa DRC Félix Tshisekedi hapo jana, amemshutumu mtangulizi wake, Joseph Kabila, kwa kuchochea mzozo wa usalama mashariki mwa DRC kupitia Muungano wa (AFC).Katika mahojiano na Radio Top Congo, aki . . .