logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Kitaifa Na Kimataifa

  • Pata Habari Zilizojili Pande Zote Duniani
matukio
  • Na Asha Business
  • August 23, 2024

Aliyeiba mahindi ya Sh70 kuzima njaa afungwa jela miezi mitatu

MWANAUME mmoja alihukumiwa kifungo cha miezi mitatu jela na mahakama moja mjini Kakamega kwa kuiba mahindi ya thamani ya Sh70.Bw Meshack Opandiandiati alitenda kosa hilo katika shamba moja katika kiji . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • August 23, 2024

DCEA IMEONGOZA OPERESHENI MAALUM YA UOKOTAJI WA SINDANO ZILIZOTUMIKA JIJINI ARUSHA

Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) Kanda ya Kaskazini kwa kushirikiana na Asasi ya Youth and Community Rehabilitation (YCR) tarehe 22.08.2024 imeongoza kampeni maalum ya uokot . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • August 23, 2024

Almasi ya pili kwa ukubwa duniani yagunduliwa nchini Botswana

Almasi kubwa ya kipekee, ambayo ni ya pili kwa ukubwa duniani kwa karati 2,492, na ambayo haitoshi kwa urahisi kwenye kiganja cha mkono, imepatikana kwenye mgodi mmoja nchini Botswana, kampuni ya uchi . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • August 21, 2024

Obama asema Marekani iko tayari kwa urais wa Harris

Rais wa zamani wa Marekani, Barack Obama amewaambia wanachama wenzake wa Democratic mjini Chicago kuwa kijiti kimekabidhiwa kwa Kamala Harris, na anatosha kuiongoza nchi hiyo.Akihutubia wakati wa kump . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • August 21, 2024

Ukraine yaharibu madaraja matatu ya Russia

Vikosi vya Ukraine, vimeharibu madaraja yote matatu ya Mto Seym magharibi mwa Russia, kwa mujibu wa vyanzo vya Russia, wakati uvamizi wa Kyiv ukiingia wiki yake ya tatu Jumanne.Kuvamia kwa Kyiv katika . . .

matukio
  • Na Asha Business
  • August 21, 2024

Mke aliyeua mumewe kwa kisu aepuka kifungo kirefu baada ya msamaha wa baba mkwe

MWANAMKE aliyepatikana na hatia ya mauaji ya mume wake mnamo Jumanne alipewa hukumu ndogo baada ya kuomba msamaha kwa baba mkwe kutokana na kosa hilo.Inadaiwa Abigael Yego mwenye umri wa miaka 32 alim . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • August 20, 2024

Malawi yapata bima ya maafa ya ukame

Serikali ya Malawi imepokea malipo ya bima ya dola milioni 11.2 kwa ukame unaohusishwa na El Nino ambao ulisababisha taifa hilo la kusini mwa Afrika kutangaza hali ya maafa mapema mwaka huu.Malipo hay . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • August 20, 2024

Makeup’ kwenye Vita ya kwanza ya Dunia

Ama kweli tumetoka mbali sana, lakini tu niseme teknolojia na ugunduzi wa mambo mbalimbali umekuwa kwa kasi, kwani tulipotoka na tulipo ukilinganisha unaweza pata cheko la masikitiko.Nisikuchoshe sana . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • August 20, 2024

Mpox: DRC kupokea dozi za kwanza za chanjo wiki ijayo

Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) inatarajia kupokea dozi za kwanza za chanjo dhidi ya mlipuko wa Homa ya Mpox wiki ijayo katika nchi hii ambapo ugonjwa huo tayari umeua takriban watu 570, Waziri . . .

matukio
  • Na Asha Business
  • August 19, 2024

Sakata la binti kubakwa na kulawitiwa, Waziri Gwajima asema haki itatendeka

Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dk. Dorothy Gwajima amewataka wananchi kuwa wavumilivu wakati sakata la binti anayedaiwa kudhalilishwa kwa kubakwa  na kulawitiwa . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • August 19, 2024

UN yalaani idadi visa vya unyanyasaji dhidi ya wahudumu wa masuala ya kibinadamu

Umoja wa Mataifa unashutumu ghasia "zisizokubalika" ambazo zimekuwa zikifanyika dhidi ya wahudumu wa masuala ya kibinadamu, ambapo 280 kati yao wameuawa duniani kote mwaka 2023, rekodi iliyochochochew . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • August 18, 2024

Venezuela: Upinzani waahidi kwenda 'hadi mwisho' dhidi ya utawala unaodai 'kutoweza kushindwa'

Upinzani nchini Venezuela umeahidi kuendelea na maandamano wakati wa maandamano huko Caracas, Jumamosi Agosti 17, kwenda "hadi mwisho" kupinga kuchaguliwa tena kwa ais Nicolás Maduro mwishoni mwa mwe . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • August 18, 2024

Tamasha Kizimkazi kutoa fursa za Kiutalii, Uwekezaji

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi amesema Tamasha la Kizimkazi ni fursa muhimu kwa Mkoa wa Kusini kuongeza vivutio vya utalii na kuwavutia wawekezaji kuwek . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • August 16, 2024

Binti wa waziri mkuu wa zamani amekuwa kiongozi mdogo zaidi Thailand

Bunge la Thailand limemchagua Paetongtarn Shinawatra, binti wa bilionea na kiongozi wa zamani Thaksin, kuwa waziri mkuu.Akiwa na umri wa miaka 37, atakuwa Waziri Mkuu mdogo zaidi nchini na mwanamke wa . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • August 16, 2024

Makonda Arejea Afanya Ukaguzi wa Uwanja wa ndege Arusha

MKUU wa Mkoa wa Arusha, Paul Christian Makonda leo Agosti 16, 2024 amefanya ukaguzi wa Jengo la abiria katika Kiwanja cha Ndege cha Arusha ambapo zaidi ya Shilingi bilioni 2.7 zimetumik . . .

AFYA
  • Na Asha Business
  • August 16, 2024

WHO yatangaza mlipuko wa Mpox kuwa dharura ya kiafya duniani

Shirika la Afya Duniani (WHO) limetangaza mlipuko wa ugonjwa wa mpox katika baadhi ya maeneo ya Afrika kuwa dharura ya kiafya ya umma.Ugonjwa unaoambukiza sana – ambao zamani ulijulikana kama monkey . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • August 16, 2024

Marekani yasema kuwa hakuna matumaini ya kufika makubaliabo ya kusitisha mapogano huko Gaza

White House Alhamisi imesema kwamba mazungumzo ya kusitisha mapigano huko Gaza ambayo yameanza tena huko Doha, nchini Qatar pamoja na maafisa wakuu wa Marekani, “yameanza kwa matumaini” lakini hak . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • August 14, 2024

Nape" Sina Akauti yoyote ya mtandao wa kijamii inayofanya kazi kwa sasa"

MBUNGE wa Jimbo la Mtama, Nape Nnauye ameutahadharisha Umma wa watanzania kwamba hana akauti yoyote ya mtandao wa kijamii inayofanya kazi kwa sasa (iliyo-active).Nape amelazimika kutoa ufafanuzi huu k . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • August 13, 2024

Iran yapuuza miito ya kutoishambulia Israel

Iran imeukataa wito wa mataifa ya Magharibi wa kuacha vitisho vyake vya kulipiza kisasi dhidi ya Israel kwa mauaji ya kiongozi wa kisiasa wa kundi la Hamas, Ismail Haniyeh.Msemaji wa Wizara ya Mambo y . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • August 13, 2024

Zambia na DRC zafungua tena mpaka wa Kasumbalesa baada ya kufungwa kwa siku kadhaa

Mpaka wa Kasumbalesa kati DRC na Zambia unafunguluwa tena Jumanne asubui Agosti 12, 2024, baada ya  kufungwa kwa muda wa siku tatu.  Kituo hiki cha mpakani ni cha pili kwa umuhimu nchini DRC . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • August 12, 2024

DRC: Augustin Kabuya, kiongozi wa chama cha rais cha UDPS, afutwa kazi

Nchini DRC, chama cha rais, Union for Democracy and Social Progress (UDPS), kinazama zaidi katika mgogoro unaokikabili kwa sasa. siku ya Jumapili hii, Augustin Kabuya, kiongozi wa chama hicho cha rais . . .

Elimu
  • Na Asha Business
  • August 12, 2024

Mchengerwa "Sitaki kuona Mwalimu akidhalilika"

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za mitaa, Mohamed Mchengerwa amepiga marufuku vitendo vya udhalilishaji dhini ya walimu napiga marufuku na kusisitiza kuwa kuanzia sasa natak . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • August 11, 2024

Rais Samia awasili Rwanda kwenye Sherehe za uapisho wa Kagame

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt,Samia Suluhu Hassan leo Agosti 11,2024 amewasili Nchini Rwanda kwaajili ya kushiriki Sherehe za uapisho wa Rais mteule wa Nchi hiyo, Paul Kagame. . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • August 9, 2024

Kilele cha ukatili polisi wakiendelea kulenga wanahabari

POLISI wa Kenya wanaendeleza ukatili dhidi ya wanahabari wakifuatilia maandamano, licha ya mashirika ya humu nchini na ya kimataifa kuwataka kuheshimu uhuru wa kukusanya na kusambaza habari.Mnamo Alha . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • August 9, 2024

Muhammad Yunus aanza kuiongoza Bangladesh

Mshindi wa Tuzo ya Amani ya Nobel, Muhammad Yunus, ameapishwa kuwa kiongozi wa serikali ya mpito nchini Bangladesh.Yunus ameapa kuirejesha nchi hiyo ya kusini mwa Asia kwenye utawala wa kidemokrasia, . . .

Teknolojia
  • Na Asha Business
  • August 9, 2024

Maduro aufungia mtandao wa X

Rais Nicolas Maduro wa Venezuela amesaini azimio la kuufungia mtandao wa kijamii wa X kwa siku 10 wakiutuhumu kuchochea machafuko baada ya uchaguzi wa mwishioni mwa mwezi uliopita.Tangu kumalizika kwa . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • August 8, 2024

Mgombea wa upinzani Edmundo Gonzalez akataa wito wa Mahakama ya Juu

Wakati Nicolas Maduro, anayeshukiwa kwa udanganyifu katika uchaguzi wa urais, alikata rufaa katika Mahakama ya Juu zaidi ili uchaguzi wa Julai 28 uchunguwze, mahakimu wake walitoa hati ya kumwitisha m . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • August 8, 2024

Wawili mbaroni kwa kusambaza taarifa za uongo

Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha linawashikilia watuhumiwa wawili kwa tuhuma za kusambaza taarifa za uongo katika mitandao ya kijamii kuhusiana na video ya binti mmoja aliyefanyiwa ukatili hivi karibuni . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • August 7, 2024

Rais Samia ateua wenyeviti wa bodi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa wenyeviti wa bodi mbalimbali. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusi . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • August 7, 2024

Rais Tshisekedi amtuhumu Joseph Kabila kwa kuchochea mzozo mashariki ya nchi

Rais wa DRC Félix Tshisekedi hapo jana, amemshutumu mtangulizi wake, Joseph Kabila, kwa kuchochea mzozo wa usalama mashariki mwa DRC kupitia Muungano wa (AFC).Katika mahojiano na Radio Top Congo, aki . . .

Kurasa 44 ya 130

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho

Habari Zaidi

  • Miaka kumi ya Jembefm

    • 10 masaa yaliopita
  • Madhara ya kichokonoo kwenye meno

    • 10 masaa yaliopita
  • Chaguzi za UDA kupima nguvu zake Mlima Kenya

    • 10 masaa yaliopita

Habari Category

  • Habari Zote
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
  • Habari Ndani Na Nje
  • Video
  • Uchumi Na Biashara
  • Magazeti
  • Makala

Wasiliana Nasi

JEMBE NI JEMBE GROUP ,
P. O. Box 1334,
PLOT NO.111/BLOCK "A"
HOUSE No:43 MAKONGORO STREET,
ILEMELA MWANZA - TANZANIA

info@jembenijembe.com

+ 255-786-385-475 ,
+ 255-716-385-475.

  • PRIVACY POLICY
  • TERMS AND CONDITIONS
  • STAFF LOGIN

POWERED BY

© Jembe Ni Jembe Companies.

Created And Maintained By XFoundationCode