Mamlaka ya Palestine ambayo kimataifa inatambuliwa kama mwakilishi rasimi wa watu wa Palestine imekaribisha hatua ya nchi za Ireland, Norway na Uhispania kutambua eneo hilo kama taifa, ikisema ni kite . . .
Waziri wa mambo ya nchi za nje wa Ujerumani Annalena Baerbock, amesema anaunga mkono wito wa Waziri wa Ulinzi wa Ujerumani Boris Pistorius wa kuongezea msaada kwa Ukraine.Mwanadiplomasia huyo wa Ujeru . . .
Dhoruba wakati wa msimu wa mvua si jambo geni lakini kwa mwaka huu, mvua kubwa zimeshuhudiwa kutokana na mfumo wa hali ya hewa wa El-nino, huku Wataalamu wakisema mabadiliko ya tabianchi pia yamechoch . . .
Uhispania Jumatatu ilidai "msamaha wa umma" kutoka kwa Rais wa Argentina Javier Milei kwa kumwita mke wa Waziri Mkuu wa Uhispania Pedro Sanchez "mfisadi" huku kukiwa na mzozo wa kidiplomasia kati ya w . . .
Rais wa Halmashauri Kuu ya Umoja wa Afrika Moussa Faki Mahamat, amesema anafuatilia mambo yanavyoendelea nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, na kukosoa jaribio la kuipindua serikali lililotokea h . . .
China imeweka vikwazo vipya dhidi ya makampuni matatu ya Kimarekani yanayouza silaha kwa Taiwan, ambapo Rais Lai Ching-te ameapishwa leo Jumatatu, Mei 20, 2024, limeripoti shirika rasmi la Habari la C . . .
Mkazi wa Manispaa ya Bukoba Mzee Pius Ngeze (70), amesema anahofia balaa kubwa kutokea katika Mkoa huo kumezwa na ziwa Victoria, kutokana na kukosekana kwa mikakati mahsusi wala uchunguzi, ili kubaini . . .
Kongo zamani ikifahamika kama Zaire, asili ya jina lake ilizaliwa katika Lugha ya Kikongo ambayo ni ya watu wa Kabila la Wakongo, kwasasa ikifahamika kama Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo.Neno Kongo l . . .
Wanajeshi wa Marekani wamekamilisha bandari ya muda katika pwani ya Gaza , iliyokuwa likisubiriwa kwa muda mrefu, ili kuongeza kasi ya kufikisha misaada katika ukanda wa Gaza.Wanajeshi wa Marekani wam . . .
Rais wa Urusi Vladmir Putin ameeleza kuridhishwa na juhudi za mwenzake wa China Xi Jinping kuhakikisha suluhu ya mzozo wa Ukraine inapatikana.Katika kikao kati ya viongozi hao jijini Beijing, rais wa& . . .
Marekani imesema makampuni hayo yalijaribu kukwepa vikwazo katika mpango ambao unaweza kuondoa dola bilioni 1.5Wizara ya fedha ya Marekani siku ya Jumanne iliweka vikwazo kwa raia mmoja wa Russia, na . . .
Kwa muda wa mwezi mmoja jumla ya wanafunzi wa shule za msingi na sekondari wapatao 194 wamebainika kupewa mimba na kukatishwa masomo yao katika wilaya ya Momba Mkoani Songwe.Hayo yamebainishwa na Mkuu . . .
Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan amesema zaidi ya wanachama 1,000 wa kundi la Hamas wanapokea matibabu nchini Uturuki.Rais Erdogan ameyasema hayo katika mkutano wa pamoja wa waandishi wa haba . . .
Aliyekuwa Katibu mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Dr Peter Mathuki anatarajiwa kuhojiwa na Kamati ya sheria, Haki, na Hadhi ya Bunge la Jumuiya hiyo juu ya tuhuma zilizotolewa dhi . . .
Kampuni moja inayotengeneza mkate maarufu nchini Japani imetoa agizo la kurejeshwa kwa mikate elfu kadhaa na wateja kurejeshewa pesa zao baada ya mabaki ya panya kupatikana kwenye bidhaa hiyo.Takriban . . .
Rais wa Urusi, Vladimir Putin amefanya mabadiliko na kumuondoa Waziri wa ulinzi, lkjaziri Sergei Shoigu ikiwa ni sehemu ya kupanga safu yake wakati huu anapoanza awamu yake ya tano madarakani.Shoigu h . . .
Richard Slayman kutoka Massachusetts aliyepandikizwa figo ya Nguruwe amefariki dunia hii leo Jumapili Mei 12, 2024.Kwa mujibu wa BBC Slayman (62) ambaye ni mtu wa kwanza kupandikizwa figo ya mny . . .
Wanaharakati nchini Uganda pamoja na wanasiasa nchini humo, wamewakosoa maofisa kadhaa wa juu wa Serikali ya Uingereza, kwa kile wamesema upuuzi kwa maofisa hao kumpongeza mtoto wa rais Yoweri Museven . . .
Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa alielezea kuwa ni uhaini kwa hatua ya tangazo la kampeni la chama cha upinzani ambalo linaonyesha bendera ya taifa inayowaka moto, huku uhasama kati ya vyama vya . . .
Waziri wa Elimu, Prof. Adolf Mkenda leo, amesema ili kuwezesha na kuimarisha huduma ya utoaji na upatikanaji wa mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu wenye sifa na uhitaji Serikali itaongeza fursa za m . . .
Washirika wa Israeli wamekuwa wakionya dhidi ya oparesheni zake katika eneo la Rafah lenye idadi ya raia wa Palestina zadi ya milioni moja wengi wao ambao walitoroka mapigano yanayoendelea kati ya Ham . . .
Mbunge wa Kilosa Profesa Palamagamba Kabudi, ameiomba serikali kwamba ndege aina ya Boeing 787-8 Dreamliner inayotarajiwa kuwasili nchini mwishoni mwa mwezi huu wa Mei ipewe jina la Baba wa Taifa Mwal . . .
Vladimir Putin anatarajiwa kuapishwa leo Jumanne kama rais wa Urusi kwa muhula wa tano, ambapo yuko mamlakani kwa muda mrefu bila kupingwa licha ya upinzani uliokandamizwa, katikati ya msukumo wa wana . . .
MAREKANI yafanyia Majaribio drone yake ya majini inayofanana na Samaki ‘Manta Ray’ . . .
Kilimo ni moja ya shughuli ya Mwanadamu ambayo humsaidia kupata mazao kwa ajili ya chakula na mazao mengine kwa ajili ya biashara inayoweza kumuingizia kipato kwa ajili ya maisha yake na kupitia kipat . . .
Mabadiliko Mfumo wa elimu yametajwa kuwa ni chachu katika kuchangia, kumaliza au kupunguza rushwa ya ngono ambayo imekuwa ikisababisha matatizo kwa Wasichana kwa kuathiri maendeleo na haki zao hasa wa . . .
Ufaransa inakadiria kuwa wanajeshi 150,000 wa Urusi wameuawa tangu taifa hilo lilipoivamia Ukraine.Waziri wa Mambo ya Nje wa Ufaransa, Stephane Sejourne, amesema hayo kwenye mahojiano na gazeti la Uru . . .
Mgombea anayaetarajiwa kuwa mteule wa urais wa kupitia chama cha Republican Donald Trump anasema akichaguliwa atarejesha tena marufuku ya kusafiri kwa baadhi ya nchi zenye waislamu wengi katika siku y . . .
Dunia imebeba Mengi sana ila mimi nimekubali kubebwa nawe kipenzi changu, kwani wewe ndiye Dunia yangu, chochote wachukue lakini waniachie wewe, Maria wangu, mwanamke wa maisha yangu, NAKUPENDA MNOO!! . . .
Mkuu wa Mkoa Kagera, Fatma Mwassa amewataka watumishi wa umma ndani ya Mkoa huo kutazama mafao yao kama yanapelekwa kwenye mfuko husika na kujua wameweka kiasi gani na kwamba jambo hilo liwe jukumu la . . .