Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni nchini – BRELA, imewataka wafanyabiashara kuchangamkia fursa ya kujisajili kwani wasio na usajili hawatoweza kuomba tenda rasmi ambazo zinatangazwa na Taasisi . . .
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akitunukiwa Udaktari wa Falsafa wa Heshima (Honoris Causa) kwenye Sekta yaAnga na Rais wa Chuo Kikuu cha Sayansi ya Anga (Korean Aeros . . .
Korea Kaskazini imesema itaacha kutuma maputo yaliyojaa takataka nchini Korea Kusini.PyongYang imesema imechukua hatua hiyo ya kutotuma tena maputo hayo kwasababu Korea Kusini sasa imefahamu vya kutos . . .
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amewataka Watanzania kudumisha amani, mshikamano na upendo na kamwe wasigawanywe kwa sababu yoyote.Amesema hayo wakati akimwakilisha Rais . . .
RAIS William Ruto ametangaza serikali itawekeza Sh100 milioni katika kiwanda cha kutengeneza viatu na ifikapo mwaka wa 2027, Kenya itakoma kuagiza viatu kutoka nje.Akiongea Jumamosi mjini Bungoma waka . . .
Chama cha African National Congress (ANC) kimepoteza wingi wake wa wabunge katika matokeo ya kihistoria ya uchaguzi Jumamosi ambayo yanaiweka Afrika Kusini kwenye mkondo mpya wa kisiasa kwa mara ya kw . . .
Watu 35 wamepoteza maisha kwa kushambuliwa na mamba huku watu watatu wakijeruhiwa na kupata ulemavu wa kudumu kwenye Halmashauri ya Buchosa Wilayani Sengerema Mkoa wa Mwanza.Ofisa Wanyamapori wilaya y . . .
Serikali imetangaza kuanza ujenzi wa Makumbusho ya Marais katika jiji la Dodoma ili kuhifadhi historia ya waasisi na viongozi wakuu wa nchi ya Tanzania.Waziri wa Maliasili na Utalii, Angellah Kairuki . . .
Wakati wananchi wa Manyara wakilalamika kulipwa fidia ndogo waliyolipwa kupisha ujenzi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP), Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) limesema ma . . .
Tanzania na Denmark zimekubaliana kuendelea kushirikiana katika kutekeleza programu ya maboresho ya mifumo ya kodi.Hayo yameelezwa na Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Fedha, Bi. Amina Khamis Shaabani kwa . . .
Watu 35 wamepoteza maisha kwa kushambuliwa na mamba huku watu watatu wakijeruhiwa na kupata ulemavu wa kudumu kwenye Halmashauri ya Buchosa Wilayani Sengerema Mkoa wa Mwanza.Ofisa Wanyamapori wilaya y . . .
Kama ANC kitashindwa itakuwa ni mara ya kwanza kupoteza viti vyake vingi bungeni tangu kumalizika ubaguzi wa rangi 1994.Chama cha Afrika Kusini cha African National Congress, ambacho kilipata madaraka . . .
Wabunge wamepongeza kazi zinazofanyika katika Wizara ya Ujenzi huku wakitaka Kamati ya Bajeti kufanya mapitio upya ya bajeti ili kuongeza fedha kwa Wizara hiyo.Waziri wa Ujenzi Innocent Bashungwa jana . . .
Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa Viongozi mbalimbali leo May 29,2024 ambapo amemteua Dkt. Mursali Ally Milanzi kuwa Naibu Katibu Mtendaji, Tume ya Mipango anayeshughulikia . . .
Walimu wenye madai ya malimbikizo ya mishahara, wametakiwa kuwasilisha vielelezo vya madai yao kwa Maafisa Elimu ili yashughulikiwe, ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa maelekezo ya Waziri wa Nchi, Ofis . . .
Utashi wa Kisiasa na Uongozi imara wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan wa kuimarisha huduma za afya ya mama na mtoto ni moja ya jambo ambalo limechangia Tanzania kupunguza vifo vya wajawazito kutoka vifo . . .
Saudi Arabia imelaani mashambulio ya anga yaliyofanywa na Israel mjini Rafah. Taarifa ya wizara ya mambo ya nje ya nchi hiyo imesema serikali inalaani mauaji ya halaiki yanayofanywa na vikosi vya Isra . . .
Malori matatu pekee ya WHO yaliyobeba misaada yameingia katika mji wa Rafah uliozingirwa tangu uvamizi wa Israel ulipoanzaMaafisa wa Umoja wa Mataifa wameonya msaada wa dawa na usambazaji wa mafuta hu . . .
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Tulia Ackson katikati akipewa maelezo ya namna karakana inayotembea inavyofanya kazi na fundi wa karakana hiyo Mustafa Abdul Malambo wakati . . .
Mamilioni ya watu Sudan na Gaza wako hatarini kufa sio tu kutokana na risasi na mabomu lakini majeraha yasiyotibiwa na magonjwaBaraza Kuu la 77 la Shirika Afya Duniani lilifungua kikao chake cha kila . . .
Raia huyo wa Poland Mariusz Majewski alikamatwa na vikosi vya Kongo mwezi Februari akishutumiwa kwa ujasusi.Rais wa Poland Andrzej Duda amezungumza kwa njia ya simu na Rais wa Congo Felix Tshisekedi i . . .
Burkina Faso ilipitisha hati siku ya Jumamosi kuruhusu utawala wa kijeshi wa Kapteni Ibrahim Traoré, ambaye aliingia madarakani Septemba 2022 kupitia mapinduzi ya kijeshi, kusalia kwa miaka mitano za . . .
Wakati Msemaji wa Brigedi za Al-Qassam, Abu Ubaida wa Hamas akitangaza kuwakamata wanajeshi wa Israel katika Ukanda wa Gaza, Msemaji wa jeshi la Israel, Daniel Hagari amekanusha madai hayo akisema hak . . .
Rais wa Marekani, Joe Biden, amesema nchi yake itahakikisha Kenya inakuwa mwanachama wa jumuiya ya nchi za kujihami za magharibi NATO, hatua ambayo itaifanya Kenya kuwa taifa la kwanza kwenye ukanda w . . .
Askari wa Jeshi la Polisi mkoani Songwe wametakiwa kutambua kuwa kazi ya Polisi ni kazi takatifu ambayo majukumu yake yanahusiana na makatazo na amri za Mungu.Kauli hiyo imetolewa na Kamanda wa Polisi . . .
Mkurugenzi Muendeshaji wa PBZ Bank Ndg. Arafat Ally Haji, amekutana na kufanya mazungumzo na team yake ya uongozi wa PBZ Bank ikiwa ni siku yake ya kwanza kuingia ofisini baada uteuzi wake na Rais wa . . .
Raia wa Kenya aliyekuwa akiukwea Mlima Everest ameripotiwa kufariki wakati mwongozaji wake raia wa Nepali akiwa hajulikani alipo, akiwa mtu tatu kufariki kwenye mlima huo mrefu zaidi duniani msimu huu . . .
Mahakama ya Tunisia siku ya Jumatano iliwahukumu waandishi wawili wa habari kifungo cha mwaka mmoja jela kwa tuhuma za kuchapisha habari za uongoMahakama ya Tunisia siku ya Jumatano iliwahukumu waandi . . .
Mfanyakazi mmoja wa shamba la Michigan amegunduliwa ana ugonjwa wa mafua ya ndege ikiwa ni kisa cha pili cha binadamu kuhusishwa na mlipuko katika eneo lenye ng'ombe wa maziwa Marekani.Maa . . .
Waziri mkuu wa Chad, ambaye pia ni kiongozi wa upinzani Succes Masra, amejiuzulu baada ya rais wa muda wa nchi hiyo, Mahamat Idriss Deby kuthibitishwa mshindi wa uchaguzi mkuu uliofanyika Mei 6.Masra, . . .