Kiongozi Mkuu wa Kanisa Katoliki duniani Papa Francis ametaja leo kuwa na huzuni na wasiwasi kufuatia taarifa za Askofu Roland Alvarez kuhukumiwa kifungo cha miaka 26 jela huko Nicaragua.Askofu Alvare . . .
Wakati laini za simu ambazo hazijahakikiwa zikizimwa leo Jumatatu Februari 13, 2023 na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), asilimia 96.8 ya laini zote za simu zilizosajiliwa kwa alama ya vidole zi . . .
Katika kusaidia juhudi za maafa baada ya tetemeko kubwa la ardhi ambalo limesababisha vifo vya watu zaidi ya 3,000, na maelfu kadhaa kujeruhiwa, nchi ya Sudan imetuma timu ya watu 40 ya utafutaji na u . . .
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amewaapisha Makamishna wa Tume ya Utumishi wa Mahakama pamoja na Skauti Mkuu, Rashid Kassim Mchatta katika hafla iliyofanyika Ikulu Ch . . .
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema Serikali itamchukulia hatua mzazi au mtu yeyote atakayemzuia mwanafunzi kupata haki yake ya elimu, na kuwataka wazazi wote wenye wanafunzi waliofaulu kujiunga na k . . .
Taasisi ya Jiolojia na Utafiti wa Madini Tanzania (GST), imethibitisha kutokea kwa tetemeko la ardhi lenye ukubwa wa kiwango cha 4.7 lilotokea februari 8, 2023, umbali wa kilomita 33 kutoka visiwani P . . .
Mzee Luhende Tugwa (80) mkazi wa Kijiji cha Ihapa Kata ya Old Shinyanga anashikiliwa na jeshi la Polisi kwa tuhuma za kumbaka mjukuu wake anayesoma shule ya msingi Old Shinyanga Manispaa ya Shin . . .
RAIS wa Amerika, Joe Biden, amesifu utawala wake akisema ameweza kutekeleza baadhi ya ahadi zake. Akizungumza bungeni wakati wa hotuba yake ya pili kuhusu hali ya taifa la Amerika Jumanne usiku, Rais . . .
Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan Jumatano alikiri kwamba kulikuwa na matatizo jinsi serikali yake ilivyoshughulikia tetemeko baya la ardhi kusini mwa Uturuki, huku waathirika wakiwa na hasira na k . . .
Rais Paul Kagame wa Rwanda kwa mara nyingine tena amekwenda mbali na kuzungumzia mzozo unaoendelea mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kati ya wanajeshi wa serikali na wapiganaji wa kundi l . . .
Jeshi la Polisi mkoani Mbeya, linamshikilia Mwalimu Elisha Chonya kwa tuhuma za kuwakalisha chini wanafunzi wa kidato cha kwanza Shule ya Sekondari Sinde na kisha kuwapiga picha na kusambaza kwenye mi . . .
Ulaya Jumapili imeweka marufuku kwa mafuta ya dizeli ya Russia na bidhaa nyingine za mafuta yaliyosafishwa, ikipunguza utegemezi wa nishati ya Moscow na kutafuta kupunguza zaidi mapato ya mafuta ghafi . . .
HOSPITALI ya Rufani ya Kanda ya Bugando imeanza uchunguzi kubaini ukweli wa taarifa za maji ya kuhifadhi maiti kutumika kuhifadhi samaki.Uchunguzi huo wa kisayansi unafanywa kufuatia agizo la Makamu w . . .
Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania (TEMESA) Lazaro Kilahala ametoa wito kwa Taasisi za Umma na Serikali zinazodaiwa na Wakala huo baada ya kupatiwa huduma za matengenezo ya magari, mi . . .
Inspekta Jenerali wa polisi Japheth Koome amekiri kuwa amefanya mageuzi kwenye kikosi cha ulinzi cha aliyekuwa rais Uhuru Kenyatta. Koome anasema mageuzi hayo yalifanywa kwa sababu za kikazi ndan . . .
Jeshi la polisi mkoani Mwanza linamshikilia Rehema Prosper (41), anayedaiwa kumjeruhi mpenzi wake aitwaye Timoth Samweli kwa kumwagia maji ya moto mgongoni, akimtuhumu kutoka kimapenzi na wanawake wen . . .
Baada ya Alhad Mussa Salim kutenguliwa nafasi ya kuwa Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam huku nafasi yake ikichukuliwa na Sheikh Walid Omary, Alhad Mussa Salim amesema ataendelea kuwa ndani ya Baraza kat . . .
Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani Papa Francis amesema anawategemea vijana kuiongoza Afrika kwenye mustakabali bora bila vita, mateso na rushwa.Katika mkutano wake na waumini wapatao 65,000 kwe . . .
MIGOGOROSOMALIAViongozi wa kikanda wakubaliana kuiangamiza al-Shabab2 zilizopita2 zilizopitaViongozi wa Somalia, Djibouti, Ethiopia na Kenya wamekubaliana kupanga operesheni ya pamoja ya kijeshi ya '' . . .
Serikali kupitia Wizara ya Afya pamoja na wadau wameendelea kutoa mafunzo juu ya magonjwa yasiyoambukiza ambapo hadi kufikia Desemba, 2023 mafunzo hayo yanategemea kuwafikia watoa huduma za Afya Msing . . .
Maafisa wa idara ya upelelezi ya Marekani, FBI hawakupata nyaraka mpya za siri katika operesheni yake ya Jumatano.Oparesheni hiyo imefanyika katika nyumba ya mapumziko ya rais wa Marekani, Joe Biden k . . .
Marekani, Jumatano imewaweka maafisa wa biashara wenye uhusiano na vita vya Russia dhidi ya Ukraine katika orodha ya vikwazo.Orodha hiyo inamjumuisha mlanguzi wa silaha Igor Zimenkov, mtoto wake . . .
Shirika la Urejeshaji Mali nchini Kenya limefutilia mbali kesi ya Tsh 40 bilioni dhidi ya mwanafunzi wa Chuo Kikuu, Tebby Wambuku ambaye alipewa fedha hizo kama zawadi na mpenzi wake kutokea Ubelgiji . . .
Wananchi wa mtaa wa Migombani, Kata ya Mitimirefu Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam wamedai kulazimishwa kuuza nyumba zao kwa bei isiyoendana na thamani ya nyumba husika ili kumpisha mwekezaji aliy . . .
MWEKEZAJI katika Klabu ya Simba, bilionea na mfanyabiashara maarufu Tanzania na Afrika kwa ujumla, Mohammed Dewji, anazidi kupaa kwa utajiri duniani baada ya hivi karibuni Jarida la Fobes kutoa orodha . . .
Muungano wa upinzani nchini Tunisia umetoa mwito wa kuungana dhidi ya rais Kais Saied, baada ya raia wa Tunisia waliojitokeza katika duru ya pili ya kura Jumapili kwa bunge lisilokuwa na nguvu kuwa ni . . .
Waziri wa Kilimo Hussein Bashe, amesema kutokana na kuwepo kwa utapeli wanaofanyiwa Watanzania kwenye masuala ya kilimo, wizara hiyo imeanza kumfuatilia mtu anayejulikana kwa jina la Mr Kuku kwani ime . . .
Serikali imesema ajali ya meli ya mizigo iliyosajiliwa na Tanzania ambayo imezama katika bandari ya Assaluyer Kusini mwa Iran Jumatatu jioni ilisababishwa na upakiaji usiofaa wa makontena.Kwa mujibu w . . .
Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) leo January 29,2023 limetangaza matokeo ya mitihani ya kidato cha nne mwaka 2022 ambapo Watahiniwa wa Shule 456,975 kati ya Watahiniwa 520,558 wenye matokeo ambao n . . .
Mwili wa Raia wa Tanzania, Nemes Tarimo aliyefia vitani Ukraine wawasili nchini asubuhi ya leo Januari 27, 2022 ukitokea Urusi.Kwa mujibu wa familia, Tarimo alifariki mwishoni mwa mwezi Oktoba n . . .