Wanasheria na baadhi ya wadau wametaka utafiti ufanyike kubaini chanzo cha anguko kwenye mtihani wa uwakili katika Shule Kuu ya Sheria Tanzania (LST).Pendekezo hilo na mengine yamekuja kufuatia matoke . . .
Shehena ya kazi za sanaa zipatazo 70 zilizoporwa kutoka ufalme wa zamani wa Benin zitarejeshwa nchini Nigeria kutoka jumba la makumbusho la nchini Ujerumani. Uamuzi huo umefikiwa jana Jumanne baada ya . . .
Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya akiendelea kusota mahabusu kwa siku 132 sasa tangu afikishwe mahakamani, mwendesha mashtaka wa Serikali, Kassim Nassir amesema upelelezi wa kesi hiyo . . .
Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kufanya ziara ya kikazi ya siku nne mkoani Kigoma, kuanzia tarehe 16 hadi 19 mwezi huu.Akitoa taarifa kwa vyombo vya habari kuhusu ziara hiyo, mkuu wa mkoa wa Kigo . . .
Mkutano huu unafanyika katika wakati hali ya ndani ya China na hali ya kimataifa, ina changamoto mbalimbali kiuchumi na kiusalama, kwa hiyo kitakachojadiliwa na kuamuliwa kwenye mkutano huo, sio kama . . .
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Dkt. Dorothy Gwajima amesema serikali imeanzisha vikundi vya malezi 1184 katika mikoa 17 Tanzania Bara hadi kufikia Juni 20 . . .
Kiongozi wa Belarus Alexander Lukashenko hapo jana alitangaza kuundwa kwa kikosi cha pamoja cha nchi yake ndani ya jeshi la Urusi. Lukashenko alisema hatua hiyo inatokana na shinikizo linaloongezeka k . . .
Lucy Letby ameshtakiwa kwa mauaji ya watoto watano wa kiume na wakike wawili."Mtoaji sumu alikuwa kazini" katika hospitali ambapo kulikuwa na "kuongezeka kwa kiasi kikubwa" kwa idadi ya watoto wenye a . . .
Wakaazi wa Mji wa Komanda wilayani Irumu mkoani Ituri Kaskazini mashariki mwa Congo wanaomba jeshi la serikali kuweka ulinzi wa kutosha katika miji na vijiji vya wilaya yao vinavyoshambuliwa kil . . .
Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani Papa Francis siku ya Jumapili alitoa utetezi mkali dhidi ya wahamiaji, akitaja kutengwa kwao kuwa “kashfa, karaha na dhambi”, na kumuweka katika mgongano na ser . . .
Rais Samia Suluhu Hassan amempokea Rais wa Kenya, William Ruto na kumkaribisha Ikulu Dar es Salaam ambapo watazungumzia masuala kadhaa ya ushirikiano ukiwamo ya kibiashara.Rais Ruto aliwasili nchini j . . .
Rais wa Uganda Yoweri Museveni amejitetea kwa hatua yake ya kumpandisha cheo mwanawe Jenerali Muhoozi Kainerugaba licha ya kumtimua kama kamanda wa wanajeshi wa ardhini wa Uganda.Katika mageuzi yaliyo . . .
Shirika la Afya Duniani (WHO) limetangaza kuzindua kampeni ya kuzuia kujiua barani Afrika, kufuatia kuwepo kwa ripoti nyingi za mauaji ya aina hiyo kutoka Afrika.WHO inaitaja Afrika kuwa ndilo bara li . . .
Wananchi wa Kijiji cha Ruvuma Chini, mkoani Ruvuma, wameishukuru serikali kwa kuwapelekea mradi wa maji ambao unagharimu bilioni 1.3 kwani unakwenda kuondoa changamoto ya watumishi wa serikali kukimbi . . .
Maafisa nchini Nigeria waligundua njia haramu ya kuunganisha mafuta kutoka kwenye mojawapo ya njia yake kuu ya kusafirisha mafuta baharini ambayo imekuwa ikifanya kazi bila kutambuliwa kwa . . .
Qatar imeamuru wafanyakazi wengi wa serikali kufanyia kazi majumbani wakati wa mashindano ya Kombe la Dunia mwezi ujao. Shule zitapunguziwa masaa wiki mbili kabla ya kuanza kinyang’anyiro hicho na k . . .
Rais William Ruto anatarajiwa kujumuika katika sherehe za Uhuru nchini Uganda siku ya Jumapili, Oktoba 9, hii ikionekana kama juhudi za kutuliza hali tete iliyoshuhudiwa wiki hii kati ya nchi hizi mbi . . .
Serikali ya Morocco imetoa vibali 10 kwa wakulima kulima bangi kihalali kwa ajili ya viwanda na kuuza nje kwa mara ya kwanza.Wakulima katika maeneo ya kaskazini ya al-Hoceima, Chefchaouen na Taounate . . .
Mawaziri wa utalii kutoka zaidi ya nchi 50 wanachama wa shirika la utalii Duniani na maafisa wa Kamisheni ya Afrika Jumatano walikutana jijini Arusha Tanzania kujadili hali ya utalii ilivyo . . .
Florence Samwel ambaye ni mtumishi wa Wizara ya Kilimo amezishtaki Hospitali za TMJ na Hindu Mandal pamoja na Dkt. Maurice Mavura katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam baada ya u . . .
Meneja wa Mamlaka ya Mapato Tanzania mkoani Geita Hashim Ngoda amesema wamevuka lengo la makusanyo kwa asilimia 132 katika kipindi cha robo ya kwanza mwaka 2022/2023 ambapo walitakiwa kukusanya s . . .
Askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kikosi cha 08/691 KJ Chandarua mkoani Ruvuma, Sajenti Batsin Sanga amehukumiwa kunyongwa hadi kufa kwa kosa la kuwaua kwa risasi mtalaka wake na mwanajes . . .
Rais Yoweri Museveni amemuondoa mwanawe, Muhoozi Kainerugaba, kama kamanda wa majeshi ya nchi kavu ya Uganda, jeshi lilisema Jumanne, baada ya Kainerugaba kutishia mara kwa mara kwenye ukurasa wake wa . . .
Rais Samia Suluhu Hassan leo Oktoba 5, 2022 amekutana na kuzungumza na Waziri wa Fedha wa Qatar ambaye pia ni Mwenyekiti wa Katara Hospitality Ali bin Ahmed Al Kuwari, Doha nchini QatarRais wa Jamhuri . . .
Taarifa iliyotolewa na Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura) inaonyesha kuwa bei za mafuta kuanzia Oktoba 5 zimeshuka hivyo petroli katika jiji la Dar es Salaam itauzwa Sh2,886  . . .
Mahakama ya hakimu mkazi mkoa wa Mwanza imemkuta na kesi ya kujibu Diana Bundala maarufu kama mfalme Zumaridi na wafuasi wake nane na kuwataka mawakili wanaowatetea kujiandaa kutoa ushahidi dhidi yaoM . . .
Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump amelishtaki shirika la utangazaji la Marekani CNN kwa kumkashifu, akitaka kulipwa fidia ya dola milioni 75.Trump ameishutumu CNN kwa kuendesha kampeni aliyoiita . . .
Mwanawe Rais wa Uganda Yoweri Museveni Muhoozi Kainerugaba sasa anasema kuwa amewasamehe Wakenya ambao walimvamia kwenye mtandao wa Twitter.Kupitia kwa ujumbe kwenye mtandao wa Twitter, Muhoozi ambaye . . .
Utulivu ulirejea katika mji mkuu wa Burkina Faso siku ya Jumatatu baada ya kiongozi wa kijeshi wa nchi hiyo kukimbilia nchi jirani ya Togo kufuatia mapinduzi ya pili katika muda wa chini ya miezi tisa . . .
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, amemteua Innocent Bashungwa, aliyekuwa Waziri wa TAMISEMI kuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa.Taarifa ya uteuzi huo ilitolewa u . . .