Waziri Mkuu Kassim MajaliwaWaziri mkuu Kassim Majaliwa kasimu ametatua mgogoro wa ardhi uliodumu kwa miaka mitatu katika eneo la Boko-Dovya, wilayani Kinondoni jijini Dar es Salaam baina ya Bw. Aloyce . . .
Ujumbe wa bunge la Marekani upo nchini Kenya kukutana na rais mteule na kiongozi wa upinzani ambaye anatarajiwa kuwasilisha kesi mahakamani kupinga matokeo ya uchaguzi katika nchi hiyo yenye demokrasi . . .
Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema Rais Samia Suluhu Hassan ameridhia Agosti 23, 2022 kuwa siku ya mapumziko. Lengo ni kuwezesha Watanzania kushiriki Sensa ya Watu na Makazi. . . .
Zimbabwe imesema Jumanne kwamba mlipuko wa Surua nchini humo kufikia sasa umeua takriban watoto 157, huku kukiwa na zaidi ya maambukizi 2,000 yaliyoripotiwa kote nchini.Kesi za maambukizi zimekuwa zik . . .
Hali ya huzuni ilitanda Jumanne wakati wa mkusanyiko wa takriban watu 5,000 nchini Afrika kusini wakiadhimisha miaka 10 ya kile kinachojulikana kama mauaji ya Marikana, ambapo polisi waliwa . . .
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt.Philip Mpango amewasili Hifadhi ya Taifa Mikumi mkoani Morogoro leo kwenye hafla ya kukabidhi Malori maalum kwa TANAPA yatakayotumika k . . .
Wananchi hawataweza kununua umeme kwa njia ya Luku kwa siku nne, Agosti 22 - 25, 2022 kuanzia saa 4 usiku hadi saa 1 asubuhi kutokana na matengenezo kwenye kanzidata ya mfumo wa Luku. Meneja Mwan . . .
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndg Shaka Hamdu Shaka amewasili mkoani Tabora kwa ziara ya siku tano kuanzia tarehe 16-20 Agosti, 2022 yenye lengo la kuimarisha uhai wa chama, . . .
Kiongozi wa Muungano wa Azimio la Umoja one Kenya Raila Odinga ametangaza kuhutubia taifa leo, Jumanne, Agosti 16.Mgombea huyo wa mara tano wa urais atahutubia taifa saa chache baada ya mgombea urais . . .
Waziri mkuu wa Japan Fumio Kishida Jumatatu amesisitiza ahadi yake ya kutoingia vitani wakati wa katika hafla iliyojawa na huzuni , ya kuadhimisha miaka 77 tangu . . .
Wizara ya fedha ya Marekani Jumatatu imesema kwamba Marekani imeweka vikwazo kwa maafisa watatu wa serikali ya Liberia akiwemo kiongozi wa utawala kwenye serikali ya rais George Weah.Hatua hiyo ni kut . . .
Ujumbe wa Wabunge watano wa Marekani umekutana leo na Rais wa Taiwan Tsai Ing-Wen mjini Taipei na kuzua hasira ya China, ikiwa ni wiki mbili tu baada ya ziara ya Spika wa Bunge la Marekani Nancy Pelos . . .
Wizara ya afya ya Zimbabwe imesema Jumapili kwamba mlipuko wa Surua umeua watoto 80 nchini humo tangu Aprili, wakati ikidai mikusanyiko ya kidini imesababisha kuongezeka kwa maambukizi.Kwa . . .
Utawala wa Taliban nchini Afghanistan umetangaza lJumatatu kuwa siku kuu ya kitaifa ya kuandhimisha mwaka mmoja tangu kuchukua tena madaraka kutoka kwa serikali iliyokuwa ikiungwa mkono kimataifa , wa . . .
Wagombea urais, George Wajackoyah kutoka Chama cha Roots na David Waihiga leo, Jumatatu Agosti 15, 2022 wameingia katika ukumbi wa Bomas unaotumiwa na Tume Huru ya Uchaguzi (IEBC) ya Kenya na kuhakiki . . .
Umoja wa Ulaya umesema mamlaka ya Taliban "imekiuka na kudhulumu kwa kiwango kikubwa haki za wanawake na wasichana wa Afghanistan." Hayo yamo katika taarifa ya msemaji wa umoja huo kwa masuala ya kima . . .
Vyombo vya habari nchini Iran vimeripoti kwamba, Iran imemfungulia mashtaka mwanasiasa mwanamageuzi Mostafa Tajzadeh, ambaye aliwahi kufungwa na pia kukamatwa tena mwezi uliopita akituhumiwa kuhujumu . . .
Ni Agosti 14, 202 Benki ya CRDB imefanya Marathon huku mgeni rasmi alikuwa ni Makamu wa Rais Dr Philip Isdor Mpango huku kuhudhuriwa na Viongozi mbalimbali akiwemo Rais Mstaafu Kikwete, Naibu Spika Mu . . .
Mataifa ya Venezulea na Colombia kila moja, limeteuwa balozi wake kuyawakilisha katika miji mikuu ya mataifa hayo kwa kujenga upya uhusiano baina ya mataifa hayo mawili, ambao ulivunjika miaka mitatu . . .
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa kama ishara ya kuweka Jiwe la Msingi Mradi wa ukarabati na upanuzi wa Uwanja wa Ndege Iringa. Hafla ya uwekaji wa Jiwe . . .
Utadhani unatazama filamu ya kutisha; hivyo ndivyo unavyoweza kusema unapofika Kijiji cha Imbilili Juu, Halmashauri ya Mji wa Babati Mkoa wa Manyara na kukutana na familia ya Helena Hungoli (60) . . .
Muqtada al-Sadr anaendelea na mapambano yake na wapinzani wake wa kisiasa nchini Iraq. Mhubiri huyo wa Kishia anatoa wito wa kuvunjwa kwa Bunge, miezi kumi tu baada ya kuchaguliwa kwake. Kwa siku kumi . . .
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema Serikali yake haina mpango wa kukata maeneo kwa kuyapandisha hadhi, badala yake wanajielekeza kwenye utatuzi wa shida za wananchi hapa nchini.Rais Samia a . . .
Shirika la Kimataifa la kutetea haki za binadamu lililo na makao yake mjini London Amnesty International, limesema kuwa vikosi vya Ukraine vinakiuka sheria za kimataifa na kuhatarisha raia kwa kuweka . . .
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania TCRA imesema inaangalia mpango wa kuzipa kipaumbele na kuziwezesha kiuchumi runinga za mtandaoni kupitia mfuko wa Media fund ambao upo chini Wizara ya Habari.Hayo yames . . .
Mzazi aliyepokea mahari ya kumuoza binti wa miaka 15 ambaye ni mwanafunzi wa kidato cha kwanza katika Sekondari ya Makang’wa, ametemeshwa tonge mdomoni.Ng’ombe wanne na mbuzi kati ya sita ha . . .
Viongozi wa Sudan Kusini Alhamisi wamesema kwamba serikali itabaki madarakani kwa miaka miwili zaidi, ili kukamilisha mageuzi ya kisiasa, kiusalama na uchaguzi, yanayohitajika ili kusogeza . . .
Jeshi la Polisi Kanda Maal . . .
Rais Joe Biden wa Marekani amesaini amri inayolenga kulinda haki ya kutowa mimba. Uamuzi huo ni kujibu uamuzi wa hivi karibuni wa Mahakama ya Juu kufuta haki ya kikatiba ya kuavya mimba nchini hum . . .
Taiwan imesema imetuma ndege mbili kuziteka ndege za kivita za China karibu na kisiwa hicho chenye utawala wake wenyewe. Taipei imesema ndege 22 kati ya 27 za China zilivuuka mstari wa Lango Bahar . . .