Maafisa wa upelelezi wameanzisha uchunguzi kuhusu kisa ambapo mwanamume mmoja alifariki kwa kujitoa uhai baada ya mkewe kuripotiwa kukataa kumpikia kuku nyumbani kwao Uriri, kaunti ya Migori. Huk . . .
Kamandi ya Polisi ya Kanda ya 2 ya Nigeria imewatia mbaroni wanaume wawili wanaodaiwa kuwa wataalam wa udukuzi katika akaunti za wateja wa benki.Afisa Uhusiano wa Kanda, SP Hauwa Idris-Adamu, alithibi . . .
Katika tukio la Jumanne, Juni 27, watatu hao waliripotiwa kuzirai na kukosa hewa ndani ya tanki la maji taka lenye futi tisa, ambalo lilikuwa bado linaendelea kujengwa. Akithibitisha kisa hicho, . . .
Mbunge wa Kapseret Oscar Sudi huenda hakufika hata katika shule ya upili kinyume na vyeti alivyonavyo vinavyosema, mpelelezi ameambia mahakama.Derrick Juma ambaye ni mpelelezi kutoka Tume ya Maadili n . . .
Mtu mmoja, Usman Buda mfanyakazi katika soko la machinjo katika wilaya ya Gwandu ya jimbo la Sokoto nchini Nigeria, amepigwa mawe hadi kufa baada ya kutuhumiwa kukufuru Dini ya Kiislam na Mtume Muhamm . . .
Wakaazi wa mji huo waliripoti kuwepo mapigano siku ya Jumamosi, kwa mashambulizi ya risasi na makombora katika eneo la Nyala. Darfur, eneo kubwa la magharibi kwenye mpaka na ChadMapigano kati ya majen . . .
Christome Simon (47), mkazi wa Mtaa wa Kambi tano kata ya Lukobe Manispaa ya Morogoro anayedaiwa kupotea tangu Novemba, 2022 na mabaki ya mwili wake kukutwa msitu wa Mgulu wa Ndege uliopo katika mtaa . . .
Maofisa wawili wa Halmashauri ya Wilaya ya Korogwe iliyopo Mkoani Tanga, wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Wilaya wakishitakiwa kwa makosa matano ikiwemo kutuma nyaraka za uongo na ya uhujumu . . .
MMOJA wa wandani wa karibu wa mhubiri wa Kanisa la Good News International Paul Mackenzie ameaga dunia huku wengine wawili wakilazwa hospitalini wakiwa katika hali mahututi.Upande wa mashtaka umeambia . . .
Takriban watu 41 wameuawa katika gereza la wanawake nchini Honduras kufuatia kuzuka kwa mapigano baina ya magenge hasimu, yaliyopelekea kuzuka kwa moto ndani ya jengo la wafungwa.Naibu Waziri wa Usala . . .
Mwanamume aliyenaswa kwa kumjeruhi shemeji yake amepatikana na hatia kwa tuhuma zinazotolewa dhidi yake. Janet Langa, mjane anayetoka Nyaori huko Nyalenda, kaunti ya Kisumu, alivamiwa kinyama na kakak . . .
Salma Shaibu (28) kutoka Wilayani Nachingwea Mkoani Lindi, amefariki dunia baada ya kujiua kwa kunywa sumu ya wadudu huku ikidaiwa kuwa chanzo cha kifo chake ni kujihisi kuwa mwenye hatia baada . . .
olisi huko Mlolongo wanamzuilia mwanamke anayedaiwa kuhusishwa na genge la wizi wa watoto linaloendesha shughuli zake katika eneo hilo.Miriam Wesonga mwenye umri wa miaka 18 alikamatwa na wananchi baa . . .
WAOMBOLEZAJI katika mazishi ya mwanamke nchini Ecuador, walipigwa na butwaa baada ya kugundua kuwa marehemu bado alikuwa hai licha ya kutangazwa kufariki na madaktari.Bella Montoya, 76, al . . .
Kulingana na majirani, mwanamke huyo amekuwa akiwaleta wanaume hao kwake kwa zamu ila siku hiyo, ratiba yake ilifeli na wawili hao wakakutana usiku ule.“Huwa anawaleta siku moja moja usiku sana na w . . .
Watu wanne wamepoteza maisha eneo la Chwele, Bungoma nchini Kenya, kufuatia kutokea kwa ajali iliyohusisha gari la Polisi lililokuwa likikimbiza mchuuzi wa Pombe haramu ya Gongo, kugongana na Pikipiki . . .
Maafisa wa polisi wa Ufaransa wawasili kulinda eneo hilo baada ya watu kadhaa kujeruhiwa karibu na ofisi za zamani za jarida la kejeli la Ufaransa la Charlie Hebdo kufuatia shambulio lililofanywa na m . . .
kijana mmoja kuoa na kuwa na familia yake zilivunjwa na mwanamke ambaye alikuwa amemwamini.Mwanamume huyo mwenye huzuni alisalia amechanganyikiwa na mumeza mate machungu baada ya ndoa yake kuvunjika s . . .
Wizara ya Ulinzi ya China imesema katika taarifa yake kwamba ndege hizo zilizoingia ndani ya mipaka yake ya ulinzi ADIZ ya Seoul zilikuwa zikishiriki katika mazoezi ya pamoja ya anga na Russia katika . . .
Mchezaji soka wa Colombia na Klabu ya Boca Juniors, Sebastian Villa amehukumiwa miaka miwili na mwezi mmoja jela kwa kosa la kumnyanyasa kijinsia aliyekuwa mpenzi wake Daniela Cortes.Daniela Cortes mp . . .
Mhubiri tata, Paul Mackenzie anayedaiwa kuchangia vifo vya watu wengi katika msitu wa Shakahola, amewataka Wanahabari kumnunulia mkate na maziwa akisema wametengeneza pesa nyingi kupitia jina lake.&nb . . .
Takriban watu watano waliuawa na wanane kujeruhiwa Jumapili wakati wanaume watatu walipofyatua risasi ndani ya nyumba huko Guayaquil, mojawapo ya miji iliyoathiriwa zaidi na uhalifu na ulanguzi wa daw . . .
Rais wa Marekani Joe Biden amejikwaa na kuanguka alipokuwa akikabidhi cheti cha diploma katika sherehe ya kuhitimu kwa Chuo cha Jeshi la Wanahewa la Marekani huko Colorado.Biden, ambaye ndiye rais mko . . .
Msichana mwenye umri wa miaka 9 na mama yake walikuwa miongoni mwa watu watatu waliouawa kufuatia mgomo wa Urusi huko Kyiv mapema Alhamisi, maafisa wa Ukraine walisema, huku picha ya wazi zaidi ikione . . .