logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Matukio

  • Pata Habari za Matukio Mbalimbali
Mtandaoni
  • Na Asha Business
  • March 28, 2022

Mrembo Mkenya Hataki kuwa Mama Akidai Watoto ni Mzigo.

Mwanamke mmoja Mkenya amejitokeza na kusema kwamba hataki kupata mtoto wakati wowote maishani mwake. Ebbie Weyime, 34, alisema yeye ni mwanamke wa Kiafrika anayefurahia maisha yake bila kuwa na mtoto . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • March 28, 2022

IS yakiri kufanya mashambulizi Israel

Kundi linalojiita Dola la Kiislamu, IS limekiri kuhusika na shambulizi nchini Israel ambalo limewaua wanajeshi wawili na kuwajeruhi wengine 10. Hayo ni kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo na IS . . .

Siasa
  • Na Asha Business
  • March 28, 2022

Kiongozi wa kilichokuwa chama tawala Burkina Faso akamatwa

Kiongozi wa kilichokuwa chama tawala nchini Burkina Faso, Alassane Bala Sakande amekamatwa baada ya kukosoa mazingira ya kushikiliwa rais wa zamani wa nchi hiyo, Roch Marc Christian Kabore. Mawaki . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • March 27, 2022

Abiria wote waliopata ajali ya ndege China wathibitishwa kufa

Abiria wote 132 waliokuwa wamepanda ndege chapa MU5735 mashariki mwa China wamethibitishwa kufa baada ya ndege hiyo kuanguka.Mamlaka ya anga ya China CAAC imethibitisha taarifa hizo. Naibu mkurugenz . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • March 27, 2022

Waandishi wa habari 12 wauawa kwenye vita nchini Ukraine.

Waandishi wa habari 12 wamekufa nchini Ukraine tangu kuzuka kwa vita nchini humo mwezi mmoja uliopita taarifa hii ikiwa ni kulingana na mwanasheria mkuu Iryna Venediktova. Ameandika kupitia ukuras . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • March 25, 2022

Mashambulizi mawili kwa mpigo yauwa watu 48 Somalia

Kiongozi wa jimbo la Hirshabelle, Ali Gudlawe Hussein, amesema idadi ya waliokufa kutokana na mashambulizi mawili yalitokea katika karibu kipindi kimoja huko katikati ya Somalia imeongezeka na kuf . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • March 25, 2022

Watu 12 wameuawa Ituri nchini DRC

Watu 12, akiwemo mwanajeshi mmoja, na raia 11 wazee, waliuawa katika shambulizi la waasi kwenye jimbo la Ituri, kaskazini mashariki mwa Jamhuri ya kidemokrasi ya Congo vyanzo vya hospitali na ma . . .

Jamii
  • Na Asha Business
  • March 24, 2022

MWENYEKITI UWT MWANZA AMEZA NYOKA!!

Ni katika Maadhimisho ya Siku ya Upandaji Miti Kitaifa sambamba na Siku ya Misitu Duniani iliyofanyika Wilayani Magu mkoani Mwanza. . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • March 24, 2022

Zelensky ahimiza kufanyika maandamano kimataifa kupinga uvamizi wa Urusi

Kyiv, Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky ametoa wito kwa watu duniani kote kuandamana barabarani kama hatua ya kupinga uvamizi wa Urusi nchini Ukraine. Katika ujumbe alioutoa kuelekea mkesha wa ku . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • March 24, 2022

Kifaa cha kunasa sauti kwenye ndege ya abiria ya China kimepatikana

Wuzhou,Afisa wa mamlaka ya usafiri wa anga ya China amesema wachunguzi wamepata kile wanachoamini ni kijisanduku cheusi, kifaa cha kunasa sauti kwenye chumba cha marubani kwenye ndege ya abiria ya . . .

Mahakamani
  • Na Asha Business
  • March 23, 2022

DPP aachana na kesi ya Abdul Nondo

Mahakama ya Rufani Tanzania, Masjala ya Iringa imeondoa kesi iliyokuwa inamkabili aliyekuwa Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanafunzi Tanzania (TSNP).Nondo alikuwa anashtakiwa kwa makosa mawili, moja ni . . .

Mahakamani
  • Na Asha Business
  • March 23, 2022

Jaji Ketanji ajitetea kuhusu kesi za uhalifu

Ketanji Brown Jackson, aliyeteuliwa na Rais wa Marekani Joe Biden kuhudumu katika mahakama ya juu zaidi nchini Marekani, amejitetea juu ya kuwawakilisha wafungwa wa gereza la Guantamano Bay. Ketan . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • March 23, 2022

Guterres aitolea mwito Urusi kumaliza vita Ukraine

Maelfu ya raia wa Ukraine wanajaribu kuukimbia mji wa Mariupol wakati Urusi ikiendeleza mashambulizi ya mabomu kwenye mji huo wa bandari. Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres, ameitole . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • March 22, 2022

Zelensky yuko tayari kujadili Donbass na Crimea na Putin

 Wanajeshi wa Urusi bado wanajaribu kuizingira kyiv ambapo shambulio la bomu liliua takriban watu wanane usiku wa Jumapili hadi kuamkia Jumatatu. Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amese . . .

Mahakamani
  • Na Asha Business
  • March 22, 2022

AFUNGWA KWA KUWALAWITI WATOTO WA DARASA LA SABA

Mahakama ya Wilaya ya Mufindi, Mkoa wa Iringa, imemhukumu mkazi wa Kijiji cha Kitelewasi, Godi Waya (30) kifungo cha maisha baada ya kumtia hatiani kwa kosa la kumlawiti mtoto wa miaka saba (jina . . .

Mahakamani
  • Na Asha Business
  • March 22, 2022

Kesi ya maofisa saba wa polisi yatumia dakika mbili

Kesi ya mauaji ya mfanyabiashara wa madini, Mussa Hamis inayowakabili maofisa saba wa polisi mkoani Mtwara, imeahirishwa kutokana na kile kilichoelezwa kuwa upelelezi bado haujakamilika.Washitakiw . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • March 21, 2022

Urusi yatekeleza shambulio baya la bomu kwenye kituo cha biashara Kyiv

Wanajeshi wa Urusi bado wanajaribu kuzingira mji mkuu wa Ukraine, kyiv, ambapo shambulio la bomu liliua takriban watu wanane usiku wa Jumapili kuamkia Jumatatu. Kulingana na msemaji wa Wizar . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • March 21, 2022

Zaidi ya wanajeshi 10 wauawa katika shambulizi la Burkina Faso

Zaidi ya wanajeshi 10 wameuawa na watu wanaoshukiwa kuwa wanajihadi katika eneo la mashariki mwa Burkina Faso, duru za kijeshi zimesema.Ilifuatia shambulio la Jumapili dhidi ya kikosi cha askari wa . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • March 21, 2022

Ndege ya China Eastern Airlines iliyobeba watu 132 yaanguka huko Guangx

Ndege ya shirika la ndege la China Eastern Airlines aina ya Boeing 737 iliyokuwa imebeba watu 132 imeanguka katika mkoa wa Guangxi, vyombo vya habari vya serikali ya China vinaripoti.Idadi ya wali . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • March 20, 2022

Mabomu ya Urusi yadaiwa kuyashambulia makazi ya watu 400

Mamlaka katika mji wa bandari uliozingirwa nchini Ukraine, Mariupol imesema jeshi la Urusi limeishambulia shule ya sanaa ya mji huo, eneo ambalo lilikuwa likiwahifadhi takribani watu 400 waliopote . . .

Mahakamani
  • Na Asha Business
  • March 17, 2022

Afungwa miaka 30 jela kwa kumbaka mwanafunzi mara bili

uraha Samweli Ligate (26) mkazi wa kijiji cha Unyangala wilaya ya Makete mkoani Njombe amehukumiwa kifungo cha miaka 30 jela kwa kosa la kumbaka mara mbili mtoto mwenye umri wa miaka 15 aliyekuwa . . .

Dini
  • Na Asha Business
  • March 16, 2022

Pasta Maarufu Aliyekuwa Anatarajiwa Kufanya Miujiza Kenya Anaswa na Dawa za Kulevya

Videoz nyingi zinasambaa mtandaoni na Instablog9ja zimeonyesha baadhi ya 'miujiza' yaliyofanywa na Ugochukwu Emmanuel Ekwem wiki chache zilizopita ili kuweka kando tamaa za kibinafsi na kutoa kipaumbe . . .

Afrika mashariki
  • Na Asha Business
  • March 16, 2022

Mchungaji aliyekuwa jambazi sugu

Mchungaji ambaye amekiri kuhusika na ujambazi wa hali ya juu nchini Kenya wakati wa ujana wake miaka ya 90. Rebecah alikuwa ameishi kijijini kwao kaunti ya Makueni hadi alipofikisha miaka 23 aka . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • March 16, 2022

Mwandishi Mwingine Auawa Ukraine Akiripoti

Mwandishi wa habari na mpiga picha wa kituo cha Fox News, Pierre Zakrzewski aliyekuwa na umri wa miaka 55, ambaye alikuwa na makazi yake jijini London, ameuawa katika shambulio la majeshi ya Uru . . .

Kurasa 56 ya 60

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho
  • Follow Us

  • Follow Us

  • Follow Us

  • Subscribe

Unaweza Kupenda Hizi
Habari
news
  • jana

Trump asisitiza kuhusu makubaliano ya kutoshambulia vituo vya nishati

Habari
news
  • jana

WAZIRI MKUU AKAGUA MAANDALIZI YA KILELE CHA MBIO ZA MWENGE

Habari
news
  • jana

Msako wafanyika katika makaazi ya mbunge Ilhan Omar

Habari
news
  • jana

Kabila achukua usukani wa harakati mpya ya kisiasa na kijeshi

Habari
news
  • jana

Polisi Wamsaka Mwanamke Anayetuhumiwa Kutelekeza Kichanga Moshi

Michezo
news
  • 2 siku zilizopita

LAKE VICTORIA MARATHON KUWAGUSA WATOTO NJITI

Habari
news
  • 2 siku zilizopita

Wahamiaji 139 wamefariki na wengine 84 hawajulikani walipo baada ya boti kuzama

Matawi Yetu
  • Jembe Group
  • Jembe Development
  • Jembe Beach
  • Jembe Digital
  • Jembe DJ
  • Jembe Stage And Sound
  • Jembe Events
  • Jembe Ni Jembe Team

Habari Zaidi

  • Trump asisitiza kuhusu makubaliano ya kutoshambulia vituo vya nishati

    • jana
  • WAZIRI MKUU AKAGUA MAANDALIZI YA KILELE CHA MBIO ZA MWENGE

    • jana
  • Msako wafanyika katika makaazi ya mbunge Ilhan Omar

    • jana

Habari Category

  • Habari Zote
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
  • Habari Ndani Na Nje
  • Video
  • Uchumi Na Biashara
  • Magazeti
  • Makala

Wasiliana Nasi

JEMBE NI JEMBE GROUP ,
P. O. Box 1334,
PLOT NO.111/BLOCK "A"
HOUSE No:43 MAKONGORO STREET,
ILEMELA MWANZA - TANZANIA

info@jembenijembe.com

+ 255-786-385-475 ,
+ 255-716-385-475.

  • PRIVACY POLICY
  • TERMS AND CONDITIONS
  • STAFF LOGIN

POWERED BY

© Jembe Ni Jembe Companies.

Created And Maintained By XFoundationCode