WAZIRI MKUU AKAGUA MAANDALIZI YA KILELE CHA MBIO ZA MWENGE

Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo tarehe 13 Oktoba, 2026, amewasili Sumbawanga, mkoani Rukwa, na kukagua maandalizi ya Kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru yanayotarajiwa kufanyWAZIRI MKUU AKAGUA MAANDALIZI YA KILELE CHA MBIO ZA MWENGEika mkoani humo kesho, tarehe 14 Oktoba, 2026.

Mgeni Rasmi katika hafla ya kilele hicho anatarajiwa kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Deogratius Ndejembi.

Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii