logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Matukio

  • Pata Habari za Matukio Mbalimbali
Top Story
  • Na Asha Business
  • June 1, 2023

Mahakama Yamwachilia Mwanamume Baada ya Kumfunga Miaka 33 Kimakosa

Mwanamume mmoja nchini Marekani ameachiliwa na Mahakama ya California baada ya kutumiwa kifungo cha miaka 33 kwa tuhuma za jaribio la mauaji.Fox 2 inaripoti kuwa Daniel Saldana mwenye umri wa miaka 55 . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • May 31, 2023

Mwanafunzi Achoma Bweni na Kuua Wanafunzi 19 Kisa Kunyang'anywa Simu

Msichana mwenye umri wa miaka 15 ameshtakiwa kwa kuchoma moto bweni la shule huko Guyana na kusababisha vifo vya wanafunzi 18 na mvulana wa miaka mitano..Msichana huyo alishtakiwa siku ya Jumatatu kwa . . .

Mahakamani
  • Na Asha Business
  • May 30, 2023

Mhubiri Kutoka Nigeria Ashtakiwa Kwa Kupora Benki Mamilioni Ya Pesa

PASTA kutoka Nigeria ameshtakiwa kwa kula njama za kuitapeli benki mamilioni ya pesa.Pasta Wealth Ochelle almaarufu Apostle Wealth wa Kanisa la Cogic International Church of God lililoko eneo la . . .

ukraine
  • Na Asha Business
  • May 30, 2023

Urusi yafanya mashambulizi mapya ya anga mjini Kiev

Urusi imefanya wimbi jipya la mashambulizi katika mji mkuu wa Kiev mapema leo Jumanne huku milio ya ving'ora ikisika katika maeneo kadhaa ya Ukraine kama tahadhari.Meya wa mji mkuu huo Vitali Klitschk . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • May 29, 2023

Raia wahamasishwa kubeba silaha, kupambana

Gavana wa Mkoa wa Darful uliopo Magharibi mwa Sudan, Mini Minawi amewahimiza raia kwenye eneo hilo kubeba silaha ili kujilinda na wahujumu wa taasisi za taifa.Amesema, raia wanapaswa kuchukua silaha k . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • May 29, 2023

Askari Wawili Wauawa Mbuga ya Wanyama

HomeGossip NewsAskari Wawili Wauawa Mbuga ya WanyamaAskari Wawili Wauawa Mbuga ya WanyamaUdaku Special May 29, 2023Weka Tangazo Lako Hapa Walinzi wawili wa Mbuga za Wanyama Virunga, wameuawa . . .

Mahakamani
  • Na Asha Business
  • May 26, 2023

Msaidizi wa Kazi za Nyumbani Amshtaki Bosi Wake Kwa Kutomlipa Mshahara Kwa Miaka Mitano

Zuhura Ramadhani (30) amemshtaki Khadija Katusi Muoza katika Serikali ya Mtaa ya Mpiji Magohe kwa kutomlipa stahiki zake kwa zaidi ya Miaka mitano ambapo kwa mwezi mshahara wake ni Tsh. 35,000Zuhura a . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • May 26, 2023

Wakazi wa Sudan "Tunalazimika kuiba ili kupata mahitaji".

Wakati mapigano mjini Khartoum yakiingia siku ya 23, raia waliobaki mjini humo wameelezea hali mbaya ya kikatili huku wakidai wanakaribia kuishiwa na mahitaji muhimu, masoko yakiwa yamefungwa na bidha . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • May 25, 2023

Mtoto Ashinda BETI Milioni 188, Baba Mzazi Azikataa

Kijana mmoja mwenye umri wa miaka 19 amebaki kwenye njia panda baada ya kushinda hela ndefu kutoka kwenye mchezo wa Kamari (betting) lakini babake akazikataa hela hizo kwenye nyumba yake. Kulingana na . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • May 25, 2023

Lifti Kuporomoka ni Uzembe wa Uongozi wa Jengo Milenium Tower

Askari wa Zimamoto na Uokoaji Assintant Inspector Mohammed kutoka Kinondoni amesema chanzo cha lifti ya jengo la Millenium Tower lililopo eneo la Makumbusho, imetokana na kubeba watu zaidi ya uzito un . . .

ukraine
  • Na Asha Business
  • May 24, 2023

Mji wa Belgorod washambuliwa kwa ndege zisizo na rubani

Urusi imesema mji wake wa Belgorod uliko mpakani na Ukraine umeshambuliwa kwa idadi kubwa ya ndege zisizo na rubani.Viongozi wa Urusi wamesema mji wake wa Belgorod ambao uko kwenye mpaka na Ukraine um . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • May 24, 2023

Wanawake 30 watekwa kwa kushindwa kulipa ushuru

Maafisa wa serikali nchini Cameroon, wanasema takriban Wanawake 30 wametekwa nyara na wanamgambo wanaopigania kujitenga na wenzao wanaozungumza kiingereza, huku wakidai utekaji nyara huo ulitokana na . . .

Afrika mashariki
  • Na Asha Business
  • May 24, 2023

Mlinzi Awafungia Nje Wafanyikazi wa Serikali Kulalamikia Malimbikizo ya Mshahara

Mlinzi mmoja nchini Uganda aliwafungia nje wafanyakazi 50 wa serikali kwa madai ya kutolipwa malimbikizo ya mshahara wake. Karim Kanku, 67, anasemekana kudai serikali takriban KSh1.8 milioni . . .

Jamii
  • Na Asha Business
  • May 23, 2023

Waziri akumbwa na kashfa wizi wa vijiko Hotelini

Waziri mmoja mwanamama aliwakilisha nchi yake kwenye kikao Mjini Dakar Senegal na akiwa hapo ikawa kajiwekea la Utaratibu ka kuiba vijiko, visu na nyuma kila wanapoenda restaurant. Breakfast anaiba, â . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • May 22, 2023

Fundi Ujenzi Amnyonga Mkewe Kisha Kujinyonga

Fundi Ujenzi, Iddi Saidi Kindula (37), mkazi wa Madale jijini Dar es Salaam anadaiwa kumuua mkewe, Tukae Seif Ramadhani (16), kwa kumnyonga kisha naye kukutwa amefariki dunia akining’inia kwenye kam . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • May 22, 2023

Mtoto Auawa Kwenye Mchezo wa Kupigana Makofi na Mateke

Mtoto mwenye umri wa miaka 12, kutoka nchini Zambia amefariki dunia baada ya kudaiwa kupigwa na marafiki zake watatu wakati wakicheza mchezo wa mateke na makofi. Kulingana na shangazi wa marehemu . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • May 22, 2023

Mashabiki 12 wa Mpira Wafa Uwanjani

Takriban watu 12 wameuawa katika vurugu zilizotokea ndani ya Uwanja wa El Salvador, ambapo mashabiki wa soka walikusanyika kutazama mechi kati ya FC Alianza na Club Deportivo FAS. Taarifa ya polisi nc . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • May 21, 2023

Mamia waandamana kuipinga Serikali

Vikosi vya usalama vya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo vilirusha mabomu ya machozi na kupigana vita katika mitaa ya mji mkuu Kinshasa huku waandamanaji wanaoipinga serikali wakiandamana kwa madai ya . . .

Jamii
  • Na Asha Business
  • May 19, 2023

Utata Vifo Vya Vichanga Mmoja Akutwa Amechunwa

Jeshi la Polisi mkoani Tabora linaendelea na uchunguzi kufuatia utata wa vifo vya watoto mapacha ambao walizaliwa njiti katika kituo cha afya Kaliua kilichopo mkoani humo ambapo mtoto mmoja alikutwa a . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • May 19, 2023

Sukari yenye sumu, Vigogo 27 wasimamishwa kazi

Serikali nchini Kenya, imewasimamisha kazi maofisa 27 kutoka taasisi kumi na mbili wanaotuhumiwa kuachia sukari ambayo muda wake wa matumizi ulikuwa umekwisha na  ilikuwa imepangwa . . .

Afrika mashariki
  • Na Asha Business
  • May 18, 2023

Idadi ya waliofariki kwa kukaa njaa yafikia 226

Nchini Kenya, miili mingine 15 imepatikana katika msitu wa Shakahola, Pwani ya nchi hiyo na kufikisha idadi ya watu waliopatikana kufikia 226 wanaohusishwa na mchungaji mwenye utata Paul Mackzie aliye . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • May 18, 2023

Wawili wakamatwa na mali za wizi Manyara

Jeshi la Polisi Mkoani Manyara, linawashikilia Mohamed Said na Diana Lozi wakazi wa Jiji la Dar es Salaam kwa tuhuma za kukutwa na fedha halali za kitanzania zinazohisiwa kuwa ni za wizi na simu za mk . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • May 18, 2023

Mahitaji ya Wakimbizi Sudan ni dola bilioni 3

Wakati mapigano yakizidi kushika kasi nchini Sudan, umoja wa mataifa unasema jumla ya dolla bilioni 3.03 zinahitajika ilikutoa msaada wa dharura kwa raia walioathirika na makabiliano hayo.Ripoti hiyo . . .

Afrika mashariki
  • Na Asha Business
  • May 17, 2023

Polisi Uganda Wakamata Washukiwa 4 Wanaodaiwa Kumuua Fundi wa Umeme, Kuuza Damu Yake

Maafisa wa polisi mjini Kabale nchini Uganda wamewakamata washukiwa wanne wanaodaiwa kula njama, kumuua fundi umeme na kuuza damu yake kwa mtu asiyejulikana.duru zilidai kuwa damu ya marehemu iliuzwa . . .

Kurasa 23 ya 56

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho
  • Follow Us

  • Follow Us

  • Follow Us

  • Subscribe

Unaweza Kupenda Hizi
Habari
news
  • 6 masaa yaliopita

Mbunge wa Ilemela agawa pikipiki kwa vijana

Habari
news
  • 9 masaa yaliopita

Familia za waathiriwa wa maandamano kuandamana hadi ikulu ya rais kudai haki

Habari
news
  • 11 masaa yaliopita

Rwanda Yafunga Zaidi ya Makanisa 10,000 ya Kiinjili kwa Ukiukwaji wa Sheria

Habari
news
  • 12 masaa yaliopita

Askofu Bagonza aonya dhidi ya ‘sumu’ zinazokwamisha maridhiano

Habari
news
  • 12 masaa yaliopita

Polisi Babati wachunguza kifo cha mwanaume kijiji cha Mapea

Habari
news
  • 12 masaa yaliopita

RC Mara aagiza kurejeshwa jengo la WAMACU Tarime na Rorya

Makala
news
  • 12 masaa yaliopita

Hii hapa top 10 ya Magari Yaliyonunuliwa Zaidi Tanzania Mwaka 2025

Matawi Yetu
  • Jembe Group
  • Jembe Development
  • Jembe Beach
  • Jembe Digital
  • Jembe DJ
  • Jembe Stage And Sound
  • Jembe Events
  • Jembe Ni Jembe Team

Habari Zaidi

  • Mbunge wa Ilemela agawa pikipiki kwa vijana

    • 6 masaa yaliopita
  • Ajiua kwa kujinyonga kwenye banda la mbuzi Manyara

    • 9 masaa yaliopita
  • Familia za waathiriwa wa maandamano kuandamana hadi ikulu ya rais kudai haki

    • 9 masaa yaliopita

Habari Category

  • Habari Zote
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
  • Habari Ndani Na Nje
  • Video
  • Uchumi Na Biashara
  • Magazeti
  • Makala

Wasiliana Nasi

JEMBE NI JEMBE GROUP ,
P. O. Box 1334,
PLOT NO.111/BLOCK "A"
HOUSE No:43 MAKONGORO STREET,
ILEMELA MWANZA - TANZANIA

info@jembenijembe.com

+ 255-786-385-475 ,
+ 255-716-385-475.

  • PRIVACY POLICY
  • TERMS AND CONDITIONS
  • STAFF LOGIN

POWERED BY

© Jembe Ni Jembe Companies.

Created And Maintained By XFoundationCode