logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Matukio

  • Pata Habari za Matukio Mbalimbali
Mauaji
  • Na Asha Business
  • April 18, 2023

Takribani watu 200 wauwawa nchini Sudan

Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres alitoa wito kwa pande zinazopigana nchini Sudan kusitisha mara moja uhasama huku mjumbe wake mjini Khartoum akisema takriban watu 200 wameuawa na mapigano hay . . .

Dini
  • Na Asha Business
  • April 17, 2023

WAZIRI RIDHIWANI AKABIDHI ZAWADI MASHINDANO YA QURAAN

Ridhiwan Kikwete(MB) Na Naibu waziri wa Utumishi .Ameshiriki kugawa Zawadi katika mashindano ya Kimataifa ya uhifadhi wa  Quraan yaliayofanyika Ukumbi wa Diamond Jubilee, jijini Dar es Salaam. Ak . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • April 17, 2023

Imeelezwa kuwa alipatwa na presha na kuanguka ghafla. Mechi ya jana Aprili 16, 2023, Simba waliondoka na ushindi wa magoli mawili kwa nunge dhidi ya Yanga.

Shabiki wa Yanga aliyejulikana kwa jina la Jane, mkazi wa Kata ya Bwilingu wilayani Chalinze mkoa wa Pwani, amepoteza maisha wakati akiangalia mchezo wa jana wa watani wa jadi kati ya Simba na Yanga. . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • April 16, 2023

Watu 56 wauawa Sudan katika mapigano ya siku mbili

Takriban watu 56 wameuawa nchini Sudan  na wengine zaidi ya 400 wamejeruhiwa katika siku mbili za  mapigano makali yaliyozuka kati ya jeshi la nchi hiyo na kundi la wanamgambo la RSF linalop . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • April 16, 2023

Mwanasiasa Apigwa Risasi Akizungumza Mubashara Kwenye Runinga

Aliyekuwa mwanasiasa wa India ameuawa kwa kupigwa risasi akizungumza moja kwa moja kwenye runinga pamoja na kaka yake.Atiq Ahmed, ambaye alikuwa chini ya usalama wa maafisa wa polisi, alikuwa akizungu . . .

Dini
  • Na Asha Business
  • April 14, 2023

Libya yamkamata raia wa Marekani kwa kueneza imani ya Kikristo

Maafisa wa usalama wa Libya Alhamisi walisema walimkamata raia wa pili wa Marekani kwa madai ya kusambaza imani ya kikristo katika taifa hilo la kiislamu la Afrika Kaskazini.Kukamatwa huko kunajiri ba . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • April 13, 2023

Mapigano ya kikabila yauwa 24, nyumba zachomwa moto

Mapigano mapya kati ya makundi mawili ya waarabu na waiso waarabu, katika eneo la Darfur nchini Sudan yamesababisha vifo vya watu 24, nyumba kadhaa kuchomwa moto na maelfu ya watu kukimbia makazi yao. . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • April 12, 2023

AMUUA MWENZAKE KISA ANAMDAI MILIONI 1

Uchungzi wa kifo cha June Jerop mwanafunzi wa chuo kikuu cha Kenyatta kinapoendelea siri fiche kuhusiana na mauaji ya mwanadada huyo zimeanza kuchipuka.Jesse Wafula mshukiwa mkuu katika maua . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • April 12, 2023

Jeshi la Myanmar laua watu 50 katika shambulizi la anga-Vyombo vya habari

Takriban watu 50 waliuawa Jumanne katikati mwa Myanmar katika shambulizi la anga lililofanywa na jeshi kwenye hafla iliyohudhuriwa na wapinzani wa utawala wa nchi hiyo, kulingana na vyombo vya habari . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • April 12, 2023

Anayekodisha bunduki kwa Tsh 100,000 anaswa

Uchunguzi wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Iringa, umefanikisha kumnasa mmoja wa wamiliki halali wa silaha anayetuhumiwa kujipatia fedha kutoka kwa magenge ya uhalifu kwa njia ya kuzikodisha.Taarifa iliyoto . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • April 11, 2023

Mwenyekiti Auawa Baada ya Kunaswa na Mke wa Mtu

WAKATI waumini wa dini ya kikristo duniani kote wakiendelea kusherehekea Sikukuu ya Pasaka,  wilayani Chato mkoa wa Geita kumetokea mauaji ya Mwenyekiti wa kitongoji cha Mwabazengi, kata ya Muung . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • April 10, 2023

Kanisa labariki zaidi ya ndoa 800 za wanaume wenye wake wengi

Kanisa la International Pentecost Holiness limebariki ndoa za wanaume wenye wake wengi zaidi ya 800, ambazo ni za kawaida katika baadhi ya jamii za Kiafrika, ambapo Kiongozi wa Dhehebu hilo anadai zim . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • April 7, 2023

Saba washikiliwa na Polisi kwa mauaji, ufukuaji makaburi

Kufuatia kusambaa kwa taarifa ya kufukuliwa kaburi la mzee mmoja huko Wilayani Manyoni na kudaiwa kuchukuliwa baadhi ya viungo, huku watuhumiwa saba waliofanya mauaji na kufukuwa makaburi wakishikiliw . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • April 7, 2023

Nyoka akutwa kwenye ndege Afrika ya Kusini

Rubani mmoja nchini Afrika Kusini Rudolf Erasmus ametua kwa dharura baada ya kugundua nyoka mwenye sumu kali aina ya kobra akiwa amejificha chini ya kiti chake.Rubani Erasmus na abiria wanne kwenye nd . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • April 7, 2023

Bomu lililotegwa kwenye keki laua bwana harusi na kaka yake

Mwanaume mmoja aliyefunga ndoa hivi karibuni amefariki pamoja na kakake baada ya mfumo wa ukumbi wa michezo nyumbani waliopokea kama zawadi ya harusi kulipuka.Polisi wanasema zawadi hiyo iliwekwa bomu . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • April 6, 2023

Mahakama Yamwamuru Jamaa Kumuua Jogoo Wake kwa Kupigia Jirani Kelele

Mahakama nchini Nigeria imempa mwanamume mmoja makataa ya hadi Ijumaa, Aprili 7, kumuua jogoo wake kufuatia malalamishi ya jirani yake kuwa kuwika kwa ndege huyo kulikuwa kukimharibia usingizi. H . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • April 6, 2023

Serikali ya Chad yawaachilia huru waasi 380 baada ya kuwaondolea kifungo cha maisha jela

Serikali ya Chad imesema iliwaachilia huru waasi 380 Jana Jumatano baada ya kuwaondolea kifungo cha maisha jela walichohukumiwa kufuatia kifo cha rais wa zamani Idriss Deby Itno.Katika hafla iliyopepe . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • April 5, 2023

Muuguzi afariki akijaribu kufanya upasuaji kupunguza tumbo lake.

Moja ya habari iliyokamata headlines wiki hii ni ripoti iliyoandikwa kupitia jarida la The New York Post, kuripoti kuwepo kwa muuguzi mmoja kutokea Nchini Mexico kufariki baada a kukutwa akiwa amepote . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • April 5, 2023

Akata nyeti zake baada ya kutengwa na familia

Anselum Sebuka mwenye umri wa miaka 42 mkazi wa Kijiji na kata ya Namagondo wilayani Ukerewe mkoani Mwanza amekutwa ndani ya chumba chake akiwa amejaribu kukata sehemu zake za siri kwa kutumia kisu.Ka . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • April 4, 2023

Israel yaongeza shambulizi lingine Damascus

Shambulizi la anga la Israel  limeulenga  mji mkuu wa Syria,Damascus mapema  Jumanne kulingana na ripoti ya chombo cha habari cha  serikali likiwa la nne mjini humo tangu Alhamisi . . .

AJALI
  • Na Asha Business
  • April 2, 2023

Jumla ya maduka 21 kati ya 110 yanayomilikiwa na wafanyabiashara mbalimbali ambayo ni mali ya jumuiya ya Wanawake wa chama cha mapinduzi (CCM UWT) Wilaya ya Njombe yameteketea kwa moto na kusababisha hasara kutokana na mali kuungua

Moto huo umetokea majira ya saa tatu usiku wa Aprili 1 mwaka huu ambapo Mkaguzi Loti Madauda kwa niaba ya Kaimu Kamanda wa  jeshi la zimamoto na uokoaji mkoa wa Njombe amesema walipata taarifa ya . . .

AJALI
  • Na Asha Business
  • March 31, 2023

Ajali basi la Chuo Pwani: Dereva alilalamikia ubovu wa breki

Katibu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Pwani – PUSA, Kelvin Nyambura amewataka Wanafunzi na Wazazi kuwa watulivu akisema vifo hivyo vimewagusa watu wengi na Taifa la Kenya kiujumla na kwamba bado wanafuatili . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • March 31, 2023

Dada Wawili Wapiga na Kuua Kaka Yao Kisa Chakula

Polisi eneo la Webuye Mashariki katika Kaunti ya Bungoma wanachunguza kisa ambapo wanawake wawili wanakisiwa kumuua kaka yao katika mzozo wa chakula. Katika kisa hicho cha Jumanne - Machi 28 - usiku, . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • March 30, 2023

WATU SITA MBARONI KWA TUHUMA ZA MAUAJI

WATU sita wamekamatwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Singida wakituhumiwa kujihusisha na vitendo vya mauaji ya watu, kufukua makaburi wilayani Manyoni na kuchukua sehemu za siri za miwili ya watu waliozik . . .

Kurasa 26 ya 56

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho
  • Follow Us

  • Follow Us

  • Follow Us

  • Subscribe

Unaweza Kupenda Hizi
Habari
news
  • 12 masaa yaliopita

Mbunge wa Ilemela agawa pikipiki kwa vijana

Habari
news
  • 15 masaa yaliopita

Familia za waathiriwa wa maandamano kuandamana hadi ikulu ya rais kudai haki

Habari
news
  • 16 masaa yaliopita

Rwanda Yafunga Zaidi ya Makanisa 10,000 ya Kiinjili kwa Ukiukwaji wa Sheria

Habari
news
  • 17 masaa yaliopita

Askofu Bagonza aonya dhidi ya ‘sumu’ zinazokwamisha maridhiano

Habari
news
  • 17 masaa yaliopita

Polisi Babati wachunguza kifo cha mwanaume kijiji cha Mapea

Habari
news
  • 17 masaa yaliopita

RC Mara aagiza kurejeshwa jengo la WAMACU Tarime na Rorya

Makala
news
  • 18 masaa yaliopita

Hii hapa top 10 ya Magari Yaliyonunuliwa Zaidi Tanzania Mwaka 2025

Matawi Yetu
  • Jembe Group
  • Jembe Development
  • Jembe Beach
  • Jembe Digital
  • Jembe DJ
  • Jembe Stage And Sound
  • Jembe Events
  • Jembe Ni Jembe Team

Habari Zaidi

  • Mbunge wa Ilemela agawa pikipiki kwa vijana

    • 12 masaa yaliopita
  • Ajiua kwa kujinyonga kwenye banda la mbuzi Manyara

    • 15 masaa yaliopita
  • Familia za waathiriwa wa maandamano kuandamana hadi ikulu ya rais kudai haki

    • 15 masaa yaliopita

Habari Category

  • Habari Zote
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
  • Habari Ndani Na Nje
  • Video
  • Uchumi Na Biashara
  • Magazeti
  • Makala

Wasiliana Nasi

JEMBE NI JEMBE GROUP ,
P. O. Box 1334,
PLOT NO.111/BLOCK "A"
HOUSE No:43 MAKONGORO STREET,
ILEMELA MWANZA - TANZANIA

info@jembenijembe.com

+ 255-786-385-475 ,
+ 255-716-385-475.

  • PRIVACY POLICY
  • TERMS AND CONDITIONS
  • STAFF LOGIN

POWERED BY

© Jembe Ni Jembe Companies.

Created And Maintained By XFoundationCode