logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Matukio

  • Pata Habari za Matukio Mbalimbali
Jamii
  • Na Asha Business
  • March 30, 2023

Wanawake Waliozaa na wakandarasi Wa China Haya Ndio Yanayowakuta Wanawake Hao

Kwa zaidi ya muongo uliopita, Wachina wamekuwa wakifurika mijini na vijijini barani Afrika kujenga barabara, mabwawa, madaraja na miundombinu mingine ya kisasa.Hata hivyo, kuja kwao kumeleta baraka na . . .

Jamii
  • Na Asha Business
  • March 30, 2023

Mfadhili wa Mbegu za Kiume Aliyezaa Watoto 550 Kote Duniani, Ashtakiwa kwa Kuzaa Sana

Mwanamuziki wa Uholanzi mwenye makazi yake nchini Kenya na ambaye ni mfadhili mkubwa wa mbegu za kiume aliyezaa takriban watoto 550 duniani kote anakabiliwa na mashtaka.Jonathan Jacob Meijer, 41, ames . . .

Jamii
  • Na Asha Business
  • March 30, 2023

Aiba mtoto na akamdanganye mume wake

Mahakama ya wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza imemhukumu kifungo cha miaka miwili gerezani Happyness William mwenye umri wa miaka 18 mkazi wa Nyehunge wilayani humo kwa kosa la wizi wa mtoto wa miezi . . .

Afrika mashariki
  • Na Asha Business
  • March 28, 2023

Maandamano Yataendelea Alhamisi Mapema Asubuhi

Kiongozi wa Muungano wa Azimio La Umoja One Kenya Raila Odinga amesisitiza kuwa safari yake ya kwenda Ikulu haiwezi kuzimwa. Kupitia kitandazi chake cha Twitter baada ya maandamano hayo, Raila al . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • March 28, 2023

Amuua mumewe kwa kumkata sehemu za siri

Polisi mjini Kampala nchini Uganda wanamshikilia mwanamke mmoja aliyefahamika kwa jina la Joy Biira kwa tuhuma za kumkata mumewe sehemu za siri jambo lililosababisha kifo cha mwanaume huyo.Msemaji wa . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • March 28, 2023

Islamic state wameshambulia Taliban, sita wamefariki

watu waliojeruhiwa wakipokea matibabu baada ya shambulizi la bomu.Maafisa wa Taliban nchini Afghanistan, wamesema kwamba shambulizi la bomu la kujitoa mhanga nje ya wizara ya mambo ya nje mjini Kabul, . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • March 27, 2023

Waandishi wa Habari washambuliwa katika maandamano

Waandishi wa Habari wa vyombo mbalimbali vya Kenya na Kimataifa, wameshambuliwa na genge la watu wenye silaha eneo la Kibra nchini humo, wakati wakiripoti maandamano ya kwanza ya kila wiki ya kupinga . . .

ukraine
  • Na Asha Business
  • March 27, 2023

Russia inasema imezuia shambulio la ndege isiyo na rubani ya Ukraine

Mifumo ya ulinzi wa anga ya Russia Jumapili imezuia shambulio la ndege isiyo na rubani ya Ukraine katika mji mmoja wa Russia ambapo watu watatu walijeruhiwa na majengo ya makazi kuharibiwa, wizara ya . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • March 24, 2023

Wanamgambo mashariki mwa DRC wauwa watu wapatao 15

Afisa kutoka shirika moja la kiraia kwa jina Charite Banza amefahamisha kwamba wapiganaji wa kundi la waasi la CODECO walishambulia kijiji cha Drodro katika mkoa wa Ituri kwenye mji wa Djungu siku ya . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • March 23, 2023

Zaidi ya watu laki moja wajeruhiwa na gesi ya kutoa machozi kote ulimwenguni

Zaidi ya watu 119,000 wamejeruhiwa na gesi ya kutoa machozi pamoja na kemikali nyingine za kudhibiti maandamano kote ulimwenguni tangu 2015. Hilo limejiri huku wengine takriban 2,000 wakipata maj . . .

Habari
  • Na Asha Business
  • March 22, 2023

Mamaye Mwanachuo Aliyeuawa Alaani Unyama Wa Polisi

MAMA yake mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Maseno aliyeuawa Jumatatu wakati wa maandamano ya Upinzani, amesikitika na kusema hakuwahi kuwazia kuwa mwanawe angefariki kabla hajahudhuria sherehe ya kufuzu k . . .

Afrika mashariki
  • Na Asha Business
  • March 22, 2023

Wanafunzi wa Chuo Kikuu Cha Maseno Nchini Kenya Waandanama Kufuatia Kifo cha Mmoja Wao

Wanafunzi katika chuo kikuu cha Maseno wamefanya maandamano kufutia kifo cha mmoja wao William Bhangi Mayenga mwanafunzi wa mwaka wa tatu aliyepigwa risasi shingoni na maafisa wa usalama.Kifo cha Maye . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • March 21, 2023

Raila Odinga"Maandamano Bado Yataendeleea Kenya "

Kiongozi wa Azimio Raila Odinga sasa amesema maandamano ya kushinikiza kushuka kwa gharama ya maisha itakuwa kila Jumatatu na Alhamsii.Raila anasema amechukua msimamo huo baada ya wananchi kutaka kuwe . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • March 20, 2023

Mwanamke ajinyonga kisa ukame

Mkazi wa Kijiji cha Kiperesa, Wilaya ya Kiteto mkoani Manyara, Sophia Ishuka (56) amejinyonga kwa mtandio akiwa nyumbani kwake kwa madai kuwa mimea yake imeathirika kwa kiwango kikubwa shambani kwake . . .

Jamii
  • Na Asha Business
  • March 17, 2023

Kioja Jamaa Wawili Wakitoa Nguo na Kupanda Juu ya Mti Karibu na Kituo cha Polisi

Wanaume wawili kutoka nchini Kenya wamepanda mti wakiwa uchi muda wa usiku Alhamis March 16 huku wakihubiri lakini waafisa wa usalama walifanikiwa kuwafuykuz watu hao.Ijumaa asubuhi, wanaume hao walif . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • March 17, 2023

Mwalimu adaiwa kumuua Mwalimu mwenzake darasani Geita

Mwalimu wa Shule ya Msingi Igaka, Samwel Subi anashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Geita kwa tuhuma za kumuua mwalimu mwezake Emanuel Chacha kwa kumchoma na kisu akiwa darasani. Kamanda wa Poli . . .

Jamii
  • Na Asha Business
  • March 16, 2023

Baba Ampachika Mimba Binti yake na kumuoa, aishi nyumba moja na mama yake

Baba ampachika mimba binti yake na kumuoa, aishi nyumba moja na mama yakeFamilia ya Chihinzi Misagwe Ezekiel (baba), Tumaini Chihonzi (binti), na Ntakwinja Kakumba (mama) sio familia ya kawaida kwani . . .

AJALI
  • Na Asha Business
  • March 16, 2023

Rais atangaza wiki mbili za maombolezo

Rais wa Malawi, Lazarus Chakwera ametangaza wiki mbili za maombolezo ya kitaifa baada ya watu zaidi ya 200 kuuawa na Kimbunga Freddy, ambacho kilipeleka maafa makubwa zaidi katika jiji la Blantyre na . . .

AJALI
  • Na Asha Business
  • March 14, 2023

Mtoto apigwa radi akicheza na wenzake

Swaumu Abdala (13) ambaye ni mwanafunzi wa darasa la sita katika shule ya msingi Bugongwa mtaa wa Igombe B kata ya Bugogwa halmashauri ya manispaa ya Ilemela  amepoteza maisha baada ya kupigwa na . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • March 14, 2023

Zaidi ya watu 40 wadaiwa kuwawa na Boko Haram, Nigeria

Watu wasio pungua 40 wameuawa kwenye mashambulizi makali dhidi ya jamii mbali mbali katika wilaya ya Zango Kataf, katika majimbo ya Kaduna na Katsina, kaskazini magharibi mwa Nigeria. Wimbi jipya la . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • March 14, 2023

Jeshi laingilia kati mgomo wa Madaktari, Polisi washika doria

Jeshi nchini Afrika ya Kusini limeingilia kati mgomo wa Wahudumu wa afya kwa kupeleka Madaktari wake katika hospitali kadhaa za umma, ili kupunguza madhara na vifo, huku Serikali ikisema hali hiyo ili . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • March 14, 2023

Zaidi ya 100 wafariki Kwa kimbunga Freddy hali ya hatari yatangazwa

Serikali nchini Malawi, imetangaza hali ya hatari na maafa katika eneo la kusini mwa nchi hiyo, na kusema idadi ya watu 99 waliofariki kutokana na Kimbunga Freddy huenda ikaongezeka na kwamba Shule zi . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • March 13, 2023

Mhasibu Wa Benki Atekwa, Afa Kwa Kuchomwa Moto

HABARIMhasibu Wa Benki Atekwa, Afa Kwa Kuchomwa Moto, Kamanda Aeleza; ”Ni Moto Wa Mafuta Ya Petroli”-VideoLAST UPDATED MAR 13, 2023 0 ShareJeshi la Polisi mkoani Pwani limethibitish . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • March 13, 2023

Korea kaskazini yafyatua makombora mawili

Korea kaskazini imefyatua makombora mawili kutoka kwenye nyambizi katika Bahari ya Mashariki. Shirika la habari la serikali ya Korea Kaskazini, KNCA limesema makombora hayo yalifyatuliwa Jumapili asub . . .

Kurasa 27 ya 56

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho
  • Follow Us

  • Follow Us

  • Follow Us

  • Subscribe

Unaweza Kupenda Hizi
Habari
news
  • 13 masaa yaliopita

Mbunge wa Ilemela agawa pikipiki kwa vijana

Habari
news
  • 16 masaa yaliopita

Familia za waathiriwa wa maandamano kuandamana hadi ikulu ya rais kudai haki

Habari
news
  • 18 masaa yaliopita

Rwanda Yafunga Zaidi ya Makanisa 10,000 ya Kiinjili kwa Ukiukwaji wa Sheria

Habari
news
  • 19 masaa yaliopita

Askofu Bagonza aonya dhidi ya ‘sumu’ zinazokwamisha maridhiano

Habari
news
  • 19 masaa yaliopita

Polisi Babati wachunguza kifo cha mwanaume kijiji cha Mapea

Habari
news
  • 19 masaa yaliopita

RC Mara aagiza kurejeshwa jengo la WAMACU Tarime na Rorya

Makala
news
  • 19 masaa yaliopita

Hii hapa top 10 ya Magari Yaliyonunuliwa Zaidi Tanzania Mwaka 2025

Matawi Yetu
  • Jembe Group
  • Jembe Development
  • Jembe Beach
  • Jembe Digital
  • Jembe DJ
  • Jembe Stage And Sound
  • Jembe Events
  • Jembe Ni Jembe Team

Habari Zaidi

  • Mbunge wa Ilemela agawa pikipiki kwa vijana

    • 13 masaa yaliopita
  • Ajiua kwa kujinyonga kwenye banda la mbuzi Manyara

    • 16 masaa yaliopita
  • Familia za waathiriwa wa maandamano kuandamana hadi ikulu ya rais kudai haki

    • 16 masaa yaliopita

Habari Category

  • Habari Zote
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
  • Habari Ndani Na Nje
  • Video
  • Uchumi Na Biashara
  • Magazeti
  • Makala

Wasiliana Nasi

JEMBE NI JEMBE GROUP ,
P. O. Box 1334,
PLOT NO.111/BLOCK "A"
HOUSE No:43 MAKONGORO STREET,
ILEMELA MWANZA - TANZANIA

info@jembenijembe.com

+ 255-786-385-475 ,
+ 255-716-385-475.

  • PRIVACY POLICY
  • TERMS AND CONDITIONS
  • STAFF LOGIN

POWERED BY

© Jembe Ni Jembe Companies.

Created And Maintained By XFoundationCode