Mwanamume mmoja anadaiwa kupoteza nyeti zake kufuatia kichapo cha mbwa alichopokezwa katika maandamano ya kupinga mageuzi ya pensheni nchini Ufaransa. Katika maandamano hayo ya Alhamisi, Januari . . .
Wachunguzi wanaamini uvamizi wa wiki iliyopita kwa watu wanaoshukiwa kuwa wanajihadi nchini Burkina Faso, ulisababisha kutekwa kwa takriban wanawake 60, wasichana na watoto, mwendesha mashtaka wa eneo . . .
Serekali ya kaskazini mwa Pakistani, Alhamisi imesema wanamgambo wamefanya shambulizi la bunduki na bomu kwenye kituo cha polisi, na kuwauwa wanajeshi watatu wa kikosi cha usalama.Kundi lililopi . . .
Sabina Barma (28) mwenye watoto watano ameuawa kwa kuchomwa shingoni kwa kitu Chenye ncha Kali na mtu anayetajwa kuwa ni mumewe.Marehemu ameacha watoto watano wa mwisho akiwa ana umri wa Mwaka mmoja a . . .
Mwanajeshi mmoja anauguza jeraha hospitalini baada ya kupigwa risasi mkononi na mwanaume anayeshukiwa kuwa jambazi kuwa kumuuliza kwa nini alikuwa akivuta bangi hadharani.Timothy Mwangi alikuwa kwenye . . .
ambalo limeshuhudia mamia ya watu wakifariki katika ajali za ndege katika miongo ya hivi karibuni.Kwa miaka mingi, sababu kadhaa zimelaumiwa kwa rekodi mbaya ya usalama ya mashirika ya ndege ya Nepal. . . .
Takriban wanawake 50 wametekwa nchini Burkina Faso na wenye msimamo mkali wa Islamic State katika eneo la Sahel, kaskazini mwa Burkina Faso wiki iliyopoita kwa mujibu wa maafisa wa huko waliozungumza . . .
Mahakama ya wilaya ya Tabora imemuhukumu mkazi wa Kidatu “B” kata ya Mtendeni Mkoani Tabora Husseni Mashibu (32) kifungo cha maIsha jela baada ya kupatikana na hati ya kumlaw . . .
Watu 67 wamekufa leo baada ya ndege yenye uwezo wa kubeba abiria 72 kuanguka kwenye korongo wakati ikitua katika uwanja mpya wa ndege uliofunguliwa kwenye mji wa Pokhara nchini Nepal. Kwa mujibu wa af . . .
Polisi wa Somalia wamesema kwamba watu wanane wameuawa katika shambulio la bomu kando ya barabara, huko Buloburde, mji ulipo katika wilaya ya Hiran ambapo vikosi vya serikali na wanamgambo wa ukoo wam . . .
Ndege ya abiria ya Kampuni ya Yeti Airlines iliyobeba jumla ya Watu 72 imeanguka leo katika Mji wa Pokhara karibu na uwanja wa ndege wa Mji huo uliopo nchini Nepal, Vikosi vya Uokoaji vinaendelea na u . . .
Wanafunzi kadhaa walilazwa hospitalini Jumatatu, Januari 9, alasiri baada ya kula chakula chao cha mchana uliotolewa na serikali. Wanafunzi hao wa Shule ya Msingi ya Mandalpur, wanaripotiwa kuath . . .
Wanajeshi 14 wa Mali wameuwawa na wengine 11 wamejeruhiwa katika mashambulzii mawili tofauti yaliyotokea katikati mwa nchi hiyo baada ya magari waliyokuwa wakitumia kukanyaga mabomu. Hayo yameelezwa n . . .
Jeshi la Polisi mkoa wa Mbeya, linamshikilia Joyce Matingo (26), mkazi wa Unyamwanga wilaya ya Rungwe, mkoani Mbeya kwa tuhuma za kumuua mtoto wake aitwaye Emily Matingo(9) kwa kumpiga sehemu mbalimba . . .
Polisi wa nchini Brazil imeisambaratisha kambi ya waandamanaji nje ya makao makuu ya jeshi la nchi hiyo siku moja baada ya wafuasi wa rais wa zamani Jair Bolsonaro kuyavamia majengo ya utawala k . . .
Jeshi la Urusi limedai kufanya mashambulizi ya angani katika kambi ya kijeshi inayotumiwa na majeshi ya Ukraine kama hatua ya kulipiza kisasi kwa vifo vya wanajeshi wa Urusi waliouwawa kutokana na sha . . .
Mtoto mwenye umri wa miaka sita, anashikiliwa na polisi baada ya kumpiga risasi mwalimu wake katika jimbo la Virginia nchini Marekani. Kwa mujibu wa ripoti ya maafisa wa polisi, mtoto huyo . . .
Rais wa Ukraine Volodymr Zelenskyy amepongeza msaada wa silaha kutoka Marekani, unaojumuisha magari yenye uwezo wa kurusha makombora ya kuharibu vifaru vya kivita.Zelenskyy amesema kwamba msaada huo u . . .
Wanajeshi 46 wa Ivory Coast ambao kuzuiliwa kwao na Mali kulizua mzozo wa kidiplomasia walifikishwa katika mahakama ya rufaa mjini Bamako, Alhamisi, kwa mujibu wa ripota wa AFP. Kuonekana kwao . . .
Michael Haight mwenye umri wa miaka 42 nchini Marekani amemuua mke wake, mama mkwe na watoto wake 5 na yeye kujiua baada ya mke wake kuwasilisha ombi la talaka jambo ambalo yeye hakulitaka . . .
Mtoto wa kiume wa rais wa muda mrefu wa Equatorial Guinea anachunguzwa kuhusiabna na madai ya utekaji na mateso.Wadadisi wanasema madai hayo yataharibu juhudi za rais huyo kuboresha sifa yake kimataif . . .
Mmiliki wa zamani wa makafani katika Jimbo la Colorado, Marekani, amehukumiwa kifungo cha miaka 20 gerezani kwa kuwalaghai jamaa za waliofariki na kuuza viungo vya miili ya maiti 560 bila idhini. Mega . . .
Familia ya watu sita akiwemo baba, Khumbulani Togara, mama na watoto wao wanne, akiwemo kichanga, wamefariki dunia katika ajali ya kutisha iliyotokea siku ya Boxing Day, Desemba 26, 2022.Ajali hiyo il . . .
Watu wanne wamefariki dunia na wengine 9 kuieruhiwa baada ya helikopta mbili kugongana angani karibu a Seaworld kwenye pwani ya Australia yaGold Coast.Ofisi ya Usalama wa Usafiri wa angani ya Australi . . .