logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Matukio

  • Pata Habari za Matukio Mbalimbali
Mauaji
  • Na Asha Business
  • November 22, 2022

Afariki Dunia Baada ya Kufungiwa Chumbani Mwaka Mzima

Huko Nigeria Mwanamama Alietambulika Kwa Jina La Sadiya amefariki baada yakufungiwa ndani na mume wake mwaka mzima Huku Akipata chakula Kidogo.Imaelezwa Mama Huyo Wa Watoto Wanne Alikua Anafungiwa . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • November 22, 2022

Watu 130 watekwa Nigeria

Mamlaka katika jimbo la Kaskazini Magharibi mwa Nigeria la Zamfara zinasema watu wasiopungua 130 wametekwa nyara na watu wenye silaha katika mfululizo wa mashambulizi katika maeneo mawili tofauti . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • November 22, 2022

Uganda kutuma wanajeshi DRC

Serikali ya Uganda imesema itatuma wanajeshi wake 1000 katika nchi jirani ya Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo kufikia mwishoni mwa mwezi huu. Wanajeshi hao wanaingia mashariki mwa DRC c . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • November 22, 2022

Tetemeko la ardhi lasababisha vifo zaidi ya160

Maafisa wa huduma za dharura nchini Indonesia wanaendelea kuitafuta miili zaidi ya watu kutoka kwenye vifusi vya nyumba na majengo yaliyoangushwa na tetemeko la ardhi lililosababisha vifo vya watu . . .

Jamii
  • Na Asha Business
  • November 21, 2022

MWANAUME AOMBA ARUDISHIWE MAHARI YAKE

Baada ya kugundua  kuwa  mke wake siku ya harusi yake, bwana harusi amefutilia mbali mipango ya ndoa.Kijana huyo  aligundua kwamba mrembo wake tayari alikuwa na watoto wawili na mwanamu . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • November 18, 2022

DRC yatumia ndege za kivita na vifaru dhidi ya waasi wa M23

Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imetuma jana ndege mbili za kivita ili kukabiliana na wanamgambo wa M23 wanaoendelea kusonga mbele katika eneo la mashariki mwa nchi hiyo lenye hali tete, baada ya jum . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • November 17, 2022

Polisi waua majambazi watatu

Watu watatu wanaodhaniwa kuwa ni majambazi wamefariki dunia kutokana na kupigwa risasi na polisi usiku wa kuamkia jana, baada ya kutokea majibizano ya risasi baina ya kundi la watu watano na askari, k . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • November 17, 2022

Yule Diwani Aliyepotea kwa Miezi na Kupatikana Kwa Ashura Tabata Apotea Tena

Yule Diwani aliyepotea kwa Miezi mitatu na kupatikana kwenye nyumba ya mwanamke mmoja aliyejulikana kwa jina la Ashura Ally Matitu, mkazi wa Tabata darajani, Diwani Rwakatale wa kata ya Kawe amepotea . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • November 16, 2022

POPO WAVAMIA KITUO CHA POLISI

Maafisa katika Kituo cha Polisi cha Maragua, Kaunti ya Murang'a wanaishi kwa hofu baada ya maelefu ya popo kuvamia kituo hicho. Maafisa hao wa usalama wamesimulia masaibu ya kuvamiwa na popo weng . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • November 14, 2022

Maelfu ya watu waandamana Mexico

Maelfu ya watu waliingia katika mtaa muhimu wa jiji kuu la Mexico, kuandamana kupinga mapendekezo ya rais Andres Manuel Lopez Obrador ya mabadiliko ya tume ya uchaguzi. Maandamano hayo ni makub . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • November 14, 2022

watu sita wauawa

Takriban watu sita wameuawa na wengine 81 kujeruhiwa katika mlipuko katika eneo lenye shughuli nyingi katikati mwa Istanbul, mamlaka ya Uturuki imesema. Mlipuko huo ulitokea mwendo wa saa 16:20 kwa s . . .

Bungeni
  • Na Asha Business
  • November 10, 2022

waasi waanza tena kupigana

Mapigano yameanza upya jana nchini Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo, kati ya jeshi la kundi la waasi wa M23, siku moja baada ya watu wengi kukimbia maeneo yanayodhibitiwa na waasi yanayoshambuliwa na n . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • November 10, 2022

MWANAUME AKAMATWA BAADA YA KUMRUSHIA MFALME WA UINGEREZA CHARLES III MAYAI

Mfalme Charles III na mkewe Malkia Consort Camilla wapondwa  na mayai wakati wakiwa kwenye ziara ya kaskazini mwa Uingereza. Kisa hicho kilitokea wakati umati wa watu ulikusanyika kwenye eneo la . . .

AJALI
  • Na Asha Business
  • November 10, 2022

Ajali ya Magari Manne Yaua na Kujeruhi Mlima Iwambi Mbeya

Watu wawili wamefariki dunia na wengine watatu kujeruhiwa katika ajali iliyohusisha magari manne likiwemo basi la abiria la Kampuni ya Mangare Express lenye namba za usajili T 601 DCX linalofanya safa . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • November 6, 2022

PRECISION AIR IKIVUTWA KWA KAMBA NA WANANCHI TOKA ZIWA VICTORIA MKOANI KAGERA BAADA YA KUTOKEA AJALI

PRECISION AIR IKIVUTWA KWA KAMBA NA WANANCHI TOKA ZIWA VICTORIA MKOANI KAGERA BAADA YA KUTOKEA AJALI  MAPEMA asubuhi ya leo Jumapili ya tarehe 6 November 2022 mara baada ya ajali wananchi wameon . . .

AJALI
  • Na Asha Business
  • November 6, 2022

Ndege ya Shirika la Precision Air imepata ajali katika Ziwa Victoria, muda mfupi kabla ya kutua mjini Bukoba mkoani Kagera.

 Akizungumza toka eneo la tukio leo Jumapili 6, 2022, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kagera, William Mwampaghale amethibitisha taarifa za ajali hiyo na kusema kuwa yupo kwenye eneo la tukio akiendel . . .

AJALI
  • Na Asha Business
  • November 6, 2022

Ndege ya Precision Air Yaanguka

Ndege ya Shirika la Ndege la Precision, imeanguka ziwani mjini Bukoba, Mkoani Kagera asubuhi ya leo Novemba 6, 2022Taarifa za awali zinaonesha ndege hiyo imeanguka ziwani wakati ikijaribu kutua; uokoa . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • November 4, 2022

Kiongozi wa upinzani afikishwa mahakamani kwa ubakaji Senegal

Kiongozi mkuu wa upinzani nchini Senegal alifikishwa katika mahakama moja ya Dakar kutokana na tuhuma za ubakaji kwa mara ya kwanza siku ya Alhamisi, huku wakili wake akiitaja kesi hiyo kuwa ni njama . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • November 4, 2022

RC Malima atoa siku 7 walioua albino wakamatwe

Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Adam Malima ametoa siku saba kwa viongozi  wa kamati ya ulinzi na usalama ya Mkoa huo kufanya opereshi na kuwakamata waliohusika na mauaji ya Joseph Mathias mwenye umri&nbs . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • November 3, 2022

Korea Kaskazini yafyatua makombora, ikiwa ni pamoja na la masafa marefu

Korea Kaskazini imefyatua makombora kadhaa mapema hii leo ikiwa ni pamoja na linalohisiwa kuwa la masafa marefu hatua iliyoibua mashaka kwa wakazi wa maeneo ya kaskazini na katikati mwa Japan waliotoa . . .

Mtandaoni
  • Na Asha Business
  • November 3, 2022

Miss Argentina na Miss Puerto Rico Wafunga Ndoa ya Jinsia Moja

Miss Argentina 2019 na Miss Puerto Rico 2019 wametangaza kwamba wameoana.Mariana Varela and Fabiola Valentín, walianza kutoka kimapenzi tangu 2020 kwenye shindano la Miss Grand International.Wawili h . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • November 2, 2022

kufunga mara moja vituo vya polisi nchini Uholanzi

Serikali ya Uholanzi imeamuru China kufunga mara moja "vituo vya polisi" nchini Uholanzi, ambavyo ripoti zinasema vilitumiwa kuwanyanyasa wapinzani. Vituo vya polisi huko Amsterdam na Rotterdam . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • November 1, 2022

MTOTO WA DAVIDO AFARIKI DUNIA

Mtoto wa kiume wa Davido mwenye umri wa miaka 3  afariki dunia baada ya kuzama katika swimming pool katika nyumba yao huko Banana IslandKabla, Davido na Chioma walikuwa wamesafiri kwenda mji wa I . . .

Jamii
  • Na Asha Business
  • October 31, 2022

MAMA AUA MTOTO WAKE NA KUMUWEKA KWENYE NDOO ZAIDI YA MIEZI 3

Polisi katika kaunti ya Kajiado nchini Kenya, wamemkamata na kumzuilia mwanamke mwenye umri wa miaka 34, ambaye anatuhumiwa kumuua mwanawe mchanga na kutupa mwili wake nyumbani kwa zaidi ya miezi mita . . .

Kurasa 33 ya 56

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho
  • Follow Us

  • Follow Us

  • Follow Us

  • Subscribe

Unaweza Kupenda Hizi
Habari
news
  • 10 masaa yaliopita

Mbunge wa Ilemela agawa pikipiki kwa vijana

Habari
news
  • 13 masaa yaliopita

Familia za waathiriwa wa maandamano kuandamana hadi ikulu ya rais kudai haki

Habari
news
  • 15 masaa yaliopita

Rwanda Yafunga Zaidi ya Makanisa 10,000 ya Kiinjili kwa Ukiukwaji wa Sheria

Habari
news
  • 15 masaa yaliopita

Askofu Bagonza aonya dhidi ya ‘sumu’ zinazokwamisha maridhiano

Habari
news
  • 15 masaa yaliopita

Polisi Babati wachunguza kifo cha mwanaume kijiji cha Mapea

Habari
news
  • 16 masaa yaliopita

RC Mara aagiza kurejeshwa jengo la WAMACU Tarime na Rorya

Makala
news
  • 16 masaa yaliopita

Hii hapa top 10 ya Magari Yaliyonunuliwa Zaidi Tanzania Mwaka 2025

Matawi Yetu
  • Jembe Group
  • Jembe Development
  • Jembe Beach
  • Jembe Digital
  • Jembe DJ
  • Jembe Stage And Sound
  • Jembe Events
  • Jembe Ni Jembe Team

Habari Zaidi

  • Mbunge wa Ilemela agawa pikipiki kwa vijana

    • 10 masaa yaliopita
  • Ajiua kwa kujinyonga kwenye banda la mbuzi Manyara

    • 13 masaa yaliopita
  • Familia za waathiriwa wa maandamano kuandamana hadi ikulu ya rais kudai haki

    • 13 masaa yaliopita

Habari Category

  • Habari Zote
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
  • Habari Ndani Na Nje
  • Video
  • Uchumi Na Biashara
  • Magazeti
  • Makala

Wasiliana Nasi

JEMBE NI JEMBE GROUP ,
P. O. Box 1334,
PLOT NO.111/BLOCK "A"
HOUSE No:43 MAKONGORO STREET,
ILEMELA MWANZA - TANZANIA

info@jembenijembe.com

+ 255-786-385-475 ,
+ 255-716-385-475.

  • PRIVACY POLICY
  • TERMS AND CONDITIONS
  • STAFF LOGIN

POWERED BY

© Jembe Ni Jembe Companies.

Created And Maintained By XFoundationCode