logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Matukio

  • Pata Habari za Matukio Mbalimbali
Afrika
  • Na Asha Business
  • August 28, 2022

Waasi nchini Burkina Faso waua watu 6

Watu wenye silaha na wasiojulikana wamewaua watu sita na kuwajeruhi wengine wawili katika shambulio dhidi ya msafara kutoka mgodi wa dhahabu wa Boungou mashariki mwa Burkina Faso. Taarifa ya Jeshi ime . . .

AJALI
  • Na Asha Business
  • August 28, 2022

Watu milioni 33 Pakistan wakumbwa na mafuriko yaliyoua zaidi ya 1,000

Pakistan inaomba msaada zaidi wa kimataifa baada ya mafuriko kusababisha uharibifu mkubwa kote nchini humo.Marekani, Uingereza, Umoja wa Falme za Kiarabu na nchi nyingine zimechangia kusaidia madhara . . .

Jamii
  • Na Asha Business
  • August 26, 2022

Mwalimu afariki dunia akiamulia ugomvi wa jirani

Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Taisi Kata ya Bumera, mkoani Mara, Ibrahimu Maryoba, amefariki dunia kutokana na shinikizo la damu wakati akienda kuamua ugomvi wa jirani yake. Mwenyekiti wa Kijij . . .

ukraine
  • Na Asha Business
  • August 25, 2022

Watu 22 wauawa katika shambulio la Russia kwenye kituo cha treni-Zelenskiy

Takriban watu 22 wameuawa na darzeni kujeruhiwa Jumatano katika shambulio la kombora la Russia kwenye kituo cha treni cha Ukraine, Rais Volodymyr Zelenskiy amesema, wakati taifa lake likiadhimisha uhu . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • August 24, 2022

MBUGE AMUUA MPINZANI WAKE

Mbunge mteule wa Kimilili Didmus Barasa amekana mashtaka ya kumuua mlinzi wa mpinzani wake siku ya uchaguzi mkuu mapema mwezi huu.Mbunge huyo alikuwa amefikishwa mbele ya mahakama ya Kakamega ambapo u . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • August 24, 2022

Polisi Wasimamishwa kwa Kumpiga Raia

Polisi watatu katika jimbo la Arkansas nchini Marekani, wamesimamishwa kazi kutokana na video iliyozaagaa mitandaoni ikiwaonesha wakimpiga mshukiwa mmoja huku wamemlaza chini Mmoja wa maofisa ame . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • August 23, 2022

MWALIMU AUAWA NA MWANAE.

Biwi la simanzi limevaa kijiji cha Migingo, katika Kaunti Ndogo ya Kadibo, baada ya Naibu Mwalimu Mkuu wa Shule ya Upili ya Wasichana ya Migingo, Roseline Atieno Nyawada, kupatikana ameuawa nyumbani k . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • August 22, 2022

Japan kupeleka zaidi ya makombora 1,000 Ili kukabiliana na tishio la China

Kufuatia mvutano unaoongezeka barani Asia tangu uvamizi wa Urusi dhidi ya Ukraine, Japan inafanya kilio chini ya uwezo wake ili kupata uwezo mpya wa ulinzi. Inaweza kupeleka makombora zaidi ya elfu mo . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • August 22, 2022

MAGAIDI WAFANYA MASHAMBULIZI SOMALIA

Polisi wa serikali kuu ya Somalia wamesema Jumapili kwamba maafisa wa usalama wamemaliza kushikiliwa kwa  hoteli moja kwenye mji mkuu wa Mogadishu. Shambulizi hilo lilifanywa na ku . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • August 22, 2022

WAZIRI WA ZAMANI WA GUINEA AFARIKI .

Lounceny Camara, mwenye umri wa miaka 62, ni miongoni mwa mawaziri wa zamani na maafisa waandamamizi walioshtumiwa ubadhirifu wa pesa za umma na kufungwa jela baada ya jeshi kumuondoa madarakani rais . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • August 19, 2022

MWANAUME AJIKATA SEHEMU ZAKE ZA SIRI AKIWA USINGIZINI.

Mwanamume mmoja kutoka taifa la Ghana anaendelea kupokea matibabu hospitalini baada ya kujikata sehemu zake za siri kwa bahati mbaya akilala.Kofia Atta mkulima mwenye umri wa miaka 47 alisema kuwa ali . . .

AJALI
  • Na Asha Business
  • August 19, 2022

Mlipuko Mkubwa Watokea Ndani ya Msikiti Unaobeba Watu Wengi Afghanistan

Polosi mjini Kabul wamesema watu zaidi ya 21 wamefariki kutokana na mlipuko uliotokea ndani ya Msikiti Mkubwa zaidi jijini Kabul, Kati ya hao majeruhi zaidi ya 33 wameripotiwa.Mlipuko wa Jumatano ulit . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • August 19, 2022

Tajiri kutoka Canada ahukumiwa kifungo cha miaka kumi na tatu jela kwa ulaghai

Tajiri wa Canada mwenye asili ya China, Xiao Jianhua, ambaye alitoweka mnamo 2017 kutoka hoteli moja huko Hong Kong, amehukumiwa kifungo cha miaka kumi na tatu jela, vyombo vya shria vimetangaza Ijuma . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • August 18, 2022

Kesi ya mtuhimiwa wa mauaji ya kimbari Rwanda Kabuga kuanza Septemba 29

Mtu anayetuhumiwa kufadhili mauaji ya kimbari nchini Rwanda mwaka wa 1994 Felicien Kabuga, atapandishwa kizimbani mjini The Hague Septemba 2. Jaji wa mahakama hiyo ya Umoja wa Mataifa Iain Bonomy ames . . .

ukraine
  • Na Asha Business
  • August 18, 2022

Rais wa Ukrain Alaani Mashambulio ya Urusi Dhidi ya Nchi Yake

RAIS wa Ukraine Volodymyr Zelensky amelaani shambulio dhidi ya makazi ya watu katika mji wa pili kwa ukubwa nchini humo, ambalo alilitaja kuwa la ‘kudharauliwa’. Shambulio hilo limeacha maafa . . .

AJALI
  • Na Asha Business
  • August 16, 2022

50 Wanusurika Kifo Basi Likiteketea kwa Moto

Basi la kampuni ya usafirishaji la Tashrif limeteketea kwa moto asubuhi ya leo tarehe 16 Agosti 2022 wakati likiwa safarini kutoka Tanga Mjini kuelekea Masasi mkoani Mtwara. Dereva wa Basi hilo a . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • August 16, 2022

Akianguka Kutoka Milima ya Montblanc

BINGWA wa kupanda milima na kuteleza kwenye theluji mwanadada Adele Milloz, 26, afariki dunia baada ya kuanguka kutoka safu za milima ya Montblanc nchini Ufaransa.Milloz alikuwa ameachana na michezo y . . .

AJALI
  • Na Asha Business
  • August 16, 2022

Takriban watu 52 wamefariki dunia

Sudan ilikumbwa na mafuriko katika wiki za hivi karibuni. Kulingana na Baraza la Kitaifa la Ulinzi wa Raia, watu 52 wamefariki dunia tangu mwezi Mei mwaka jana, mwanzoni mwa msimu wa mvua. Zaidi ya ny . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • August 15, 2022

Israel yamuua Mpalestina mmoja huko Jerusalem

Polisi wa Israel wamempiga risasi na kumuua Mpalestina mmoja aliyefahamika kwa jina la Mohammed al-Shaham ambaye alijaribu kuwashambulia maafisa hao kwa kisu wakati wakifanya msako wa silaha zinazomil . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • August 15, 2022

Wanajeshi watatu wauawa katika shambulio la anga karibu na Damascus

Jeshi la Israel limelaumiwa na vyombo vya habari nchini Syria kuhusika na mashambulizi ya anga karibu na mji mkuu Damascus na kusababisha vifo vya wanajeshi watatu na wengine kadhaa kujeruhiwa. Wakati . . .

AJALI
  • Na Asha Business
  • August 15, 2022

Misri yaomboleza vifo vya watu 41 kufuatia mkasa wa moto

Misri imefanya mazishi ya watu 41 waliopoteza maisha katika mkasa wa moto uliozuka ndani ya kanisa moja la wakristo wa madhehebu ya Coptic wakati wa ibada jana Jumapili.Mamia ya watu walijitokeza kuto . . .

AJALI
  • Na Asha Business
  • August 14, 2022

Mafuriko yasababisha zaidi ya 50 kutpoteza maisha Sudan

Mafuriko yaliyosababishwa na mvua za msimu nchini Sudan yamesababisha vifo vya zaidi ya watu 50 na kuharibu makazi zaidi ya 8,170 tangu kuanza kwa msimu huo wa mvua.Msemaji wa kitengo cha taifa cha ku . . .

ukraine
  • Na Asha Business
  • August 12, 2022

Guterres azitaka Russia na Ukraine kusitisha harakati za kijeshi karibu na kiwanda cha nyuklia cha Ukraine

Katibu mkuu wa Umoja wa mataifa Antonio Guterres Alhamisi ametoa wito wa kusitisha harakati za kijeshi karibu na jengo la kiwanda cha nyuklia cha Ukraine cha Zaporizhzhia, huku Moscow na Kyiv zikilaum . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • August 12, 2022

Polisi wa Afrika Kusini wawakamata watu 20 wanaoshukiwa kuchochea ghasia mbaya mwaka jana

Polisi wa Afrika Kusini Alhamisi wamesema wamewakamata watu 20 wanaoshukiwa kuwa miongoni mwa watu waliochochea vurugu ambazo zilisababisha vifo vya mamia ya watu mwaka jana, katika mzozo mbaya kuwahi . . .

Kurasa 37 ya 56

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho
  • Follow Us

  • Follow Us

  • Follow Us

  • Subscribe

Unaweza Kupenda Hizi
Habari
news
  • 6 masaa yaliopita

Mbunge wa Ilemela agawa pikipiki kwa vijana

Habari
news
  • 9 masaa yaliopita

Familia za waathiriwa wa maandamano kuandamana hadi ikulu ya rais kudai haki

Habari
news
  • 11 masaa yaliopita

Rwanda Yafunga Zaidi ya Makanisa 10,000 ya Kiinjili kwa Ukiukwaji wa Sheria

Habari
news
  • 12 masaa yaliopita

Askofu Bagonza aonya dhidi ya ‘sumu’ zinazokwamisha maridhiano

Habari
news
  • 12 masaa yaliopita

Polisi Babati wachunguza kifo cha mwanaume kijiji cha Mapea

Habari
news
  • 12 masaa yaliopita

RC Mara aagiza kurejeshwa jengo la WAMACU Tarime na Rorya

Makala
news
  • 12 masaa yaliopita

Hii hapa top 10 ya Magari Yaliyonunuliwa Zaidi Tanzania Mwaka 2025

Matawi Yetu
  • Jembe Group
  • Jembe Development
  • Jembe Beach
  • Jembe Digital
  • Jembe DJ
  • Jembe Stage And Sound
  • Jembe Events
  • Jembe Ni Jembe Team

Habari Zaidi

  • Mbunge wa Ilemela agawa pikipiki kwa vijana

    • 6 masaa yaliopita
  • Ajiua kwa kujinyonga kwenye banda la mbuzi Manyara

    • 9 masaa yaliopita
  • Familia za waathiriwa wa maandamano kuandamana hadi ikulu ya rais kudai haki

    • 9 masaa yaliopita

Habari Category

  • Habari Zote
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
  • Habari Ndani Na Nje
  • Video
  • Uchumi Na Biashara
  • Magazeti
  • Makala

Wasiliana Nasi

JEMBE NI JEMBE GROUP ,
P. O. Box 1334,
PLOT NO.111/BLOCK "A"
HOUSE No:43 MAKONGORO STREET,
ILEMELA MWANZA - TANZANIA

info@jembenijembe.com

+ 255-786-385-475 ,
+ 255-716-385-475.

  • PRIVACY POLICY
  • TERMS AND CONDITIONS
  • STAFF LOGIN

POWERED BY

© Jembe Ni Jembe Companies.

Created And Maintained By XFoundationCode