Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya na wenzake wanne wamefikishwa tena katika mahakama ya hakimu mkazi Moshi leo Agosti 12.Sabaya na wenzake wanakabiliwa na mashitaka . . .
Pacha aliyesalia ‘Rehema’ kati ya mapacha wawili waliotenganishwa Julai Mosi mwaka huu, amefariki dunia jana saa 5 asubuhi Agosti 11, wakati akiendelea kupatiwa matibabu katika Hospitali ya Taifa . . .
Mamlaka nchini Mali zimetangaza siku tatu za maombolezo ya kitaifa kuanza leo, baada ya mashambulizi mawili yaliyofanywa na makundi ya Kiislamu yenye msimamo mkali kusababisha mauaji ya wanajeshi na p . . .
Elizabeth Cheleo mwenye umri wa miaka 37 mkazi wa mtaa wa Nsemulwa, Kata ya Nsemulwa wilaya ya Mpanda mkoani Katavi, amepoteza maisha kwa kujinyonga chumbani kwake kwa kutumia kipande cha kiteng . . .
Maafisa wawili wa polisi wameuawa Jumatano nchini Sierra Leonne baada ya maandamano dhidi ya hali ngumu ya uchumi kugeuka kuwa mapambano kati ya maafisa wa usalama na vijana wanaomtaka rais ajiuluzu, . . .
Maelfu ya waandamanaji wenye hasira nchini Afrika Kusini waliwasaka wachimba migodi wasiokuwa na vibali baada ya ubakaji wa wanawake wanane wiki iliyopita. Ubakaji huo ulifanyika katika mji wa Krugers . . .
Rommy Jones almaarufu RJ the DJ kwa mara ya kwanza amefunguka kuhusu sakata la picha za utupu wake kuvujishwa mitandaoni na mwanaharakati mmoja wa kimitandao kupitia ‘app’ yake.RJ amechukua fursa . . .
Jeshi la DRC Jumanne limesema limewaua waasi 11 wa kundi la wanamgambo la Allied Democratic Forces (ADF), ambalo kundi la kigaidi la Islamic State linadai ni mshirika wake, mashariki mwa DRC.ADF ni mm . . .
Maafisa wanaokabiliana na moto mkubwa unaoendelea kuteketeza misitu Carlifonia, wanakumbana na hali ngumu kutokana na radi pamoja na joto la hali ya juu, vinavyoongeza moto kusambaa, huku . . .
Idadi ya watu waliongamania katika mafuriko jijini Mbale nchini Uganda imeongezeka na kufika watu 22 huku wengine 10 wakiwa katika hali mahututi kulingana na polisi.Mito miwili ilivunja kingo zake kuf . . .
Msiba wa watoto wawili wa wafanyabiashara marufuku jijini la Arusha, waliokuwa wachumba umeibua simanzi na kutawaliwa na usiri kuhusu chanzo cha ajali iliyosababisha vifo vyao. Watoto hao, Estomi . . .
Polisi mjini Kakamega wamemzuilia mwanamke wa makamo kwa madai ya kuishi na maiti kinyume na sheria. Shamim Kabere, mkazi wa Iyala, eneo bunge la Lurambi, anasemekana kuuhifadhi mwili wa Ainea Tavava, . . .
Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake wanne wamefikishwa katika mahakama ya hakimu mkazi Moshi huku akiwa amefungwa bandeji kichwani.Sabaya na wenzake wanakabiliwa na ma . . .
Waziri wa mambo ya kigeni wa Urusi Sergei Lavrov amepinga vikali madai kuwa nchi yake ndiyo inawajibika kwa kupanda kwa bei za vyakula duniani kutokana na uvamizi wake nchini Ukraine na badala yak . . .
Watu 15 wamekufa wakiwemo walinda amani watatu huku wengine kadhaa wakijeruhiwa katika maandamano yanayoendelea kushuhudiwa mashariki mwa nchi ya Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, raia wakishinik . . .
Nchini India imeripotiwa vifo vya watu 20 waliouawa na radi ikiwa ni ndani ya masaa 24 katika miji nane iliyo Mashariki mwa Jimbo la Bihar nchini humo. Radi hizo ziliambatana na mwanga mkali . . .
Wakati famili tano zilizopotelewa na watoto wao maeneo ya Kariakoo katika mazingira ya kutatanisha, wametoka tena hadharani safari hii wakimuomba Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Camilius . . .
Shirika la haki za binadamu la Human Rights Watch limesema leo kuwa kundi la waasi wa M23 liliwatuhumu na kuwaua raia 29 pasina kuwapa fursa ya kujitetea tangu katikati mwa Juni, katika maeneo . . .
Utawala wa kijeshi nchini Myanmar umewanyonga wanaharakati wanne wa demokraisa katika kile ambacho kimetajwa kuwa mwanzo wa kutumika kwa hukumu ya kunyongwa nchini humo baada . . .
Mamia ya wanajeshi wa Sri Lanka pamoja na polisi mapema Ijumaa wamevamia kambi moja ya waandamanaji wanaoipinga serikali kwenye mji mkuu wa Colombo, wakati wakiharibu mahema ya wanaharakati wana . . .
Mwanamke mmoja anayefahamika kwa jina la Kshama Bindu raia wa India mwenye umri wa miaka 24 amekuwa gumzo mitandaoni baada ya kufunga ndoa ya kujioa yeye mwenyewe. Harusi ya Bindu ilifanyika Ju . . .
Jeshi la Polisi mkoani Dodoma linamshikilia mkazi wa kijiji cha Chiwondo wilayani Chamwino, Chidalo Tagoo (64) kwa tuhuma za kuwakeketa wanafunzi wawili wa darasa la tatu wenye umri wa miaka 12 na . . .
Shirika la upelelezi la Marekani CIA, limesema takribani wanajeshi 15,000 wa Urusi wamekufa tangu Moscow ilipofanya uvamizi nchini Ukraine. Mkurugenzi wa CIA William Burns, amesema karibu idadi ma . . .
Mkuu wa shirika la chakula duniani, WFP, David Beasley, Jumatano wakati akiwa kwenye majengo ya bunge la Marekani ameonya kuhusu uwezekano wa upungufu wa chakula ulimwenguni. Beasley amas . . .