logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Matukio

  • Pata Habari za Matukio Mbalimbali
Mahakamani
  • Na Asha Business
  • August 12, 2022

Sabaya na wenzake wafikishwa tena mahakamani

Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya na wenzake wanne wamefikishwa tena katika mahakama ya hakimu mkazi Moshi leo Agosti 12.Sabaya na wenzake wanakabiliwa na mashitaka . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • August 12, 2022

Pacha wa pili aliyetenganishwa Muhimbili naye afariki

Pacha aliyesalia ‘Rehema’ kati ya mapacha wawili waliotenganishwa Julai Mosi mwaka huu, amefariki dunia jana saa 5 asubuhi Agosti 11, wakati akiendelea kupatiwa matibabu katika Hospitali ya Taifa . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • August 11, 2022

Mali yatangaza siku tatu za maombolezo ya kitaifa kufuatia mauaji ya askari

Mamlaka nchini Mali zimetangaza siku tatu za maombolezo ya kitaifa kuanza leo, baada ya mashambulizi mawili yaliyofanywa na makundi ya Kiislamu yenye msimamo mkali kusababisha mauaji ya wanajeshi na p . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • August 11, 2022

Mwanamke ajinyonga na kipande cha kitenge

Elizabeth Cheleo mwenye umri wa miaka 37 mkazi wa mtaa wa Nsemulwa, Kata ya Nsemulwa wilaya ya Mpanda mkoani Katavi, amepoteza maisha kwa kujinyonga chumbani kwake  kwa kutumia kipande cha kiteng . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • August 11, 2022

Polisi wawili wauawa Sierra Leonne katika maandamano ya kupinga hali ngumu ya uchumi

Maafisa wawili wa polisi wameuawa Jumatano nchini Sierra Leonne baada ya maandamano dhidi ya hali ngumu ya uchumi kugeuka kuwa mapambano kati ya maafisa wa usalama na vijana wanaomtaka rais ajiuluzu, . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • August 5, 2022

Wachimba migodi haramu washambuliwa Afrika Kusini

Maelfu ya waandamanaji wenye hasira nchini Afrika Kusini waliwasaka wachimba migodi wasiokuwa na vibali baada ya ubakaji wa wanawake wanane wiki iliyopita. Ubakaji huo ulifanyika katika mji wa Krugers . . .

Mtandaoni
  • Na Asha Business
  • August 3, 2022

Rommy Jones Aomba Radhi kwa Watanzania

Rommy Jones almaarufu RJ the DJ kwa mara ya kwanza amefunguka kuhusu sakata la picha za utupu wake kuvujishwa mitandaoni na mwanaharakati mmoja wa kimitandao kupitia ‘app’ yake.RJ amechukua fursa . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • August 3, 2022

Jeshi la DRC linasema limeua waasi 11 wa ADF

Jeshi la DRC Jumanne limesema limewaua waasi 11 wa kundi la wanamgambo la Allied Democratic Forces (ADF), ambalo kundi la kigaidi la Islamic State linadai ni mshirika wake, mashariki mwa DRC.ADF ni mm . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • August 2, 2022

Moto mkubwa unaoteketeza misitu washindwa kudhibitiwa California

Maafisa wanaokabiliana na moto mkubwa  unaoendelea kuteketeza misitu Carlifonia, wanakumbana na hali ngumu  kutokana na radi pamoja na joto la hali ya juu, vinavyoongeza moto kusambaa, huku . . .

Mafuriko
  • Na Asha Business
  • August 2, 2022

Watu 22 Waangamia na Mafuriko Uganda

Idadi ya watu waliongamania katika mafuriko jijini Mbale nchini Uganda imeongezeka na kufika watu 22 huku wengine 10 wakiwa katika hali mahututi kulingana na polisi.Mito miwili ilivunja kingo zake kuf . . .

AJALI
  • Na Asha Business
  • August 2, 2022

simanzi vyatawala ajali iliyoua watoto wa vigogo

Msiba wa watoto wawili wa wafanyabiashara marufuku jijini la Arusha, waliokuwa wachumba umeibua simanzi na kutawaliwa na usiri kuhusu chanzo cha ajali iliyosababisha vifo vyao. Watoto hao, Estomi . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • July 31, 2022

MWANAMKE AISHI NA MAITI YA KAKA YAKE, ADAI NI MUNGU WAKE.

Polisi mjini Kakamega wamemzuilia mwanamke wa makamo kwa madai ya kuishi na maiti kinyume na sheria. Shamim Kabere, mkazi wa Iyala, eneo bunge la Lurambi, anasemekana kuuhifadhi mwili wa Ainea Tavava, . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • July 29, 2022

Sabaya atinga mahakamani.

Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake wanne wamefikishwa katika mahakama ya hakimu mkazi Moshi huku akiwa amefungwa bandeji kichwani.Sabaya na wenzake wanakabiliwa na ma . . .

ukraine
  • Na Asha Business
  • July 28, 2022

Lavrov apinga Urusi kubebeshwa dhima ya upungufu wa chakula duniani

Waziri wa mambo ya kigeni wa Urusi Sergei Lavrov amepinga vikali madai kuwa nchi yake ndiyo inawajibika kwa kupanda kwa bei za vyakula duniani kutokana na uvamizi wake nchini Ukraine na badala yak . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • July 27, 2022

Watu 15 wameuawa katika maandamano dhidi ya MONUSCO nchini DRC

Watu 15 wamekufa wakiwemo walinda amani watatu huku wengine kadhaa wakijeruhiwa katika maandamano yanayoendelea kushuhudiwa mashariki mwa nchi ya Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, raia wakishinik . . .

AJALI
  • Na Asha Business
  • July 27, 2022

Radi Yaua Watu 20 kwa Muda wa Masaa 24

Nchini  India imeripotiwa vifo vya watu 20 waliouawa na radi ikiwa ni ndani ya masaa 24 katika miji nane iliyo Mashariki mwa Jimbo la Bihar nchini humo. Radi hizo ziliambatana na mwanga mkali . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • July 26, 2022

IGP Wambura aanza kwa kupokea kilio

Wakati famili tano zilizopotelewa na watoto wao maeneo ya Kariakoo katika mazingira ya kutatanisha, wametoka tena hadharani safari hii wakimuomba Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Camilius . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • July 25, 2022

Human Rights Watch yasema M23 imeuwa raia 29 wa Congo tangu katikati mwa Juni

Shirika la haki za binadamu la Human Rights Watch limesema leo kuwa kundi la waasi wa M23 liliwatuhumu na kuwaua raia 29 pasina kuwapa fursa ya kujitetea tangu katikati mwa Juni, katika maeneo . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • July 25, 2022

Jeshi limewanyonga wanaharakati 4 wa demokrasia

Utawala wa kijeshi nchini Myanmar umewanyonga wanaharakati wanne wa demokraisa katika kile ambacho kimetajwa kuwa mwanzo wa kutumika kwa hukumu ya kunyongwa nchini humo baada . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • July 22, 2022

Wanajeshi wavunja kambi ya waandamanaji Sri Lanka

Mamia ya wanajeshi wa Sri Lanka pamoja na polisi mapema Ijumaa wamevamia kambi moja ya waandamanaji wanaoipinga serikali kwenye mji mkuu wa Colombo, wakati wakiharibu mahema ya wanaharakati wana . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • July 22, 2022

Bindu, Mwanamke wa Kihindi Aliyejioa Mwenyewe, Ashawishiwa na Muvi ya Netflix

Mwanamke mmoja anayefahamika kwa jina la Kshama Bindu raia wa India mwenye umri wa miaka 24 amekuwa gumzo mitandaoni baada ya kufunga ndoa ya kujioa yeye mwenyewe. Harusi ya Bindu ilifanyika Ju . . .

Mahakamani
  • Na Asha Business
  • July 22, 2022

Adakwa kwa kukeketa wanafunzi wawili

Jeshi la Polisi mkoani Dodoma linamshikilia mkazi wa kijiji cha Chiwondo wilayani Chamwino, Chidalo Tagoo (64) kwa tuhuma za kuwakeketa wanafunzi wawili wa darasa la tatu wenye umri wa miaka 12 na . . .

ukraine
  • Na Asha Business
  • July 21, 2022

CIA yamsema Urusi imepoteza wanajeshi karibu 15,000 mpaka sasa nchini Ukraine

Shirika la upelelezi la Marekani CIA, limesema takribani wanajeshi 15,000 wa Urusi wamekufa tangu Moscow ilipofanya uvamizi nchini Ukraine. Mkurugenzi wa CIA William Burns, amesema karibu idadi ma . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • July 21, 2022

WFP "Ulimwengu kukabiliwa na uhaba wa chakula mwakani".

Mkuu wa shirika la chakula duniani, WFP, David Beasley, Jumatano wakati akiwa kwenye majengo ya bunge la Marekani ameonya kuhusu uwezekano wa upungufu wa chakula ulimwenguni. Beasley amas . . .

Kurasa 38 ya 56

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho
  • Follow Us

  • Follow Us

  • Follow Us

  • Subscribe

Unaweza Kupenda Hizi
Habari
news
  • 5 masaa yaliopita

Mbunge wa Ilemela agawa pikipiki kwa vijana

Habari
news
  • 8 masaa yaliopita

Familia za waathiriwa wa maandamano kuandamana hadi ikulu ya rais kudai haki

Habari
news
  • 9 masaa yaliopita

Rwanda Yafunga Zaidi ya Makanisa 10,000 ya Kiinjili kwa Ukiukwaji wa Sheria

Habari
news
  • 10 masaa yaliopita

Askofu Bagonza aonya dhidi ya ‘sumu’ zinazokwamisha maridhiano

Habari
news
  • 10 masaa yaliopita

Polisi Babati wachunguza kifo cha mwanaume kijiji cha Mapea

Habari
news
  • 10 masaa yaliopita

RC Mara aagiza kurejeshwa jengo la WAMACU Tarime na Rorya

Makala
news
  • 11 masaa yaliopita

Hii hapa top 10 ya Magari Yaliyonunuliwa Zaidi Tanzania Mwaka 2025

Matawi Yetu
  • Jembe Group
  • Jembe Development
  • Jembe Beach
  • Jembe Digital
  • Jembe DJ
  • Jembe Stage And Sound
  • Jembe Events
  • Jembe Ni Jembe Team

Habari Zaidi

  • Mbunge wa Ilemela agawa pikipiki kwa vijana

    • 5 masaa yaliopita
  • Ajiua kwa kujinyonga kwenye banda la mbuzi Manyara

    • 8 masaa yaliopita
  • Familia za waathiriwa wa maandamano kuandamana hadi ikulu ya rais kudai haki

    • 8 masaa yaliopita

Habari Category

  • Habari Zote
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
  • Habari Ndani Na Nje
  • Video
  • Uchumi Na Biashara
  • Magazeti
  • Makala

Wasiliana Nasi

JEMBE NI JEMBE GROUP ,
P. O. Box 1334,
PLOT NO.111/BLOCK "A"
HOUSE No:43 MAKONGORO STREET,
ILEMELA MWANZA - TANZANIA

info@jembenijembe.com

+ 255-786-385-475 ,
+ 255-716-385-475.

  • PRIVACY POLICY
  • TERMS AND CONDITIONS
  • STAFF LOGIN

POWERED BY

© Jembe Ni Jembe Companies.

Created And Maintained By XFoundationCode