Maafisa wawili wa polisi waliuawa na mmoja kujeruhiwa katika shambulizi dhidi ya kituo cha polisi kaskazini magharibi mwa Benin siku ya Jumapili duru za polisi zilisema. Mashambulizi ya karibun . . .
Urusi imesema vikosi vyake vimechukua udhibiti kamili wa mji wa mashariki mwa Ukraine wa Sieverodonetsk. Wizara yake ya Ulinzi imesema vikosi vyao vimechukua pia udhibiti wa mji jirani wa Bor . . .
Maelfu na maelfu ya Wamarekani wameandamana Jumamosi siku moja baada ya Mahakama Kuu kugeuza sheria ya miaka 50, maarufu kwa jina la Roe V. Wade, inayompatia mwanamka haki ya kutoa mimba. . . .
Tetemeko kubwa la ardhi limetikisa mashariki mwa Afghanstan mapema leo na kusababisha vifo vya karibu watu 920. Maafisa wamesema mamia ya watu wamejeruhiwa na na kuwa idadi ya vifo inatarajiwa kup . . .
Iran iliwanyonga zaidi ya watu 100 katika miezi mitatu ya kwanza ya 2022, hali ya kutisha ambayo inazidi kuongezeka, kulingana na ripoti ya katibu mkuu wa Umoja wa mataifa Antonio Guterres iliyo . . .
Ofisa mtendaji katika kata moja wilayani Siha mkoani Kilimanjaro na mgambo, wanadaiwa kuwatembezea kipigo wanafunzi wanne na kusababisha kifo cha mmoja wao anayesoma kidato cha pili.Marehemu ambay . . .
Kundi la nyani wa hifadhi ya Gombe iliyopo kijiji cha Mwamgongo wilayani Kigoma, limevamia nyumba ya Shayima Faya (20) na kumpokonya mtoto mchanga wakati akimnyonyesha na kutokomea naye porini . . .
Mamia ya watu wameandamana Jumapili katika mji mkuu wa Tunisia wakipinga mpango wa kura ya maoni kubadili katiba na hatua ya hivi karibuni ya Rais Kais Saied ya kuwafukuza kazi darzeni ya majaji . . .
Karibu watu 20 wameuawa katika shambulio linaotuhumiwa kutekelezwa na wapiganaji wa kijihadi kaskazini mwa Mali, ofisi ya kikanda katika eneo hilo inasema.Ghasia za Jumamosi zilitokea karibu na . . .
Aliyekuwa mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake wanne leo Jumatatu Juni 20, 2022 wamefikishwa mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi kusikiliza mashtaka yanayowakabili ikiwemo uhujumu uchumi . . .
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky ameapa leo Jumapili kuwa vikosi vyake havitomuachia yeyote eneo lake la kusini baada ya ziara yake ya kwanza katika maeneo hayo. Wakati huohuo, Katibu Mkuu wa Ju . . .
Wanajeshi wa Sri Lanka walifyatua risasi katika mji wa Visuvamadu, karibu kilometa 365 kaskazini mwa mji mkuu wa nchi hiyo, Colombo ili kudhibiti ghasia katika kituo cha mafuta ambako kulishuhudiw . . .
Baadhi ya waamini wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Konde usharika wa Ruanda, wanaomuunga mkono Askofu Edward Mwaikali aliyeondolewa katika kanisa hilo, wamesusia ib . . .
Kundi la waasi limewashambulia na kuwaua wanakijiji 7 kaskazini magharibi mwa Jamhuri ya Afrika ya Kati, taifa ambalo linaandamwa na vita kwa miaka kadhaa.Duru za polisi kwenye eneo hilo zimesema . . .
Marekani imelaani vikali matamshi yaliyotolewa na maafisa wa chama tawala nchini India cha BJP kuhusu mtume Mohammed ambayo yamezusha hasira na ukosoaji mkubwa kutoka mataifa ya kiislamu.Msemaji w . . .
Polisi wa Nigeria wamesema wamewaokoa wasichana 35 kutoka hoteli walimokuwa watumwa wa ngono na kisha kulazimishwa kupata ujauzito na kujifungua na hapo baadae kuwauza watoto wao. . . .
Wakati Serikali ikisema uwekaji mipaka katika pori la Loliondo unaendelea vizuri, Mbunge wa Ngorongoro, Emmanuel Ole Shangai ameendelea kulalamika kutojulikana walipo viongozi 10, akiwamo mwenyeki . . .
Mkosoaji wa serikali ya Urusi aliyefungwa jela, Alexei Navalny, amesema amehamishiwa kwenye kile kinachotajwa kuwa moja ya gereza la kutisha zaidi nchini humo. Kupitia ukurasa wa Instagram, Navaln . . .
Serikali ya Uingereza imelazimika kufuta safari ya kundi la kwanza la wahamiaji waliotarajiwa kuwasili nchini Rwanda hivi leo, baada ya agizo la Mahakama ya Haki za binadamu . . .
VURUGU zilitokea katika mkutano wa kampeni wa Muungano wa Kenya Kwanza katika Kaunti ya Kakamega, baada ya wafuasi wa Seneta Cleophas Malala kumfurusha seneta wa zamani, Dkt Boni Khalwale, wakimsu . . .
Mwanamume mmoja katika kijiji cha Emakhwale, kaunti ya Kakamega amewaacha wakazi wa eneo hilo na mshangao baada ya kufanya mazishi ya kejeli ya mkewe waliyeachana naye.Mwanaume Kakamega Afanya Mazishi . . .
Jeshi la Polisi Mkoani Iringa limefanikiwa kumkamata Mtuhumiwa na Mfanyabiashara Kaloli Mkusa mwenye umri wa miaka 30 ambaye alihukumiwa kwenda Jela miaka 30 na fidia ya shilingi million moja . . .
POLISI wanamsaka mwanamke aliyetoroka na gari la mpenzi wake baada ya wawili hao kuwasili katika mji wa Naivasha kubarizi. Kulingana na rekodi za polisi, wawili hao waliwasili Naivasha Jumamosi kut . . .
Maafisa wa serikali ya Ethiopia wamesema waasi wameushambulia mji wa kusini/mashariki wa taifa hilo wa Gambella na kusababisha makabiliano ya risasi yaliodumu kwa masaa kadhaa hadi vikosi vya usal . . .