Mkutano Mkuu wa uchaguzi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dodoma umemchagu la Mbunge wa Kongwa, Job Ndugai kuwa mwenyekiti wa muda wa mkutano huo. Uchaguzi wa Ndugai umekuja kufuatia k . . .
Rais Teodoro Obiang Nguema Mbasogo wa Guinea ya Ikweta anatarajiwa kuendelea kuitawala nchi hiyo baada ya uchaguzi wa Jumapili. Obiang Nguema ambaye yupo madarakani kwa muda mrefu kuliko kiongoz . . .
Chama cha Democratic kitadumisha udhibiti wa Bunge la Seneti nchini Amerika, baada ya kushinda kura muhimu katika jimbo la Nevada. Hapo jana Jumapili, Seneta Catherine Cortez alitabiriwa kumshinda mp . . .
Chama tawala nchini Zimbabwe ZANU-PF jana Jumamosi kimempitisha Rais Emmerson Mnangagwa kuwa mgombea wake kwa uchaguzi mkuu ujao wa 2023. Mnangagwa aliingia madarakani 2017 baada ya majenerali wa kij . . .
Waziri Mkuu wa zamani wa Uingereza Boris Johnson Jana alijiondoa katika kinyang'anyiro cha kumrithi Liz Truss kama kiongozi wa nchi hiyo inayoendelea kukabiliwa na misukosuko ya kisisasa. . . .
Katibu Mkuu wa CHADEMA amesema kuundwa kwa Kikosi Kazi ni matumizi mabaya ya Fedha za Watanzania na hivyo Serikali itoke hadharani na iseme kimetumia Fedha kiasi ganiAsema Maoni ya Wananchi kuhusu #Ka . . .
. . .
Kiongozi mpya wa kijeshi wa Burkina Faso, Kapteni Ibrahim Traore amesema uchaguzi wa nchi hiyo unatarajiwa kufanyika mwaka 2024 au mapema zaidi ya hapo. Akizungumza jana na Shirika la Utangazaji la Uf . . .
Viongozi wa upinzani wa jimbo la Somaliland ambalo lilijitangazia uhuru wake kutoka kwa Somalia wamekataa uamuzi usio halali wa kuongezwa muda wa rais kwa miaka miwili zaidi kabla ya kumalizika mwezi . . .
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa wa Manyara, Kiria Ormemei Kurian Laizer amechaguliwa kuwa Mwenyekiti wa CCM wa Wilaya ya Simanjiro.Msimamizi wa uchaguzi huo ambalo umefanyika leo jumapili Oktoba . . .
Muungano wa vyama vinavyoegemea mrengo wa kulia unaoongozwa na chama cha Giorgia Meloni cha Brothers of Italy nchini Italia, unatarajiwa kushinda katika uchaguzi wa serikali mpya nchini humo. Kura za . . .
Wanasiasa wa muungano wa Azimio la Umoja One Kenya, sasa wameanza kumrushia cheche za lawama Rais Uhuru Kenyatta huku wakidai alisababisha mwaniaji wao wa urais Raila Odinga kuanguka Agosti 9.Baadhi y . . .
Mahakama ya katiba nchini Angola imetupilia mbali madai ya chama cha upinzani UNITA kuyafuta matokeo ya uchaguzi yaliyokipa ushindi chama tawala cha MPLA. UNITA ilipeleka malalamiko yake mahakamani ba . . .
Rais wa Uganda Yoweri Museveni ameahidi kufanya kazi na Rais Mteule William Ruto pamoja na Naibu Rais mteule Rigathi Gachagua, baada ya Rais Uhuru Kenyatta kustaafu hivi karibuni.Kwenye taarifa alioan . . .
Mahakama ya Juu ya Milimani ya Kenya inatarajia kutoa hukumu ya kesi ya kupinga matokeo ya Uchaguzi Mkuu leo Jumatatu Septemba 5, 2022 saa sita mchana.Kesi hiyo iliyofunguliwa na Raila Odinga aliyekuw . . .
Kwa miezi kadhaa sasa, chama cha NCCR- Mageuzi kimekumbwa na mgogoro uliokigawa makundi mawili, moja linaloungwa mkono na Mwenyekiti Mbatia, la pili ni lile linaloungwa mkono na Katibu Mkuu wake, Mart . . .
Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka nchini Kenya siku ya Ijumaa, ilishutumu timu ya wanasheria ya Muungano wa Azimio kwa kuwasilisha kumbukumbu bandia yaani ‘fake logs’ baada ya uchunguzi wa tovuti ya . . .
Gavana mpya wa Kaunti ya Kiambu, Kimani Wamatangi, alizuru afisi za kaunti ndogo ya Thika mnamo Jumanne ili kupata picha halisi ya hali ya kazi.Gavana huyo aliyeandamana na maafisa wakuu w . . .
Majaji watano kutoka mataifa ya kigeni wamefika nchini kufuatilia kesi ya kupinga matokeo ya urais itakayoanza leo saa tano katika Mahakama ya Upeo.Majaji hao wanachama wa Chama cha Majaji wa Afrika ( . . .
Majaji saba wa Mahakama ya Upeo wanakabiliwa na kibarua kigumu cha kutambua ukweli ulipo kwenye rundo la maelfu ya nakala za ushahidi ambao umewasilishwa mbele yao na wahusika kwenye kesi ya kupinga m . . .
Shughuli ya upigaji kura kuchagua gavana katika Kaunti ya Mombasa na Kakamega inaendelea.Vituo vilifunguliwa mapema Jumatatu, wakazi katika kaunti hizo wakijitokeza kurusha kura.Kaunti hizo uchaguzi k . . .
Uchaguzi wa Ugavana katika mji wa pwani ya Kenya wa Mombasa utafanyika Jumatatu ya Agosti 29. Kampeni za uchaguzi huo uliyoahirishwa mara mbili zinafikia tamati leo. Ushindani mkali katika nafasi hiyo . . .
Tume ya Taifa ya Uchaguzi ilitoa matokeo yake ya hivi punde Alhamisi jioni. Tayari wamehesabu 97% ya kura. Kwa mara ya kwanza tangu uhuru, chama cha MPLA kimeshinda kwa kura ndogo.Ilikuwa ni mapema ji . . .
Angola inasubiri kwa hamu matokeo ya uchaguzi ulioshuhudia kinyangan'yiro kikali katika historia yao ya kidemokrasia. Matokeo ya mapema yanaonyesha rais wa sasa Joao Lourenco anaongoza lakini upinzani . . .
Waangola milioni 14 wanafanya Uchaguzi Mkuu Jumatano hii, Agosti 24 kumchagua rais wao mpya na wabunge. Vyama saba vya siasa na muungano vinashiriki kinyang'anyiro hiki. Vita vya kuwania madaraka . . .