logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Habari Zote Za Kisiasa

  • Pata Habari Zote Za Kisiasa
afrika mashariki
  • Na Asha Business
  • August 24, 2022

HALI TATA KWA RAILA ODINGA.

Huenda mgombea urais wa muungano wa Azimio Raila Odinga akajipata kwenye hali tata Mahakama ya Upeo ikiamua uchaguzi wa marudio ufanyike ukisimamiwa na mwenyekiti wa IEBC, Wafula Chebukati.Katika kesi . . .

afrika mashariki
  • Na Asha Business
  • August 24, 2022

Sababu Za Vyombo Vya Habari Kusitisha Ghafla Upeperushaji Matokeo Ya Kura Za Urais

BARAZA la Vyombo vya Habari Nchini (MCK) sasa linasema kuwa uamuzi wa kusitisha uwasilishaji wa matokeo ya uchaguzi wa urais moja kwa moja ulifikiwa baada ya vyombo vya habari kuonyesha matokeo tofaut . . .

afrika mashariki
  • Na Asha Business
  • August 23, 2022

Raila Aomba Korti Imtangaze Mshindi

Mwaniaji urais wa muungano wa Azimio Raila Odinga amedai Mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka na Rais Mteule William Ruto walikula njama ya “kumpokonya ushindi” kwenye uchaguzi wa Agosti . . .

afrika mashariki
  • Na Asha Business
  • August 22, 2022

Raila Odinga kuwasilisha kesi ya kupinga uchaguzi wa Leo Hii

Nchini Kenya macho yote sasa yanaelekezwa katika mahakama ya Juu zaidi baada ya Odinga kukataa matokeo ya uchaguzi wa urais yaliyompa ushindi makamo rais na rais mteule William Ruto.Odinga amepinga ma . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • August 18, 2022

Chad yapinga maandamano ya upinzani

Viongozi wa kijeshi nchini  Chad wamepiga marufuku maandamano ya upinzani yaliyopangwa baadaye wiki hii, kwa madai ya kuchelewa kuwasilisha  maombi kwa wakati, kulingana na taarifa . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • August 17, 2022

Watunisia waunga mkono katiba mpya: matokeo ya mwisho

Matokeo ya mwisho ya kura ya maoni yenye utata inayoipa mamlaka makubwa ofisi ya Rais wa Tunisia Kais Saied yameonyesha kuwa ni asilimia 94.6 ya kura zilizounga mkono. Tume ya uchaguzi imesema wapiga . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • August 17, 2022

Kampeni za uchaguzi wa rais nchini Brazil zazinduliwa rasmi

Kampeni za uchaguzi wa rais nchini Brazil zinaendelea huku rais wa zamani Luiz Inacio Lula da Silva akiongoza kura za maoni ya umma dhidi ya rais aliyeko madarakani Jair Bolsonaro.  Luiz Inacio L . . .

afrika mashariki
  • Na Asha Business
  • August 17, 2022

Guterres apongeza uchaguzi wa Kenya

Katibu Mkuu  wa Umoja  Antonio Guterres Jumanne  alizungumza na rais mteule wa Kenya William Ruto kwa njia ya simu, msemaji wa Umoja huo Stephanie Dujarric  amesema. . . .

afrika mashariki
  • Na Asha Business
  • August 11, 2022

IEBC yawataka Wakenya kuwa watulivu wakati kura zikiendelea kuhesabiwa.

Wakenya kwa siku ya pili leo, bado wanasubiri matokeo ya uchaguzi wa urais, baada ya kupiga kura siku ya Jumanne. Maafisa wa tume huru ya uchaguzi na mipaka ya Kenya IEBC, wameendelea na zoezi la . . .

afrika mashariki
  • Na Asha Business
  • August 5, 2022

Raila Ashinda Kesi Kuhusu Utumizi Wa Daftari

KINARA wa Azimio Raila Odinga alipata ushindi mkubwa baada ya Mahakama Kuu kuamuru Alhamisi  daftari la sajili ya wapiga kura litumike wakati wa uchaguzi mkuu wa Agosti 9, 2022.Uamuzi huu umekuwa . . .

afrika mashariki
  • Na Asha Business
  • August 4, 2022

Uchaguzi wa Kenya watumbua upya makovu ya ufisadi

Waziri wa mambo ya ndani nchini humo Fred Matiangi ameeleza kwamba wagombea viti vya ubunge wanawahonga wapiga kura walioko vijijini kwa kuwapa hata shilingi 100 pekee kama njia ya kuwashawishi ku . . .

afrika mashariki
  • Na Asha Business
  • August 3, 2022

WANAFUNZI WAKAMATWA KWA KUMCHAFUA RUTO KWA UJUMBE.

Wanafunzi tisa wa Chuo Kikuu cha Moi nchini Kenya wanashikiliwa na polisi kwa tuhuma zinazosemekana za kusambaza jumbe za kumchafua mgombea wa urais kwa tiketi ya Kenya Kwanza Naibu Rais William Ruto. . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • August 2, 2022

Tume ya uchaguzi ya Pakistan yasema chama cha Khan kilipokea fedha kinyume cha sheria

Tume ya uchaguzi ya Pakistan imeamua leo kuwa chama cha Waziri Mkuu wa zamani Imran Khan kilipokea fedha kwa njia haramu, hatua ambayo inaweza kusababisha nyota huyo wa zamani wa mchezo wa kriketi pam . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • July 26, 2022

Raia wa Tunisia washiriki kura ya maoni juu ya katiba mpya

Raia wa Tunisia Jumatatu wameshiriki kura ya maoni kwa ajili ya katiba mpya iliyohamasishwa na Rais Kais Saied, ambayo ilikosolewa kwa kumpa rais mamlaka makubwa zaidi na kutishia kuweka utawala . . .

afrika mashariki
  • Na Asha Business
  • July 25, 2022

vigogo wajitosa kupigia debe mirengo yao

Kampeni za Uchaguzi Mkuu wa Agosti 9 zinapoendelea kushika kasi, wake wa vigogo wakuu wa kisiasa pia wamejitokeza kuwasaidia kuvumisha azma zao. Baadhi ya wale ambao wamejitokeza kuwasaidia vigog . . .

afrika mashariki
  • Na Asha Business
  • July 22, 2022

Raia wa Venezuela aliyekamatwa na vibandiko vya Uchaguzi Kenya aachiliwa

Raia wa kigeni ambaye Alhamisi alikamatwa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta (JKIA) nchini Kenya akiwa na stika za uchaguzi za Tume ya IEBC ameachiliwa kutoka kizuizini.Siku . . .

afrika mashariki
  • Na Asha Business
  • July 22, 2022

BI JUMWA APATA AHUENI KUHUSU DIGRII YAKE KUTUPWA

Mbunge wa Malindi, Bi Aisha Jumwa, amepata afueni baada ya Mahakama Kuu ya Mombasa kutupilia mbali ombi lililokuwa likitaka kumfungia nje ya kinyang’anyiro cha ugavana wa Kaunti ya Kilifi kwa . . .

afrika mashariki
  • Na Asha Business
  • July 20, 2022

William Ruto Ajipata Pabaya kwa Matashi yake Dhidi ya Ngilu.

Mgombea urais wa Kenya Kwanza William Ruto amejipata tena pabaya kwa kutoa matamshi yanayodhaniwa kuwa ya kudhalilisha kuhusu Gavana wa Kitui Charity Ngilu.Naibu Rais alikuwa kwenye kampeni katika kau . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • July 17, 2022

Chama tawala cha Jamhuri ya Congo charipoti kushinda katika uchaguzi

Chama tawala katika Jamhuri ya Congo kimeripoti kushinda katika uchaguzi wa bunge wa wiki iliyopita.Matokeo ya awali yaliyotangazwa kwenye televisheni ya taifa yanaonyesha chama cha Labour cha Con . . .

afrika mashariki
  • Na Asha Business
  • July 15, 2022

Martin Fayulu aanza maandalizi ya uchaguzi wa mwaka 2023

Mwanasiasa wa upinzani nchini DRC, Martin Fayulu, ameanza maandalizi ya kuwania urais mwaka ujao baaya kongamano la siku tatu ya chama chake cha ECIDE mjini Kisangani. . . .

afrika mashariki
  • Na Asha Business
  • July 15, 2022

Jubilee yakopa Sh300 bilioni inapojiandaa kuondoka mamlakani

SERIKALI ya Jubilee inaendelea kuongezea Wakenya mzigo wa madeni muda wake wa kwenda nyumbani unapokaribia kwa kukopa Sh300 bilioni zaidi kati ya Januari na Mei 2022. Hii imefikisha deni la kitai . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • July 14, 2022

Wanasiasa wanaotaka kumrithi Boris Johnson wajiandaa kwa duru ya pili ya mchujo

Wabunge wa chama cha tawala nchini Uingereza cha Conservative watapiga kura leo katika duru ya pili ya mchujo wa wagombea wanaowania kumrithi waziri mkuu Boris Johnson aliyetangaza kujiuzulu wiki . . .

afrika mashariki
  • Na Asha Business
  • July 13, 2022

Raila Odinga"Nitachunguza chanzo cha utajiri wa Naibu Rais William Ruto iwapo atashinda "

Mgombea urais wa Azimio La Umoja, Raila Odinga, ameahidi kuchunguza chanzo cha utajiri wa Naibu Rais William Ruto iwapo atashinda uchaguzi wa Agosti 9. Raila alitilia shaka uhalali wa umiliki wa ardhi . . .

afrika mashariki
  • Na Asha Business
  • July 11, 2022

YAMKUTA HAYA MUWANIA KITI CHA URAIS KENYA

KINYANG’ANYIRO cha kiti cha urais kimekumbwa na hali ya suitofahamu baada ya kuwasilishwa kwa kesi ya kumtimua mwaniaji urais wa chama cha Roots Profesa George Wajackoyah kwa madai kwamba yeye n . . .

afrika mashariki
  • Na Asha Business
  • July 11, 2022

Wawaniaji 3 washinda viti bila kupingwa na yeyote

MGOMBEAJI mmoja wa kiti cha Mwakilishi wa Kike, na wawili wa udiwani wametangazwa washindi bila jasho baada ya kukosa wapinzani. Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) Jumapili ilimtangaza Beatrice . . .

Kurasa 12 ya 17

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho
  • Follow Us

  • Follow Us

  • Follow Us

  • Subscribe

Unaweza Kupenda Hizi
Matukio
news
  • 3 siku zilizopita

Polisi Morogoro wachunguza kifo dada wa kazi, magari kuchomwa moto Mvomero

Matukio
news
  • 4 siku zilizopita

Mvua kubwa yaezua paa la nyumba Mtwara

Matukio
news
  • 4 siku zilizopita

Maafisa uhamiaji 3 wahukumiwa kunyongwa mpaka kufa

Matukio
news
  • 4 siku zilizopita

Uzembe ndiyo chanzo cha ajali iliyoua 5 Songwe

Matukio
news
  • 5 siku zilizopita

RC Mhita akagua athari za mvua Shinyanga

Matukio
news
  • 5 siku zilizopita

Roger Lumbala ahukumiwa kifungo cha miaka 30 jela kwa uhalifu dhidi ya binadamu

Matukio
news
  • 6 siku zilizopita

Mpigania demokrasia Lai atiwa hatiani Hong Kong

Matawi Yetu
  • Jembe Group
  • Jembe Development
  • Jembe Beach
  • Jembe Digital
  • Jembe DJ
  • Jembe Stage And Sound
  • Jembe Events
  • Jembe Ni Jembe Team

Habari Zaidi

  • Mbappé Avunja Ukimya wa Miaka 12 Real Madrid, Aifikia Rekodi ya Ronaldo

    • 9 masaa yaliopita
  • SIMBACHAWENE AVIOMBA VYOMBO VYA HABARI KUFANYA UTAFITI JUU YA RUSHWA

    • jana
  • UN yaomba ufadhili wa dharura kuhudumia wakimbizi Burundi

    • jana

Habari Category

  • Habari Zote
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
  • Habari Ndani Na Nje
  • Video
  • Uchumi Na Biashara
  • Magazeti
  • Makala

Wasiliana Nasi

JEMBE NI JEMBE GROUP ,
P. O. Box 1334,
PLOT NO.111/BLOCK "A"
HOUSE No:43 MAKONGORO STREET,
ILEMELA MWANZA - TANZANIA

info@jembenijembe.com

+ 255-786-385-475 ,
+ 255-716-385-475.

  • PRIVACY POLICY
  • TERMS AND CONDITIONS
  • STAFF LOGIN

POWERED BY

© Jembe Ni Jembe Companies.

Created And Maintained By XFoundationCode