UCHAGUZI mdogo unaokaribia katika eneo bunge la Mbeere Kaskazini, Kaunti ya Embu, unatarajiwa kuwa wa kusisimua huku upinzani ukimtangaza mwanamuziki kumenyana na wakili anayepigiwa debe na serikali.K . . .
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimetangaza ratiba ya uchujaji wa majina ya watia nia wake inayoanza kesho hadi Julai 19, 2025.Hatua hiyo ni baada ya kuhitimisha mchakato wa wanachama wake wa uchukuaji fomu . . .
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesema waliochukua fomu kuomba ridhaa ya ubunge kupitia majimbo Tanzania Bara na Visiwani Zanzibar ni wanachama 4,109.Kimesema kati yao waliochukua Bara ni wanachama 3,585 . . .
MAAFISA wa serikali ya Marekani wametupilia mbali taarifa ya awali kutoka Ikulu ya White House inayodai kuwa Washington inazuia usafirishaji wa baadhi ya silaha kwenda Ukraine, wakati ambapo taifa hil . . .
BUNGE la Venezuela linaloungwa mkono na serikali limemtangaza Kamishna Mkuu wa Umoja wa Mataifa wa Haki za Binadamu Volker Turk kuwa mtu asiyetakiwa nchini humo.Hatua hiyo imechukuliwa baada ya ripoti . . .
JESHI la Israel limepanua operesheni zake za kijeshi katika Ukanda wa Gaza, siku chache kabla ya ziara ya Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, mjini Washington, Marekani.Operesheni hizo zimefany . . .
WAZIRI wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi, amesema hakuna uwezekano wa nchi yake kurejea katika mazungumzo na Marekani kwa sasa, hadi pale itakapohakikishiwa usalama na kutoshambuliwa tena.Akizun . . .
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasis na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu akizungumza na wanachama, wafuasi na viongozi mbalimbali wa chama hicho muda mfupi baada ya kesi ya Uhaini kuahirishwa.Kesi ya hiy . . .
Askofu Emmaus Mwamakula ameongoza maombi ndani ya chumba cha mahakama kabla ya kuanza kesi ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu leo Julai 1, 2025.Ambapo ulinzi uli . . .
NJAA itawasakama wanajeshi kuanzia kesho Julai 1, 2025 baada ya serikali ya Rais William Ruto kuondoa mpango wa chakula cha bei nafuu katika Jeshi la Ulinzi la Kenya (KDF).Kulingana na taarifa ambayo . . .
Mwanazuoni na Wakili Dk Aloys Rugazia ameibuka kwa kishindo baada ya kuchukua rasmi fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea Ubunge wa Jimbo la Mbagala, Dar es Salaam kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).Dk Rug . . .
ALIYEKUWA Waziri wa Usalama wa Ndani Fred Matiang’i Juni 27,2025 alieleza matumaini yake kuwa atakitwaa kiti cha urais katika uchaguzi mkuu wa 2027. Dkt Matiang’i pia amedokeza kuwa hivi kari . . .
Rwanda na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo leo wanatarajiwa kusaini mkataba muhimu mjini Washington wa kumaliza mzozo uliodumu kwa muda mrefu katika eneo la mashariki mwa Kongo ambapo mzozo huo umesab . . .
KIONGOZI Mkuu wa Iran, Ayatollah Ali Khamenei, amesema taifa lake liko tayari kujibu kwa nguvu kubwa endapo Marekani itafanya shambulio lolote dhidi ya Iran, akibainisha kuwa majeshi ya Marekani . . .
SERIKALI ya China imekamilisha ujenzi wa tundu jipya la reli lenye urefu wa mita 602 katika mji wa Suifenhe, Heilongjiang, hatua inayolenga kuimarisha usafiri wa reli kati ya China na Urusi.Ujenzi wa . . .
KATIBU Mkuu mpya wa Jumuiya ya Kujihami ya NATO, Mark Rutte, amesema hatua ya kuongeza bajeti ya ulinzi hadi asilimia tano ya pato la Taifa ni uamuzi mkubwa na muhimu kwa usalama wa mataifa wanachama. . . .
RAIS wa Urusi, Vladimir Putin, hatosafiri kwenda Brazil kushiriki mkutano wa BRICS kutokana na waranti ya kukamatwa iliyotolewa na Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC).Kwa mujibu wa mshauri wa . . .
RAIS Samia Suluhu Hassan amezitaka nchi za Afrika kuhakikisha zinakuwa na amani na umoja wa kitaifa ili zishirikiane kufanikisha hatua za mageuzi ya kifikra na kutafuta uhuru wa kiuchumi.Akizungumza k . . .
Mgogoro kuhusu mahali atakapozikwa Rais wa zamani wa ZambianEdgar Lungu umechukua sura mpya baada ya Mahakama Kuu ya Afrika Kusini kusitisha mazishi yaliyokuwa yamepangwa kufanyika leo, Jumatano.Famil . . .
Mahakama Kuu Divisheni ya Ardhi leo Juni 26, 2025 itaendelea na usikilizwaji wa kesi ya ardhi iliyofunguliwa na mtoto wa Askofu John Sepeku, Bernardo Sepeku (63).Bernado alifungua kesi dhidi ya Bodi y . . .
Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu, leo Alhamisi, Juni 26, 2025 inatarajiwa kutoa hukumu za mashauri mawili yaliyofunguliwa na raia wa Tanzania – wakiwemo viongozi wa vyama vya upinzani, . . .
MAMLAKA ya Mawasiliano nchini Kenya (CAK) imevitaka vyombo vya habari nchini humo kusitisha matangazo ya moja kwa moja ya maandamano yaliyofanyika jijini Nairobi, ikiwa ni sehemu ya kumbukumbu ya mwak . . .
Iran imetekeleza adhabu ya kuwanyonga majasusi watatu wa Israel waliokuwa wakitumikia kifungo katika Gereza la Urmia Mkoa wa Azerbaijan Magharibi nchini humo, huku Serikali ikitangaza kufanya msako na . . .
Rais wa Marekani Donald Trump amesema kuwa China inaweza kuendelea kununua mafuta ya Iran baada ya Israel na Iran kukubaliana kusitisha mapigano,hatua ambayo Ikulu ya White House ilifafanua kuwa ni ku . . .
Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba amewataka wananchi kutopata hofu kuhusu deni la Taifa pale linapotangazwa, kwani deni hilo lina sehemu kubwa inayoenda kwenye upande wa kampuni binafsi na wala si . . .