logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Habari Zote Za Kisiasa

  • Pata Habari Zote Za Kisiasa
Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • July 4, 2025

Karish kumenyana na Njagagua wa UDA uchaguzi mdogo Mbeere North

UCHAGUZI mdogo unaokaribia katika eneo bunge la Mbeere Kaskazini, Kaunti ya Embu, unatarajiwa kuwa wa kusisimua huku upinzani ukimtangaza mwanamuziki kumenyana na wakili anayepigiwa debe na serikali.K . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • July 3, 2025

Mchujo wa wagombea CCM kuanza kesho, uteuzi wa mwisho Julai 19

Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimetangaza ratiba ya uchujaji wa majina ya watia nia wake inayoanza kesho hadi Julai 19, 2025.Hatua hiyo ni baada ya kuhitimisha mchakato wa wanachama wake wa uchukuaji fomu . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • July 3, 2025

"Wagombea 20,000 wajitokeza CCM, uchukuaji fomu wavunja rekodi"

Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesema waliochukua fomu kuomba ridhaa ya ubunge kupitia majimbo Tanzania Bara na Visiwani Zanzibar ni wanachama 4,109.Kimesema kati yao waliochukua Bara ni wanachama 3,585 . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • July 3, 2025

Marekani yakanusha kusitisha silaha kwenda Ukraine

MAAFISA wa serikali ya Marekani wametupilia mbali taarifa ya awali kutoka Ikulu ya White House inayodai kuwa Washington inazuia usafirishaji wa baadhi ya silaha kwenda Ukraine, wakati ambapo taifa hil . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • July 2, 2025

Volker Turk awekewa kizuizi kuingia nchini Venezuela

BUNGE la Venezuela linaloungwa mkono na serikali limemtangaza Kamishna Mkuu wa Umoja wa Mataifa wa Haki za Binadamu Volker Turk kuwa mtu asiyetakiwa nchini humo.Hatua hiyo imechukuliwa baada ya ripoti . . .

afrika mashariki
  • Na Jembe Digital
  • July 2, 2025

Israel yapanua oparesheni za kijeshi ukanda wa Gaza

JESHI la Israel limepanua operesheni zake za kijeshi katika Ukanda wa Gaza, siku chache kabla ya ziara ya Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, mjini Washington, Marekani.Operesheni hizo zimefany . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • July 1, 2025

Iran kutorudi kwenye meza ya mazungumzo

WAZIRI wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi, amesema hakuna uwezekano wa nchi yake kurejea katika mazungumzo na Marekani kwa sasa, hadi pale itakapohakikishiwa usalama na kutoshambuliwa tena.Akizun . . .

Mahakamani
  • Na Jembe Digital
  • July 1, 2025

Kesi ya Lissu kupangiwa tarehe nyingine tena hadi julai 15

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasis na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu akizungumza na wanachama, wafuasi na viongozi mbalimbali wa chama hicho muda mfupi baada ya kesi ya Uhaini kuahirishwa.Kesi ya hiy . . .

Mahakamani
  • Na Jembe Digital
  • July 1, 2025

Askofu aongoza ibaada kabla kesi ya Lissu kuanza kusikilizwa

Askofu Emmaus Mwamakula ameongoza maombi ndani ya chumba cha mahakama kabla ya kuanza kesi ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu leo Julai 1, 2025.Ambapo ulinzi uli . . .

afrika mashariki
  • Na Jembe Digital
  • June 30, 2025

Julai mosi serikali ya Ruto kuondoa mpango bei nafuu ya chakula KDF

NJAA itawasakama wanajeshi kuanzia kesho Julai 1, 2025 baada ya serikali ya Rais William Ruto kuondoa mpango wa chakula cha bei nafuu katika Jeshi la Ulinzi la Kenya (KDF).Kulingana na taarifa ambayo . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • June 29, 2025

Wakili Ajitosa Ubunge Jimbo la Mbagala

Mwanazuoni na Wakili Dk Aloys Rugazia ameibuka kwa kishindo baada ya kuchukua rasmi fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea Ubunge wa Jimbo la Mbagala, Dar es Salaam kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).Dk Rug . . .

afrika mashariki
  • Na Jembe Digital
  • June 28, 2025

Maneno ya Matiangí Ruto hanitishii, nitavua koti na kumkabili

ALIYEKUWA Waziri wa Usalama wa Ndani Fred Matiang’i Juni 27,2025 alieleza matumaini yake kuwa atakitwaa kiti cha urais katika uchaguzi mkuu wa 2027. Dkt Matiang’i pia amedokeza kuwa hivi kari . . .

afrika mashariki
  • Na Jembe Digital
  • June 27, 2025

Leo DRC-- Rwanda wakutana kusaini mkataba wa amani

Rwanda na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo leo wanatarajiwa kusaini mkataba muhimu mjini Washington wa kumaliza mzozo uliodumu kwa muda mrefu katika eneo la mashariki mwa Kongo ambapo mzozo huo umesab . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • June 27, 2025

Iran yatoa tahadhari nchini Marekani kuhusu mashambulio

 KIONGOZI Mkuu wa Iran, Ayatollah Ali Khamenei, amesema taifa lake liko tayari kujibu kwa nguvu kubwa endapo Marekani itafanya shambulio lolote dhidi ya Iran, akibainisha kuwa majeshi ya Marekani . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • June 26, 2025

Kumalizika kwa tundu jipya la reli mita 602 launganisha China na Urusi

SERIKALI ya China imekamilisha ujenzi wa tundu jipya la reli lenye urefu wa mita 602 katika mji wa Suifenhe, Heilongjiang, hatua inayolenga kuimarisha usafiri wa reli kati ya China na Urusi.Ujenzi wa . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • June 26, 2025

NATO yakubali kuongeza Bajeti ya Ulinzi hadi asilimia tano

KATIBU Mkuu mpya wa Jumuiya ya Kujihami ya NATO, Mark Rutte, amesema hatua ya kuongeza bajeti ya ulinzi hadi asilimia tano ya pato la Taifa ni uamuzi mkubwa na muhimu kwa usalama wa mataifa wanachama. . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • June 26, 2025

Putin hatoshiriki mkutano wa Brics

 RAIS wa Urusi, Vladimir Putin, hatosafiri kwenda Brazil kushiriki mkutano wa BRICS kutokana na waranti ya kukamatwa iliyotolewa na Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC).Kwa mujibu wa mshauri wa . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • June 26, 2025

Samia ataka amani, umoja wa Afrika kufanikisha mageuzi ya kifikra

RAIS Samia Suluhu Hassan amezitaka nchi za Afrika kuhakikisha zinakuwa na amani na umoja wa kitaifa ili zishirikiane kufanikisha hatua za mageuzi ya kifikra na kutafuta uhuru wa kiuchumi.Akizungumza k . . .

afrika mashariki
  • Na Jembe Digital
  • June 26, 2025

Serikali ya Zambia yapeleka zuio la Mahakama mazishi Edgar Lungu yasimamishwe

Mgogoro kuhusu mahali atakapozikwa Rais wa zamani wa ZambianEdgar Lungu umechukua sura mpya baada ya Mahakama Kuu ya Afrika Kusini kusitisha mazishi yaliyokuwa yamepangwa kufanyika leo, Jumatano.Famil . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • June 26, 2025

Kesi ya kanisa kumnyang’anya zawadi mtoto wa Askofu kuendelea leo

Mahakama Kuu Divisheni ya Ardhi leo Juni 26, 2025 itaendelea na usikilizwaji wa kesi ya ardhi iliyofunguliwa na mtoto wa Askofu John Sepeku, Bernardo Sepeku (63).Bernado alifungua kesi dhidi ya Bodi y . . .

Mahakamani
  • Na Jembe Digital
  • June 26, 2025

Mahakama ya Afrika leo kutoa hukumu ya uchaguzi mkuu 2020

Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu, leo Alhamisi, Juni 26, 2025 inatarajiwa kutoa hukumu za mashauri mawili yaliyofunguliwa na raia wa Tanzania – wakiwemo viongozi wa vyama vya upinzani, . . .

afrika mashariki
  • Na Jembe Digital
  • June 25, 2025

Serikali Kenya yapiga marufuku kurusha Live matangazo ya Gen Z

MAMLAKA ya Mawasiliano nchini Kenya (CAK) imevitaka vyombo vya habari nchini humo kusitisha matangazo ya moja kwa moja ya maandamano yaliyofanyika jijini Nairobi, ikiwa ni sehemu ya kumbukumbu ya mwak . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • June 25, 2025

Iran yateketeza adhabu ya kuwanyonga majasusi watatu wa Israel

Iran imetekeleza adhabu ya kuwanyonga majasusi watatu wa Israel waliokuwa wakitumikia kifungo katika Gereza la Urmia Mkoa wa Azerbaijan Magharibi nchini humo, huku Serikali ikitangaza kufanya msako na . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • June 25, 2025

China kuendelea kununua mafuta Iran

Rais wa Marekani Donald Trump amesema kuwa China inaweza kuendelea kununua mafuta ya Iran baada ya Israel na Iran kukubaliana kusitisha mapigano,hatua ambayo Ikulu ya White House ilifafanua kuwa ni ku . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • June 24, 2025

Mwigulu atoa utofauti wa deni la Serikali na deni la Taifa

Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba amewataka wananchi kutopata hofu kuhusu deni la Taifa pale linapotangazwa, kwani deni hilo lina sehemu kubwa inayoenda kwenye upande wa kampuni binafsi na wala si . . .

Kurasa 3 ya 17

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho
  • Follow Us

  • Follow Us

  • Follow Us

  • Subscribe

Unaweza Kupenda Hizi
Matukio
news
  • 3 siku zilizopita

Polisi Morogoro wachunguza kifo dada wa kazi, magari kuchomwa moto Mvomero

Matukio
news
  • 4 siku zilizopita

Mvua kubwa yaezua paa la nyumba Mtwara

Matukio
news
  • 4 siku zilizopita

Maafisa uhamiaji 3 wahukumiwa kunyongwa mpaka kufa

Matukio
news
  • 4 siku zilizopita

Uzembe ndiyo chanzo cha ajali iliyoua 5 Songwe

Matukio
news
  • 5 siku zilizopita

RC Mhita akagua athari za mvua Shinyanga

Matukio
news
  • 5 siku zilizopita

Roger Lumbala ahukumiwa kifungo cha miaka 30 jela kwa uhalifu dhidi ya binadamu

Matukio
news
  • 5 siku zilizopita

Mpigania demokrasia Lai atiwa hatiani Hong Kong

Matawi Yetu
  • Jembe Group
  • Jembe Development
  • Jembe Beach
  • Jembe Digital
  • Jembe DJ
  • Jembe Stage And Sound
  • Jembe Events
  • Jembe Ni Jembe Team

Habari Zaidi

  • Mbappé Avunja Ukimya wa Miaka 12 Real Madrid, Aifikia Rekodi ya Ronaldo

    • 3 masaa yaliopita
  • SIMBACHAWENE AVIOMBA VYOMBO VYA HABARI KUFANYA UTAFITI JUU YA RUSHWA

    • 21 masaa yaliopita
  • UN yaomba ufadhili wa dharura kuhudumia wakimbizi Burundi

    • jana

Habari Category

  • Habari Zote
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
  • Habari Ndani Na Nje
  • Video
  • Uchumi Na Biashara
  • Magazeti
  • Makala

Wasiliana Nasi

JEMBE NI JEMBE GROUP ,
P. O. Box 1334,
PLOT NO.111/BLOCK "A"
HOUSE No:43 MAKONGORO STREET,
ILEMELA MWANZA - TANZANIA

info@jembenijembe.com

+ 255-786-385-475 ,
+ 255-716-385-475.

  • PRIVACY POLICY
  • TERMS AND CONDITIONS
  • STAFF LOGIN

POWERED BY

© Jembe Ni Jembe Companies.

Created And Maintained By XFoundationCode