Kesi iliyofunguliwa na Wajumbe wa Bodi ya Wadhamini wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kutoka Zanzibar, imepangwa kusikilizwa Julai 10 mwaka huu katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya . . .
Rais wa Uganda, Yoweri Museveni atawania kuchaguliwa tena kwa muhula mwingine wa uchaguzi unaotarajiwa mapema mwaka ujao ili kuongeza utawala wake wa takriban miongo minne, kulingana na afisa mkuu kut . . .
Mshauri wa Kiongozi Mkuu wa Iran Ayatollah Ali Khamenei ameahidi kwamba kambi zinazotumiwa na majeshi ya Marekani kufanya mashambulizi dhidi ya vituo vya nyuklia vya Iran, pamoja na nchi zinazoyahifad . . .
Rais wa Sierra Leone, Julius Maada Bio, amechaguliwa kuwa Rais wa Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Afrika Magharibi (ECOWAS) Juni 22, wakati wa mkutano wa kawaida wa wakuu wa nchi uliofanyika Abuj . . .
Takriban wanajeshi saba wa Uganda wameuawa nchini Somalia. Hayo yameelezwa na msemaji wa jeshi la nchi hiyo ya Afrika Mashariki Felix Kulayigye.Wanajeshi hao walikuwa sehemu ya Kikosi cha Umoja wa Mat . . .
Iran imelaani vikali hatua ya Marekani na kusema imevuka "mstari mwekundu" kwa kushambulia siku ya Jumapili vinu vyake vitatu vya nyuklia vya Fordo, Isfahan na Natanz.Balozi wa Iran katika Umoja wa Ma . . .
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimeelezwa kuwa bado kina nafasi ya kutia saini kanuni za maadili ya uchaguzi ili kipate fursa ya kushiriki uchaguzi.Akizungumza katika Kongamano la Sheria . . .
Maelfu ya watu katika mji mkuu wa Iran, Tehran wameandamana kuipinga Israel baada ya sala ya ijumaa huku waandamaji hao wameto Kuli za kuwaunga mkono viongozi waoMaelfu ya watu katika mji mkuu wa  . . .
Rais wa Marekani Donald Trump amesema kuwa kwasasa Israel inafanya vizuri katika masuala ya vita ukilinganisha na Iran ambayo inafanya vizuri kidogo. Kauli ya Donald Trump inafutatia baada ya kutoa . . .
Rais Samia Suluhu Hassan amezindua Mradi wa Maji na kituo cha kutibu maji Butimba jijini Mwanza. Samia amezindua mradi huo Juni 20, 2025 ikiwa ni mwendelezo na ziara yake ya kikazi katika mikoa . . .
Hatua mpya ya amani yaanza kuchomoza Mashariki mwa Kongo, huku Rwanda na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo zikitia saini makubaliano ya awali yanayolenga kumaliza vita vya muda mrefu. Nchi hizo zi . . .
WACHAMBUZI wa masuala ya uchumi wamesema mgogoro kati ya Israel na Iran unaoendelea unaweza kuleta athari za kuongezeka kwa mfumiko wa bei za bidhaa muhimu na mafuta.Wakizungumza hapo juni 19 wa . . .
Serikali kijeshi ya Niger, imetangaza mipango ya kuitaifisha kampuni ya Orano, inayomilikiwa na serikali ya UfaransaKampuni hiyo inamiliki asilimia 63 ya hisa za kampuni kubwa ya Somair ya kuchimba ma . . .
Mawaziri wa Ulaya wanatarajia kukutana leo kuishawishi Iran irudi kwenye meza ya mazungumzo Mawaziri hao wa Mambo ya nje watakutana na mwenzao wa Iran Abbas Araghchi mjini Geneva, Uswis leo Ijumaa, kw . . .
Rais Vladimir Putin wa Urusi ameionya Ujerumani kuhusiana na mipango yake ya kuipatia Ukraine makombora ya masafa aina ya Taurus. Amesema Moscow itaizingatia hatua hiyo kuwa ni kuhusika moja kwa moja . . .
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, amekutana na Misheni Maalum ya Umoja wa Afrika ya Kutathmini Maandalizi ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, na kuahidi kuwa uchaguzi huo utafanyika kwa haki, uhuru na amani.M . . .
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, amekutana na Misheni Maalum ya Umoja wa Afrika ya Kutathmini Maandalizi ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, na kuahidi kuwa uchaguzi huo utafanyika kwa haki, uhuru na amani.M . . .
Mbunge wa Arusha Mjini Mrisho Gambo ameibua hoja nzito kuhusu malipo na maslahi ya wenyeviti wa serikali za mitaa akisema kundi hilo limekuwa likipuuzwa licha ya kuwa nguzo muhimu ya utawala wa karibu . . .
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeahirisha kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu hadi Julai 1, 2025 kwa ajili ya kusubiri Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) kupitia jalada la kesi h . . .
Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Jaji wa Mahakama ya Rufani George Mcheche Masaju kuwa Jaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania. Masaju ambaye amechukua nafasi ya Prof. Ibrahim Hamis Juma ambaye amestaafu . . .
Kutoka Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimepigwa marufuku kufanya shughuli zozote zile za kiutendaji na oparesheni mpaka hapo kesi . . .
Edgar Lungu alizaliwa Novemba 11,1956 katika mji wa Ndola mkoa wa viwanda wa Copperbelt nchini Zambia eneo ambalo lina historia ndefu ya kisiasa na kiuchumi kutokana na uchimbaji madini, hasa shaba. . . .
Zaidi ya Warundi milioni 6 hii leo Juni 5 wanaamikia katika vituo zaidi ya 14,000 vya kupigia kura, ili kuwachagua wabunge wao na madiwani wa manispaa, katika hali mbaya ya mazingira ya nchi iliokumbw . . .
Mgombea wa kihafidhina Karol Nawrocki ameshinda uchaguzi wa urais nchini Poland kwa 50.89% ya kura dhidi ya meya wa kiliberali wa Warsaw, Rafal Trzaskowski, kulingana na matokeo rasmi yaliyotolewa leo . . .
Rufaa dhidi ya adhabu ya kifungo cha maisha gerezani iliyotolewa kwa washtakiwa wanne waliokutwa na hatia kwenye kosa la kubaka kwa kikundi na kumwingilia kinyume na maumbile binti Mkazi w . . .