logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Habari Zote Za Kisiasa

  • Pata Habari Zote Za Kisiasa
Kitaifa
  • Na Asha Business
  • June 24, 2025

Kesi ya CHADEMA yapigwa kalenda hadi Julai 10

Kesi iliyofunguliwa na Wajumbe wa Bodi ya Wadhamini wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kutoka Zanzibar, imepangwa kusikilizwa Julai 10 mwaka huu katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya . . .

afrika mashariki
  • Na Jembe Digital
  • June 24, 2025

Museveni kugombea tena urais mwakani

Rais wa Uganda, Yoweri Museveni atawania kuchaguliwa tena kwa muhula mwingine wa uchaguzi unaotarajiwa mapema mwaka ujao ili kuongeza utawala wake wa takriban miongo minne, kulingana na afisa mkuu kut . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • June 23, 2025

Tehran yatishia kushambulia nchi yoyote itakayotumiwa na majeshi ya Marekani kuishambulia Iran.

Mshauri wa Kiongozi Mkuu wa Iran Ayatollah Ali Khamenei ameahidi kwamba kambi zinazotumiwa na majeshi ya Marekani kufanya mashambulizi dhidi ya vituo vya nyuklia vya Iran, pamoja na nchi zinazoyahifad . . .

Afrika
  • Na Jembe Digital
  • June 23, 2025

Rais wa Sierra Leone achaguliwa kuwa rais wa ECOWAS

Rais wa Sierra Leone, Julius Maada Bio, amechaguliwa kuwa Rais wa Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Afrika Magharibi (ECOWAS)  Juni 22, wakati wa mkutano wa kawaida wa wakuu wa nchi uliofanyika Abuj . . .

afrika mashariki
  • Na Jembe Digital
  • June 23, 2025

Wanajeshi 7 Uganda kikosi cha UN wauawa Somalia

Takriban wanajeshi saba wa Uganda wameuawa nchini Somalia. Hayo yameelezwa na msemaji wa jeshi la nchi hiyo ya Afrika Mashariki Felix Kulayigye.Wanajeshi hao walikuwa sehemu ya Kikosi cha Umoja wa Mat . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • June 23, 2025

Iran imelaani vikali hatua ya Marekani imevuka "mstari mwekundu"

Iran imelaani vikali hatua ya Marekani na kusema imevuka "mstari mwekundu" kwa kushambulia siku ya Jumapili vinu vyake vitatu vya nyuklia vya Fordo, Isfahan na Natanz.Balozi wa Iran katika Umoja wa Ma . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • June 22, 2025

CHADEMA bado wanayo nafasi kutia saini kanuni za maadili

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimeelezwa kuwa bado kina nafasi ya kutia saini kanuni za maadili ya uchaguzi ili kipate fursa ya kushiriki uchaguzi.Akizungumza katika Kongamano la Sheria . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • June 21, 2025

Maelfu ya Wairan waandamana kuipinga Israel

Maelfu ya watu katika mji mkuu wa Iran, Tehran wameandamana kuipinga Israel baada ya sala ya ijumaa huku waandamaji hao wameto Kuli za kuwaunga mkono viongozi waoMaelfu ya watu katika mji mkuu wa  . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • June 21, 2025

Israel yafanya vizuri kwenye Vita kuliko Iran

Rais wa Marekani Donald Trump amesema kuwa kwasasa Israel inafanya vizuri katika masuala ya vita ukilinganisha na Iran ambayo inafanya vizuri kidogo. Kauli ya Donald Trump inafutatia baada ya kutoa . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • June 20, 2025

Mradi wa maji Butimba jijini Mwanza wazinduliwa rasmi leo juni 20

Rais Samia Suluhu Hassan amezindua Mradi wa Maji na kituo cha kutibu maji Butimba jijini Mwanza. Samia amezindua mradi huo  Juni 20, 2025 ikiwa ni mwendelezo na ziara yake ya kikazi katika mikoa . . .

afrika mashariki
  • Na Jembe Digital
  • June 20, 2025

Rwanda na DRC wameafikiana makubaliano ya awali ya amani

Hatua mpya ya amani yaanza kuchomoza Mashariki mwa Kongo, huku Rwanda na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo zikitia saini makubaliano ya awali yanayolenga kumaliza vita vya muda mrefu. Nchi hizo zi . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • June 20, 2025

Wanauchumi wafafanua kuhusiana na athari za mgogoro wa Israel na Iran

WACHAMBUZI wa masuala ya uchumi wamesema mgogoro kati ya Israel na Iran unaoendelea unaweza kuleta athari za kuongezeka kwa mfumiko wa bei za bidhaa muhimu na mafuta.Wakizungumza hapo juni 19  wa . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • June 20, 2025

Niger yataifisha hisa za kampuni ya Uranium ya Ufaransa

Serikali kijeshi ya Niger, imetangaza mipango ya kuitaifisha kampuni ya Orano, inayomilikiwa na serikali ya UfaransaKampuni hiyo inamiliki asilimia 63 ya hisa za kampuni kubwa ya Somair ya kuchimba ma . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • June 20, 2025

Umoja wa Ulaya kukutana mezani leo na Iran

Mawaziri wa Ulaya wanatarajia kukutana leo kuishawishi Iran irudi kwenye meza ya mazungumzo Mawaziri hao wa Mambo ya nje watakutana na mwenzao wa Iran Abbas Araghchi mjini Geneva, Uswis leo Ijumaa, kw . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • June 19, 2025

Putin awaonya Ujerumani kuwapatia Ukraine makombora ya Taurus

Rais Vladimir Putin wa Urusi ameionya Ujerumani kuhusiana na mipango yake ya kuipatia Ukraine makombora ya masafa aina ya Taurus. Amesema Moscow itaizingatia hatua hiyo kuwa ni kuhusika moja kwa moja . . .

Afrika
  • Na Jembe Digital
  • June 18, 2025

Umoja wa Afrika kuthamini maandalizi ya uchaguzi mkuu nchini Tanzania utakaofanyika Oktoba 2025

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, amekutana na Misheni Maalum ya Umoja wa Afrika ya Kutathmini Maandalizi ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, na kuahidi kuwa uchaguzi huo utafanyika kwa haki, uhuru na amani.M . . .

Afrika
  • Na Jembe Digital
  • June 18, 2025

Umoja wa Afrika kutathimini maandalizi ya uchaguzi mkuu nchini Tanzania utakaofanyika Oktoba 2025

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, amekutana na Misheni Maalum ya Umoja wa Afrika ya Kutathmini Maandalizi ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, na kuahidi kuwa uchaguzi huo utafanyika kwa haki, uhuru na amani.M . . .

Bungeni
  • Na Jembe Digital
  • June 17, 2025

Serikali kuongeza posho kwa wenyeviti wa vijiji kutoka 100,000% hadi laki 300,000%

Mbunge wa Arusha Mjini Mrisho Gambo ameibua hoja nzito kuhusu malipo na maslahi ya wenyeviti wa serikali za mitaa akisema kundi hilo limekuwa likipuuzwa licha ya kuwa nguzo muhimu ya utawala wa karibu . . .

Mahakamani
  • Na Jembe Digital
  • June 16, 2025

KESI YA LISSU KUSIKILIZWA TENA JULAI MOSI

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeahirisha kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu hadi Julai 1, 2025 kwa ajili ya kusubiri Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) kupitia jalada la kesi h . . .

Top Story
  • Na Jembe Digital
  • June 13, 2025

George Mcheche ateuliwa na Rais kuwa jaji mkuu wa Mahakama ya Tanzania

Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Jaji wa Mahakama ya Rufani George Mcheche Masaju kuwa Jaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania. Masaju ambaye amechukua nafasi ya Prof. Ibrahim Hamis Juma ambaye amestaafu . . .

Mahakamani
  • Na Jembe Digital
  • June 11, 2025

Chadema yapingwa marufuku kufanya mikutano hadi kesi namba 8323 uchunguzi utakapobainika

Kutoka Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimepigwa marufuku kufanya shughuli zozote zile za kiutendaji na oparesheni mpaka hapo kesi . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • June 6, 2025

Fahamu historia Fupi kuhusu Rais wa zamani wa Zambia Edgar Chagwa Lungu

Edgar Lungu alizaliwa Novemba 11,1956 katika mji wa Ndola mkoa wa viwanda wa Copperbelt nchini Zambia eneo ambalo lina historia ndefu ya kisiasa na kiuchumi kutokana na uchimbaji madini, hasa shaba. . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • June 5, 2025

Raia wa Burundi wanashiriki uchaguzi wa wabunge na wa mitaa

Zaidi ya Warundi milioni 6 hii leo Juni 5 wanaamikia katika vituo zaidi ya 14,000 vya kupigia kura, ili kuwachagua wabunge wao na madiwani wa manispaa, katika hali mbaya ya mazingira ya nchi iliokumbw . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • June 2, 2025

Mgombea wa Kihafidhina Karol Nawrocki ashinda uchaguzi wa urais

Mgombea wa kihafidhina Karol Nawrocki ameshinda uchaguzi wa urais nchini Poland kwa 50.89% ya kura dhidi ya meya wa kiliberali wa Warsaw, Rafal Trzaskowski, kulingana na matokeo rasmi yaliyotolewa leo . . .

Mahakamani
  • Na Jembe Digital
  • June 2, 2025

Rufaa waliotumwa na afande kuhusiana na kesi ya binti wa Yombo kusikilizwa kesho

Rufaa dhidi ya adhabu ya kifungo cha maisha gerezani  iliyotolewa kwa washtakiwa wanne waliokutwa na hatia kwenye  kosa la kubaka kwa kikundi na kumwingilia kinyume na maumbile binti Mkazi w . . .

Kurasa 4 ya 17

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho
  • Follow Us

  • Follow Us

  • Follow Us

  • Subscribe

Unaweza Kupenda Hizi
Matukio
news
  • 3 siku zilizopita

Polisi Morogoro wachunguza kifo dada wa kazi, magari kuchomwa moto Mvomero

Matukio
news
  • 4 siku zilizopita

Mvua kubwa yaezua paa la nyumba Mtwara

Matukio
news
  • 4 siku zilizopita

Maafisa uhamiaji 3 wahukumiwa kunyongwa mpaka kufa

Matukio
news
  • 4 siku zilizopita

Uzembe ndiyo chanzo cha ajali iliyoua 5 Songwe

Matukio
news
  • 5 siku zilizopita

RC Mhita akagua athari za mvua Shinyanga

Matukio
news
  • 5 siku zilizopita

Roger Lumbala ahukumiwa kifungo cha miaka 30 jela kwa uhalifu dhidi ya binadamu

Matukio
news
  • 5 siku zilizopita

Mpigania demokrasia Lai atiwa hatiani Hong Kong

Matawi Yetu
  • Jembe Group
  • Jembe Development
  • Jembe Beach
  • Jembe Digital
  • Jembe DJ
  • Jembe Stage And Sound
  • Jembe Events
  • Jembe Ni Jembe Team

Habari Zaidi

  • Mbappé Avunja Ukimya wa Miaka 12 Real Madrid, Aifikia Rekodi ya Ronaldo

    • 4 masaa yaliopita
  • SIMBACHAWENE AVIOMBA VYOMBO VYA HABARI KUFANYA UTAFITI JUU YA RUSHWA

    • 22 masaa yaliopita
  • UN yaomba ufadhili wa dharura kuhudumia wakimbizi Burundi

    • jana

Habari Category

  • Habari Zote
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
  • Habari Ndani Na Nje
  • Video
  • Uchumi Na Biashara
  • Magazeti
  • Makala

Wasiliana Nasi

JEMBE NI JEMBE GROUP ,
P. O. Box 1334,
PLOT NO.111/BLOCK "A"
HOUSE No:43 MAKONGORO STREET,
ILEMELA MWANZA - TANZANIA

info@jembenijembe.com

+ 255-786-385-475 ,
+ 255-716-385-475.

  • PRIVACY POLICY
  • TERMS AND CONDITIONS
  • STAFF LOGIN

POWERED BY

© Jembe Ni Jembe Companies.

Created And Maintained By XFoundationCode