logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Habari Zote Za Kisiasa

  • Pata Habari Zote Za Kisiasa
Mahakamani
  • Na Jembe Digital
  • June 2, 2025

Mubashara kesi za Tundu Lissu kuendelea leo

Mahakama ya Tanzania imetangaza kuwa kesi mbili za jinai namba 8606/2025 na 8607/2025 kati ya Jamhuri na Tundu Antiphas Lissu zitatajwa na kusikilizwa leo Jumatatu Juni 2 mubashara katika Mahakama ya . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • June 1, 2025

Chadema Yatoa Wito kwa Wananchi Kuhudhuria Kesi ya Uhaini ya Lissu

Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema kimewaalika wananchi wote, mashirika ya kiraia, Jumuiya za Kimataifa na Kitaifa kuhudhuria na kufuatilia kwa karibu mwenendo wa kesi ya Uhaini inayomkabili Mw . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • June 1, 2025

Mbeto" Maelekezo ya Mwenyekiti CCM ni Maagizo ya Utekelezaji kwa Chama"

Chama Cha Mapinduzi kimesema kitahakikisha kinayafanyia kazi maelekezo yote yalioelekezwa na Mwenyekiti wa CCM Rais Samia Suluhu Hassan katika kupitisha wagombea udiwani, Uwakilishi na Ubunge.Pia cham . . .

Top Story
  • Na Jembe Digital
  • May 30, 2025

CCM yatoa vipaumbele 9 na washirika 7 walioshiriki katika maandalizi ya Ilani

Ilani mpya ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa Uchaguzi Mkuu wa 2025 inalenga kujenga uchumi jumuishi unaowafikia Watanzania wote kuchochea maendeleo ya kisasa, kupunguza umaskini na kuimarisha ustawi wa . . .

Top Story
  • Na Jembe Digital
  • May 30, 2025

Ilani mpya ya Chama cha Mapinduzi CCM yalenga kuboresha makazi vijijini a,na maji

Chama cha Mapinduzi (CCM) kupitia Ilani yake mpya ya uchaguzi, imeahidi mageuzi makubwa ya huduma ya maji nchini katika kipindi cha miaka mitano ijayo ikiwa ni pamoja na kuimarisha upatikanaji wa maji . . .

Top Story
  • Na Jembe Digital
  • May 30, 2025

Chadema yapeleka kampeni ya No reforms no election wilayani Simanjiro

Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) John Heche amepeleka kampeni ya 'No reforms, No election' kwa wafugaji wa jamii ya Kimaasai akitumia uwekezaji kwenye viwanda vya kusin . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • May 30, 2025

Aliyekuwa kiongozi wa Chama cha upinzani Misri amechwa huru sasa.

Kiongozi wa upinzani nchini Misri, Ahmed al-Tantawi, ameachiliwa huru baada ya kufungwa jela kwa mwaka mmoja kutokana na makosa ya ukiukwaji wa sheria za uchaguzi kutokana na taarifa iliyotolewa na Wa . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • May 30, 2025

JICA kushirikiana na TZ katika utekelezaji wa mradi mbalimbali ya maendeleo nchini

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema kuwa Shirika la Kimataifa la Maendeleo la Japan (JICA) limeihakikishia Serikali ya Tanzania  ya Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa litaendelea kushirikiana nayo kat . . .

afrika mashariki
  • Na Jembe Digital
  • May 30, 2025

Joseph Kabila akutana na viongozi wa Dini nchini Goma

Rais wa zamani wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Joseph Kabila ameonekana kwa mara ya kwanza tangu kuondolewa kinga ya kutoshtakiwa na seneti huku akionyesha nia ya kujitokeza tena kisiasa Kabila am . . .

Top Story
  • Na Jembe Digital
  • May 30, 2025

TUME YA MAADILI YA UONGOZI WA UMMA YAOMBA USHIRIKIANO BAINA YA VIONGOZI

TUME ya Maadili ya Viongozi wa Umma imewataka wahariri na waandishi wa habari kuendelea kushirikiana nayo katika kuwaibua viongozi wanaokiuka maadili ili kuimarisha uwajibikaji na utawala bora nchini. . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • May 29, 2025

ZIARA YA MAJALIWA YA.KUTANISHA NA WAZIRI WA JAPAN

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amekutana na Waziri Mkuu wa Japan Ishiba  Shigeru ambaye amemuhakikishia kuwa nchi hiyo itaendelea kuimarisha ushirikiano na Tanzania jambo ambalo linalenga kuchochea . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • May 29, 2025

CHAMA CHA CHAUMMA KINATARAJIA KUANZA ZIARA 3 JUNI

Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) kinatarajia kuanza ziara rasmi kuanzia tarehe 3 Juni mwaka huu katika jiji la Mwanza. Ziara hiyo inalenga kuwakaribisha wanachama wapya, kutambulisha safu ya . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • May 29, 2025

WANNE WAFARIKI NA WAWILI KUKANYAGWA KATIKA VURUGU ZA KUWANIA CHAKULA

Maelfu ya watu wenye njaa kali wamevamia ghala la misaada katikati mwa Ukanda wa Gaza tukio lililoshuhudiwa kupitia  shirika la habari la Reuters. Katika vurugu hizo milio ya risasi ilisika huku . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • May 29, 2025

WAJUMBE WA KAMATI KUU CCM WAPEWA JUKUMU LA KUISAMBAZA ILANI YA CHAMA UCHAGUZI UTAKAPOWADIA

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amefungua mkutano mkuu wa CCM unaofanyika Dodoma na kueleza kuwa agenda kubwa itakuwa ni kuipiti . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • May 29, 2025

WANAFUNZI WA CHINA KUFUTIWA VIZA NCHINI MAREKANI

Marekani imetangaza kuwa itaanza kufuta viza za Wanafunzi kutoka China hususani wale wanaohusishwa na Chama cha Kikomunisti cha China au wanaosomea fani zinazotajwa kuwa nyeti kwa usalama wa Taifa. T . . .

Bungeni
  • Na Jembe Digital
  • May 28, 2025

WABUNGE WAHIMIZWA KUFUATA KANUNU NA SHERIA ZA BUNGE

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk Tulia Ackson ametoa onyo kali kwa wabunge akiwataka kuzingatia matakwa ya Katiba, sheria na kanuni za Bunge wakati wa kujadili hoja mbalimbali kwa . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • May 28, 2025

WAZIRI MKUU AWASHAWISHI WAWEKEZAJI KUTOKA JAPAN KUWEKEZA TANZANIA

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ameendelea na ziara yake Toyko nchini Japan kwa kuwashawishi Wawekezaji na Wafanyabiashara wakubwa wa Japan kuja kuwekeza kwenye sekta ya kilimo, afya, u . . .

afrika mashariki
  • Na Jembe Digital
  • May 28, 2025

RUTO AWAOMBEA MSAMAHA VIJANA WA GEN Z NA WANAHARAKATI

Rais William Ruto ameomba msamaha kwa vijana na mataifa jirani waTanzania na Uganda katika hatua inayotafasiriwa kuwa  ilitokana na malumbano makubwa ambayo yamedumu mitandaoni kwa wiki mbili sas . . .

Top Story
  • Na Jembe Digital
  • May 28, 2025

DKt, SAMIA AMEZINDUA NA KUWEKA JIWE LA MSINGI LA MAKAO MAKUU DODOMA

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Mei 28, 2025, ameweka jiwe la msingi la jengo jipya la Makao Makuu ya Chama Cha Mapindu . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • May 28, 2025

DONALD TRUMP AMEYATAKA MASHIRIKA YA SERIKALI KUFUTA MIKATABA NA CHUO CHA HARVARD

Utawala wa Rais Donald Trump wa Marekani umeyataka mashirika ya Serikali kufuta mikataba na Chuo Kikuu cha Harvard yenye thamani ya kiasi cha dola milioni 100. Hatua hiyo ya Trump ni sehemu ya mapamb . . .

Top Story
  • Na Jembe Digital
  • May 28, 2025

VIKAO VYA MABALOZI WA KIMATAIFA KUANZA KUFANYIKA DODOMA KUANZIA JUNI 2025

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki (EAC) Balozi Mahmoud Thabit Kombo amesema kuwa kwa kuwa ofisi za wizara yake zinatarajiwa kuhamia rasmi Makao Makuu ya Nchi Dodoma ifikapo Jun . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • May 28, 2025

CHADEMA WASHINDWA KUTEKELEZA MAELEKEZO YA MSAJILI MKUU WA VYAMA VYA SIASA

Msajili mkuu wa Vyama vya siasa nchini Tanzania ametangaza kusitisha kutoa ruzuku kwa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) hadi pale watakapotekeleza maelekezo ya Ofisi ya Msajili kutokana na M . . .

Bungeni
  • Na Jembe Digital
  • May 27, 2025

Serikali yaweka mpango wa kutangaza ajira mpya 45,000 hivi karibuni

Serikali imesema kabla ya mwaka huu wa fedha kuisha itakuwa imetangaza nafasi za ajira mpya 45,000 kwa kada mbalimbali ambazo utekelezaji wake unafanyika. Mwaka wa fedha wa Serikali unakwisha Juni 30 . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • May 27, 2025

Kuwasili kwa Joseph Kabila nchini Kongo Kwapelekea chama cha PPRD matatani

Rais wa Zamani wa Jamhuri ya Demokrasia ya Kongo Joseph Kabila amerejea Nchini humo kutafuta Suluhu ya Vita dhidi ya Mzozo wa kisiasa unaendelea.Inaelezwa kuwa rais huyo wa zamani wa Congo aliwasili G . . .

Top Story
  • Na Jembe Digital
  • May 26, 2025

KAULI YA JOSEPH MSUKUMA BUNGENI KUHUSU WANAHARAKATI KUTOKA KENYA

Mbunge wa Geita Vijijini Joseph Musukuma ametoa kauli kali bungeni akilaani matusi na kejeli wanazotupiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan mtandaoni kutoka kwa baadhi ya wan . . .

Kurasa 5 ya 17

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho
  • Follow Us

  • Follow Us

  • Follow Us

  • Subscribe

Unaweza Kupenda Hizi
Matukio
news
  • 3 siku zilizopita

Polisi Morogoro wachunguza kifo dada wa kazi, magari kuchomwa moto Mvomero

Matukio
news
  • 4 siku zilizopita

Mvua kubwa yaezua paa la nyumba Mtwara

Matukio
news
  • 4 siku zilizopita

Maafisa uhamiaji 3 wahukumiwa kunyongwa mpaka kufa

Matukio
news
  • 4 siku zilizopita

Uzembe ndiyo chanzo cha ajali iliyoua 5 Songwe

Matukio
news
  • 5 siku zilizopita

RC Mhita akagua athari za mvua Shinyanga

Matukio
news
  • 5 siku zilizopita

Roger Lumbala ahukumiwa kifungo cha miaka 30 jela kwa uhalifu dhidi ya binadamu

Matukio
news
  • 6 siku zilizopita

Mpigania demokrasia Lai atiwa hatiani Hong Kong

Matawi Yetu
  • Jembe Group
  • Jembe Development
  • Jembe Beach
  • Jembe Digital
  • Jembe DJ
  • Jembe Stage And Sound
  • Jembe Events
  • Jembe Ni Jembe Team

Habari Zaidi

  • Mbappé Avunja Ukimya wa Miaka 12 Real Madrid, Aifikia Rekodi ya Ronaldo

    • 9 masaa yaliopita
  • SIMBACHAWENE AVIOMBA VYOMBO VYA HABARI KUFANYA UTAFITI JUU YA RUSHWA

    • jana
  • UN yaomba ufadhili wa dharura kuhudumia wakimbizi Burundi

    • jana

Habari Category

  • Habari Zote
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
  • Habari Ndani Na Nje
  • Video
  • Uchumi Na Biashara
  • Magazeti
  • Makala

Wasiliana Nasi

JEMBE NI JEMBE GROUP ,
P. O. Box 1334,
PLOT NO.111/BLOCK "A"
HOUSE No:43 MAKONGORO STREET,
ILEMELA MWANZA - TANZANIA

info@jembenijembe.com

+ 255-786-385-475 ,
+ 255-716-385-475.

  • PRIVACY POLICY
  • TERMS AND CONDITIONS
  • STAFF LOGIN

POWERED BY

© Jembe Ni Jembe Companies.

Created And Maintained By XFoundationCode