logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Habari Zote Za Kisiasa

  • Pata Habari Zote Za Kisiasa
Kimataifa
  • Na Asha Business
  • July 29, 2024

Venezuela: Rais Nicolas Maduro achaguliwa tena kwa muhula wa tatu, upinzani walalamikia udanganyifu

Rais wa Venezuela Nicolas Maduro ameshinda uchaguzi wa urais Jumapili, Julai 28, kwa asilimia 51.20 ya kura - sawa na kura milioni 5.15 -, tume ya uchaguzi imetangaza Jumatatu, Julai 29, ingawa kura k . . .

afrika mashariki
  • Na Asha Business
  • July 16, 2024

Uchaguzi Rwanda: Paul Kagame ‘Mitano tena’

Rais wa Rwanda, Paul Kagame ameshinda muhula wa nne wa kuiongoza nchi hiyo kufuatia uchaguzi wa urais na bunge uliofanyika Julai 15, 2024.Katikq uchaguzi huo, jumla ya Wapiga kura milioni tisa walishi . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • June 4, 2024

Viongozi wa dunia wampongeza Claudia Sheinbaum, rais wa kwanza mwanamke wa Mexico

Claudia Sheinbaum alipata ushindi wa kishindo katika uchaguzi nchini Mexico na kuwa rais wa kwanza mwanamke wa nchi hiyo, akirithi mradi wa mshauri wake na kiongozi anayeondoka madarakani Andres Manue . . .

afrika mashariki
  • Na Asha Business
  • June 3, 2024

Wafahamu wagombea wanaowania uchaguzi mkuu wa Julai 15 Rwanda

Nchini Rwanda, kinachosubiriwa sasa ni kuanza kwa kampeni kuelekea uchaguzi wa Julai 15 mwaka huu, baada ya mwishoni mwa juma wagombea 9 wakiwemo wagombea binafsi krejesha fomu zao kwa tume ya uchaguz . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • June 3, 2024

Wanainchi wa Mexico wapiga kura kumchagua rais mpya

Wapiga kura nchini Mexico walielekea kwenye vituo vya kupiga kura Jumapili kumchagua rais mpya. Kwa mshangao mkubwa, mmoja wa wagombea wawili wanawake anaweza kuwa kiongozi wa kwanza wa Mexico.Kura ya . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • May 30, 2024

Wanaotaka kuwania urais Iran kutuma maombi katika kipindi cha siku tano

Mamlaka nchini Iran imetangaza kipindi cha siku tano kwa watu wanaotaka kuwania katika uchaguzi wa urais wa tarehe 28 ya mwezi Juni mwaka huu kuwasilisha maombi yao.Uchaguzi huo unatarajiwa kufanyika . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • May 20, 2024

Mamia waandamana Tunis kumuunga mkono Rais Kais Saied

Mamia ya watu waliandamana mjini Tunis siku ya Jumapili kumuunga mkono Rais Kais Saied huku kukiwa na ukosoaji mkubwa ndani na nje ya nchi baada ya wimbi la kukamatwa kwa waandishi wa habari, wanahara . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • May 17, 2024

Jenerali Mahamat Idriss Deby ameshinda uchaguzi wa rais nchini Chad

Baraza la Katiba lililotangaza ushindi huo pia lilikataa ombi lililotolewa na Waziri Mkuu Succes Masra la kutaka kufutwa matokeo hayo.Kiongozi wa kijeshi wa Chad, Jenerali Mahamat Idriss Deby Itno ame . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • May 16, 2024

Vijana Marekani wanatamani wangekuwa na mgombea mwengine asiyekuwa Biden au Trump

Idadi kubwa ya wapiga kura vijana katika uchaguzi wa rais Marekani wanasema wanatamani wangekuwa na mtu mwingine na siyo Joe Biden au Donald Trump kumchagua.Lakini wapiga kura vijana wanamuunga mkono . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • May 13, 2024

Uchaguzi wa urais nchini Chad: Chama cha Les Transformateurs chakata rufaa

Siku tatu baada ya kutangazwa kwa matokeo rasmi ya muda ya uchaguzi wa urais wa Chad na ushindi katika duru ya kwanza ya rais wa mpito, Mahamat Idriss Déby, Waziri Mkuu Succès Masra, ambaye pia anad . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • May 10, 2024

Tume ya uchaguzi Chad yasema Mahamat Idriss Deby alishinda uchaguzi wa rais

Tume ya uchaguzi huko Chad lilisema Alhamisi kuwa Rais wa mpito Mahamat Idriss Deby alishinda uchaguzi wa urais wa Mei 6 kwa zaidi ya asilimia  61 ya kura, likitaja matokeo ya muda, wakati pia mp . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • May 6, 2024

Togo: Chama tawala chapata ushindi mkubwa katika uchaguzi wa bunge

Chama tawala cha Rais wa Togo Faure Gnassingbe kimepata ushindi wa kishindo katika uchaguzi wa bunge, maafisa wamesema, na kumruhusu kiongozi huyo wa muda mrefu kuimarisha mamlaka yake chini ya mabada . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • May 3, 2024

Uchaguzi nchini Togo: Kambi ya rais yaridhika, upinzani watangaza kukata rufaa

Wakati mwelekeo na matokeo ya uchaguzi wa Aprili 29 nchini Togo yakitangazwa, upinzani na hasa Chama cha Dynamics for the Majority of the People (DMP) kinaendelea kushtumu ubadhirifu uliojitokeza kati . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • April 12, 2024

Raia wanaendelea kusubiri kuundwa kwa serikali mpya

Nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), ni siku kumi baada ya kuteuliwa kwa Judith Suminwa kuwa Waziri Mkuu, mwanamke wa kwanza katika historia ya nchi hiyo kushika nafasi hiyo, bado hajakabidh . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • April 11, 2024

Upinzani washinda uchaguzi wa bunge nchini Korea Kusini

Vyama vya upinzani vya kiliberali vya Korea Kusini vimepata ushindi wa kishindo katika uchaguzi wa bunge uliofanyika siku ya Jumatano. Waziri Mkuu wa nchi hiyo Han Duck-Soo tayari ameelezea dhamira ya . . .

afrika mashariki
  • Na Asha Business
  • April 1, 2024

Vyama viwili vikongwe vyatangaza kumuunga mkono rais Kagame

Vyama viwili vikongwe nchini Rwanda, Liberal na Social Democratic, mwishoni mwa juma vimetangaza kuwa vitamuunga mkono mgombea wa chama tawala cha Rwanda Patriotic Front, Paul Kagame, katika uchaguzi . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • March 28, 2024

Wagombea 10 wa urais nchini Chad waandamana baada ya fomu zao kupingwa

Wagombea 10, wakiwemo wapinzani wawili wakali wa utawala wa kijeshi wa Chad, Jumatano waliandamana baada ya kuzuiliwa kushiriki kwenye uchaguzi wa rais wa tarehe 6 Mei.Mahakama ya Katiba mjini N’Dja . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • March 25, 2024

Mgombea wa Upinzani aukaribia ushindi Senegal

Mgombea wa upinzani nchini Senegal, Bassirou Diomaye Faye anaongoza katika matokeo ya awali ya uchaguzi wa rais, ambao ulifanyika baada ya miaka kadhaa ya ghasia na mzozo wa kisiasa.Mshindi wa uchaguz . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • February 26, 2024

Rais wa Belarus kuwania tena urais 2025

Lukashenko alitoa matamshi hayo baada ya kupiga kura katika uchaguzi wa bunge na madiwani, uliokosolewa na Marekani kuwa upuuzi.Afisa mkuu anayesimamia uchaguzi katika taifa hilo la zamani la Kisoviet . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • February 23, 2024

Siri yafichuka CHADEMA

Siri yafichuka CHADEMA Kukodisha Waandamanaji Mwanza / Mwenezi CCM Mwanza Atoboa . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • February 21, 2024

Baraza la Katiba Senegal lachapisha orodha mpya ya wagombea

Baraza la Katiba la Senegal limechapisha orodha iliyorekebishwa ya wagombea wa uchaguzi wa rais uliocheleweshwa kutoka Februari 25 hadi tarehe ambayo haijatangazwa.Baraza hilo wiki iliyopita lilibatil . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • February 20, 2024

WANACHAMA WA CHADEMA MBEYA WAKO TAYARI KWA MAANDAMANO

Wanachama wa chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA mkoani Mbeya tayari wanejikusanya maoneo ya Mbalizi mkoani humo wapo tayari kuanza maandamano. Maandamano hayo ambayo yataongozwa na Mwenyekiti F . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • February 16, 2024

Kura ya kuahirisha uchaguzi yafutwa Senegal

Baraza la Katiba la Senegal, limebatilisha tangazo la kuchelewesha uchaguzi wa rais, uliokuwa ufanyike mwezi huu likisema kura ya Bunge ilikuwa kinyume na katiba likidai muswada uliopitishwa ulikuwa k . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • February 7, 2024

Wabunge watatu wa upinzani wakamatwa Senegal

Wabunge watatu wa upinzani wamekamatwa nchini Senegal, huku kukiwa na mzozo mkali wa kisiasa.Mvutano huo ni kufuatia hatua ya Bunge kupiga kura hapo jana na kuahirisha uchaguzi wa urais hadi Disemba 1 . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • January 19, 2024

Karim Wade akana uria wake wa Ufaransa ili kugombea Urais wa Senegal

Karim Wade, mtoto wa kiume wa aliyekuwa rais wa Senegal na pia kiongozi wa kisiasa mwenye nguvu nchini humo, amekana uraia wa Ufaransa ili kuweza kugombea urais kwenye uchaguzi mkuu mwezi ujao.Wade am . . .

Kurasa 8 ya 17

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho
  • Follow Us

  • Follow Us

  • Follow Us

  • Subscribe

Unaweza Kupenda Hizi
Matukio
news
  • January 30, 2026

Marekani Yasema Iko Tayari Kuchukua Hatua Dhidi ya Iran Kuzuia Silaha za Nyuklia

Matukio
news
  • January 26, 2026

Zelensky asaka mifumo zaidi ya ulinzi wa anga

Matukio
news
  • January 20, 2026

RSF walitumia makaburi ya pamoja kuficha uhalifu wa kivita

Matukio
news
  • January 17, 2026

WFP: Uhaba wa chakula wafikia kiwango cha hatari

Matukio
news
  • January 15, 2026

Zelensky kutangaza hali ya dharura katika sekta ya nishati

Top Stories
news
  • January 11, 2026

SOMA KWA FURAHA INITIATIVE YAANZA MWAKA 2026 NA CHUMBA CHA TUMAINI ( CHAMBER OF HOPE )

Top Stories
news
  • December 24, 2025

Miaka kumi ya Jembefm

Matawi Yetu
  • Jembe Group
  • Jembe Development
  • Jembe Beach
  • Jembe Digital
  • Jembe DJ
  • Jembe Stage And Sound
  • Jembe Events
  • Jembe Ni Jembe Team

Habari Zaidi

  • Uchaguzi wa Japan: Chama cha Takaichi chatabiriwa ushindi

    • Sasa Hivi
  • Nchemba Awaagiza Viongozi Kutatua Kero za Wananchi

    • 2 siku zilizopita
  • Spika Zungu: Hakuna Udini Kwenye Miradi ya Utalii

    • 2 siku zilizopita

Habari Category

  • Habari Zote
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
  • Habari Ndani Na Nje
  • Video
  • Uchumi Na Biashara
  • Magazeti
  • Makala

Wasiliana Nasi

JEMBE NI JEMBE GROUP ,
P. O. Box 1334,
PLOT NO.111/BLOCK "A"
HOUSE No:43 MAKONGORO STREET,
ILEMELA MWANZA - TANZANIA

info@jembenijembe.com

+ 255-786-385-475 ,
+ 255-716-385-475.

  • PRIVACY POLICY
  • TERMS AND CONDITIONS
  • STAFF LOGIN

POWERED BY

© Jembe Ni Jembe Companies.

Created And Maintained By XFoundationCode