IGP afanya mabadiliko

IGP Camillus Wambura amemhamisha aliyekuwa Kamanda wa Polisi mkoa wa Morogoro SACP Fortunatus Muslim kwenda kitengo cha miopango makao makuu na nafasi yake imechukuliwa na ACP Alex Mukama ambaye alikuwa RPC Songwe.


Taarifa hiyo imetolewa na Msemaji wa Jeshi la Polisi SACP David Misime, na kwamba IGP pia amemhamisha aliyekuwa Kamanda wa Polisi mkoa wa Rukwa ACP Theopista Mallya, kwenda kuwa Kamanda wa Polisi mkoa wa Songwe.


Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii