Maadhimisho siku ya Mashujaa Mtumba

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameshiriki Maadhimisho ya Siku ya Mashujaa katika Uwanja wa Mashujaa uliopo Mji wa Serikali Mtumba, uliopo Mkoani Dodoma hii leo Julai 25, 2024.

Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii