Tayari mshindani wake mkuu André Ventura amekubali kushindwa na mshindi anatarajiwa kuchukua madaraka Machi 9, akimrithi Rebelo de Sousa, ambaye ameiongoza nchi hiyo ya kusini-magharibi mwa Ulaya tangu 2016.
Kwa mujibu wa shirika la utangazaji la serikali RTP limeripoti kwamba asilimia 98 ya kura tayari zimehesabiwa na kwamba Seguro, kutoka Chama cha Kisoshalisti (PS), amemshinda mgombea mrengo wa kulia André Ventura, na kupata takriban 66% ya kura, .
Akizungumza na waandishi wa habari baada ya matokeo ya awali , Seguro amewashukuru wareno kwa kumchagua na kusifu mchakato mzima wa uchaguzi na kwamba ulifuata misingi ya demokrasia.