Dkt Samia aongoza Taifa kumuaga Lukuvi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, leo Machi 28, 2026 ameongoza viongozi wa kitaifa pamoja na mamia ya Watanzania katika shughuli ya kuuaga mwili wa aliyekuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu), William Vangimembe Lukuvi.


Hafla hiyo ya heshima imefanyika katika Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam, ambapo viongozi mbalimbali wa serikali, wabunge, pamoja na wananchi walikusanyika kutoa heshima zao za mwisho kwa marehemu.


10YrsJembefm  #Familiamoja #AhsantekwaTime

Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii