logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Pata Habari Zote Hapa

  • Habari na Matukio Yote Ndani ya Nchi Na Duniani Kote
matukio
  • Na Jembe Digital
  • January 22, 2026

UGANDA: Mahakama yaahirisha uamuzi wa dhamana ya mwanaharakati Sarah Bireete baada ya uchaguzi

Ikiwa ni Wiki moja baada ya uchaguzi nchini Uganda ambapo  kesi ya mwanasheria na mwanaharakati wa haki za binadamu Sarah Bireete bado . . .

matukio
  • Na Jembe Digital
  • January 22, 2026

Mitaa ya Italia Yakumbwa na Mafuriko Ghafla Kama ya Sunami – Video

Watu nchini Italia walilazimika kukimbia kuokoa maisha yao baada ya mawimbi makubwa ya bahari yanayofanana na tsunami kuvamia mitaa ya kisiw . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • January 22, 2026

Trump Afungua Njia ya Makubaliano Kuhusu Greenland

Rais wa Marekani Donald Trump amesema kuwa serikali yake inachunguza uwezekano wa kufikia makubaliano kuhusu Greenland kufuatia mazungumzo a . . .

SOKA
  • Na Jembe Digital
  • January 22, 2026

Kane aipeleka Bayern katika hatua ya mtoano

                        Mshambuliaji wa Bayern Munich Harry Kane, ameifungia tim . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • January 22, 2026

Marekani yaanza kuwahamisha wafungwa wa IS kutoka Syria

                         Jeshi la Marekani limesema kuwa limewahamisha wafu . . .

Afrika Mashariki
  • Na Asha Business
  • January 22, 2026

Bobi Wine Aeleza Hatari Anayokabili Baada ya Uchaguzi Tata Uganda

Kiongozi mkuu wa upinzani nchini Uganda, Robert Kyagulanyi maarufu kama Bobi Wine, amethibitisha kuwa kwa sasa yuko mafichoni akihofia usala . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • January 22, 2026

Waziri Mkuu Aongoza Mkutano Kazi Wa Mawaziri, Manaibu Mawaziri

WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, ameongoza mkutano kazi wa Mawaziri, Makatibu Wakuu na Viongozi Waandamizi wa Serikali uliofanyika Januari . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • January 22, 2026

Uchaguzi wa urais na wa wabunge kufanyika Desemba 6

Kiongozi wa utawala wa kijeshi nchini Guinea-Bissau, Jenerali Horta N'Tam, ametangaza Desemba 6 kama tarehe ya uchaguzi wa urais na wa wabun . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • January 22, 2026

Donald Trump arudia matamshi ya ubaguzi wa rangi dhidi ya Wasomali na mbunge Ilhan Omar

Siku ya Jumatano, Januari 21, katika Jukwaa la Uchumi Duniani huko Davos, na kisha siku iliyotangulia katika Ikulu ya White House, katika ku . . .

Afya
  • Na Asha Business
  • January 22, 2026

HIZI NDIO FAIDA YA KULA MBAAZI

Kula mbaazi (pigeon peas) kuna faida nyingi mwilini kutokana na kutoa kiasi kikubwa cha protini, nyuzinyuzi (fiber), na madini. Hapa kuna fa . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • January 21, 2026

CCM yajivua lawama CHADEMA kuzuiwa siasa

Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesema hakihusiki kwa namna yoyote na uamuzi wa Mahakama Kuu wa kuzuia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEM . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • January 21, 2026

Rais wa Chile awateuwa mawakili wa Pinochet kuwa mawaziri

Rais mteule wa Chile anayefuata siasa kali za mrengo wa kulia Jose Antonio Kast amewateuwa wanasheria wawili wa dikteta wa zamani wa nchi hi . . .

matukio
  • Na Jembe Digital
  • January 21, 2026

Maelfu ya Wakurdi Waandamana Ujerumani

MAELFU ya raia wa asili ya Kikurdi wamejitokeza katika maandamano kwenye miji mbalimbali ya Ujerumani wakionyesha mshikamano na wenzao kufua . . .

matukio
  • Na Asha Business
  • January 21, 2026

Marekani kusitisha maombi yote ya visa za kudumu za uhamiaji kwa nchi 26 za Afrika

Kama sehemu ya sheria mpya za uhamiaji zilizoungwa mkono na Rais Donald Trump, Marekani imetangaza kuanzia Jumatano, Januari 21, kusitishwa . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • January 21, 2026

Jeshi la Marekani laikamata meli nyengine ya Venezuela

Jeshi la Marekani limekamata meli nyengine ya mafuta inayomilikiwa na Venezuela kwenye Bahari ya Karibi, kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa n . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • January 21, 2026

Mashambulizi Ukraine na Urusi Yaua Raia na Maafisa

UKRAINE na Urusi zimeripoti vifo na majeruhi kufuatia mashambulizi ya pande zote hali inayoonyesha kuendelea kwa mapigano makali kati ya mat . . .

Afrika Mashariki
  • Na Asha Business
  • January 21, 2026

Muhoozi azua sintofahamu kwa kutoa wito wa kuuawa kwa kiongozi wa upinzai Bobi Wine

Hasira imeibuka mtandaoni baada ya Mkuu wa jeshi la Uganda, Muhoozi Kainerugaba, kutoa mfululizo wa machapisho ya uchochezi kwenye mitandao . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • January 21, 2026

Viongozi wa Kijiji cha Namwanga Wajiuzulu kwa Pamoja

VIONGOZI wote wa Serikali ya Kijiji cha Namwanga Kata ya Hezya Wilaya ya Mbozi mkoani Songwe wamejiuzulu nyadhifa zao kwa pamoja wakilalamik . . .

matukio
  • Na Jembe Digital
  • January 20, 2026

Kesi waziri kupokwa pasipoti yanguruma

KESI iliyofunguliwa na aliyekuwa Waziri wa Viwanda na Biashara Geoffrey Mwambe katika Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam akipin . . .

SOKA
  • Na Jembe Digital
  • January 20, 2026

Simba yamtambulisha Ismael Toure

Katika kuhakikisha kikosi cha Klabu ya wekundu wa msimbazi Simba Sports  kinarejea kwenye ubora wa juu timu hiyo imemtambulisha rasmi, . . .

Elimu
  • Na Jembe Digital
  • January 20, 2026

Chifu aruhusu watoto kuomba karo ya Gredi 10 kutoka kwa raia

KATIKA kisa cha kusikitisha Chifu wa Turbo Kaunti ya Uasin Gishu William Koros ameruhusu familia ya watoto saba mayatima kuwa ombaomba ili k . . .

siasa
  • Na Jembe Digital
  • January 20, 2026

Uganda yarejesha huduma za intaneti, isipokuwa mitandao ya kijamii

SERIKALI ya Uganda imerejesha japo kwa kiwango fulani tu, huduma za mawasiliano baada ya Rais Yoweri Museveni kutangazwa mshindi katika ucha . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • January 20, 2026

Rais Samia Atuma Salamu za Pole Kifo cha Mzee Mtei

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa salamu za rambirambi kufuatia kifo cha Mzee Edwin Isaac Mbiliewi Mte . . .

siasa
  • Na Jembe Digital
  • January 20, 2026

Mkuu wa Jeshi Uganda Atishia Maisha ya Bobi Wine

Mvutano wa kisiasa nchini Uganda umeongezeka zaidi baada ya mkuu wa jeshi la nchi hiyo Jenerali Muhoozi Kainerugaba kutoa vitisho vya wazi v . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • January 20, 2026

RSF walitumia makaburi ya pamoja kuficha uhalifu wa kivita

Imefahamika kwamba wanamgambo wa RSF nchini Sudan walifaya mauaji ya watu wengi katika jimbo la Darfur na kisha kujaribu kuficha ushahidi kw . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • January 20, 2026

Viongozi wa Ulaya kutunishiana misuli na Trump

Viongozi wa Ulaya wanashiriki Jukwaa la Uchumi Duniani (WEF) ambalo litafanyika mjini Davos wakati mvutano baina yao na mshirika wao wa kija . . .

matukio
  • Na Jembe Digital
  • January 20, 2026

Waumini 163 watekwa nyara kanishani Nigeria

Makundi yenye silaha yawateka nyara waumini 163 wa Kikristo baada ya kuyavamia makanisha mawili katika jimbo la Kaduna kaskazini mwa Nigeria . . .

matukio
  • Na Asha Business
  • January 20, 2026

Syria yasema wafungwa 120 wa IS watoroka jela

Serikali ya Syria imesema kiasi cha wafungwa 120 wa kundi lijiitalo Dola la Kiislamu (IS) wametoroka gereza la Shaddadi lililokuwa likidhibi . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • January 20, 2026

Heche" Tumempoteza mzee Mtei"

Gavana wa kwanza wa Benki kuu ya Tanzania (BoT), na mwasisi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Edwin Mtei (94), amefariki dunia . . .

matukio
  • Na Asha Business
  • January 20, 2026

Watu kadhaa wametekwa nyara katika mashambulizi dhidi ya makanisa nchini Nigeria

Polisi wa Jimbo la Kaduna walmesema kwamba watu wenye silaha za kisasa walishambulia makanisa hayo mawili huko Kurmin Wali, jamii ya msitu k . . .

Afya
  • Na Asha Business
  • January 20, 2026

AFYA: HIZI NDIO FAIDA YA KULA DENGU

Degu ni mbegu ndogo zinazofanana na ufuta lakini ni nyeusi au kijivu) ambazo zina faida nyingi mwilini kutokana na utajiri wake wa virutubis . . .

Mastaa
  • Na Jembe Digital
  • January 19, 2026

Niffer Athibitisha Kuachana na OG, Aomba Kuheshimiwa

Mfanyabiashara maarufu anayefahamika kwa jina la Niffer amethibitisha rasmi kuvunjika kwa mahusiano yake na aliyekuwa mpenzi wake OG Phone a . . .

SOKA
  • Na Jembe Digital
  • January 19, 2026

Rais wa Senegal Atangaza Mapumziko Baada ya Kushinda AFCON

Rais wa Senegal Bassirou Diomaye Faye ametangaza mapumziko ya kitaifa kufuatia ushindi wa kihistoria wa timu ya taifa ya soka Teranga Lions . . .

matukio
  • Na Jembe Digital
  • January 19, 2026

Iran Yakiri Maelfu Kuuawa Katika Maandamano, Takwimu Zazua Mabishano

Msemaji wa idara ya mahakama ya Iran amesema hadi sasa hakuna adhabu yoyote ya kifo iliyotolewa inayohusiana na maandamano ya hivi karibuni . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • January 19, 2026

EU Yaitisha Mkutano wa Dharura Baada ya Trump Kutishia Ushuru Mpya

Mabalozi wa Umoja wa Ulaya wanazidisha juhudi za kumzuia Rais wa Marekani Donald Trump  asiwawekee washirika wa Ulaya ushuru mkubwa, wa . . .

matukio
  • Na Jembe Digital
  • January 19, 2026

Rais wa Guatemala atangaza hali ya hatari

Rais Bernardo Arevalo wa Guatemala ametangaza hali ya hatari ili kukabiliana na magenge yaliyouwa maafisa wanane wa polisiAmbapo Arevalo ali . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • January 19, 2026

Viongozi wa Kimataifa Waalikwa Kusimamia Awamu ya Pili ya Makubaliano ya Kusitisha Vita Gaza

Waziri wa Mambo ya Nje wa Hungary Peter Szijjarto amesema kuwa Waziri Mkuu Viktor Orban amekubali mwaliko wa kujiunga na bodi ya kimataifa i . . .

Afrika Mashariki
  • Na Asha Business
  • January 19, 2026

Ruto achukua washauri wa kiuchumi wa Raila

RAIS William Ruto amewachukua baadhi ya wapangaji mikakati waliokuwa wakihudumu katika ODM chini ya aliyekuwa waziri mkuu marehemu Raila Odi . . .

matukio
  • Na Asha Business
  • January 19, 2026

Watu wasiopungua 21 wafariki baada ya treni mbili kugongana

Watu kadhaa wamefariki na wengine kujeruhiwa siku ya Jumapili, Januari 18, kusini mwa Uhispania, msemaji wa kikosi jamii, Guardia Civil, ame . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • January 19, 2026

Kihongosi aagiza Mganga Mfawidhi achukuliwe hatua

Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kenani Kihongosi, amemtaka Mganga Mfawidhi wa Halmashauri ya Itigi k . . .

Kurasa 4 ya 221

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho
  • Follow Us

  • Follow Us

  • Follow Us

  • Subscribe

Habari Category